No video

VIDEO: S2KIZZY Akutana USO kwa USO na ABBAH/ Angalia WALIVYOTENGENEZA BEAT ya PAMOJA

  Рет қаралды 445,989

Rick Media

Rick Media

Күн бұрын

Пікірлер: 419
@BlackPanther-xx8dn
@BlackPanther-xx8dn Жыл бұрын
Young Keez Morento ali ni inspire Kuwa Beat Maker Nakumbuka way back 2011 alikuwa na studio ya Ki geto geto Pale manzese Kama sikosei Nikaenda Ku record single yangu Moja Na Ivan Talent Sikuhiz Anaitwa director Ivan Nilipotoka pale niliona Wivu Mtoto mdgo Anapiga beat Kali sisi tunaimba nikasema Hapana na mimi naacha Kuimba Ntakuwa Beat Maker since then Mpaka leo Nimekuwa hivo Big Up to U Young Keez Morento (the mix killer).
@audadgeremmanuel7023
@audadgeremmanuel7023 4 жыл бұрын
From +254,ive never seen such great minds producing the best art,the way you guys interact is so mature,amaizing.Repin +254,we're waiting to see,hear what becomes of this result.Deuces✌
@goddytv5136
@goddytv5136 4 жыл бұрын
Shukran
@secreteyemedia
@secreteyemedia 4 жыл бұрын
Jamani Maproducer was Tanzania...nawaheshimu.. Skizzg,Abbah,MixKiller na wengine.....am praying for your prosperity ❤️
@shukranlugo3918
@shukranlugo3918 3 жыл бұрын
Hakuna mwenye amefutilia hii video mara nyingi zaidi yangu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jayfadhil8404
@jayfadhil8404 7 ай бұрын
Unishind mpk leo naifuatilia 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@OscarIsrael-sn2hu
@OscarIsrael-sn2hu 3 ай бұрын
Mimi adi leo hii mar ya 14578
@cjean9867
@cjean9867 3 жыл бұрын
Mim kilicho nivutiya ni upendo ambao muko nawo, katikati yenu!! Vizuri sana kuona muna kula bata pamoja, big up wazito
@LawDifiedCisse
@LawDifiedCisse 2 жыл бұрын
Yogo and D classic have mastered this art very well.
@djjohn255tz9
@djjohn255tz9 4 жыл бұрын
An cjawah Onnah Tokea nmeujua mzik that is amaizing good things our brothers
@Mwenda_Zj
@Mwenda_Zj 8 ай бұрын
i always come back to watch this video as a kenyan music producer.. i wish we had a kenyan version of this
@erickmurigi1529
@erickmurigi1529 7 ай бұрын
We'll bro.. Let's keep doing it
@eddyeddy2907
@eddyeddy2907 4 жыл бұрын
Anaanzisha Devi Macode (mwenye red t shirt), Mwenye miwani na kibegi huyo ndio mkali Abbah, mwenye miwani saa mkononi na virasta ndio Moco Genius mwenyew, mwenye kipara na timberland mrefu zaid ya wote shati la mauwa anaitwa Yogo beats, Mwenye bleach kichwani kijana mdogo wa kuitwa Kapipo, Yule tall mwenye shati ya draft wa kuitwa Nicklass, kuna brother ana kama mzula kichwani na t shirt flan kama nyeupe hivi huyo wanamuita Donny, na huyo bwana mdogo mwenye mwili mdogo kupita wote alyemalzia shoo ndio young kiz morento AKA the mixing killer
@J4UPro
@J4UPro 4 жыл бұрын
Asante sana kwa kutufahamisha
@flinchclassic1726
@flinchclassic1726 4 жыл бұрын
N s2kisz je
@Prince7850.
