No video

Roma Ft One Six - Anaitwa Roma (Official Audio)

  Рет қаралды 1,597,977

VIVAROMA

VIVAROMA

Күн бұрын

ROMA Featuring ONE SIX
ANAITWA ROMA
Audio Produced By BEAR BEATZ (KIRI Records) & PRODUCER Zaka
ALL RIGHTS RESERVED.
ROMA #ONESIX #ANAITWAROMA
Now You Know ► • KHALIGRAPH JONES x ROS...
Kibamia ► • Video
HIvi Ama Vile ► • Rostam (Roma & Stamin...
Zimbabwe ► • Roma - Zimbabwe [Offic...
Kaolewa ► • Rostam - Kaolewa (Off...
ParaPanda ► • ROSTAM - PARAPANDA | ...

Пікірлер: 4 300
@delickpesambili8075
@delickpesambili8075 4 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏 Siwachukii wasukuma Najua atanuna najua ya nyuma yatamtia huruma 🤔🤔 gonga like kama umeelewa hilo verse
@abdallamlondani8577
@abdallamlondani8577 4 жыл бұрын
Ukiyakubali haya maneno ya roma nakuamba like yako from USA.
@mwanaharakatimwenyeasiliya3125
@mwanaharakatimwenyeasiliya3125 3 жыл бұрын
Hii ni nomaaaa
@winnietomito7148
@winnietomito7148 2 жыл бұрын
💪💪❤🔥
@juniorjofrey7831
@juniorjofrey7831 4 жыл бұрын
Sijawah kuona mpiga kinanda wa kanisa akitoa sadaka jmn we Roma kweli hakuna wa kukunyamazisha kama umeielewa hii ngoma gonga like kwa wingiiii
@pameladonald3365
@pameladonald3365 4 жыл бұрын
Yani roma nakuombea sana maana umekubari kujitoa sadaka kwajl ya nchi yetu Nakuelewa roma kama unamuelewa Pia gonga like twende sawa
@superarts3334
@superarts3334 4 жыл бұрын
Duh! Roma ni noma. Lisaa limoja watu wamealikana. Mi nimefurumushwa twitter mpaka KZfaq. Yani huu wimbo kesho # 1 kwenye trending hutaamini. Gonga like kama na wewe umeibuliwa kuja kusikiliza huu wimbo.
@amnondickson4737
@amnondickson4737 4 жыл бұрын
Bado roma ft Kigogo
@oscarfabian4202
@oscarfabian4202 4 жыл бұрын
Viva ROMA VIVA ROMA BIMA YA AFYA NI BORA KULIKO NDEGE 🙏🙏🙏🇹🇿 Drop Your like
@mussasaid284
@mussasaid284 4 жыл бұрын
Romaaaa heshima kwako kaka
@danielduniella4875
@danielduniella4875 4 жыл бұрын
Safi sana ngoma iko poa
@sidimshamu7436
@sidimshamu7436 4 жыл бұрын
Kama una mkubali Roma mwana harakati gongo like hapo ching
@stellahjoseph8597
@stellahjoseph8597 4 жыл бұрын
Wamevunja dole LA mwisho wameacha dole LA katiiii daaaa kwel kiumbee hichooo
@romanvalentine5770
@romanvalentine5770 4 жыл бұрын
tishioo huu ndio wa taifaaaaaaaaaaaaa kitaaa hapatoshi jmn wajina big up
@paulfaustin8382
@paulfaustin8382 4 жыл бұрын
dah! nimekuwa wa mwisho kuitazama hii nyimbo, ila kutangulia siyo kufika... naitaji like za roma, awezi kuwachukia wasukuma
@mchinamweus6935
@mchinamweus6935 4 жыл бұрын
tokea nikufaham sijawai kuchoka kukusikiliza Roma Mzee wa halakati💪💪
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 4 жыл бұрын
Roma Mungu akupiganie kwa kuwasemea wanyonge,ungepata wenzako Kama watano undava ungepungua bongo
@tobaramadhani7139
@tobaramadhani7139 4 жыл бұрын
NAMKUBALI SANA ROMA WASANII WENGINE WOTE WAMEFYATA HUYO. NDIO ROMA NAMPONGEZA SANA JAMAA ANAJUA SANA
@djb2kzer0
@djb2kzer0 4 жыл бұрын
1st to hear from Canada 🇨🇦 Gonga like kama uli miss kusikiliza michano yake Roma💪🏾
@gracemalatwe6064
@gracemalatwe6064 4 жыл бұрын
Du ujawah niangusha wangap wanaikubar hii ngoma
@wanamakasa688
@wanamakasa688 4 жыл бұрын
Hi
@mohamedkadinde8247
@mohamedkadinde8247 4 жыл бұрын
Kiboko kimewafika dadeki tunangoja wajifute, mwamba roma umeipaza sauti tulokuwa tunahisi imepotea,saruti kwako
@kelbeckmusicworld1736
@kelbeckmusicworld1736 4 жыл бұрын
Tuishi umo💪
@aloycemwambwiga2318
@aloycemwambwiga2318 4 жыл бұрын
Listening from Ottawa
@athumanbilah5536
@athumanbilah5536 4 жыл бұрын
Hii nyimbo ukikaa vizuri inabonge la ujumbe kama umeelewa hii nyimbo like za kutosha
@barthlomeohaule7156
@barthlomeohaule7156 4 жыл бұрын
VP korosho zamtwala
@athumanbilah5536
@athumanbilah5536 4 жыл бұрын
@@barthlomeohaule7156 hatari
@kulthumyussuf5026
@kulthumyussuf5026 4 жыл бұрын
Daah bonge la ujumbe
@fatumshijja3919
@fatumshijja3919 4 жыл бұрын
asante mungu kwa kuteletea msemaji wetu, wengine tunavipaji vya kulia tu... yanatukaba rohon hatuna pa kuyasemea
@yustinkivamba707
@yustinkivamba707 4 жыл бұрын
Timu Roma twende sawa ,
@tenten921
@tenten921 4 жыл бұрын
R0MA unatetea xana "wafanyakz na wananchi" mungu akubariki sana
@emmanuelkyando2125
@emmanuelkyando2125 4 жыл бұрын
Huyu ndio ROMA MKATOLIKI tulie mzoea👏👏👏
@shekimpelako6791
@shekimpelako6791 4 жыл бұрын
Roma 2020 ugombee uraisi tutakupa maana ww unayajua yao mengi
@bikangaya6091
@bikangaya6091 4 жыл бұрын
Viva roma Mungu akupe maisha marefuuu....tetea haki ya mnyonge kwan Mungu anamakusudi na ww....
@rachelmgonja7347
@rachelmgonja7347 4 жыл бұрын
Daaah iyo ni kifa na kutekwa inauma jmn miungu watu watanzania mpngze roho mbaya kna Mungu
@flovamanmusic3663
@flovamanmusic3663 4 жыл бұрын
hizi ndo ngoma tunazo taka kuskia'' wanaarakati wote gonga ma like kaa zote tujuanee hapa
@hemedramadhani9764
@hemedramadhani9764 4 жыл бұрын
Hizi nyimbo ndo znakufanya tukuite roma
@denniskataraihya5698
@denniskataraihya5698 4 жыл бұрын
Sio nyimbo za ajabu ajabu Mara baba lao sijui nini
@munguanaishitv
@munguanaishitv 4 жыл бұрын
Iaaas
@officialjuguy3921
@officialjuguy3921 4 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/eZ-ToN2Kta-ZhY0.html subscribe my chanel 🙏🙏support music
@starboytzsalim5642
@starboytzsalim5642 4 жыл бұрын
@@munguanaishitv oy kiza
@babamwita8517
@babamwita8517 4 жыл бұрын
Huu wimbo nimeusikiliza zaidi ya mara 20 lakini sijaumaliza. Kila nikifika verse ya pili naanza mwanzo tena yaani kwa jinsi ulivyo mzuri. Haya mashairi ni hatari. This is what we call rap and hip hop.
@justinbieber8668
@justinbieber8668 4 жыл бұрын
BABA MWITA ndo ivo mzee baba
@khamisidiego6790
@khamisidiego6790 4 жыл бұрын
BABA MWITA ni hatari 2pac wabongo viva Roma
@eliasjohn8517
@eliasjohn8517 4 жыл бұрын
Good xanaaa
@fredylucas2484
@fredylucas2484 4 жыл бұрын
Uzuri wa sanaa ukiwa umesoma hakuna unafiki wala uswahili
@alamu2407
@alamu2407 4 жыл бұрын
that Real rap na mix ya Hiphop
@caimedia
@caimedia 4 жыл бұрын
Umenikumbusha wimbo wako wa Tanzania, huu ndiyo mziki wako.. Viva Roma Viva Roma.
@chug1132
@chug1132 Жыл бұрын
Roma hujakoxea viongozi hawataki kukoxelewa wanafanya kaz kwa xifa 👊👊 2023
@carlosmziray3673
@carlosmziray3673 4 жыл бұрын
Huu ndio wimbo wa Taifa kwa sasa💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@hamzamkuu6187
@hamzamkuu6187 4 жыл бұрын
Munga Mziray kabisa
@daudiabradha9472
@daudiabradha9472 4 жыл бұрын
Broo
@alfredyfredrick8955
@alfredyfredrick8955 4 жыл бұрын
HUYU NDIO ROMA TULIO MMISS FOR SO LONG TOKA ZIMBABWE SAUTI YA WANYONGE VIZIWI NA MA BUBU
@muhamesalim166
@muhamesalim166 4 жыл бұрын
Unapiga bomu mochwari dah nishida roma
@jacksonsendama9458
@jacksonsendama9458 4 жыл бұрын
Mbona huu wimbo siumalizi .... Kila nikifika katikati narudisha mwanzo... Aisee we Roma ni balaaaaah unatisha
@ibrahimyusuph6458
@ibrahimyusuph6458 4 жыл бұрын
Duh kwel Romaaaaaaaaaaa. Nikitangulia mpeni mwanang shada aliweke upande wa kushoto.
@samweltumsifu2415
@samweltumsifu2415 4 жыл бұрын
Licha ya Media kuubania wimbo huu bado unaendelea kufanya vizuri mtandoani, leo ikiwa siku ya nne unashika namba 1 KZfaq.... Pongezi nyingi wa waTZ wote mliofanilisha ili...
@chegaritofx
@chegaritofx 4 жыл бұрын
No 1 on trending mamaeeeeeeee.....Huyu ndo baba lao sasa sio huyo yusuph anaependwa na yuda wakati sisi wote watoto wa yuda na tumekubali😀😀😀😀.....
@astongodfrey3588
@astongodfrey3588 4 жыл бұрын
Chegarito _ 😀😀😀😀😀
@aishabiswamo6832
@aishabiswamo6832 4 жыл бұрын
@Abdoully Yahaya . Khamissy mkimind mnamjua
@unformattedman3256
@unformattedman3256 4 жыл бұрын
Amemaanixha nan
@blesssaimon3399
@blesssaimon3399 4 жыл бұрын
Oyo ndio migoma yakusikiliza ... Sio uno ... Mala baba lao .... ...gonga doleee...wagumu
@pascoryacob2586
@pascoryacob2586 4 жыл бұрын
Tufikishe m1
@gracekaniki789
@gracekaniki789 4 жыл бұрын
Nimecheka sio uno
@boblion262
@boblion262 4 жыл бұрын
Bless Saimon waelewa pia
@hkmeme5437
@hkmeme5437 4 жыл бұрын
@@gracekaniki789 sio baba lao
@almassddtzyusuph3102
@almassddtzyusuph3102 4 жыл бұрын
Kama umeikubali ngoma hiii naomba like zaidi ya 200
@officialyoctanyavani776
@officialyoctanyavani776 4 жыл бұрын
nomaaa sana hio ndo ngoma yangu ya mwaka kama umeludia kama mm hiii ngoma naomba like yako tujuane
@nadilmuch1756
@nadilmuch1756 Жыл бұрын
htr sna hii
@nadilmuch1756
@nadilmuch1756 Жыл бұрын
kawashaa mtooo
@willeydavid2108
@willeydavid2108 4 жыл бұрын
Roma hizi ndonyimbo ambazo tunakuelewaga 🇹🇿🇨🇦🇹🇿🇨🇦 VIVA ROMA 🙏
@Mwatiheritier-xh3es
@Mwatiheritier-xh3es 7 ай бұрын
izo ndiyo ngoma tunazo ziitaji🔥🔥🔥📸📸📸👂👂👂
@mcdadedady7777
@mcdadedady7777 4 жыл бұрын
Daahh sema mwamba kaludia ludia xana mashari ya ngoma zilizo pita
@markgerald6682
@markgerald6682 4 жыл бұрын
No 1 trending kama umeona gonga like tuende sawa
@Omary_Mjema
@Omary_Mjema 4 жыл бұрын
Trust me ur my hero bongo mzima yupo pa1 milele yan.. WatanzaniA bado tumelala na wanafikii
@chiefkaitaba.m.9466
@chiefkaitaba.m.9466 4 жыл бұрын
Bora umewakandia 👏👏👏 wao wanataka wasanii wote muwe Kama Konde boy muwaimbie nyimbo za kuwatukuza na kuwasifu mxhiuuuu😎
@barakabrownshayo2971
@barakabrownshayo2971 4 жыл бұрын
Roma umetisha broo wachane maana nchi yetu itaangamia
@danielpablo6868
@danielpablo6868 4 жыл бұрын
From Zimbabwe to USA ROMA Mkatoliki ongea kweli kabisa
@kabilamalasy9964
@kabilamalasy9964 4 жыл бұрын
Huyu ndo Roma tunaemjua LIKE KAMA WALISAHAU DOLE LA KATI
@salimuhozza1696
@salimuhozza1696 4 жыл бұрын
Big up bro .ujumbe umefika
@kabilamalasy9964
@kabilamalasy9964 4 жыл бұрын
Yeah
@kabilamalasy9964
@kabilamalasy9964 4 жыл бұрын
@@salimuhozza1696 mia
@kabilamalasy9964
@kabilamalasy9964 4 жыл бұрын
@valentine
@ibrahimmsula201
@ibrahimmsula201 4 жыл бұрын
Huyu jamaa anajua
@shakurkimboka4621
@shakurkimboka4621 4 жыл бұрын
Dakika tano za hii ngoma zina contents zaidi ya taharifa ya habari za TBC za mwaka mzima
@pascoryacob2586
@pascoryacob2586 4 жыл бұрын
Tufikishe m1
@twalibusaidi620
@twalibusaidi620 4 жыл бұрын
Kwl kabisa
@bakarymwandu3187
@bakarymwandu3187 4 жыл бұрын
shakur kimboka kwelk
@issamnimbo2525
@issamnimbo2525 4 жыл бұрын
Miss buzaa
@naimumwahu7723
@naimumwahu7723 4 жыл бұрын
😅😅😅😅
@wilsonbalama2849
@wilsonbalama2849 4 жыл бұрын
😁😁😁😁😁 Roma kunywa peps bariiiid sehemu yoyote ulipo nakuja kulipa
@khalidngwembele9075
@khalidngwembele9075 4 жыл бұрын
ANAYE MUOMBEA MABAYA ROMA YAMRUDIE MWENYEWE QUMAMAEEE👊👊
@polycarpmdemu3552
@polycarpmdemu3552 4 жыл бұрын
R - Rhymes O - Of M - Magic A - Attraction
@mcburah2883
@mcburah2883 4 жыл бұрын
Kweli ih nmeikubal
@benardjoeljoelnyundo6179
@benardjoeljoelnyundo6179 4 жыл бұрын
I like
@bulayaconfidential7212
@bulayaconfidential7212 4 жыл бұрын
umetisha sana💪💪💪
@disetheboy3075
@disetheboy3075 4 жыл бұрын
Umeuaaaaaaaaaa 😈😈
@pelesiusfund7920
@pelesiusfund7920 4 жыл бұрын
Polycarp Mdemu fayaa
@rugijofrey3685
@rugijofrey3685 4 жыл бұрын
Gonga like KAMA UNAMKUBALI ROMA.............................. Viva ROMA
@priscargodwel8333
@priscargodwel8333 4 жыл бұрын
Najiona mwenye bahati kwa mwanaye wakike akiiuliza nani aliyemteka mjibuni nimemzaa mpare ila hawachukii wasukuma daaaaaaaaa!!! Ni hatariii aise!!
@cosmasmkinga296
@cosmasmkinga296 4 жыл бұрын
see I told to you like kama unaamini ngoma itafika No 1 trending ndani ya masaa 24
@georgejohn3117
@georgejohn3117 4 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@keddlynebonny6462
@keddlynebonny6462 4 жыл бұрын
COSMAS MKINGA. Nilitabili.
@mariej6962
@mariej6962 4 жыл бұрын
Na imefika
@jaytv6676
@jaytv6676 4 жыл бұрын
Ishafikaaaa ....
@jaytheboy2393
@jaytheboy2393 4 жыл бұрын
ipo pale juu inakimbiza
@salimuawazi7225
@salimuawazi7225 4 жыл бұрын
Mnavunja dole lamwisho mnaliacha lakat nan kasikia iyo gonga like kwa Roma
@gangan4618
@gangan4618 4 жыл бұрын
Unastahili kupewa pongezi sana Roma;Mtetezi wa ukombozi wa kweli wa Tanzania. Wewe ni Mtanzania halisi na ndio Roma halisi anayechukia mambo ya ovyo... Viva Roma viva....!!!
