ANGALIA MWINJILISTI WA KISABATO ALIVYOTAPATA TOKA KWA MWALIMU MAULANA ..WAPI AYA UKRISTO NI DINI??

  Рет қаралды 136,034

Saimu gwao Online tv

3 жыл бұрын

Пікірлер: 221
@michaelmarco8353
@michaelmarco8353 3 жыл бұрын
Mwijilisti, Mungu akubaliki sana piaakulinde.umejibu vena sana. Kristo ni dini.
@waltershayo1339
@waltershayo1339 2 жыл бұрын
Nyie ni wapingaji tu lkn kristo sio dini ni aliyepakwa mafuta
@mwanakombaabbas93
@mwanakombaabbas93 3 жыл бұрын
Thakbirrrr shekh maulana hangera nduguyangu hongereni sana
@mwanakombaabbas93
@mwanakombaabbas93 3 жыл бұрын
Wallahi hongereni sana ma shekh wangu Allah awahifadhi sana sana Wallahi nashukuru sana sisi kuwa waislamu ni neema kubwa sana hatuna budi kushukuru kwa neema kubwa hii Alhamdulillah Thumma Alhamdulillah Thumma Alhamdulillah
@user-qr7et3vl5z
@user-qr7et3vl5z 2 ай бұрын
Dah wallah uislamu kweli nimtamu na nimzuli yaani mashallah
@shahdujamada578
@shahdujamada578 3 жыл бұрын
Alhamdu lillah allah awajalie kher
@ashasuleiman2084
@ashasuleiman2084 3 жыл бұрын
Allhamdulillah to be a muslim🙏
@shillingihamisi635
@shillingihamisi635 2 жыл бұрын
Takbir ALLAH AKBAR
@kimsi682
@kimsi682 Жыл бұрын
Hapana, hapana, hapana! Yeye ni mnafiki tena legent...lakini kwa hakili yake haswa nyie nyote. You are all legends in you brains only.kwa akili tu lakini sio kwa ukweli!! Mnauliza kitu mnajua vizuri kabisa hakiko ndani ya biblia directly, lakini cha kweli kabisa kimaandiko, hila hakiko directly.. Just hilarious! Unafiki mtaacha lini?
@r.w94
@r.w94 2 жыл бұрын
Assalamualaikum warahmatullahi wabarokatu greetings to one Lord Allah SWT says indeed Allah is great and Allah never exists but before words there is takbir 😊
@myamwezmyamwez8669
@myamwezmyamwez8669 3 жыл бұрын
Kwahiyo mchungaji kakubali kitabu cha Allah! Takbeer! Kweli Allah hakosei!
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 2 жыл бұрын
Kwa kweli tuna penda kuangalia na kusikiliza debet, lakini kwa nini mna foka? Zungumzeni kwa taratibu ili tufahamu vizuri
@jotafungo4622
@jotafungo4622 3 жыл бұрын
Shukrani sana mwl Maulana Habshi
@rbagha5280
@rbagha5280 2 жыл бұрын
This Sheikh MAZINGE is Fantastic and Amazing! May Almighty Allah bless him. He is indeed blessed by the Lord of all mankind. Christians, please listen to him without bias. He will guide you, using the Quran, and Bible, to HEAVEN. His arguments make sense. Turn your intellectual cup the right side up so you can receive guidance. If your cup is upside down because of BIAS, you will not get any guidance. Listen to him. It is what your LORD wants. May God, ELAHA in Aramaic, wants you to do. So you too can be SAVED!
@abcmnbb2610
@abcmnbb2610 3 жыл бұрын
Alhamdulillah kwakuwa Mimi uislam
@mohameddyzubeir2326
@mohameddyzubeir2326 3 жыл бұрын
Wakristo bana wanacheka lkni wanaelewa Dah hawa jamaa wamepotea
@mwanakombaabbas93
@mwanakombaabbas93 3 жыл бұрын
Msiba huu wakristo Allah awaonyeshe njia yaki kwani mko katika hasara kubwa sana
@AliIbrahim-lv5cq
@AliIbrahim-lv5cq 3 жыл бұрын
Ukuphi mwenehu 🤣😂
@georgeikinya2779
@georgeikinya2779 3 жыл бұрын
The problem in this world matters religion every body thinks he / she is better than everyone else’s. So laughable Africans trying to out do each other comically on foreign religions.
