Mungu akuweke tu na akulinde maana unatia moyo Sana kwa sis tunaopitia shida nimeterekezewa watoto wa3 nahangaika nao peke yangu kweli msaada Ni mungu tuu
@shidabeatus2535 ай бұрын
Asante Sana mchungaji
@HeriMagwaza-cd4wg3 ай бұрын
Nilikuwa sikuelewi Mtumishi lakini kuanza sasa nakufuatilia na ninaomba msamaha Kwa mungu wa kukejeri Mtumishi,sasa nitaanza kusali.
@nancymongi9910 Жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwa jinsi anavyokutumia kwetu maana hii msg inakwenda kunitia nguvu.
@marthapaul2996 Жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu mtumishi wa bwana
@davidkawesa35942 ай бұрын
Amina kubwa
@stellahmosha6111 Жыл бұрын
Amen mchungaji...nimebarikiwa sana
@annkorir94893 ай бұрын
I'm blessed Amen
@evelynebwire7684 Жыл бұрын
Nimekuelewa sana mtumishi
@miriamalute1540 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@dannypeter495111 ай бұрын
Mungu akubariki mno
@user-ig4wj6in9w7 ай бұрын
Ahsante kwa neno la ushindi
@rennyzebedayo641311 ай бұрын
Amen mchj....
@dastanlufunda8846 Жыл бұрын
Daa huyu jamaa yuko vizuri sana
@shiobaraka85446 ай бұрын
asantee nimekuelewa
@user-us8xw9cg4o5 ай бұрын
❤❤
@yudambaigwa-rf4gw Жыл бұрын
Amen
@MarthaMwanga-cj4uo8 ай бұрын
Ameen
@ednamwakayoka26119 ай бұрын
Asante
@irennkwita840911 ай бұрын
Jamani napataje no ya huyu mchungaji naitaji sana.