@saidijafari2601
@saidijafari2601 4 жыл бұрын
kwetu huduma za afya nibola kuliko ndege, Daaah roma viva roma
@tuntuboss5530
@tuntuboss5530 4 жыл бұрын
Tungo ngumu Sana inahitaji ujasir kuandika Na kuachia hewani VIVA ROMA VIVA ROMA VIVA ROMA
@amuatv1763
@amuatv1763 4 жыл бұрын
Kama unampenda na kumuelewa ONE SIX gonga like yako hapa
@digital21.13
@digital21.13 4 жыл бұрын
Daaaaah unatisha we. Ila ninachokijua n kwamba.. Anaitwa Roma Akuna WA kumstopisha
@catundu8131
@catundu8131 2 жыл бұрын
Sa wee kamatia chini,mi nakamatia Ndinga. Sa ukikamatia Mpini si utakamatia Mimba🤗🤗 #viva Roma
@mtulivuindustryltd2356
@mtulivuindustryltd2356 4 жыл бұрын
Nani mwingine kaona mzigo umetrending no 1? Usiwe mchoyo wa like
@derickmponzi6582
@derickmponzi6582 4 жыл бұрын
Ngoma kali sanaaaaaaa
@zuyyinambava1976
@zuyyinambava1976 4 жыл бұрын
mtulivu industry Ltd p
@officialjuguy3921
@officialjuguy3921 4 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/eZ-ToN2Kta-ZhY0.html subscribe my chanel 🙏🙏support music
@officialjuguy3921
@officialjuguy3921 4 жыл бұрын
@@derickmponzi6582 kzfaq.info/get/bejne/eZ-ToN2Kta-ZhY0.html subscribe my chanel 🙏🙏support music
@joyceshadrack7192
@joyceshadrack7192 4 жыл бұрын
Bong
@bonifacefrancis51
@bonifacefrancis51 4 жыл бұрын
Uyu ndo Roma ninae mjuwa Mimi ,gonga like kama unahamini kuwa Roma kaludu kutoka zimbabwe.
@saidsuleiman8455
@saidsuleiman8455 4 жыл бұрын
Balaaaaaaaa sanaaaa kaka Viva Roma vivaaaaa
@SIMANKOMBENkombe
@SIMANKOMBENkombe Ай бұрын
huwa nafalijika Sana nyimbo zake Roma huwa zinanipa Amasa Katika kutafta maisha naomba like 150
@bornraphael7085
@bornraphael7085 4 жыл бұрын
Uyu mwamba ninoma sana siasa unaiweza ingia mzigoni ukatutee asee
@24four7seven8
@24four7seven8 4 жыл бұрын
My best is "unapig bomu mochwari afu unajisif umeuwa" 😁😁
@KingKing-uy9hq
@KingKing-uy9hq 4 жыл бұрын
Sasa huyu ndo Roma ninayemjua na si mwingine,,,wapi likes za Roma
@alfredmakambi1854
@alfredmakambi1854 4 жыл бұрын
Hata mm ndo namtaka huyu sio vibamia mara kaolewa
@KingKing-uy9hq
@KingKing-uy9hq 4 жыл бұрын
Yule sio Roma
@rizikicharles5109
@rizikicharles5109 4 жыл бұрын
@@KingKing-uy9hq kabisa uyu ndio mkatoriki mwenyew
@kilimanjaro_media
@kilimanjaro_media 4 жыл бұрын
Woyoooo kama unataka roma aendelee na harakati ka hizi gonga 👍👍👍👍👍
@estellatarimo7877
@estellatarimo7877 4 жыл бұрын
Roma big up una nawazo chanya, watazania wanyonge watapanda mandege, naumia sana ninapowasikia wakijinadi wanasaidia wanyonge. Tunadhalishana viongozi jue ni tuakili
@rumayojr4638
@rumayojr4638 4 жыл бұрын
#1 on trending 😋😎 Katikat ya Mondi na Kiba na Konde boy😂 Kweli utajua Watanzia wanatak ksikia nin nin🤭🤒
@johnmwandu2116
@johnmwandu2116 4 жыл бұрын
Serious watz wanahitaji kusikiliza ukomboz