@aquilinerichard7226
@aquilinerichard7226 3 жыл бұрын
Nnawasiwasi na hao wanaojiita wa kristo hapo kwny mdahalo uwezo wao wakujib maswal ni mdogo sn alafu unaambiwa ni wainjilisti soma 1wakorintho 3:23 naona kama wanafanya vibwagizo kweli ya dini ni ukristo pekee neema ya wokovu ikiwafikia mtaelewa nnachoandika
@marymfugwa847
@marymfugwa847 3 жыл бұрын
Hao ni waislamu wanao jiita wakristo! Hata kiswahili chao tu kinaonyesha siyo wakristo.
@epimackoscar25
@epimackoscar25 2 жыл бұрын
Hawa mashekh wanatakiwa wasome haya nzima ya biblia waelewe ilikuwa inalenga nini sio kudakia neno moja na kulitumia kama fimbo na mihemko mingi , kamwe hawataelewa injili ambayo wameelekezwa wawatafute waliopewa hiyo injili ili waelewe ,watoke gizani , Mungu akubaliki muinjilist hakika roho ya Mungu ingali nawe ktk kujibu maswali vizuri
@ismailyussuf1805
@ismailyussuf1805 3 жыл бұрын
Kweli wwe Myahudi wa kiTanzania hauna lolote.Tokazamani ungesilimu,lakini JURI YAKO TUU.MSKINI NYIE WAKRISTO.
@kibatofinest8840
@kibatofinest8840 3 жыл бұрын
Ismail usijione mtukufu mbele ya wakristo
@jumannekingu526
@jumannekingu526 2 жыл бұрын
Yesu alikuja kuokoa ulimwengu ,hakuleta dini ,wala mtu haingii mbinguni kwa sababu ya dini.maana zilikuwepo na hazikuwasaidia wanadamu.
@abdullyamiry160
@abdullyamiry160 2 жыл бұрын
Ujasoma wewe,,
@cabylake2320
@cabylake2320 Жыл бұрын
Takbir takbir takbir takbir Allah akbar Allah akbar Allah akbar
@medardissa6253
@medardissa6253 3 жыл бұрын
Allah anatambua ukristo
@kimewakamoviesproducts609
@kimewakamoviesproducts609 2 жыл бұрын
Wakristo juu tuu
@mwanakombaabbas93
@mwanakombaabbas93 3 жыл бұрын
Kumbe unamjuwa Allah pia thakbirrrrr
@amosmoses7800
@amosmoses7800 3 жыл бұрын
Ni viZuLi kuwePo nA miJaDaLa kaMA hii
@naftalmonda1353
@naftalmonda1353 3 жыл бұрын
ALLAHU AKBAR
@mylifemyhistory3609
@mylifemyhistory3609 3 жыл бұрын
Allah akbar
@firdausfofofirdausfirdaus4040
@firdausfofofirdausfirdaus4040 3 жыл бұрын
Hahaha anapata hamu jmn tuiulize hamu yenyewe inasemaje
@user-bu9wq4lp3f
@user-bu9wq4lp3f 3 жыл бұрын
Hajielewi huyo pastor
@legrandmsangi8405
@legrandmsangi8405 3 жыл бұрын
Huyo jamaa wakikristo kashindwa kujibu kabsa. Kaulizwa aya gani ktk bibilia ukristo ni dini sijui kajibu nn yan. Kajibu tofauti kabsa. Ni neema kubwa sana kuwa ktk uislamu
@gerrymimi9387
@gerrymimi9387 2 жыл бұрын
Wakristo wanaamini kuwa hakuna dining impelekayo kwa Mungu isipokuwa amepita kwa Kristo. WEWE NG'ANG'ANA SOMA Yohana 14:6
@raheemarahman1435
@raheemarahman1435 3 жыл бұрын
Maisha yke mkirsto kumsilimisha nipagumu mno walahi subhanallah nishida man anaambiwa atowe aya inayosema ukoristo nidin anababaisha tu aiseee
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 2 жыл бұрын
Yote tisa upate wafuasi usipate Lakini, msifurahi kwa vile pepo wanavyowatii; bali furahini kwa sababu majina yenu yameandikwa mbinguni. Luka 10:20
@josephkiswili1955
@josephkiswili1955 3 жыл бұрын
Waislamu huwa wanaulizaga maswali kinyume ya maandiko wapi katika BIBLIA imeandikwa ukristo ndani ya BIBLIA hakuna neno ukristo lenye lipo ni wakristo.
@wezhc3013
@wezhc3013 3 жыл бұрын
Wewe ndio uwaaelewi kwanza nyinyi mumepotea hakuna kitu mtapata duniani wala akhera
@simonkaggwanjala9597
@simonkaggwanjala9597 3 жыл бұрын
Kaka Qur'an inasema wazi uislam ndio dini ya haki, sasa apo pastar kasema christo ni wa mungu nyny ni "wa christo" yaani akimaanisha nyny ni wake yeye christo au huelewi kiswahilii haijasema ukiristo ni deni aliokuja nayo yesu.Soma Uislam na ukiristo wako ndio utajia wapi ipo dini ya kwelii
@waltershayo1339
@waltershayo1339 2 жыл бұрын
Toa Aya yaani ujanja ujanja kwenye dini haukubalili
@firdausfofofirdausfirdaus4040
@firdausfofofirdausfirdaus4040 3 жыл бұрын
Doctor kaacha swali kataja masanamu
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 2 жыл бұрын
Mungu haangalii dini bali swala ni majina kuandikwa Mbinguni. Jaza waumini pata maswalu shinda ubishi lakini jina lako liko mbinguni? Lakini, msifurahi kwa vile pepo wanavyowatii; bali furahini kwa sababu majina yenu yameandikwa mbinguni. Luka 10:20
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Жыл бұрын
Jisalimishe acha ukafiri ndugu
@firdausfofofirdausfirdaus4040
@firdausfofofirdausfirdaus4040 3 жыл бұрын
Hahaha udoctor wakujibu wa kisabato inasemaje
@hassnakhamis3489
@hassnakhamis3489 3 жыл бұрын
Wakirsto wagumu kuelewaaa duh
@rahimuomari3280
@rahimuomari3280 2 жыл бұрын
Downloads
@DuliBrillant-mr8er
@DuliBrillant-mr8er Ай бұрын
Lete aya uctuvurugeee wap bible imesema ukristo ni dini ya haki uctuletee mambo ya kiama halaf mbona nyiny wakristo mnapotea
@yusrashabani2983
@yusrashabani2983 3 жыл бұрын
Kumbe mnamjuwa ALLAH lakini mnajifanyisha kumtaja taja yesu kuwa yeye ndie Mungu nawakati sio kweli 😄😄😄😄
@yousupjabri7304
@yousupjabri7304 3 жыл бұрын
Wew huja wajua hawa...wakishondwa mada kwakukosa ushahid ktk kitabu Chao na wakagundua kua ndan ya Quran kuna mahala mungu kawataja ndo hapo wanapo mkubali nakutamka jina lake vzr kwasababu mda huo mtetez wake ni quran.wapuuz sana hawa sasa hapo kakamatika Hana Aya lazima atoe ktk Quran tena sio kwa usahihi ni kwakigeuza maandiko ili kutengeneza anacho kitaka😥😥😥😥 .
@waltershayo1339
@waltershayo1339 2 жыл бұрын
Hivi shetani katajwa ktk vitabu je ni mzuri to a Aya ukristo ni dini
@kutailadifi2854
@kutailadifi2854 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂mchungaj kapata ilham
@mamaabaraka393
@mamaabaraka393 3 жыл бұрын
Mwenzeni nimeelewa swali Ila jbu cjalielewa
@khamismcha9294
@khamismcha9294 3 жыл бұрын
Jib swali wew mbona una garagara tu jibu
@kisiwaonlinetv
@kisiwaonlinetv 3 жыл бұрын
NINGEOMBA MTUWEKEE FULL MDAHALO MAANA HIVI VIPANDE VIFUP VINACHANGANYA KUFUATILIA
@waltershayo1339
@waltershayo1339 2 жыл бұрын
Wajibu swali
@katalatechniques534
@katalatechniques534 3 жыл бұрын
TAQBIIR!!!!!
