No video

Resort(Kijiji Chenye Nyumba za Kupangisha) Ya Kisasa Zaidi Jijini Dodoma

  Рет қаралды 859

Swahili Builders

Swahili Builders

Күн бұрын

Hii ni proposal ya Apartments ya Nyumba za kupangisha, kunaweza kuwa na nyumba sita kwa ujumla, nyumba tatu za vyumba vitatu, nyumba mbili za vyumba viwili na nyumba moja ya chumba kimoja, mradi huu unaweza kujengwa kwenye plot ya mita za mraba 3000 na kila nyumba inaweza kuwekewa fensi yake ili kutengeza privacy na kuufanya mradi kupendeza zaidi. Ndoto yako ni kubwa kiasi gani? Karibu tukuhudumie.
Karibu swahili builders kwa huduma za finishing, interior and exterior designs, Renovation services, land scaping pamoja na utayarishaji wa Raman na ujenzi wa majengo yote kwa ujumla wake(ya makazi,ya kibiashara na yale ya kijamii), hapa swahili builders tunasema
#leta_ndoto_yako_tukupe_nyumba_yako
#we_do_not_compete_we_conquer

Пікірлер
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 3,2 МЛН
Ujenzi Wa Msingi was Ghorofa
5:14
SwahiliUnits
Рет қаралды 224
MAKOSA YA KIPESA YA KUEPUKA - JOEL NANAUKA
5:36
Joel Nanauka
Рет қаралды 158 М.
Architect's TOP 10 Kitchen Design Mistakes
21:12
Daniel Titchener
Рет қаралды 771 М.
Ujenzi  Wa Apartments wa Gharama Nafuu
2:51
SwahiliUnits
Рет қаралды 19 М.
NYUMBA NZURI ZA KUPANGISHA
1:23
LUMAR HOME DESIGN
Рет қаралды 6 М.
Ngazi ya Kipekee na Ya kisasa Zaidi Tanzania Nzima
4:32
SwahiliUnits
Рет қаралды 823
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН