No video

RIYAMA ALLY: AMWAGA MACHOZI MBELE YA MUME WAKE KUTOPATA MTOTO!

  Рет қаралды 539,149

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

RIYAMA ALLY: AMWAGA MACHOZI MBELE YA MUME WAKE KUTOPATA MTOTO!
Katika kipindi cha Bongo 255 cha Global Radio, Mwanamuziki wa Hip Hop, Leo Mystereo na mkewe ambaye ni muigizaji, Riyama Ally, wamefunguka kuhusiana na maisha yao ya kazi wakiwa wanandoa, kuanzia walipoanzia mpaka sasa...
www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App:

Пікірлер: 820
@luciaerio8734
@luciaerio8734 4 жыл бұрын
Usilie mwanangu Mungu ukimuomba utapata watoto.Karibu ukutane na Mungu kupitia Mtumish wake Mwamposa kawe.Amen.
@mamrashid7257
@mamrashid7257 5 жыл бұрын
Nakupenda sana riyama mpz nafikiri kweli machozi yamenitoka oh.wewe kiboko
@princessaidal1130
@princessaidal1130 5 жыл бұрын
Mwenzangu si machozi yakanitoka kwa kumuonea huruma Riyama nikijua nikweli kumbe alikua anaigiza log! I love you so verymuch Riyama😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
@prisilakapinga3781
@prisilakapinga3781 5 жыл бұрын
Ahaaaaa!!!! Kumbe tuko wengi
@qwervcvh202
@qwervcvh202 5 жыл бұрын
Riama uko vzr jmn umefata sunna miaka 40 masha allah mungu awajalie mdumu kwenye ndoa ynu
@kessynurutajiri3075
@kessynurutajiri3075 5 жыл бұрын
Auntie Riyamaally nimekupenda kwa ukweli wako kwa kutaka umri wako. Kuna wssanii wengine wengi wanaficha umri wao. Lkn pili kuwa na huyo Mumeo hakuna cha ajabu midhali mna nyote mna mapenzi ya dhati. Mtume Muhammad (SAW) akiwa na umri wa miaka 25, alimwoa bi Khadija yy akiwa na miaka 40 na maisha yakasonga kama kawaida. Hatimaye Rabbi aliwajaalia Uzazi. Usikate tamaa endeleeni kushikamana ktk kamba ya Upendo na Dua, inshaallah mtavuka vigingi vyote. Big up Riyama.
@zaitunisudi3022
@zaitunisudi3022 5 жыл бұрын
Salama yako Lio🤔🤔nnakuja mbio nliona ni ukweli🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️I love Rihama Allah awajaalie kila la kheri🙏🏽
@nancynyaga7675
@nancynyaga7675 5 жыл бұрын
Waw much love Riyama Ally. Mimi mkenya napenda kukutazama kwenye huba channel 160.
@zinaibrahim7004
@zinaibrahim7004 5 жыл бұрын
mashaallah biga pu 👌👌nime kupenda san mamy mwenyezi mungu akufanyie wepes upate mtoto in sha Allah
@peninabita3732
@peninabita3732 5 жыл бұрын
She made me cry guys dha nakupenda dah Riyama I don't know if I should call you Aunty or?
@NonoNono-qp3zu
@NonoNono-qp3zu 5 жыл бұрын
Mungu atawajaalia mtoto, na mkizaa mtazaa mtoto mzuri sana riyama ww ni mrembo na mumeo ni handsome sana.
@salhanassor622
@salhanassor622 5 жыл бұрын
Ambae nayeye acting ya riyama imempa hisia kama mim gonga like tujuane..
@halimaissa7577
@halimaissa7577 5 жыл бұрын
wako vizuri 😂😂
@rukiarashid2581
@rukiarashid2581 5 жыл бұрын
anajiamu riyama
@lareineminah1353
@lareineminah1353 5 жыл бұрын
Niliona mtu ka post kile kipande nika liya nika hisi ni kweli 😭😭😭
@salhanassor622
@salhanassor622 5 жыл бұрын
@@halimaissa7577 sana tu.. yani ni mfano wakuigwa
@salhanassor622
@salhanassor622 5 жыл бұрын
@@lareineminah1353 yani mim nimejua kama ni acting lakin imenitoa machozi
@mpenzujaneth7119
@mpenzujaneth7119 5 жыл бұрын
Nakupenda sana Riyama. Umri namba tu, kikubwa maelewano na mapenzi ya dhati
@sinyatithomas7717
@sinyatithomas7717 5 жыл бұрын
Yaani Riyama umenitoa machozi yote coz iko emotional sana,nakupendaga sana mamiii💘
@bijumakassim3697
@bijumakassim3697 5 жыл бұрын
Riyama jamami nime skia kulia wallah uko sawa sana..pendaneni jamani mapenzi haya changui umri..umri number tu...Allah awajalie maelewano na muzidi kupendana daima dawamu inshaallah.