@majutojohn1968
@majutojohn1968 3 жыл бұрын
Uislamu ni Dini ya Haki
@panduafricangiant4902
@panduafricangiant4902 3 жыл бұрын
Naona mnafarakana wenyewe
@harshimissah-wn3cc
@harshimissah-wn3cc Ай бұрын
Mbn umejibu kama mtoto asiefaham
@monalisalebasoto2538
@monalisalebasoto2538 3 жыл бұрын
Kwa uwo mjadala nimeamini ukristo ndo Kila kitu na yesu n Mungu hakika
@yakoboyakobo6911
@yakoboyakobo6911 3 жыл бұрын
Poa kaka
@hadijahshabani2674
@hadijahshabani2674 2 жыл бұрын
Yesu cyo mung ndug zindukaaaaa
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Жыл бұрын
Kw andiko lipo toweni andiko ukristo ni dini
@waltershayo1339
@waltershayo1339 2 жыл бұрын
Toa aya ukristo ni dini
@kabarezephanie3573
@kabarezephanie3573 2 жыл бұрын
Wucristo sio dini , dani ni nafundisho ya watu wa Galatiya 3:16
@sirdioncornel2875
@sirdioncornel2875 3 жыл бұрын
na hakuna msabato anaweza fanya huo ujinga kujadili ujinga wenu
@saadkobelski8705
@saadkobelski8705 Жыл бұрын
Ww jibu swali wapi ukiristo dini
@bidafumbuka855
@bidafumbuka855 3 жыл бұрын
Waislamu sindano imewaingia Allaha anasema Kristo ndio Dini halafu waislamu mwampinga Allah.
@asminnassor6832
@asminnassor6832 2 жыл бұрын
Sasa Kama unamwamini Allah kwann usiwe muislam
@firdausfofofirdausfirdaus4040
@firdausfofofirdausfirdaus4040 3 жыл бұрын
Yuko wapi Allah hpo ??
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 3 жыл бұрын
Mbona yupo straight na kaeleweka. .Allah anashusjaje kitabu kwa wakristo na wayahudi halafu hatambui dini zao inaingia akilini kweli? Acheni ushamba. Waislamu wote wanaoshangilia Ni vilaza
@alisonso4194
@alisonso4194 3 жыл бұрын
Dhhh ndg yang pole sana endelea tu ivo ivo kuamin kma ukiristo ndy dini ya haki iko siku utakuja kuelewa na itakua umesha chelewa
@simonkaggwanjala9597
@simonkaggwanjala9597 3 жыл бұрын
Kaka Allah kawataja hao kama watu wa kitabu (Ahlu al kitab) kwamba wamepotea kwasababu wamebadilisha na kuwakataa mitume walioletewa
@husnaaliy6158
@husnaaliy6158 3 жыл бұрын
daaaah chunga cna maneno yko
@latifachepa4435
@latifachepa4435 2 жыл бұрын
Chunga sana ulimi wako ndugu yangu
@firdausfofofirdausfirdaus4040
@firdausfofofirdausfirdaus4040 3 жыл бұрын
Sasa kiyama kinakujaje hpo
@wezhc3013
@wezhc3013 3 жыл бұрын
Hawa wakristo hawajielewi wala hawajui kusoma kitabu vizuri
@minahadi2190
@minahadi2190 3 жыл бұрын
Yan jibu hana kaz kuropokatu 😄😄
@khamishaji9508
@khamishaji9508 2 жыл бұрын
ilham 😂😂😂
@unclejonah7350
@unclejonah7350 3 жыл бұрын
wasabato waislamu hii mijadala Ina nia ya kujitengezea makundi ama kupeleka watu mbinguni
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 2 жыл бұрын
Jifunze quran kusoma na kuandika gusa picha yangu hapo
@ashuranurudin1120
@ashuranurudin1120 Жыл бұрын
Taqbiiiiiiir
@harunaalli3401
@harunaalli3401 3 жыл бұрын
mwenye akili atatambua ukwelu???
@waltershayo1339
@waltershayo1339 2 жыл бұрын
Hujajibu swali
@kabarezephanie3573
@kabarezephanie3573 2 жыл бұрын
Wasilamu wamekawuka kbsa
@abcmnbb2610
@abcmnbb2610 3 жыл бұрын
Yani raha Sana
@bensonlangat640
@bensonlangat640 3 жыл бұрын
Kabisa kaka Kanisani kuna raha zaidi.
@kutailadifi2854
@kutailadifi2854 3 жыл бұрын
@@bensonlangat640 raha ipi mnashindwa kujibu maswali
@bensonlangat640
@bensonlangat640 3 жыл бұрын
@@kutailadifi2854 Lakini Nabii Elyaas alitambua hii maneno mapema.
@sirdioncornel2875
@sirdioncornel2875 3 жыл бұрын
mnapoteza muda nyie hapo hamna kazi za kufanya
@shabanimlisho2163
@shabanimlisho2163 3 жыл бұрын
Kweli wakristo mmepotea
@kibatofinest8840
@kibatofinest8840 3 жыл бұрын
Angalia maisha yako na uhusianio wako na Mungu wako kesho kiama sote tutakuwa sawa mbele ya Mungu na tutahukumiwa sawa hakutakuwa na upendeleo
@nicholauszephania3000
@nicholauszephania3000 2 жыл бұрын
Ww ndo umepotea tn snaa kutaf dini za watu weupe ususan miarab ambayo haiwatak kabisa watu weus ata kidogo
@aminahariri2058
@aminahariri2058 3 жыл бұрын
Njooni kwetu Kwani uislam ndio dini ya haq
@lizzymbatia1925
@lizzymbatia1925 2 жыл бұрын
Yaaaan hakuna tiketi inayoitwa dini ambayo itamfikisha mwanadamu peponi,Ila je matendo yako yanampendeza Mungu sio dini,tutakuja kuhukumiwa pasipo kujua ,wakati tumeshika dini matendo yakaja tuangusha
@aminahassan7698
@aminahassan7698 2 жыл бұрын
Tatizo hawaelewi wakristo
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 2 жыл бұрын
Lakini, msifurahi kwa vile pepo wanavyowatii; bali furahini kwa sababu majina yenu yameandikwa mbinguni. Luka 10:20
@japhethgeriad4519
@japhethgeriad4519 2 жыл бұрын
UBARIKIWE
@mwalimameir4305
@mwalimameir4305 3 жыл бұрын
Ilo swali halijibiki milele wache wasisilimu Allah akawachome
@rahimaan6481
@rahimaan6481 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣jibu hakuna hapo
@kutailadifi2854
@kutailadifi2854 3 жыл бұрын
😂😂😂yoka nianzage kuskizaga midahalo Sijawah kupatapo hilo jibu
@kibatofinest8840
@kibatofinest8840 3 жыл бұрын
Kuelewa kazi za Mungu zingine ni beyond human knowledge
@justinesteven1036
@justinesteven1036 3 жыл бұрын
mbona amuoneshi vipande vyote kwann mnakata kata kwa nini mnaficha ukweli bali mnatuonesha vipande vyenu tu.
@justinesteven1036
@justinesteven1036 3 жыл бұрын
waislamu siku zote ni watu wa mwilini hawana elimu ya roho.tangu lini mtu ambaye hana roho mtakatifu na ajamkili Bwana Yesu akawa na elimu ya roho ndomaana wanasumbuliwa na majini every day.ni wajuzi wa mdomoni kupotosha watu kwa mambo wasiyoyajua point zao ni za kitoto sana polojo nyingi sana kama madalali wa dini
@abdulkareemamry2043
@abdulkareemamry2043 3 жыл бұрын
@@justinesteven1036 Kati ya wakristo na waislam wapi wanaongoza kwa kuondolewa mashetan na mapepo
@justinesteven1036
@justinesteven1036 3 жыл бұрын
@@abdulkareemamry2043 :nakuuliza je waislam awajagi kanisani kutolewa mapepo au majini?mbona unaongea kitu ambacho akina logic
@justinesteven1036
@justinesteven1036 3 жыл бұрын
@@abdulkareemamry2043 pia nimefurai sana kwa kusema wakristo wanauwezo wakutoa watu majini kuonesha kwamba ukristo ni imani yenye nguvu kuliko nguvu za majini.ufalme mmoja uwezi ukajifitini wenyewe.jina la Yesu lina uwezo na nguvu kubwa sana hata majini yanakimbia yenyewe.
@simonkaggwanjala9597
@simonkaggwanjala9597 3 жыл бұрын
@@justinesteven1036 Kaka naomba unieleweshe imani yako adi leo sijawahi kuielewaa. Ivi mungu ni Yashua au Yesu
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 3 жыл бұрын
Ukristo ni dini wagalatia 3:26-29. Qoran 5:68. Achani ushoga mbugila nyie. 1 wakorintho 3:23
@saidimwampombe4976
@saidimwampombe4976 3 жыл бұрын
kaka mbona povu linakutoka yann utukane ju ya mambo ya mungu
@ibnismail8831
@ibnismail8831 3 жыл бұрын
Ungelienda kuwasaidia makafiri wenzio naon unapaniki 2
@kibatofinest8840
@kibatofinest8840 3 жыл бұрын
Ibn Ismail imeandikwa wapi wakristo ni makafiri
@ibnismail8831
@ibnismail8831 3 жыл бұрын
@@kibatofinest8840 pmbn na hy kwnza usiwe mfa maji wwee
@kibatofinest8840
@kibatofinest8840 3 жыл бұрын
@@ibnismail8831 so we uko sahihi na wakristo wamepotea?
@geraldstanslaus2796
@geraldstanslaus2796 2 жыл бұрын
Acheni ujinga
@mizzainallahwainailalhiraj8576
@mizzainallahwainailalhiraj8576 3 жыл бұрын
Jmn wenzetu wakaid lkn alokufa ndo anajuwa muda aloupoteza ktk dini isiyo sahihi
@kibatofinest8840
@kibatofinest8840 3 жыл бұрын
Kufuru hiyo
@firdausfofofirdausfirdaus4040
@firdausfofofirdausfirdaus4040 3 жыл бұрын
Let andiko usabato ni dini wewe
@brownmwakyusa7954
@brownmwakyusa7954 3 жыл бұрын
Naomba serikali izue
@vivanimajogoo3462
@vivanimajogoo3462 2 жыл бұрын
Majamaa wabishii tyu
@ikrissaidrissa8613
@ikrissaidrissa8613 3 жыл бұрын
Tatizo ni mmoja wakristo tunaingia kwny mtego wa Dini ukimuhuliza mwislamu Dini ni nini? Kila mtu anajibu la kwake ila jmn ukristo sio Dini ni njia ya kwenda kwa Mungu ila Dini ni kifaa cha kumtafuta Mungu ukristo hauwezi kuwa Dini kwa sababu tiari unamungu wakristo wengi tunaingia kwenye huu mtego sijui kwa nini
@mohamedimohamedi8933
@mohamedimohamedi8933 3 жыл бұрын
unajua maana ya ukristo?
@charlesjoseph2092
@charlesjoseph2092 3 жыл бұрын
@@mohamedimohamedi8933 Ukristo ni ile hali ya mkristo jinsi anavyoendenda kama Yesu kristo
@mohamedimohamedi8933
@mohamedimohamedi8933 3 жыл бұрын
@@charlesjoseph2092 how Jesus was prayed like Muslims by prostrates, Jesus never ate pork like Muslims, Jesus mother wore hijab like Muslims, Jesus salaam like Muslims amaani iwe pamoja nanyi the same like Muslims Jesus not for u
@charlesjoseph2092
@charlesjoseph2092 3 жыл бұрын
@@mohamedimohamedi8933 Wewe muongo Yesu alisema Sharom maana yake amani iwe kwenu
@mohamedimohamedi8933
@mohamedimohamedi8933 3 жыл бұрын
@@charlesjoseph2092 sharom in Jews in Arabic the same thing what about u Christians?
@edinahkemuntomainya6551
@edinahkemuntomainya6551 2 жыл бұрын
Waislaam jueni kwamba dini haitapeleka mtu mbinguni bali imani
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Жыл бұрын
"Na anayetafuta Dini usiyokuwa Uislamu haitakubaliwa kwake naye Akhera atakuwa katika waliokula khasara"(85:3)Qur'an.
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Жыл бұрын
"Je wanataka Dini isiyokuwa ya M/Mungu ba hali kila kilichomo mbinguni na ktk ardhi kimesilimu kw kumtii yeye kikipenda kisipende na kwake yeye kitarejeshwa"(83:3)Qur'an.
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Жыл бұрын
"Enyi Mlioamini(Waislam)mcheni M/Mungu kama ipasavyo kumcha Wala Msife ila nanyi ni Waislamu"(102:3)Qur'an.
@edinahkemuntomainya6551
@edinahkemuntomainya6551 Жыл бұрын
@@dulividuli5237 John 3:16 ukimkana YESU Kristo hata Mungu mwenyewe atakukana.Yesu peke yake ndio njia ya kuenda mbinguni.Maana yeye ndio njia, ukweli na uzima.Ukimuamini Yesu na kumkubali rohoni mwako basi wewe hauna budi kuenda mbinguni.
@bensonlangat640
@bensonlangat640 3 жыл бұрын
Tunaangalia Sana Sheikh na waislamu wanaendelea kumsifu Bwana Yesu.