@Prince7850. 4 жыл бұрын
Hiyo bass anayoipigaga abbah huwa ni plug in gani ???..anayefahamu anijuze tafadhali
@ibrahimyusphan7126
@ibrahimyusphan7126 4 жыл бұрын
nakbali bloody brother
@ibrackibrahim6909
@ibrackibrahim6909 Жыл бұрын
Nimekuja kuwajua baada ya Wewe kuwa taja ipasavyo
@ayojaysonvevo849
@ayojaysonvevo849 3 жыл бұрын
KENYAN PRODUCERS SHOULD BE HERE TAKIN NOTES!!!
@raymondrai2008
@raymondrai2008 4 жыл бұрын
multi talented big up zombie,Abbah, D CLaaaasic!
@abbyvanny
@abbyvanny 4 жыл бұрын
Safi Sana umoja ndo kitu Cha msingi I like this vibe Halaf hyo beat wapewe wasanii wachanga kutoka sehem mbali mbali wafanye ngoma watume data ngoma itakayofanya vzuri ndo inatambulishwa hadharani anaweza patkana star mpya kwenye muziki sio kukalili wale wale tuu haijengi muziki wetu Ili industry itanuke kila kukicha inatakiwa vizalishwe vipaji vipya vya muziki
@peterp.a3271
@peterp.a3271 4 жыл бұрын
Daah aisee heshima kwako dee Classic 🙌🏽
@mabitajunior
@mabitajunior 2 жыл бұрын
Hii inaonyesha umoja wa hali ya juu sana,kila mmoja ana kazi yake lakini kwa kufanya kazi kwa pamoja huleta matunda mazuri,kazi safi kabisa
@jerrychristopher5193
@jerrychristopher5193 3 жыл бұрын
Lengo la kuja kuangalia hii video Ni kwaaababu nimemtafuta mix killer nikamkosa kwingine ..nikasema ngoja nimchek s2kizzy na abbah coz Sina jinsi.. Khaa loh and behold namuona mix killer for the first time..sijaamini..the dude nakukubali Sana una kazi nzuri..and yet unamuonekano flani very humble..I couldn't expect ungekuwa na muonekano huo..sio ajabu ndio Mana nimekukubali... THE MIX KILLER.. bro you always kill..I wish to see you one day.
@ramsdenjames9782
@ramsdenjames9782 3 жыл бұрын
Mix killer ndo yupi hpo Kati yao
@jerrychristopher5193
@jerrychristopher5193 3 жыл бұрын
@@ramsdenjames9782 ooh..angalia mpaka mwisho utamwona wanamuita the mixkiller
@stratonmrosso1634
@stratonmrosso1634 4 жыл бұрын
david machord kitambo best piano tukiwa o level edmund rice school class 2007
@medystarter
@medystarter 4 жыл бұрын
Good kitu amazing combination ya producer's bongo 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🎶🎶💯💯🧨🧨🧨🔊🔊🎷🥁🎹🎚️Bado vocal🎤
@yusuphjuma6436
@yusuphjuma6436 3 жыл бұрын
Naichekigi mara kibao hii beat so fire
@mjux9151
@mjux9151 4 жыл бұрын
Kama umegundua beat hii katumia alikiba__ so hot gonga like
@toastresskiwanja221
@toastresskiwanja221 Жыл бұрын
Hapanaaaaa , so hot imetengnezwa na Kimambo from the scratch... Na Nata hazifanani
@Officialabshry
@Officialabshry 4 жыл бұрын
Beatz zingine hizi zitatufanya tuanze kuimba salute to dem all
@positivewave2393
@positivewave2393 4 жыл бұрын
Watching this najiskia Nina passion Nakutengezea tunes 😋🚀⚡
@J4UPro
@J4UPro 4 жыл бұрын
Mzee producer nini?
@sumadashsumadash-yx8eb
@sumadashsumadash-yx8eb 3 ай бұрын
Hii kaz ni mfano mzur sana wa Upwndo wakweli kwenu Mabeat meker.. mm naukubali mziki sana lakini Music kali ni mikono yenu Mabeat meker.. leo ni 2024 May11 Bado nainjoy hii kitu Mungu azid kuwapa mafanikio katka kaz ya mikono yenu....