@jamesshao538
@jamesshao538 5 жыл бұрын
Riyama is super talented woman in Tz .Hii couple nimeipenda that's beautiful
@humoudymahmoudy3389
@humoudymahmoudy3389 5 жыл бұрын
Riyama Unaweza Kwakweli kipaji Allah kakujaalia, Allah akufungulie upate mtoto na lio,,, Amin,,,, kweli hicho kipande kimegusa hasa uhalisia
@dottnatta310
@dottnatta310 5 жыл бұрын
Amiin
@maggieandrew9228
@maggieandrew9228 5 жыл бұрын
Kwel kabisaaa
@makrinaanselmi7095
@makrinaanselmi7095 5 жыл бұрын
jaman unaweza
@humoudymahmoudy3389
@humoudymahmoudy3389 5 жыл бұрын
Yaaan kama wapenzi wote wangelikua hivi duniani kusingekua na usaliti
@mwansitiyussuf568
@mwansitiyussuf568 4 жыл бұрын
Pole,sana,riama,
@nurumahsein8645
@nurumahsein8645 5 жыл бұрын
yaani nawapenda mumeniwacha hoi kwa hii movie..Hahahahaa Allah awape maskizano..Dada riyama Nakupendaaa.😍❤❤❤
@kibongobongo4608
@kibongobongo4608 5 жыл бұрын
Sijui Hawa wasanii wengine wanakoseaga wapi yaani Allah awalinde na mahasidi na fitna za watu mpendane mpaka mzikane
@sylviah9666
@sylviah9666 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Amen
@inthekitchenwithchefdom4015
@inthekitchenwithchefdom4015 5 жыл бұрын
Woooooow that was a little sad then Nika smile woooow that's rilly love😂🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️🌹♥️
@angelmashauri6961
@angelmashauri6961 5 жыл бұрын
Riyama nakukubali sana toka kitambo, uko vizuriii!...penda sana wewe. Mungu akujaalie hitaji la moyo wako inshaallah!
@zainabmkomwa3313
@zainabmkomwa3313 5 жыл бұрын
Kiukweli mnapendana jaman Allah awajaalie furah masikilizano n aman ktk ndoa yenu In Shaa Allah
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 5 жыл бұрын
Ameen hawa watu wanapendana sana
@simuyangu1356
@simuyangu1356 5 жыл бұрын
Wee umeolewa
@zainabmkomwa3313
@zainabmkomwa3313 5 жыл бұрын
@@simuyangu1356 hapana bado
@zainabmkomwa3313
@zainabmkomwa3313 5 жыл бұрын
@@najmasalimsalim2741 hakika my
@simuyangu1356
@simuyangu1356 5 жыл бұрын
@@zainabmkomwa3313 una hofu ya mungu...ukija kuolewa utakuwa kama huyu huyu dada...kwa jinsi ulivyomsemea bila wivu
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 5 жыл бұрын
miss you rihama wapi ma latest! lovely couple 🙏💓 always
@hawaali8107
@hawaali8107 5 жыл бұрын
Riama nakupongeza mtt wa kizsnj wangazija hatuna mbaya mtt.wa kisk huyo😘😘
@xkingx8041
@xkingx8041 5 жыл бұрын
Uko vizuri my dada Rihanna wanguuuuuuuu👌👌💪💪💪💪💪💪
@agnesngowi2856
@agnesngowi2856 5 жыл бұрын
Hadi nimelia
@bikailamhando5969
@bikailamhando5969 5 жыл бұрын
Kibokoooooo nimeipenda sanaaa nimejikuta nalia nakupenda liama ali
@riyamaallydamwani8084
@riyamaallydamwani8084 5 жыл бұрын
AMIN 🤲 KWA DUWA ZENU ISHALAH ZIKAWE BARAKA NA ZENYE KUPOKELEWA NA ALLAH 🤲🤲🤲
@gibsonmzuma3691
@gibsonmzuma3691 5 жыл бұрын
Riyama Ally Damwani Nilianza kukukubali since ulipotoka kama "Mama Majuto" kama kumbukumbu zangu ziko vizuri.
