MTANGANZAJI tangu uanze kuvaa hayo mavazi channel inaonekana yakiheshimiwa. ❤ Unapendeza sana na unaendana na kuhoji mtu yeyote wa makamu yoyote. 🤝 HONGERA KWA HILO
@dadaamwazewe12997 күн бұрын
Kwakwel RK UPO vizur kikazi napia niwengi sana wanaokutaman kua mumewe au mumewao😂 wangap wanakubaliana na mimi like nzikute chin❤❤❤😂
@AnnsoilaTanni3 күн бұрын
Mungu akuzidishie kipaji chako kaka nakupeda bure ❤❤❤
@SaraphinaMagova5 күн бұрын
Rk unaweza piah unajuwa sana kudekeza I love you kwa kipaji chako
@user-yb6wh1bk9dКүн бұрын
Hongera kwa kipaji kizuri ila mnanikera boss mchawi imalizieni
@NikoleAgustКүн бұрын
Sauti ya rk n nzur sana inavuta hisia za watazamaji❤❤❤❤
@user-fu2uq4lx8h2 күн бұрын
Hongera sana Rk nakupenda pi
@GathonieJian2 күн бұрын
Unaweza sana kaka mupore❤
@ZacayoКүн бұрын
Nakubali saana Chanel yenu
@user-oy4ew3tp6r8 күн бұрын
Mm nakukubali sana na hiyo sauti yako bro tukiongeza na venye unajua mambo na penzi akika noma sana we appreciate you from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤
@user-bl6rd4pq4k7 күн бұрын
Rk hongera sanaaa kwa kuzaliwa siku ya leo🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MohdNassib-wr3ky8 күн бұрын
Hongela sana R.k kumba ndio sait yako wao❤🇹🇿
@sheddymusiq78118 күн бұрын
No.1 tokea kenya...namkubali saana Rk #wronghouse
@user-hf7pk2lx4v3 күн бұрын
Hongera sana rk
@SaraphinaMagova5 күн бұрын
Kinachovutia kwa rk ni upole wake na sauti na yupo romatick
@bupemtafya16865 күн бұрын
Hbd Rk uishi sana,kazi zako ni njema na Zina mafundishi mazuri
@RashidaShaibu-r6z2 күн бұрын
Love for R.k❤❤❤❤❤
@sarahmmbone4 күн бұрын
Mzuri Kwa movie let me tell u Maina Kwa ground vitu ni different🙌🥰
@ChristelleJolly-o3n3 күн бұрын
Mungu akuzidisheye Rk❤
@Rosemary-yw8xj3 күн бұрын
Mungu awe nawe❤❤❤❤❤
@Aisha-ld3ol2 күн бұрын
Safi🎉❤ rk
@user-yb6wh1bk9dКүн бұрын
Kwanini boss mchawi hamuiendelezi jamani
@RahmaNino-tz6kw8 күн бұрын
Jamani Mimi saut tuu ndo hua inanikosh
@narutonaruto43038 күн бұрын
yan huy 2 hat kipofu atamkubali ach njis alivyo mashallah ach tukugombanie umejaaliwa kila kit
@user-chungamali8 күн бұрын
Liñah from Kenya 🇰🇪🇰🇪mm kinacho nifuraisha ni sauti yake.na upole 😂😂 na Ako one GB.i love you ♥️♥️
@MosesMISAGO8 күн бұрын
Wa 2 natokea Burundi likes zangu
@user-ut2hy2ug8t2 күн бұрын
Kunyenye na kuokea na kuonea mtu huruma Sana ataki kuona ukiwana shinda hana uokolesha na poa
@user-kg6gh1tf2y2 күн бұрын
Kwani RK akiwa kwA movie na akiwa kwA mahojiano huwA habadilishi Ascent yake
@MomadeMudimoz70-cs2ud7 күн бұрын
Nakukubali 🔥🔥🔥🔥🔥👊👊👊👊
@RasabaBoy-wm1cj23 сағат бұрын
nbona mtangazaji unajitoa wakati tunakuona kabisa
@user-uo4gu1kk2z7 күн бұрын
Mwambie awe anatupatia wrong house mara 2 au 3 kwa week tunaipenda kinoma❤❤❤
@AsiaOmar-mr7bk6 күн бұрын
Mungu akupe maisha marefu yenye amani na afya njema uzidi kutuburudisha mashabiki zako
@user-vz5ti5ot8u8 күн бұрын
Ata kama angekua n ww usingeacha mtoto kapanda hewan mweus,mwendo wake2 aaaaah we
@merinazyd05327 күн бұрын
Huyo mtangazaji mwenyewe tu amesha mpenda 😂😂😂😂😂😂😂
@MomadeMudimoz70-cs2ud7 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@amidabukuru6 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@user-tt5iz2uq8e5 күн бұрын
kumbe na ww umeona amemupenda ee
@user-pt2xv1te6x3 күн бұрын
😂😂😂😂
@merinazyd05327 күн бұрын
Mtangazaji acha ushamba party inafanyika kwa upande wa mwanamke na mwanaume kwa mtu yeyote yule anafanya part
@DicksonRaphael-j4y5 күн бұрын
Uko viziri sana mkerewe nakukubali
@amidabukuru6 күн бұрын
Natokea France nakubali movie za RK
@user-yg9kg9sz8h7 күн бұрын
Huyu dada nampenda sana jamani ambae ana namba yake ya simu naomba tafadhali anipatie
@abcdoman87398 күн бұрын
Mwambie atumali zie siri ya huba
@maryamtanzania97437 күн бұрын
Hata mimi napenda kwa kweli alivo anajua kudekeza
@RithaOmari-np8je7 күн бұрын
Happy birthday 🎉
@Kimwana2557 күн бұрын
Nimesoma comment apa nikaona adi mamaangu mdogo anasema anakupenda 😂😂 cha nitoke sije nikapewa laana 😂 shikamoo baba😂😂
@user-bq3np7gt3z5 күн бұрын
😂😂😂
@user-wp6xp2xy5y7 күн бұрын
Nikweli unachoongea rk😃😃
@ohanabinwa10227 күн бұрын
Birthday niyawatu wote, wakike na wakiwume wala siyo utoto.
@AllyBabu-kr6lg8 күн бұрын
Nyie rukeni rukeni ila akuna wa kubato na clam vevo ata kutoboa kwa wengi wanaiga kwa kwa clam
@user-bl6rd4pq4k7 күн бұрын
We nae unaleta habari za clam hapa umeulizwa uwe msataarabu ya rk umpe rk na clam uyapeleke kwa clam
@ibrahimaden43688 күн бұрын
Bakh
@amidabukuru6 күн бұрын
Wrong house awe anatuwekea mara 2
@OscaThomas-vq5qi6 күн бұрын
Good
@user-wl8fg8ne1f6 күн бұрын
Rk ni jembe 💪💪💪
@asiamnayahe79147 күн бұрын
RK Siri ya huba vipi mbn imepoa
@saidiadam13666 күн бұрын
❤❤❤❤
@S-kay-tz8 күн бұрын
kzfaq.info/get/bejne/jbR3htZzyr_DpIU.htmlsi=GC552P8kI5tFRbjU Kula nyimbo ya rk hii
@user-tt5iz2uq8e5 күн бұрын
kwakwer RK mm nimekupenda san natamani uwe baba watoto wangu daaa