@boythenuru4125
@boythenuru4125 Жыл бұрын
Nakubar wakuuu mmenifanya nimepata aidia kupitia kord zenu
@jessevanselis8285
@jessevanselis8285 3 жыл бұрын
Kazi safi hii hebu naomba sisi pia uku kenya bana mtushike mkona bana twaipenda mziki freshi
@heartnsanya1182
@heartnsanya1182 4 жыл бұрын
Producers wa kenya wanawaza kushusha nyimbo za watu mitandaoni wapate kiki shame mjifunze
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 4 жыл бұрын
Wale mafala wananiuzi kweli
@Bijan93
@Bijan93 3 жыл бұрын
I hope kenyan producers are learning a thing here.
@g-spack
@g-spack 2 жыл бұрын
They will never learn they fight more than being a team,jelous is destroying them, look at this bongo super producers all working as team and they respect each other and share ideas kenya we better learn from this if not will never grow
@kelseymuthoni
@kelseymuthoni 2 жыл бұрын
Kabisa bro, i wish to see this kind of love in kenya
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 4 жыл бұрын
Nmependa this work of art. Original work of art. Sasa itiwe vocal na wasanii wakubwa ili Bday gift ikamilike.
@husseinbakary1969
@husseinbakary1969 4 жыл бұрын
Binafsi Dee classic huwa namuelewa sana yupo kimya kimya lkn mambo yake ni firee
@AzizMapiano
@AzizMapiano 2 ай бұрын
Nakubali sana, , , unyama ni mwingi aiseee💥💯💯✊
@lazaromaria5334
@lazaromaria5334 3 жыл бұрын
i wish this love ingekuwa kwa whole music industry ya Tz
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 4 жыл бұрын
Noma Sanaaa Inafurahisha Sanaaa hii.. Producers wakali ndani ya mdundo mmoja wa Hataree
@ModernFlicks
@ModernFlicks 4 жыл бұрын
Noma Sana. Hizi ndio program tunazozitaka. Salute kwenu
@dogobaiza4703
@dogobaiza4703 3 жыл бұрын
Hahaha hongera sanaa
@azidijumaa5064
@azidijumaa5064 4 жыл бұрын
s 2kiz anasema tukimaliza iyo beat tunauza million 20
@venstonvedasto
@venstonvedasto 4 жыл бұрын
Kelele nyingi hao wengine mngewatoa nje tu huko wakaangalie kwenye flat screen. Ila kazi nzuri hakika
@bendbwoy709
@bendbwoy709 Жыл бұрын
@mocco genius & abbah process are beasts..from 254 nawakubali.
@CleverMjaggah-uv8on
@CleverMjaggah-uv8on 2 күн бұрын
Safiiiiii sanaaaaa big up
@Johnblecratere25
@Johnblecratere25 3 жыл бұрын
Beat kali kiukweli umoja ni nguvu kasiba John b toka Congo DRC
@johanesdeogratias5106
@johanesdeogratias5106 11 ай бұрын
Hii beat angepewa young killer msidoki damu ingemwagika
@drizzleservices146
@drizzleservices146 2 ай бұрын
We jamaa inajua 🎉
@nyandulamwamkili485
@nyandulamwamkili485 2 жыл бұрын
Mocco Kuna key kagusa hapo kanikosha sana🙏🙏🙏
@sheikhabdallahkatoto1
@sheikhabdallahkatoto1 4 жыл бұрын
DEEY CLASIC KAGUSA SEKUNDE MOJA TU.....Wengine wote broky majina makubwa amna kitu
@hm.autodeals
@hm.autodeals 3 жыл бұрын
daaah nimeenjoy sana kuangalia hizi talentsss
@musahairikha8135
@musahairikha8135 4 жыл бұрын
Japo ilikuwa inatakiwa wawe maproducer tuuh hao wapambe wengine kelele nyingi wangekaa nje vihere here kinoma
@lydiaprettytz7480
@lydiaprettytz7480 4 жыл бұрын
Aaah
@mrmassawe1097
@mrmassawe1097 4 жыл бұрын
@@lydiaprettytz7480 b
@alextz5877
@alextz5877 3 жыл бұрын
Tumia akili hao ndo wamefany wew uione hii video
@mathewdyzymaleyafrica9128
@mathewdyzymaleyafrica9128 3 жыл бұрын
studio wapambe wengine wana masikio mepesi ideas nyingi inakua poa
@lollatwapachannel.5132
@lollatwapachannel.5132 4 жыл бұрын
bonge la beat nasema kila msaani nchi tz afanye kazi tujue nani mkali...