@swaumsheh6170
@swaumsheh6170 5 жыл бұрын
Mungu atakujalia dada angu utafka mbali na meji ndoa yenu iwe ya kheri inshaallah my dada love uu😘😘
@yusterelias8768
@yusterelias8768 4 жыл бұрын
ujali dia utapata bado mapema
@shiflahabdallah5429
@shiflahabdallah5429 4 жыл бұрын
Nakupenda liyama
@aminasalum1954
@aminasalum1954 4 жыл бұрын
Mtot siunaye bibie ucjali utapata in shaa ALLAH
@wizyjunior5771
@wizyjunior5771 5 жыл бұрын
The best of all time riyama ally
@batuliwanjallah5482
@batuliwanjallah5482 4 жыл бұрын
Hii Yao ni mapenzi ya kikweli kweli wallahy... 💞💕🤩❣️💖
@gracesinda7187
@gracesinda7187 4 жыл бұрын
Riyama nakupenda sana we dada Allah akulindie mumeo na mwanao na we pia
@preciouspeter6126
@preciouspeter6126 5 жыл бұрын
She is adorable 💓
@hafawaahmedin4051
@hafawaahmedin4051 4 жыл бұрын
Mama mdogo wangu mgazija mwenzangu hongera sanaaa mama mdogo wangu nakupenda sanaaa jinsi unavyo fanya movies zako ❤️❤️❤️❤️
@neemanaulati4801
@neemanaulati4801 5 жыл бұрын
Jamani ! naipenda ndoa Hiii kweli Mungu awajalie mudumu, msiachane tafadhali shetani akija kuwatenganisha ashindwe kabisa. mnapendezea saana no matter what. bebeaneni katika shida na raha. Nimejiskia kulia kama vile kweli kumbe umeigiza tu
@nasrenasry4392
@nasrenasry4392 5 жыл бұрын
Allah awsjalie amani
@nasrenasry4392
@nasrenasry4392 5 жыл бұрын
InshAALLAH
@nasrenasry4392
@nasrenasry4392 5 жыл бұрын
Mbak nimechapia
@jacklinejonas5096
@jacklinejonas5096 4 жыл бұрын
Mama kipaji n kipaj2 nakupenda sana❤❤❤ nakubaliiii rayamaaaaaa wanguuu
@saidymkonga7685
@saidymkonga7685 5 жыл бұрын
Usijali Dada yangu,mungu atakulinda were pamoja na usagara yetu uishi maisha marefu..
@lillianalillie3018
@lillianalillie3018 5 жыл бұрын
Kumbe it was acting..I thought it was real crying🤣🤣🤣🤣Mungu abarikiwe familia yenu❤❤❤
@dianamwitula9970
@dianamwitula9970 5 жыл бұрын
Nakupenda bureeee we dada
@lillianalillie3018
@lillianalillie3018 5 жыл бұрын
@@dianamwitula9970 nakupenda pia
@asmaafamau8307
@asmaafamau8307 5 жыл бұрын
Mashaallah mngu awape maskizano na Kuzidishie kipaji da riama na mmeo
@zuhramwanga9768
@zuhramwanga9768 5 жыл бұрын
Wow so amazing jah blessing all
@ashamniga8515
@ashamniga8515 5 жыл бұрын
nakupenda sana riyama uko ju ju ju sana mungu akubaliki na mumeo muishi kwa upendo miaka 1000000
@dangotesam9845
@dangotesam9845 5 жыл бұрын
The best actress I've ever 'met'!! 🙌🙌
@vailetatilio2493
@vailetatilio2493 5 жыл бұрын
Amani ya ndoa yenu👏👏👏
@maryamisa9743
@maryamisa9743 5 жыл бұрын
Riyama umenitoa machozi penda sana mungu awaongoze kwa maisha yenu muombeni mungu kwa Kila jambo Kila hatua my loves mwaaaaaa
