nimeinjoy sana kiukwli mungu awabriki sana kwa kazi nzuri
@OfficialDubu_tz2 ай бұрын
🙏🙏
@fammamourchy21642 ай бұрын
Kwa kweli filam nzuri sana hadi inatoa machozi ya furaha ❤
@OfficialDubu_tz2 ай бұрын
❤️
@user-wm5wk2nv7m29 күн бұрын
Nimeielewa kiukweli hiimuvi nikali kinoma
@Unic-ni2io25 күн бұрын
Sio kali tuu ni noma
@user-im4rf8dz7h2 ай бұрын
Naomba usije ukawa kama diamond...chapa kazi yako vizuri baba..maana wapendwa na wengi
@MkasyswallehsaidSwalleh9 күн бұрын
Movie nzuri dubu ,dube ,diba.wmecheza vzr pmoja na mamayao hongereni
@OfficialDubu_tz9 күн бұрын
❤️
@ayshanani2 ай бұрын
Filamu Safi sana hongereni na wapenda nyote ❤❤❤❤❤❤❤
@OfficialDubu_tz2 ай бұрын
Tunashukuru sana
@JanadevanOnsinini6 сағат бұрын
Wueh napenda sana hii filamu,kila wkt lzma niiangalie, mungu awabariki sana, nawapenda bure❤❤❤❤❤❤❤
@OfficialDubu_tz6 сағат бұрын
❤️
@Fedda2582 ай бұрын
Oya mi nakukubali sana nko msumbiji🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@MariumJuma-yo2hu2 ай бұрын
Hongera sana kaka dubu mungu azidi kukupa nguvu kwenye kazi yako nakupenda sana ❤❤
@OfficialDubu_tz2 ай бұрын
🙏❤️❤️
@user-ie8cu9vm6p2 ай бұрын
Nimeishi nikicheka mwisho mumeniliza asanten sana wapenz❤leo ndio nimeangalia kwaumakin
@OfficialDubu_tz2 ай бұрын
🙏❤️
@MwanahamisKassim-n1u16 күн бұрын
Ongelen mko vizur big up🎉❤😂
@BahatiArbogast12 күн бұрын
Mzee anaroho mbaya sana
@rogynee8135Ай бұрын
Cha kwanza sijui niseme unisamehe au vipi maan sikujua kabisa kuwa hii movie ni nzur kiasi hiki tena ina mafunzo makubwaaa sana ila nimesema unisameh maan nilikuwa naidharau sana na kuipita. Ila nimekubali kazi mzuri sana unajua mpaka unajua tena. Siku zote mimi ni shabiki yako ila leo nimekuwa shabiki yako rasmi 🎉🎉🎉🎉
@OfficialDubu_tzАй бұрын
🙏🙏🙏🙏
@RacheleMitima10 күн бұрын
Nikweli ni Suri sana maana inamafudisho mazuri😅😅😅😅🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Lauresonline2 ай бұрын
Filam nzuri sana yenye funzo kubwa
@OfficialDubu_tz2 ай бұрын
🙏🙏
@ButoyiRukiya2 ай бұрын
Safi saana Yani ivi njo naelewa kazi nzuri kweli mnatisha ❤
@OfficialDubu_tz2 ай бұрын
🥰
@RahmafocusMarindi16 күн бұрын
Huyu Diba and Diba huwa yuko vizuri kwenye kazi yake❤
@OfficialDubu_tz16 күн бұрын
❤️
@kadilida80708 күн бұрын
Ao watoto wameuwa ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@MaryNdinda-pe8do2 ай бұрын
Kazi safi ❤❤❤salute mumeweza sana.
