SABRINA ALIYELIA KWA MAKONDA ALIMWA TALAKA, APOTEZA BILIONI 1 AUMIZWA KUKOSA MAGARI MANNE

  Рет қаралды 163,671

Millard Ayo

Millard Ayo

2 ай бұрын

Пікірлер: 688
@witneskihega8971
@witneskihega8971
Pole sana kwa maumivu dada. Ukiona jambo unatumia sana nguvu na haliwi kama unavyotaka, basi ujue yamkini hayo ndo mapenzi ya Mungu kwako. Achilia mali na maisha ya nyuma. Anza upya kabsa. Siku za mbeleni utamtukuza Mungu. Utapata amani ya roho ambayo ni muhimu kuliko mali. Geuza kisogo chako uanze maisha mapya. Maisha yatakuwa magumu mwanzoni hasa ukikumbuka mali zako, ila achilia na ujipe moyo mkuu.
@leokamil6284
@leokamil6284
Mahakama ni mtihani tuu fedha inaongea,ndio maana nchi nzima kesi tupu watu wanalia haki hakuna
@SophiaAthumani-ri4lu
@SophiaAthumani-ri4lu
Pole Sabina nakujua sana wewe ni mpambanaji mungu akuongoze upate haki yako
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144
Pole sana dada angu......hayo ni mapito tu, malipo ni hapa hapa duniani.
@tnftz1461
@tnftz1461
Dada anaonekana ana hofu ya Mungu mwanaume Hana hata chembe kakamatwa na malaya😭🙌 hiv mwanamke kama huyu namwachaje jaman anavoongea kwa huruma iv🤔🤷
@ndeenengomselle1267
@ndeenengomselle1267
Pole sana Sabina Mungu akutetee....nafahamu mlivyopendana mlipokuwa na maisha ya chini....acha Mungu atashughulika naye
@molom5027
@molom5027
Pole sana dadangu. Ngojea tu na angalia ukiomba. Mungu atakuonyesha kitakachotokea.
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342
Daaah kama anayosema huyu mama ni kweli,basi kuna viumbe ni mashetani
@user-gx4jx4gv9l
@user-gx4jx4gv9l
Pole sana dada siku zote mungu husaidia mwenyehaki,mahakama za sasaiv ni uozo mtupu nakushauli endelea kumwamini mungu ulikuwa ufe wewe ni nema ya mungu tu .
@khamisally9559
@khamisally9559
Huyo jamani bila kukamatwa na kuwekwa ndani huyo dada huwezi kupata haki zake. Wamkamate aekwe ndani kama wiki mbili hivi akili ndio zitakaa sawa. Huyu Julius ni mshenzi sana halafu anajifanya mtu wa Mungu. Ovyooo kabisa.
@RoanCorporation
@RoanCorporation
Anaonekana amepata maumivu kweli , pole Dada
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t
Ila wanaume naishiwa maneno aiseee😢😢😢😢😢yaan ni viumbe hatar sana kwenye maisha yetu,,,,,,ndo chanzo ya kutukosesha aman
@baddestgames2784
@baddestgames2784
Uyo mwanamke kamuloga mme wako dada angu adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie Mungu atakusimamia mamaa
@marykennedymarwa1641
@marykennedymarwa1641
Wanawake lazima tujikubali, na kujipenda . Kupewa talaka ndio mwanzo wa maisha mapya, simama na mungu atakupigania
@ssaa7495
@ssaa7495
Pole sana mama, pengine Mungu amekuepusha na mengi. Kwa sasa hivi wewe Sali sana mtegee Mungu
@hyasintasilayo8952
@hyasintasilayo8952
]Pole sana dad,omba kwa nguvu zote maan hakna kigumu mbele za mwrnyez Mung
@user-rh5iy3ei3g
@user-rh5iy3ei3g
Huyo baba asubir kisasi cha watoto wake hatakaa amini maisha yake yote Kwa haya anayoyafanya mn wanamtizama mama yao anavyohaingaika kl siku kwny media 😢
@Ontuzu
@Ontuzu
Kwenye haya maisha usimsikilize mtu mmoja wasikileze wote yawezekana akija kuongea mwanaume aliyopitia kwa huyo mama tutabaki mdogo wazi ogopa sana mtu anayeongea huku analia au anayeongea kwa upole ni nyoka
@PrinceWandwe-bo2ps
@PrinceWandwe-bo2ps
Huyu Dada yuko smart sana na kama anachokiongea kingekuwa ni uongo maelezo yake yangekuwa na mikato mikato mingi lakini anaonekana anaingea bila utata pole sana sister
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823
Pole sana mwanangu wewe. Ulipougua ndipo alipata mwanya wa kuwa na mchepuko, alidhani utakufa. Ninachoweza kukushauri, hembu mwachie hizo mali, angalia maisha mengine.Tafuta amani kwanza. Nyumba na magari vitabaki duniani huwezi kwenda navyo mbinguni. Mungu akutie nguvu na ujasiri, achilia, kama wewe ndio ulikuwa muongoza njia kwa hiyo nyumba hembu utulie utapata jibu.
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 3 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 91 МЛН
MUWEKEZAJI MKUBWA AMVUNJA MBAVU RC MAKONDA, SEMA UNA..
18:49
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 3 МЛН