@ntakirutimanaali6885
@ntakirutimanaali6885 4 жыл бұрын
Allah awazidishie mapenzi,na awadumishie mapenzi yenu.....same story did happen for me ,till now I'm still in .....from Buja right now in South A
@asiahmariam3942
@asiahmariam3942 5 жыл бұрын
Mmetisha sana rihama na mumewe, nimewapenda ajabu
@moshiraelqady9513
@moshiraelqady9513 4 жыл бұрын
Wallah me nakupenda ww dada allah akujaalie umli mlefu
@monicamichael8119
@monicamichael8119 5 жыл бұрын
Duuh jamni mpkan nimecheka😀😀😀nikajua kwel kwel riam anajua kuigiza uwiiii😘😘😘
@marykibwana9413
@marykibwana9413 5 жыл бұрын
Riyama mm ni mtu mzima na napenda sana acting yako. Yani scene ya muda mfupi na fupi hivyo lkn umeiweza. Tuirefushe tuitengenezee full Movie "big up"
@fettymussa5932
@fettymussa5932 5 жыл бұрын
Waooh riyama nakupend
@edresallrab85
@edresallrab85 5 жыл бұрын
Adi Raha da yng mungu awajaalie hvyo hvyo awaondoshee khusda mashaa Allah
@zahramobne7807
@zahramobne7807 5 жыл бұрын
Jamani umeniurumisha sana Allah atakujalia upate mtoto Ameen
@ladymashaallahilikeuaadvis997
@ladymashaallahilikeuaadvis997 5 жыл бұрын
ALLAH awaongoze kwenye ndoa yenu, dada riyama nawapenda sanaa
@naimaalkiyumi2273
@naimaalkiyumi2273 3 жыл бұрын
Riyama mama hongera hakuna anaekufikia hongera saaaana Barikiwaaaa😘
@mariyaal5366
@mariyaal5366 4 жыл бұрын
Waoo kumbe Riyama dada angu nilifikiri nakuzidi umri kumbe umenizidi wewe Mashalah una mwili mzuri sura kabby fece
@ndayisengafrorence8461
@ndayisengafrorence8461 5 жыл бұрын
Mungu akupe mtoto Riyama amin Mungu ashindwi na chochote amekupatia mme bora kwa nn akunyime mtoto inshaallah Allah awanilindie nawapenda saana💞
@pilimateleka5111
@pilimateleka5111 5 жыл бұрын
Yaan da riyama..Allah akuweke na mumeo. Nawapenda coz mnapendana na ni wakweli.
@harrietcarlyvwah6087
@harrietcarlyvwah6087 2 жыл бұрын
i love this couple....more blessings. Riyama my favourite
@adeleshabani970
@adeleshabani970 5 жыл бұрын
Nawapenda sana my favorite couple ❤
@zulfamaulidyesnikwelikabis6555
@zulfamaulidyesnikwelikabis6555 4 жыл бұрын
Love you dada riyama pamoja nashemeji mmwaah
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 5 жыл бұрын
Mashallah mungu awape wepesi wa maitaji yenu inshaal
@bucumidelphine2299
@bucumidelphine2299 5 жыл бұрын
uy mwanamke nampenda bureeee mweee anajiheshimu sio kama wale wakina faidha na wakuna irene uwoya.Mama Mungu akulindie familia yako mama love u so much
@zahorosangaga104
@zahorosangaga104 5 жыл бұрын
Aaaa hakiamungu kua na mwanamke muigizaji ni shida aisee sasa hapo utajuaje kama anakupenda kweli au yupo kazini!!!