@OfficialDubu_tz2 ай бұрын
🙏🙏
@procefaofficial2 ай бұрын
Dubu muna fanya vizuri kabisa ❤❤
@OfficialDubu_tz2 ай бұрын
🙏❤️
@user-ok9oq3rg5m20 күн бұрын
Team diba kz nzr San aky hii nimeipenda ❤❤❤❤
@OfficialDubu_tz20 күн бұрын
🍎
@IssayaMollel-xl2lq2 ай бұрын
Unakataa mimba na ulikuwa unaenjoy😂
@MaicoAsensio2 ай бұрын
halafu ww udugu😅😅
@everlyneiminza57222 ай бұрын
Hii kitu ilikua taaam sana jama, hongereni sanaaa wahusika🤞👏👏👏❤❤
@OfficialDubu_tz2 ай бұрын
Shukrani sana
@MaSuzy-zf8ol2 ай бұрын
Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉
@MwanahamisKassim-n1u16 күн бұрын
Hiyo safi san nimeinjoi
@OfficialDubu_tz16 күн бұрын
❤️
@AlphonceKamata2 ай бұрын
Pamoja sana tz apa
@OfficialDubu_tz2 ай бұрын
🙏🙏
@rogynee8135Ай бұрын
❤❤❤ safi bro🎉🎉
@JanethSifaelilunyunguАй бұрын
😂😂😂😂😂 ety Humu tuu
@princemutiso497120 күн бұрын
Ni chukueni hizi ndo napenda kuacrt movie nifunze kuiingiza
@Caroline-qu6txАй бұрын
Jamanii nimependezwa sana na hao mapacha 3❤🤓
@OfficialDubu_tzАй бұрын
❤️
@IssayaMollel-xl2lq2 ай бұрын
Nice 👍
@priscillahsirya6544Ай бұрын
Nawafatiliaa❤❤❤❤
@rogynee8135Ай бұрын
Kuna watu wananifurahisha humu ni NYANI NGWENGWE NA KIBONGE 😂😂😂😂 dah mbavu zangu
@OfficialDubu_tzАй бұрын
🙏
@MwanahamisKassim-n1u16 күн бұрын
Ongelen mko vizur big up
@NikomedFocus17 күн бұрын
Nakubali
@VincentOmbeleАй бұрын
Wonderful 😅😅😅
@Unic-ni2ioАй бұрын
Jamaanii mkiwa mnaigiza msiwakose awa madogo maana wana chekesha sana ndo wanafanya movie. Iwe super hatalimno alafu kumbe hajira nawe jupo kwenye movie nilizani unaigiza nasteven + Ndarotuuu. Okey no problem God Bless You All
@JoriJori-es2re9 күн бұрын
Ila bonge😂😂😂😂😂😂
@humphreywmusungu25 күн бұрын
Nikishaitazama nitarejea Hapa na comments zangu, acha ni download kwanza
@user-rj2hy4bz3f2 ай бұрын
Awesome brother.... apo kwa kutokezea watatu❤❤ salute🫡🫡
@OfficialDubu_tz2 ай бұрын
🙏❤️
@user-im4rf8dz7h2 ай бұрын
Waaaa..dubu i love your content Keep it up bro
@OfficialDubu_tz2 ай бұрын
🙏🥰
@SaidiAbraham2 ай бұрын
watching from 🇺🇲🇺🇲 keep pushing 🔥
@OfficialDubu_tz2 ай бұрын
🙏🥰
@KingMohaliyy2 ай бұрын
Oyaa dubu namba nyingine kiukweli dubu n mwamba
@OfficialDubu_tz2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@mirnababy5012Ай бұрын
Jamani move tamu sana mm nilikua sio mpenzi na hizi move ongera sana
@OfficialDubu_tzАй бұрын
🙏❤️
@CuthbethfrenkMunisiАй бұрын
Kazi nzuri pokeen maua yenu🎉🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@OfficialDubu_tzАй бұрын
🙏🙏🙏
@user-mw8oc5bn9q2 ай бұрын
keep it up mumeweza sanaa
@OfficialDubu_tz2 ай бұрын