@graphixmaster6146
@graphixmaster6146 4 жыл бұрын
Kuachia tu wimbo wakati huu ambao hao jamaa watatu wameweka ngoma mtandaoni unakuwa umegamble kweli
@alikhalfan5019
@alikhalfan5019 4 жыл бұрын
Dah salute kwako brooh nmekkubal
@Dapeopletz7
@Dapeopletz7 4 жыл бұрын
@@graphixmaster6146 true
@moureenmartin4125
@moureenmartin4125 4 жыл бұрын
Yuda usimwaribie Dani kumfurahisha mtukufu, sisi wote wanao kwanini unampenda sana Yusuph... aisee🙌🏽 kama umesikia na kuelewa hapa acha like tu.. UONGOZI NI KUACHA ALAMA❤️ #vivaroma🗣 Naaaaaniiih wakumnyamazisha🔥🔥🔥🔥... aisee dude kali sana hili🔥
@zuberytesha9393
@zuberytesha9393 4 жыл бұрын
Wanapiga bomu moturi wanajisifu wameuwa.hahaahaaaa Roma Viva
@mamafaiza2651
@mamafaiza2651 4 жыл бұрын
Mungu akusimamie ndugi yangu ww msema kweli huna shobo na pesa z zulma baba tutetee mung atakulipa inshallah
@goddykessy3217
@goddykessy3217 4 жыл бұрын
Goten. Haya sasa waliotaka ngoma mpya ya Roma. Roma safi sana wachane mpaka wachanike. Kama umependa gongs like za kutoshaaaaaaaaaaaaaaaaa.
@khaledbashiru2757
@khaledbashiru2757 4 жыл бұрын
Kama unajifunzaga v2 kupitia mziki wa roma kama mimi gonga like apa nifikishie mpaka 200 kwa upendo wa roma
@senyatumaini3819
@senyatumaini3819 4 жыл бұрын
Nilijua walifanikiwa kumnyamazisha kummbe hakuna wa kumstopisha, Bigg up brooh
@jamaldinhamady8687
@jamaldinhamady8687 4 жыл бұрын
Uyu jamaa dahaaaaaaa
@nadilmuch1756
@nadilmuch1756 Жыл бұрын
nakubl
@nadilmuch1756
@nadilmuch1756 Жыл бұрын
@@jamaldinhamady8687 noma sna jama
@nadilmuch1756
@nadilmuch1756 Жыл бұрын
@@senyatumaini3819 tupo
@hamisimwinzagu6624
@hamisimwinzagu6624 4 жыл бұрын
Yesss uyu ndio Roma big up mi nipo nawe kama nawe upo na mkatoriki like zako zinatakiwa apa
@ivanmark1510
@ivanmark1510 4 жыл бұрын
Kwetu bima ya afya ni bora kuliko ndegeeeeeee haka kasauti kamenifulahisha aseeee
@wizarathabit6937
@wizarathabit6937 3 жыл бұрын
Daaah bado siachi kuipenda 👉👉👉👉🔥🔥🔥💪💯💯 unaweza roma
@HarounIEsese
@HarounIEsese 4 жыл бұрын
Love from Kenya.. Pongezi Roma wapi likes za team Roma kenya
@derrickoyonjo
@derrickoyonjo 4 жыл бұрын
Mkatoliki
@jamesoduororawo8379
@jamesoduororawo8379 4 жыл бұрын
Kwetu bima ya afya ni Bora kuliko ndege.
@bushbabytz
@bushbabytz 4 жыл бұрын
Mwanangu akiuliza nani aloniteka nitamjibu nimezaa MPARE ila siwachukii WASUKUMA! - KWA WALIOUELEWA HUU MSTARI GONGA LIKES ZAKUTOSHA MPAKA MAGU AJUE TUMEMJUA!
@maulidibnjuma9575
@maulidibnjuma9575 4 жыл бұрын
Tunakupenda Roma ila kua makini tunaogopa kukupotezaaaa aseeeee
@shaibumandova6108
@shaibumandova6108 4 жыл бұрын
Sanaa inaonya, inakumbusha, inaelimisha na kuburudisha jamii. Kila mmoja kwa nafasi yake, kwa mimi amenikumbusha jambo na kuniburudisha mtima. Hongera msanii.