@mwiruhabibu2060
@mwiruhabibu2060 4 жыл бұрын
D classic mshikaji flan iv tall afu hana at wenge aiseee Yogo umeua brother ila abbah mkali ila kama vile minato kibaooo
@nonsomedy
@nonsomedy 3 жыл бұрын
abbah minato mingi
@khalipharashidy6213
@khalipharashidy6213 3 жыл бұрын
Good job 💯abbah respect
@kelvinkonvenz6068
@kelvinkonvenz6068 4 жыл бұрын
napenda maskio ya s2kizzy
@Mjingafaki
@Mjingafaki 4 жыл бұрын
Ila nimependa wana umoja sana
@johanesdeogratias5106
@johanesdeogratias5106 11 ай бұрын
We zoombi!!!!, D classic na abbaaaha!!
@Everythingisok360
@Everythingisok360 2 жыл бұрын
Hii nmetizaga zaidia ya mara 10 😃🔥
@resgestae4225
@resgestae4225 2 ай бұрын
Kazi nzuri sana
@raymondkanyama6387
@raymondkanyama6387 4 жыл бұрын
Dah d classic kanisuprise
@dogotwaanails_mafunzo
@dogotwaanails_mafunzo 3 жыл бұрын
Yogo beat🔥🔥
@hosseamelikioli9410
@hosseamelikioli9410 4 жыл бұрын
S2kizzzy iyo bit na nunua milion 200
@mtawaahmad7994
@mtawaahmad7994 4 жыл бұрын
Naomba kuuliza tu, Kale kamsemo ka wazee wetu kwamba "MANAHODHA WENGI CHOMBO HUENDA MRAMA" Sjui "WAPISHI WENGI...(...) Hakawezi kuvuruga hapo..? Wataalam wa muziki nasubiri majibu plzz
@MJB-Africa
@MJB-Africa 4 жыл бұрын
Mnayumbaaaa
@eliaudoba7009
@eliaudoba7009 4 жыл бұрын
Oya mbona nomasana vp ishapata m2hiyo au kamabado pigahapa 2fanyekazi 0689300337 fanyahvyo
@hanssrukwa1604
@hanssrukwa1604 3 ай бұрын
najiuliza hiv kwann isiwepo hii ABAH FT S2KZY X MIXING KILLER
@danielmrombo
@danielmrombo 4 жыл бұрын
Nimependa hii... Magwiji wa muziki
@zackanongah5001
@zackanongah5001 3 жыл бұрын
OYA JAMANI UO MBITI APEWE ATA MSANIII MMOJA MKARI MBONA ALIJATENDEW HAKIIIII💿🎤🎤🎵🎶🎼🎼🎷🎷🎹🎺🎸
@thomasrichard246
@thomasrichard246 4 жыл бұрын
Abbah katishaaaaa
@KIBUTAMETHEW-tr2gy
@KIBUTAMETHEW-tr2gy Ай бұрын
S2 kizzy mkali
@hevizymatho7853
@hevizymatho7853 Жыл бұрын
Much love... great move
@bigboy8508
@bigboy8508 4 жыл бұрын
Hii kali sana. Nitairudia baadae
@musyimimutuku7480
@musyimimutuku7480 Жыл бұрын
Beat ya wimbo mpya wa alikiba na marioo ,sumu imetoka hapa
@addydoc
@addydoc 3 жыл бұрын
Dee classic...mnyama sana
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee 3 ай бұрын
For real music is a Feeling. I Like and appreciate it
@nicksonphilbert6865
@nicksonphilbert6865 3 жыл бұрын
Hii beat auziwe Diamond
@ridhiwanially6609
@ridhiwanially6609 4 жыл бұрын
Haya watafuteni Diamond,Ally Kiba na Harmonize watie Voko no wimbo w dunia utakua
@ikoricizaharuna5023
@ikoricizaharuna5023 4 жыл бұрын
Iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiilm78iuyiikoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiioll8k9liiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiikkk77i7iiio7l7ki77kkklli77hhhhihhho99klll9lpk77uu7klkn8u78lko8jk iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiioliioll8k9liiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiikkk77i7iiio7l7ki77kkklli77hhhhihhho99klll9lpk77uu7klkn8u78lko8jknl9879u6j6ilnli87i8l9y8u88 8lni0
@ikoricizaharuna5023
@ikoricizaharuna5023 4 жыл бұрын
Llo6unilnnnn kjit9u6nk
@ikoricizaharuna5023
@ikoricizaharuna5023 4 жыл бұрын
Ik 9 moisy9jk6n
@nurdin.mndeme3447
@nurdin.mndeme3447 4 жыл бұрын
ali kiba atasema amelogwa ! haha
@lollatwapachannel.5132
@lollatwapachannel.5132 4 жыл бұрын
wafanyanye kama vile riddim.....yaani wasaani kibao kwenye beat moja...
@kwataunit8196
@kwataunit8196 4 жыл бұрын
siku nyingine ukiweka video ya hivi weka na majina yao ili iwe rahisi kuwatambua. hapo wanajulikana Abbah na S2Kizzy zaidi
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 4 жыл бұрын
Yogo beat ujamuona
@emanuelfrancis7171
@emanuelfrancis7171 4 жыл бұрын
Me cmjui hata m1
@isaacolek4802
@isaacolek4802 3 жыл бұрын
... Damn... How we post to match this talent up here🇰🇪🇰🇪🇰🇪😂😂😂
@tonybtzsingleproducer4926
@tonybtzsingleproducer4926 4 жыл бұрын
Saf, mziki wa bongo umekuwa Sana , bg up wakubwa mmefanya poa Sana.
@mwamburimwaluma8375
@mwamburimwaluma8375 4 жыл бұрын
Natamani producer wa kenya wangekuwa na upendo hivi
@josephkomba1769
@josephkomba1769 2 жыл бұрын
Noma sana
@jayyuleboi5958
@jayyuleboi5958 4 жыл бұрын
Kati ya wote namkubali abbah na young keyz morento
@vanshizzoofficial9002
@vanshizzoofficial9002 4 жыл бұрын
Diamond Mavoko Kiba Harmonize Wakishatia vocals kwenye iyo beat..track itaskizwa hadi Pluto
@tonnymusic9396
@tonnymusic9396 4 жыл бұрын
Mtuwekee nyingine inayo malizia mpaka mwisho hii session
@johnsaid9143
@johnsaid9143 4 жыл бұрын
Wazamiaji wanapiga kelele sana mpaka kero bhana wakati beat Bomba kabisa
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Endeleni kuwa upendo hivyo hivyo na mtafanikiwa zaidi kwani wanaofanikiwa sana niwale ambao ushirikiana
@joz-bproduct6500
@joz-bproduct6500 4 жыл бұрын
Mr T Touch amekosa hapo
@mashaukimaro9738
@mashaukimaro9738 4 жыл бұрын
S2kizzy katishaaaa oyoooooo
@prestonkenyaofficial
@prestonkenyaofficial 4 жыл бұрын
Nawakubali sana, mna umoja sana
@wildlifeexperience5421
@wildlifeexperience5421 4 жыл бұрын
So great to watch
@jordandesantos4790
@jordandesantos4790 4 жыл бұрын
One day i will sing with s2kizzy
@erickmbilinyi2056
@erickmbilinyi2056 3 ай бұрын
Video haijaishaaa hii jaman daah 😊
@MpakaAsubuhi
@MpakaAsubuhi 3 ай бұрын
Kiz mapianolize the beat❤❤
@harunhateeb218
@harunhateeb218 Жыл бұрын
Hii kazi aijatokaga tu bado tuiskie final yake jamani..!!!!