Shukrani sana 🙏
@amidukasimu49642 ай бұрын
@@OfficialDubu_tz oyaaa kaka nilikua nauliza vep Kuna maandalizi gani ya movie mpya tume m.mc nyni ngwengwe dadeq 😂😂🖐️ na kazee kafupi e mdomo komaaa @dubu tafuta kikali kaka mkubwa
@Fedda2582 ай бұрын
Oya mi nakukubali sana nko msumbiji
@OfficialDubu_tz2 ай бұрын
Shukrani sana
@badrusimba12672 ай бұрын
Asanteni madogo
@OfficialDubu_tz2 ай бұрын
🙏🙏
@lizchepkorir20002 ай бұрын
It was lit🔥🔥🎉 keep it burning bro🔥🔥💪💪letea sisi ingine waiting 🤲❤️
@OfficialDubu_tz2 ай бұрын
Soon Inshaallah 🙏
@Sambigmondy65582 ай бұрын
@@OfficialDubu_tzkak Naomba Namba zako Kuna Ishu Nataka Tuongee Mana mimi Ni msanii Kwasasaiv Nashut Kwenye Acount ya Zizzo punch SNAKE GIRL Sasaiv Stumii Acount yangu Lakini Acount yangu Ndo hii SAM BIGMondy
@jimmyjeyo72552 ай бұрын
Nimependa sana
@UkhtyFatmah-he8vg14 күн бұрын
Mim hata sija itazama acha nseme tu hivi Dubu huaga Hana kazi mbovu jaman, maana natoka kutazama Maiti yangu Movie Nzuri sn tena sn,acha sasa ni tazame REVENGE.
@OfficialDubu_tz14 күн бұрын
❤️
@PhatoushАй бұрын
Tumezoe uchawi bana❤❤❤❤
@Kenyangal9662 ай бұрын
Good job
@OfficialDubu_tz2 ай бұрын
🙏🙏
@SaidiAbraham2 ай бұрын
Alafu wewe 😂😂😂😂
@priscillahsirya6544Ай бұрын
Good job keep going❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@shinjengasa35742 ай бұрын
Hawa madgo wawili waokota makopo nmewaelewa sana,wanatembea na biti vzr sana
@OfficialDubu_tz2 ай бұрын
🙏🙏
@deogratiusyudatadei56582 ай бұрын
Nime wakubali sana
@priscillahsirya6544Ай бұрын
Wako vizuri sanaa❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@patrickjilani15382 ай бұрын
Hii ni damu ama tomato paste,,, otherwise keep it up bro
@DedanTheuriАй бұрын
Interested🎉🎉🎉
@user-no4re2pk9zАй бұрын
Wanatisha sana njamaa
@OfficialDubu_tzАй бұрын
❤️
@reylahCastoryАй бұрын
Daaah jaman mbona kama iyo movie Ina endelea aiwezi kuishia apoo bhanaaa me Cja pendaaaaa❤😂😂❤
@OfficialDubu_tzАй бұрын
❤️
@reylahCastoryАй бұрын
Ivii location ni morogoroo au???
@bonventuresengo24642 ай бұрын
KAZI nzuri naikubali ❤❤
@OfficialDubu_tz2 ай бұрын
🙏🥰
@gamavevo1232 ай бұрын
Kazi sana hii
@OfficialDubu_tz2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@mwanashemwanashe2 ай бұрын
Kazi safi👏👏👏👏
@OfficialDubu_tz2 ай бұрын
🙏🙏
@Ben-qo4gd2 ай бұрын
Iyo kali movie 🇯🇲 🇯🇲 🇯🇲
@OfficialDubu_tz2 ай бұрын
🙏🙏
@user-es4nn5nb9b2 ай бұрын
Film zuri sana I am giving you 99.09% But huyo mtoto asingejiuwa angelikuwa muwazi nakuomba radhi lakini huwenda kuna mafunzo fulani ambayo mulitaka kutufundisha na je! Film hii ina mafunzo gani ?