Penda sana Rose Mhando. Mungu akutunze mama!!. Wewe ni mshindii🎉
@ElisonguoShayo-hb2gsАй бұрын
Uwezo wako wa kuimba live ni mkubwa sana mtumishi. Glory to God
@josephmathayo5139Ай бұрын
Huyu Mama Sauti yake haichuji au kubadilika. Mungu aendelee kumulinda.
@janetchinga695Ай бұрын
❤❤❤❤ namipia no sarenda kwajina layesu aliehaiiiiiiiiii
@SelinaNgeleАй бұрын
Awwww🥰🥰🥰 uyu mama mziki unamkubali sana nampenda bureee
@happymrianga2795Ай бұрын
Kweli akiimba live anaweza sana alikua kwetu Moshi Siku moja akaimba live hao hao na vijana wote wakujueee,wewe ni Bwana,watu karibu waruke fiance hii ni mwaka 2000
@DeboraMwanja-fr6muАй бұрын
Barikiwa sana mama
@christinewomanoffaith5479Ай бұрын
Rose ana sauti kiukweli na ana uwezo wa kuimba live
@user-yj5es1jw8cАй бұрын
Dada nakukubali atali
@joshuasamson9618Ай бұрын
Rose 🌹 ni zao huenda ni la mwaka 1971 hiyo sauti miaka hiyo imekula msoto wa kufuata maji bali unamka saa nane usiku kukwepa foleni maji yenyeweni Chemchem yaani kipindi hana chipis mayani mishikaki ni kula mlenda kwenda mbele Rose ijibu hii comments tafadhali watu wajui ni kweli vijana miaka hiyo wana nguvu kuliko wa sasa