@saidiissa4673
@saidiissa4673 3 жыл бұрын
Kumsifu yesu sio kosa, kosa yesu kumuita mungu na kumsingizia uongo
@mohamedimohamedi8933
@mohamedimohamedi8933 3 жыл бұрын
yesu ni mtume wa kwa wanaisreali
@bensonlangat640
@bensonlangat640 3 жыл бұрын
@@mohamedimohamedi8933kumbe umepata Yesu ni mtume,basi,endelea tu kusoma,utapata tena ni mtume kwa ulimwengu,ukienda Sana ufika hata,John 3:16 utasikia maneno mazuri
@bensonlangat640
@bensonlangat640 3 жыл бұрын
@@saidiissa4673 na kwambia unakuja mzuri tu,ukiendelea utajua pia kukuri kama mwokosi ndio vyema zaidi.
@mohamedimohamedi8933
@mohamedimohamedi8933 3 жыл бұрын
@@bensonlangat640 Mathews 15:24 he answered i was sent to lost sheeps of Israelis
@mchezakamaliog265
@mchezakamaliog265 3 жыл бұрын
Mnabahati gwajima hayupo mbona mngeyakanyaga😂😂😂😂😂😂😂
@charlesjoseph2092
@charlesjoseph2092 3 жыл бұрын
Kukamua Maiti Mavi hii nayo niyamitume na manabii??
@kutailadifi2854
@kutailadifi2854 3 жыл бұрын
@@charlesjoseph2092 kwenu mnakamuaga Kumbe
@tymchanneltv1143
@tymchanneltv1143 3 жыл бұрын
Point Ni nini
@khalidballeth5957
@khalidballeth5957 3 жыл бұрын
Hawa wasabato ni MAKAFIRI Kuna vitu vingine havihitaji degree wala uprofesa....wala diploma...haya majamaa mbona hayajielewi????
@kibatofinest8840
@kibatofinest8840 3 жыл бұрын
Kufuru hiyo bwana khalid
@mamitomamita6284
@mamitomamita6284 3 жыл бұрын
HAHAHAAAA
@shabanrama802
@shabanrama802 3 жыл бұрын
Hakuna katika vitabu vya Mungu kuwa ukristo ni dini Ya Mungu.hakuna hio
@charlesjoseph2092
@charlesjoseph2092 3 жыл бұрын
Na hata katika Qurani hakuna Andiko unyenyekevu ni dini ya Mungu kama unaandiko NDAni ya qurani linasema unyenyekevu ni Dini ya Mungu toa
@charlesjoseph2092
@charlesjoseph2092 3 жыл бұрын
@@Mchora_tz Ila zinazosema Uislam ni Dini ya Mungu Aya hizo hakuna??
@charlesjoseph2092
@charlesjoseph2092 3 жыл бұрын
@@Mchora_tz Ndio sisi ni wafuasi wa Yesu kristo ambae Yeye ndie njia na kweli na Uzima mtu haendi Mbinguni isipokua kwa njia ya Yeye na ndio maana Alisema Mimi ndimi nuru ya ulimwengu Yeye anifuate hatakwenda gizani Bali atakua na Nuru ya Uzima, Yohana 8:12 Sasa wewe unajiita Umma Wa Muhamadi Yani Mfuasi wa muhamadi akati Muhamdi Mwenyewe ukisoma Qurani 10:102 anasema Hajui atakachofanywa wala nyie mtakavyofanywa Yani hajui, Yani nimuache Yesu kristo nifate Muhamadi ambae Hajui mtakavyofanywa???
@charlesjoseph2092
@charlesjoseph2092 3 жыл бұрын
@@Mchora_tz hata Mimi nimekuaomba Aya inayosema unyenyekevu ni Dini umesema Aya hiyo hakuna
@charlesjoseph2092
@charlesjoseph2092 3 жыл бұрын
@@Mchora_tz na Yesu ni zaidi ya nabii Soma Qurani 43:61
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 3 жыл бұрын
Wakiristo wanasikitisha sana maskini tuwaonee huruma mashekh msichoke kuwaonesha njia malipo yenu kwa Mungu. Hawa ni binadamu wenzetu
@kibatofinest8840
@kibatofinest8840 3 жыл бұрын
Ionee huruma imani yako kwa maana unaona ya wenzako ya kwako huyaoni
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 3 жыл бұрын
@@kibatofinest8840 sio kuyaona ya kwangu. Nyie muko dini ya upotofu. Sisi tuko ya ukweli. Sisi tukifa tutasamehewa dhambi zetu Lakini nyie ni motoni milele. Hilo ndilo tunawahurumia
@kibatofinest8840
@kibatofinest8840 3 жыл бұрын
@@bigmanfish6346 😂😂ndugu sasa naona imani yako ndio potofu eti ukifa ndo utasamehewa dhambi zako?
