Hakika katika sadaka kuna Neema kubwa Mungu tujalie moyo wa kukutolea daima asante baba kwa mafundisho mazuri
@yohanamasweko915 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU
@user-zt4fz3vk3p Жыл бұрын
Kweli Bab ubarikiwe sana napenda ushuhuda wako sana
@peternaaly4081 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu hakika Mungu anakusudi na wewe hakuna siku inapita bila kusikiliza mahubiri yako
@paschalshimba3838 Жыл бұрын
Mchungaji Eriona, kwakwer Mungu akubariki sansa umekuwa ni mtu mhimu sana katika maisha yangu, Nataman japo nije unishike mkono tu na roho yangu huenda itapona. Kamwe mafundisho yako yananijenga kiiman.
@fathiasaed9718 Жыл бұрын
Amina
@rosejohn16593 ай бұрын
Amen
@modernmwakalinga3274 Жыл бұрын
Hakika umebarikiwa Mtumishi wa Mungu.Natamani kusikiliza mafundisho yako kila wakati maana yananibariki sana.
@ednannko9727 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@user-co8mk8kz3h10 ай бұрын
❤❤❤❤
@lameckmnanka9330 Жыл бұрын
Ubalikiwe muchunganji mungu akutumie
@vitalismarunda6760 Жыл бұрын
Huyu Mchungaji Ni Kichwa Cha Motoo Nakupenda sana Baba Yangu
@rithakuyala9951 Жыл бұрын
Hallelujah Barikiwa mchungaji
@olivermwamakimbula787 Жыл бұрын
Mchungaji Mungu akubarikiii
@heavenlight5084 Жыл бұрын
I love this miracle
@veronicageofrey8360 Жыл бұрын
Pokea sifa na utukufu kwa uliotenda juu ya mtumishi wako aliyepigwa risasi.asante kwa utii aliokuwa nao juu ya sadadka aliotoa
@restitutapetro4705 Жыл бұрын
Mchungaji E. Kimaro Mungu akubariki sana kwa mafundisho mazuri yanatujenga kweli.
@heavenlight5084 Жыл бұрын
Sadaka ni ulinzi jamani, barikiwa mtumishi
@sheilanassoro4137 Жыл бұрын
Ameen
@denistillya666 Жыл бұрын
Namuona mungu kupitia mahubiri naitwa Jackson lyatuu kutoka Arusha usa river nshupu
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Maajabu na kweli
@valenakomba9218 Жыл бұрын
BWANA YESU ATUKUZWE SANAA .
@sia4867 Жыл бұрын
Yesu Nakupenda Sana
@modernmwakalinga3274 Жыл бұрын
Mchungaji anaefundisha watu wa Mungu kiasi hiki alafu kuna watu wanampiga vita.Binafsi nawashauri wanaomsakama huyu mtumishi wa Mungu waache ili aendelee kufundisha watu waijue kweli.