@mnyamapeter1265
@mnyamapeter1265 4 жыл бұрын
Mwanangu Roma umelud kama umeikubari hii ngoma conga like
@mgayamakori1564
@mgayamakori1564 4 жыл бұрын
Hahahahahahahaaa hapo sawa kama dawa nimekusoma roma
@jaypili7837
@jaypili7837 4 жыл бұрын
mungu akulinde bro umejitoa mhanga koz inchi yetu yenyewe mamafia
@officialjuguy3921
@officialjuguy3921 4 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/eZ-ToN2Kta-ZhY0.html subscribe my chanel 🙏🙏support music
@bashiryusiph4241
@bashiryusiph4241 4 жыл бұрын
mamaaaaaaa Roma umedondosha tena ngoma Kali kweli unawapenda washabiki wako uuuuuwiiii kweli mpare mgumu 💪💪💪💪💪
@rajabadamjr1893
@rajabadamjr1893 4 жыл бұрын
Viva Roma^ anaekubali ni ^ daraja la wanyonge ^like apo "
@s.a.jmwinchumu1304
@s.a.jmwinchumu1304 4 жыл бұрын
Anaitwa Roma hakuna wa kumnyamazisha watching from Moro town
@jjrussell081
@jjrussell081 4 жыл бұрын
The Greatest!!!, umefunika kamanda 💯👏💯👏💯💯💯🍾🤸‍♀️
@josemkongwe4609
@josemkongwe4609 4 жыл бұрын
Unapiga bomu mochwari unajisifu umeua 💪💪
@kichemnqasha2010
@kichemnqasha2010 4 жыл бұрын
Yaaan hii kali kinoma we, tunakubali kinomaaa
@brightlastborn4440
@brightlastborn4440 4 жыл бұрын
Kwamba , unapiga bom mochwali , unajisifu umeua😁😁😁 , Gonga like kama umesikia huu msitari kama mimi
@charlesmabena954
@charlesmabena954 4 жыл бұрын
Atariii Sana Kaka
@salumually219
@salumually219 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@nunuuali5316
@nunuuali5316 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Rima tishio
@athanaskimaro3733
@athanaskimaro3733 4 жыл бұрын
nura hamis 👍🙌✍️🙏🙏🙏
@giftmwakilinga2042
@giftmwakilinga2042 4 жыл бұрын
zegreat Mkoka
@jameschiper640
@jameschiper640 4 жыл бұрын
THE RETURN OF ROMA MKATORIKI GONGA LIKE KWAKE
@jameschiper640
@jameschiper640 4 жыл бұрын
Yan mnapiga Bomu mochwari halafu mnajisifu mmeuaa
@charlesmabena954
@charlesmabena954 4 жыл бұрын
Uyo Ndo Roma Mkatoliki Ninaye Mjua Mm Charles Conscious
@jameschiper640
@jameschiper640 4 жыл бұрын
@@charlesmabena954 hahahah
@dannytiggy8610
@dannytiggy8610 4 жыл бұрын
Huyu.ndio roma naye mtaka
@halimatambwe9879
@halimatambwe9879 4 жыл бұрын
Aiseèh had mwil unaccmka ROMA nomaaaa, nmemzaa mpare ila cmchukii msukuma hatareeeeeèè
@daviskagusa8929
@daviskagusa8929 4 жыл бұрын
Roma izi tungo ni zaidi ya waraka wa waebrania🔥🔥🔥...unapiga bomu mochwari afu unajisifia umeua🔥🔥
@masoudkilaka7740
@masoudkilaka7740 4 жыл бұрын
Gonga like kama ume download na umekuja kuisikiliza youtube Like nyingiii kwa romaaaaaaa jesh la mtu 1
@raymondjohn6279
@raymondjohn6279 4 жыл бұрын
Alie skiliza goma zaid ya mara3 tujuane hapa.
@cadabrahtz4744
@cadabrahtz4744 4 жыл бұрын
Hahahahahahahahahahahahahaha yaaan nimeidonload lakin nimeingia youtube kuisikiliza sijui kwann hata
@giftedboy7944
@giftedboy7944 4 жыл бұрын
Hahaha mimiiio
@geophreyhizza6315
@geophreyhizza6315 4 жыл бұрын
Brother Roma shikamooo ww ni mfalme wa hip Hop Africa nzima
@MusaShabani-pf6ev
@MusaShabani-pf6ev 6 ай бұрын
Jomba unampigia gita mbuzi bora rudi kwa Mungu umsifie na kumwabudu twende kufurahia mbingun
@naimumwahu7723
@naimumwahu7723 4 жыл бұрын
Hata Kama nimechelewa lakin hii goma ndo ya Roma Og, like kwahisan ya romaaaaaaaaa
@anelkaking9342
@anelkaking9342 4 жыл бұрын
Roma mkatiliki. The best hiphop.unajua mzeee.love from Zanzibar nungwi.