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 3 жыл бұрын
@@kibatofinest8840 ndio. Hata kama muislam ataadhibiwa na Mungu kwa makosa ambayo hakusamehewa, Lakini baadae atasamehewa na kuingizwa peponi. Lakini kafiri atakaa motoni milele. Je wajua maana ya milele??
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 3 жыл бұрын
@@kibatofinest8840 hivi nikuulize? Bibilia imesema yesu kaingia msikitini. Hio aya huioni? Ikasema watu wamsujudie Mungu. Ikasema yesu alivaa kanzu na watu wazikwe kwa sanda. Hivi wewe kipofu huoni hizo aya?? Yesu Asema yeye ametumwa na Mungu Lakini Paulo Asema yesu ndie Mungu. Hivi utasikiza yesu ama paulo??
@mobutu3884
@mobutu3884 3 жыл бұрын
Tatizo nililogundua hapa huyu anaepost hizi video anachukua vipande vipande ndio anapost ila ukitafta mdahalo mzima na ukasikiliza kwa makini tena sana bila ushabiki utapata kitu, kuna point za maana sana nimejifunza mengi mno. Believe me kuna dini haipo sawa.
@kibatofinest8840
@kibatofinest8840 3 жыл бұрын
Hamna dini haipo sawa zote ziko sawa kila dini inaamini kuwa kuna Mungu aliye hai wala hafi na ipo siku sote tutahukumiwa kwa matendo yetu hapa duniani
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 3 жыл бұрын
Biblia katika 1 wakorintho 15 inasema Kama katika maisha haya TU tumemtumaini kristo sisi ni masikini kuliko watu wote. Na hapo hao waliolala katika KRISTO wamepotea. Maana yake mkristo anapaswa kumtumaini kristo katika maisha haya na maisha yajayo baada ya kufa. Usipoamini msaada wa kristo baada ya kufa kufufuliwa basiwaliokufa katika ukristo wamepotea. Lazima muelewe conditional sentences nyie maamuma wa kiislam.
@nicholauszephania3000
@nicholauszephania3000 2 жыл бұрын
Wote mmepotea kufata dini za watu weupe
@nurdinsuleimang719
@nurdinsuleimang719 2 жыл бұрын
Hakika dini mbele ya mwenyezingu ni uisilam
@waltershayo1339
@waltershayo1339 2 жыл бұрын
Wajibu swali
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 3 жыл бұрын
Waislam bhana postn vipande vyote mbona mnavificha vingine mnaficha Nini😂😂😂😂
@mathewnemes5469
@mathewnemes5469 3 жыл бұрын
Kaka hawa waislamu ni wahuni balaa wanaweka vile vipande vinavyowahusu wao tu waweke mdahalo wotee ili tujue mbivu na mbichi.
@alawyjr4741
@alawyjr4741 3 жыл бұрын
Vipande vipo vingi ww angalia utaviona
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 2 жыл бұрын
Lakini, msifurahi kwa vile pepo wanavyowatii; bali furahini kwa sababu majina yenu yameandikwa mbinguni. Luka 10:20
@lizzymbatia1925
@lizzymbatia1925 2 жыл бұрын
Wakristo wote Mungu kakataaa kabisa marumbano yasiyo na roho mtakatifuu,acheni kabisa msifikiri mnatetea Mungu, Mungu hakai kwenye Hilo kusanyiko kabisa tokeni huko njoni mhubiri habari njemaaaaaa ya ufalme WA Mungu
Haha😂 Power💪 #trending #funny #viral #shorts
00:18
Reaction Station TV
Рет қаралды 16 МЛН
Nutella bro sis family Challenge 😋
00:31
Mr. Clabik
Рет қаралды 9 МЛН
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 45 МЛН
Haha😂 Power💪 #trending #funny #viral #shorts
00:18
Reaction Station TV
Рет қаралды 16 МЛН