Mungu hawabariki na akupeni safari ndefu ya ndoa yenu from 🇲🇿🇲🇿
@ruqiyanasir71415 күн бұрын
Laailaha illaalah yaa Allah tuhifadhi na mtihani kamahu navizazi vyetu tumezaliwa waislam tufe tukiwa waislam amina yaraabi amina 🙏😭
@user-my1vi6wv9h6 күн бұрын
Hongera broo hatua kubwa katka maisha mungu akuongoze🎉🎉🎉🎉❤
@aminaomary55676 күн бұрын
Hongera Ringo jaman. Usiwe unalia jaman❤❤❤🎉🎉🎉🎉👍👍👍
@user-mc9of9eb2z2 күн бұрын
niwatakie heri sanaa Mungu aweke pamoja nanyi
@joycemshema73876 күн бұрын
Mwenyezi Mungu awatangulie katika Maisha yenu ya ndoa Takatifu,Amina.
@user-xh7xf2ki3r6 күн бұрын
Mungu awatangulie katika safari ya maisha ya ndoa yenu Allahumma Aamiyn
@petermazoya6 күн бұрын
Hongera sana ringo Mungu awatangulie jaman
@JohnInnocent-e3n6 күн бұрын
Mungu awape pendo la kudumu ktk maisha yenu ndoa
@KhadijaMohammed-jq8pz6 күн бұрын
Mbn zakia Mustafa 😢ndoa y kikristo
@jacklinemusa56445 күн бұрын
Mnaweza kusema ndoa kweli kumbe wanaigiza bhana 😂
@user-ej4gd8sd2m6 күн бұрын
Mungu huyu atusamehe
@ChenchiKing6 күн бұрын
Mungu Awabariki Kweny Ndoa Yenu❤🎉
@user-gf3wl8ln8r6 күн бұрын
Hongere sana mungu awatangulie
@jacquelinelekule4266 күн бұрын
hongera sana ringo ikawe ndoa ya heri na baraka tele
@user-ck8ln8ed4z6 күн бұрын
Hana furaha sbb anafnya kitu ata mungu mwenyewe hayupo radhi mana izo ni dini 2 tofauti
@JamilaShabani-oj9rt6 күн бұрын
Hongereni ❤❤❤❤
@hortencialucas96346 күн бұрын
parabens para vcs dois, Deus esteja com vosco.
@abcdoman87396 күн бұрын
Mwanamke akili haipo hqpo kabisa
@AnnaAnna-kv6ki6 күн бұрын
Hongera sanaaaa
@mambodalu89586 күн бұрын
Big up bro,nlidhan best man atakua zunde og.
@user-zo1vy6ij9q6 күн бұрын
kk angu ringo hongela sn nilitamani sn niwepo japokuwa sipo Tz lkn nawaombea ndoa yenu iwe ya kheli na balaka
@zawadichengokatana47506 күн бұрын
Congratulations Ringo ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@user-os8uq2xi2j6 күн бұрын
Ongela Sana ringo
@ndimimaskati36416 күн бұрын
Zakia anaolewa na Mirostowic hapo hakuna ndoa
@user-pw2sw1sk1b6 күн бұрын
Duuuuu,haya tunangoja yako
@olicej78376 күн бұрын
😂😂😂😂😂jmn😂😂
@Legends_Interviews6 күн бұрын
Mwanamke muislam hamna ndoa.hapo😂😂😂
@SalmaKenyatta-cn8tg6 күн бұрын
mwanamke kavu hata gotiii kupiga wakt wa kuvishwa pete😮😮😮😮
@RuwaidaMohd-zs4kq6 күн бұрын
Hapana ndoa hapo
@olicej78376 күн бұрын
Kumbe ringo halikuwaga ajaoa 😂😂😂😂
@brendakinenekejo84646 күн бұрын
❤❤❤
@user-fd1zc8gb9z4 күн бұрын
Kuna kitu hamjaelewa bint muislamu Ringo mkristo walijua hilo na ndo mana wakaenda kanisani kwa masanja wote comedy so Kila unachokiona hapo ni maigizo tu .
@user-qr7et3vl5z4 күн бұрын
Hapa hakuna ndoaa kwa mujibu was dini ya kiiislam
@BintiNyembo-vs2ur6 күн бұрын
Ikawe ya herii MUNGU hawaongoze ktk safari yenu ya ndoa
@KhadijaDija-ir2hq6 күн бұрын
Biharusi hana furaha huenda familia haipo radhii 😢😢kuna pesa na mapenzi sijui yeye ndugu yetu zakia kafata nini😢😢
@mwanaidyibrahim19136 күн бұрын
Nahisi tatizo dini
@Namtumbo6 күн бұрын
Wameishi miaka 6 ,wacha waoane
@Legends_Interviews6 күн бұрын
Hapana haruc hapa😅😅😅
@cipladapretty86176 күн бұрын
Kwa masanja eeee😂
@abcdoman87396 күн бұрын
Ringo hana mwanamke hapo nawapa muda mchache tu
@olicej78376 күн бұрын
Kwanini unasema ivo 😮
@safiunamugen74766 күн бұрын
Ombea wenzako ndoa yenye heri wacha wivu
@MashamwakindanguAbdallah6 күн бұрын
Ni kwel Mimi niliona hiyo dalili tangu anavalishwa Pete bi harus harus Hana furaha
@PaulinaOctavian6 күн бұрын
Acheni umbea fanyeni yenu😂
@ZainabAbdullah-bc6pu6 күн бұрын
Unajua washaishi miaka mingapi hata useme hivo
@safiunamugen74766 күн бұрын
Hongereni sana
@user-oo2ed4pi8b6 күн бұрын
Hivi nikweli
@FatumaKibona-zs9uq6 күн бұрын
Masanja unanifurahisha sann
@user-jm5wp8ez8f6 күн бұрын
Hata mm yan😂😂😂😂
@ALNOORTVZANZIBAR6 күн бұрын
KWAMUJIBU WA JINA LA MWANAMKE NI MUISLAM KWA MUJIBU WA DINI YA KIISLAM HAISIHI NDOA YA WASIO WAISLAM ISPOKUA WOTE WASILIMU AU WAWE WAKRISTO
@user-hy9pp5rp9i6 күн бұрын
Ringo angekuwa muislam bas ndoa ingesihimwanamke mkiristo kutolewa na muislam inaruhusiwakwa dini yakiislam
@ruqiyanasir71415 күн бұрын
Kiukweli ni mtihani sijuwi kwanini siye binaadamu waleo hatuna hafu ya Allah tuna mkoseya sana Allah kwatama ndizo zilizo tujaa ndaniya nyoyo zetu sijuwi tutakapo rundi kwake tutakuwa na kipi cha kumjibu doo mtihan yaa Allah tupe mwisho mwema
@StellaMwasha5 күн бұрын
Sa mbona majina ya mwanamke ndo hayo ya kiislamu kanisani au inaruhusiwa
@ALNOORTVZANZIBAR5 күн бұрын
@@StellaMwasha WANASEMA AMERITADI
@ALNOORTVZANZIBAR5 күн бұрын
@@ruqiyanasir7141 KARITADI MWANAMKE
@JamilaShabani-oj9rt6 күн бұрын
Hongereni ❤❤❤❤
@user-fd1zc8gb9z4 күн бұрын
Kuna kitu hamjaelewa bint muislamu Ringo mkristo walijua hilo na ndo mana wakaenda kanisani kwa masanja wote comedy so Kila unachokiona hapo ni maigizo tu .
@OmanOman-ns3iw6 күн бұрын
Mbona amefunga ndoa yakikri sto alafu amepaka hina