@depaypaniikimaro491
@depaypaniikimaro491 4 жыл бұрын
Kama umesikia Waalimu Mapato yao yamesahaulika Like tu 😭😭😭 Kama Mwalimu ninaumia kuusikia huu Ukwelii.. Waalimu Tunaonekana kama Matope 😢😢😢
@margarethalyimo5475
@margarethalyimo5475 4 жыл бұрын
Na ndiyo na nyie mtoke mbele mdai madai yenu! Watetea haki inabidi liwe kundi kubwa siyo watu wachache wapambane na serikali.
@chipmunks6113
@chipmunks6113 4 жыл бұрын
nyie mki ambiwa tuka dai haki zetu mna baki nyuma endeleeni kulia lia tuu
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 4 жыл бұрын
Mkitaka kudai haki walimu msikae kama kikundi cha wahuni
@depaypaniikimaro491
@depaypaniikimaro491 4 жыл бұрын
@@margarethalyimo5475 ✌✌✌TATIZO WABONGO TUNATISHWA SANAAAAR, Ukitaka kuwa mbaya na uine maisha imekuwa ngumu kwa upande wako wewe Jaribu Tu kudai haki eneo lolote lile lenye walioshikilia nyadhifa.
@depaypaniikimaro491
@depaypaniikimaro491 4 жыл бұрын
@@chipmunks6113 😷😷😷 Haki TZ ndio kitu ambayo haisikiki kabisa, Evidence zipo za kutosha
@lilnajboy3254
@lilnajboy3254 4 жыл бұрын
Nakubali ... watapinga reality mwishowe watakubali .. #ROMATHEKINGOFREALITY
@sidemakuka2844
@sidemakuka2844 4 жыл бұрын
Umetisha Roma harakat kama Zote ndani ya ngoma Pumbu kali mzee mwenzangu Johannesburg 1
@derrickoyonjo
@derrickoyonjo 4 жыл бұрын
I love Roma's work ...Bear is equally an excellent producer for hip-hop ...Love from Kenya🇰🇪
@fadhlemwalongo7278
@fadhlemwalongo7278 4 жыл бұрын
MB zetu haziendagi kwa hasara kwa uyu jamaa 💪🏼
@davoo2555
@davoo2555 4 жыл бұрын
hii inaitwa "NO RETREAT NO SURRENDER" ..... thats should be every Tanzanian youth spirit na isiwe Roma peke yake. Pamoja sana and much respect tokea fasi ya dwasi ni Sakina Arusha
@omarynyagary6397
@omarynyagary6397 4 жыл бұрын
Weka mbali na walanguzi najua watachukia sana ila mcmteke aliyo imba mu2teke tuliopenda mana ndio washawishi wakubwa #viva-roma-viva @gonga like kama unaamin kama mim
ROMA ft Abiud - Nipeni Maua Yangu (official Audio)
7:00
VIVAROMA
Рет қаралды 2,1 МЛН
Viva Roma Viva
5:12
Roma Mkatoliki - Topic
Рет қаралды 97 М.
白天使选错惹黑天使生气。#天使 #小丑女
00:31
天使夫妇
Рет қаралды 14 МЛН
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 20 МЛН
MwanaFA Feat G Nako  - Mfalme (Official Video)
4:05
MwanaFA
Рет қаралды 1,3 МЛН
ROMA: WALIONITEKA WALINIAMBIA NITATOKA 2030
35:25
Millard Ayo
Рет қаралды 781 М.
BIG SUNDAY LIVE - AMPIGA BUSU BAADA YA KUSHINDWA KWENYE RAP BATTLE
12:34
ROMA - Derby (Paka & Panya) Feat Latifah
6:01
VIVAROMA
Рет қаралды 250 М.
Roma - Zimbabwe [Official Music VIdeo]
4:45
VIVAROMA
Рет қаралды 4,3 МЛН
Rostam Feat Ferooz - Hujambo Mwanangu (Official Audio)
4:35
Stamina Shorwebwenzi
Рет қаралды 1,4 МЛН
ROSTAM  - PARAPANDA | OFFICIAL AUDIO
4:26
VIVAROMA
Рет қаралды 2,2 МЛН
Nacha x Stamina - Jua Lile (Official Music Video)
4:58
Nacha Ousam
Рет қаралды 1,7 МЛН