@ethelkatambala1659
@ethelkatambala1659 5 жыл бұрын
Hahahahaaaa hilo nalo neno kaka
@johnmarcelino5518
@johnmarcelino5518 5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@minjaminjaukovizurdogo5187
@minjaminjaukovizurdogo5187 5 жыл бұрын
Hahahaaa
@philipofrances6320
@philipofrances6320 5 жыл бұрын
Zahoro Sangaga 😱😱😲
@aseraadrian5717
@aseraadrian5717 5 жыл бұрын
Philipo Frances kweli umenvunja mbavu maaana
@lareinemere1329
@lareinemere1329 5 жыл бұрын
Omg I have goosebumps she’s really actresses 🤣🤣🤣
@annaishebabi4940
@annaishebabi4940 5 жыл бұрын
it's good to loved ...love is so good...love you
@shamixxvick380
@shamixxvick380 7 күн бұрын
Nakupenda sana sana Riyama😅 unaigiza vizuri kidogo niliye etii
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 4 жыл бұрын
Riyamaaaaaaaaaaaaa mashallah mambo nimotooooooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 NimewPendeni saaaaaaaanaaaa
@naimasaid7763
@naimasaid7763 5 жыл бұрын
Kwenye kubembeleza hapo rio kafeli, kabembeleza tu juu juu, ubembelezaje unahitaji utulivu, ila silaumu maana mpo studio, ila riyama hapo hakuekti bali kalia kwa kitu kilichokuwepo kwake, hongera sana riyama siachi kukupenda wa ukae miyangu
@ameniameni617
@ameniameni617 5 жыл бұрын
Mungu awabariki Sana mzidi kupendana kumbe umli sio tatizo
@sophiasimule2182
@sophiasimule2182 5 жыл бұрын
Dah so Awesome 😁😁l love her 💕
@najma3268
@najma3268 5 жыл бұрын
Rihama ww ni mwanamke na nusu , yaan kipaji chako ni zaid jaman 👏👏👏
@teddymahawe670
@teddymahawe670 4 жыл бұрын
My super women😍😍😍all time best actress Ryama Ally😘😘😘
@tanzaliyaoman471
@tanzaliyaoman471 5 жыл бұрын
Duuh dariyama umetisha sn nawapenda sn mungu awape furaha maishan mwenu
@sofiaahmed8880
@sofiaahmed8880 5 жыл бұрын
Love you dada Riyama!
@yusragundia5089
@yusragundia5089 5 жыл бұрын
Kwa kweli hii couple ndio naikubali wanaheshimiana sn
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 5 жыл бұрын
Kama ulikua kwa akili yangu vile nilitaka kuandika kama hivi aisee minawakubali sana
@NYAKANAZITVOfficial
@NYAKANAZITVOfficial 5 жыл бұрын
Yusra Gundia
@judithsimeon7403
@judithsimeon7403 5 жыл бұрын
Hahaaaaa Riama we kiboko
@ramlazataf7870
@ramlazataf7870 4 жыл бұрын
Walah you make me cry inshallah nitakuombea na utapata
@vailetmapunda106
@vailetmapunda106 5 жыл бұрын
Nawapenda sana hawa watu hawana makuu wenyewe wanapendana utasema ndege hd raha,mungu azidi kuwapigania kwnye ndoa yao na kl jambo walifanyalo likafanikiwe.
@elarifmohamed5681
@elarifmohamed5681 5 жыл бұрын
Riama vraiment tu bon acteur dieux à ton bénis à vec ton famille inchaalah
@patrickalimasi6461
@patrickalimasi6461 Жыл бұрын
heeeeh tu es une bonne actrice qu Dieu te benis avec ta famille
@rehemamwakamogile857
@rehemamwakamogile857 5 жыл бұрын
Cut cut cut 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@dsouzamaguno7006
@dsouzamaguno7006 5 жыл бұрын
Daima Sibadili Msimamo Juu ya Kauli Yangu,Hakuna Msanii Wakike Tanzania Hii kama Riyama. Watajaribu sana lakini Utabaki kuwa Namba Moja Dada
@cesarinebahati1832
@cesarinebahati1832 4 жыл бұрын
Dada yangu pole Sana unanitia huruma Sana kweli Mungu yupo mom na bado anakupenda mom jipe moyo dada yangu Mimi nakupenda Sana Tena Sana
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 5 жыл бұрын
Diana nilisemwa sana mimi mpaka fulani na ndugu mpaka marafiki niliitwa tasa lakini baada nikapata mtoto walibaki midomo wazi .pendaneni umri sio lazima Ex Kanzeler wa ujerumani anamiaka karibu 79 sholder Kanonade mkorea wa 30years🤷‍♀️🤷‍♀️
@salumsalum1077
@salumsalum1077 4 жыл бұрын
mashallah, nakupenda sana mama
@nessa4899
@nessa4899 5 жыл бұрын
Huyu mume wa riya, alilelewa vizuri na mama yake.