@mj.100onlinetz.2
@mj.100onlinetz.2 4 жыл бұрын
Yap nawakubari kinyamaaaaaa
@stewartisiongo4064
@stewartisiongo4064 4 жыл бұрын
Duh!!! Ama kweli umoja ni nguvu napenda sana kazi ya maproducer kongole
@procedure_254
@procedure_254 9 ай бұрын
Eeeh Yogo Ni Mkali Melody Composing ❤
@frankleo7247
@frankleo7247 4 жыл бұрын
Where the regend Kinywere ki1....my best sound engineer P funk
@manyamabenedictor1795
@manyamabenedictor1795 3 жыл бұрын
Du s2kizzy,i salute you bro
@tonnymusic9396
@tonnymusic9396 4 жыл бұрын
S2,kizzy noma hiyo mi percussion hataree 🔥🔥🔥
@dayvonnymusic2301
@dayvonnymusic2301 2 жыл бұрын
Daah natamani ningeweza kupata mamba ya s2kizzy au abbah nifanye nao kazi sku moja et
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 4 жыл бұрын
Mbn imeishia katikati? Mu-upload na beat yenyewe ikiwa imekamilika
@berthakatunzi4335
@berthakatunzi4335 4 жыл бұрын
Producer wa bongo bana.... Vilaza wa Flstudio
@shadowboy6314
@shadowboy6314 4 жыл бұрын
Yogooo nomaaa
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 4 жыл бұрын
Mmefanya vzr kukuta make mkifanya kazi kwa ushilikiano tutafika mbali
@rockyjr6314
@rockyjr6314 4 жыл бұрын
S2kizzy atari
@volt-age7833
@volt-age7833 4 жыл бұрын
Kwa Hawa wote Yogo killed it
@rangalmas8833
@rangalmas8833 3 жыл бұрын
salute kwa Yogo beats
@augustunocastus1129
@augustunocastus1129 4 жыл бұрын
Dah chemist niyahatarii👊👊👊👊👊👊👊🙌🤙🤙🤙🤙👌👍
@mlantinojr3980
@mlantinojr3980 3 жыл бұрын
Safi 🎹🎸🎤🎧🎙
@Fredneves-97
@Fredneves-97 3 ай бұрын
Unajua kwa umoja huu ni vzr na vyepes kumpata mkali wao make hata wao wanajijua ndo inapelekea kutokuwepo ugomvi baina yao kuhusu kaz zao
@felexotieno
@felexotieno 3 жыл бұрын
Introduction ya Abbah moshi🔥🔥
Studio Session KOMANDO,G nako ft Diamond Platnumz
25:35
Diamond Platnumz
Рет қаралды 447 М.
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 14 МЛН
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 3,9 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 29 МЛН
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 41 МЛН
SHUHUDIA KIKAO CHA PRODUCER'S 14 BORA WA KIZAZI HIKI BONGO
24:54
Wasafi Media
Рет қаралды 32 М.
Mrisho Mpoto X Harmonize - Nimwage Radhi (STUDIO SESSION)
18:00
Harmonize
Рет қаралды 751 М.
Namna nzuri ya kununua vifaa vya studio ya Muziki kwa wenye barget ndogo
14:51
Freestyle za Kaligraph Jones + Young Killer + Chin Bees
4:08
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 862 М.
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 14 МЛН