Wanazingua sana hao wanakaa week nzima wanatoa ep inadak kumi na moja11 washaa anza kufanya watakavyo hawaskiliz mashabik
@RaimamomedSaidi-wz1yu8 күн бұрын
Uwongo unajua nn fremanson msanii mzima usijue frimanson ww?ila ulivo unavotowa filam unakua sirias sana haifananii nakuvaa urembo kaka,na pia usanii usikufanye ukabadilika iman,hapo ni 2 kuwa mchawi kwel au kuwa shoga maana mwanaume havai urembo huo kaka unaturejesha nyuma kuamin kazi zako.wakat tunakupenda sana.
@Mushalotelevisionkiswahili7 күн бұрын
Host amezama kwa maswali yasiyo muhimu kuliko kutufanya watazamaji tumfahamu boss mchawi
@Berenaldo772 күн бұрын
HUYU MWAMBA NI BONGE LA MSANII OYAAAEEEEE UNAPITA _"+MULEMULE+"😂😂😂❤❤
@FundiAyo8 күн бұрын
Mbona haumulizi maswali ya umuhimu mulize boss mchawi season2 inakuja lini
Na huwez sema hujui freemason ni nin halafu umeigiza uhusika wa freemason hapo ni uongo lazima uigize kitu ambacho una Idea nacho saw tu na kuigiza mapenz lazima uwe unajua mapenz ni kitu gan!!
@IBRAHIMMAKWETAMOPAO7 күн бұрын
yaaan uyu jamaaa anatisha ata apo me naweza kumuogopa
@zakariawilliam-38166 күн бұрын
Boss mchawi hongera Sana brother 😂
@JescaCollins3 күн бұрын
Weee asitudanganye
@JASTINMTEWA-vn9pl8 күн бұрын
Aseme 😂😂😂😂 Dada unajiamini sana
@anointedfrederick2 күн бұрын
Dah! huyu jamaa anatisha
@user-fe9jc5di9f7 күн бұрын
Penye ukweli uongo hujificha ila mwenye macho haambiwi tazama
@SandyDee-xc6ok3 күн бұрын
Mm ata nilimuona naogopa jamani😢
@sharkzprince375 күн бұрын
Mie n mkenya napenda kufwatilia filamu zao lakini wanachelewa sana kwanza kazi za RK
@brishkim2 күн бұрын
Nikimpata huyu live nitakimbia mbio 😂😂
@user-vq8cl4vr1v3 күн бұрын
jamaaa kweli anajua kuigiza sana
@user-to1it9hk2z8 күн бұрын
Mwanaume umevaa Urembo....Ina maana wataka upendeze .....????!!!!
@FatmaMohammad-vd3jb4 күн бұрын
Binadamu ukibarikiwa na mungu tuu ushakua frimason mna shida nyie 😅😅
@Arlindo144s28 күн бұрын
Uyo kijana ni chawi wa fremasson
@EmilykuvunaKonzi7 күн бұрын
Nyinyi mwapenda kuekelea watu ujinga 😏
@presenttv11278 күн бұрын
Me huwa navutiwa na urembo wa huyo reporter
@hawamohammed97408 күн бұрын
Huyu jamaa kama shoga stail zake mbona
@willyke22514 күн бұрын
Na venye nimetafuta hii comment
@MichellJohn-zk1hp8 күн бұрын
Kuna Jambo...sio bure....nimeogopa aisee.....alafu vile kazi ya wrong house inasonga tofauti kabisa na vile boss mchawi ilikuwa......ningesema mengi ila ndio hivyo sina lawyer😂😂😂😂
@Mushalotelevisionkiswahili7 күн бұрын
Nalichukia sana hili jamaa
@jajaQueeny2 сағат бұрын
Kwanin jamani 😂😂😂
@EverMassawe-o9c8 күн бұрын
Namuogopa ata nikimkuta live...😂😂
@user-ii1ym5fe7j8 күн бұрын
Wote tusha hona zingin zinatuka ni nzur t na awachelew
@BenMahende8 күн бұрын
Hawasemagi, mnatulia mb za bure
@jorambranchofmud62997 күн бұрын
Hapana huwezi vaa hizo vitu na utudanganye wewe si Freemason
@ABELZAILE8 күн бұрын
hoyo jama anatisha
@user-ii1ym5fe7j8 күн бұрын
Apan mnachelewesh t na inaponza saaana maana tusha hanza kukata tamaa