@cyberchannel1833
@cyberchannel1833 5 жыл бұрын
mume wake hakika niwakipekee sana... niwachache saana hawa
@aminamwangile1047
@aminamwangile1047 5 жыл бұрын
Saved Jackson sanaaaaaa nimeipenda
@jamilahathuman7651
@jamilahathuman7651 4 жыл бұрын
Saved Jackson f
@joanahtestimony794
@joanahtestimony794 5 жыл бұрын
Love is beautiful 💝
@paulinaphilipo4485
@paulinaphilipo4485 5 жыл бұрын
Hongera mama mungu awajarie upendo zaidi
@marianainyasi2274
@marianainyasi2274 5 жыл бұрын
hongeraaa kwa kwel
@rosehaule6765
@rosehaule6765 2 жыл бұрын
Nakupenda mashalah 💋♥️
@husnahlaazizmohammed7397
@husnahlaazizmohammed7397 5 жыл бұрын
Nimewapenda bure wallahi 👌♥️
@jemcyzury1945
@jemcyzury1945 5 жыл бұрын
💕💕💕
@rosemaiko9405
@rosemaiko9405 4 жыл бұрын
Hata mm
@allymohamedi991
@allymohamedi991 5 жыл бұрын
hapana nimeshindwa endlea kutizama daah yaliza you are the best actor in my head
@ireneshawa7496
@ireneshawa7496 3 жыл бұрын
Chezea riyamma ww 😘😘
@GADITV
@GADITV 5 жыл бұрын
Hongereni....nimeona ubunifu hapa
@rosejoseph9378
@rosejoseph9378 5 жыл бұрын
Wacha weeeee riyama na lio mmetisha Mungu azidi kuwasimamia kwenye mahusiano yenu
@merysamwel3100
@merysamwel3100 5 жыл бұрын
Love this lady
@mwanatz5980
@mwanatz5980 5 жыл бұрын
Hongereni sana riyama.
@maryamoman5926
@maryamoman5926 5 жыл бұрын
Mashallah riyama👍👍👍👍❤
@dorismamf7404
@dorismamf7404 5 жыл бұрын
Mpka Rahajamani Mungu anijalie namimi nipate mume tutakayeendana
@Gratefulheart3188
@Gratefulheart3188 5 жыл бұрын
Mungu atakupa,nakuombea
@alakomba6830
@alakomba6830 4 жыл бұрын
Nimewapenda Hawa wawili. Namna walivomaliza kilio, simple and easy
@hafsasuleiman9449
@hafsasuleiman9449 3 жыл бұрын
Woooow nice
@juliusbalama5836
@juliusbalama5836 2 жыл бұрын
Mimi huyu kwanngu huwa ni best actor of all time aiseh!
@mybentearther9206
@mybentearther9206 5 жыл бұрын
Hadi raha..mapenzi mazuri ni ya kuekana wazi(ukweli)Allah awatunzee😘😘
@asiabushiri7566
@asiabushiri7566 3 жыл бұрын
Manshallah kila la heri na mwisho mwema inshallah
@fatimajuma3330
@fatimajuma3330 2 жыл бұрын
Nakupenda Riayama na lio
@latifamkulazi8378
@latifamkulazi8378 5 жыл бұрын
Jarribu kuchemsha mzizi wa mtu wa maboga kunywa kutwa Mar mbili siku 3 had 7 huwenda Allah atakufanyia wepesi inshaallah mungu awajalie mzidi kupendana Kaka Lio mvumilie dadaetu jamani unajua mungu humpa mtoto amtakae.hapommepewa mitihani na kumbuka pia mitihan nikipimo cha Iman innallaha maswabireen
@rahmamwakawago3344
@rahmamwakawago3344 4 жыл бұрын
Mungu awajalie
@annjulie570
@annjulie570 5 жыл бұрын
Rihana wacha kulia lio anakupenda sana awezi kukucheat trust lio he love you so much kiss lio
@najdafarid8543
@najdafarid8543 5 жыл бұрын
Watu na kazi zao
Salama Na RIYAMA Ep 32 | UTAKWENDA UTARUDI Part 1
34:34
YahStoneTown
Рет қаралды 180 М.
RIYAMA NA MUME WAKE WAFANYA YAO LIVE KWEUPE REDIONI TAZAMA.
16:49
TimesFMTZ
Рет қаралды 2,4 МЛН
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 6 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 28 МЛН
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 41 МЛН
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 27 МЛН
Mwanaume Akiomba Andazi Anapewa By Mariam Migomba | Kitchen Party Online
5:14
Kitchen Party Online
Рет қаралды 4,6 М.
Boss Martha kwenye stage. Final Edition| CHEKA TU.
6:55
Cheka tu
Рет қаралды 1 МЛН
FULL INTERVIEW MKE WA MZEE YUSUPH,KIFO CHA MKE MDOGO,KUACHA MZIKI
47:22
ReyTox Pro Network
Рет қаралды 41 М.
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 6 МЛН