SAMATTA AFUNGA NDOA KIMYAKIMYA DAR

  Рет қаралды 57,926

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

4 жыл бұрын

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

Пікірлер: 77
@stanleyhenrish1055
@stanleyhenrish1055 4 жыл бұрын
Sasa hapa ile midemu iliyo kua inajipendekeza kwa captitho kama nawaona miwivu inavyo mwagika congratulation to my National team capten
@bekanjechele1554
@bekanjechele1554 4 жыл бұрын
Ndoa ya kiislamu inakamilika kwa mambo matano (1) kukubali anaeowa (2)kukubali anaeolewa (3) idhini ya walihi ( mzazi) (4) mashahidi wawili (5) kuitikia na kukubali muolewaji. zingine mbwembwe tu, Big up mbwana ali samata
@babynkossa5441
@babynkossa5441 4 жыл бұрын
Mashallah,huyu kijana ni wa aina yake,hana mashauzi,ameitawala pesa,sio pesa imemtawala,yaani yuko cool sana,ni mfano wa kuigwa,tabia zake ni za utulivu sana,hongera wazazi kwa malezi mazuri,hata ukiangalia video hii utaona kabisa anamsikiliza mzazi kwa kiwango cha juu sana,na pia mzazi ana maelekezi mazuri sana.Tumwombe Allah amjaalie katika ndoa yake,wawe na kizazi chema na maisha yenye mapenzi halisi.
@herson9343
@herson9343 4 жыл бұрын
Mashallah. Huyu jamaa hana makuu wallahi. Allah amzidishie maarifa na barka
@jafarijafari231
@jafarijafari231 4 жыл бұрын
Hii ndio ndoa. Wakati mwingine kuprosper kiuchumi kusikufanye umkufuru Allah. Ndoa imefuata taratibu za dini kwa mazingitio ya Qur'an na Sunnah. Hakuna masuala ya kupiga muziki, kulewa wala kufanya maasia. Tumeshuhudia ndoa zilizonyingi, takataka za uchafu wa madhambi zikifanyika. Sisi watu tuache na kilichochema tuige. Tumuige Samatta. Allah akujalie kher nyingi na mafanikio bora ktk ndoa yako kk.
@allyhassan7522
@allyhassan7522 4 жыл бұрын
Hakika wengi wanaojiita waislam wakiruzukiwa kidogo tu kiuchumi basi maadili ya dini yao ndo huweka kando.Nimeipenda sana hii.
@jeshilamtu863
@jeshilamtu863 4 жыл бұрын
Aaaamin
@omarinurdin8193
@omarinurdin8193 4 жыл бұрын
Allah akupe mwisho mwema samatta. Umefanya vzur
@ramadhaniahmad1797
@ramadhaniahmad1797 4 жыл бұрын
Mwenyezi mungu hawajalie kheri na baraka. . Mmetimiza nusu ya dini . Hongera sana strike mkali Africa. . Alhaji Mbwana Ally Samata
@ochogopeter8892
@ochogopeter8892 4 жыл бұрын
Hongera mdogo wangu mungu akujalie kwenye ndoa yako upate watoto wenye hekima
@omaryshafii50
@omaryshafii50 4 жыл бұрын
Allah azidi kukuongoza .. Na akupe afya njema udumu ktk maisha ya ndoa, ulichokifanya ni kuonyesha nidhamu ya fedha huna ulimbukeni na dunia .. Big up bro
@vailetmwaka2424
@vailetmwaka2424 4 жыл бұрын
Hongera sana tena sana allah akujaalie na akulinde na mabalaa
@azizauledi4108
@azizauledi4108 4 жыл бұрын
mwenyezi mungu akujalie mke mwema nakizazi chema kinakachukuwa na hafu na Allah well done
@wemalove9049
@wemalove9049 4 жыл бұрын
Hongera sana kwa kurudi nyumbani kwetu umeweka heshima kubwa
@sumayafissoo7808
@sumayafissoo7808 4 жыл бұрын
Manshaallah sama goli Allah awatangulie katika maisha mapy ya ndoa
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 4 жыл бұрын
Hongera sana Samata na umilionea wote ulionao nimekurahia na simple Harusi yako mungu awape maisha marefu wewe na mke nzuri uamuzi nzuri sana ulioufanya l Salute bro👍👍👍👍👍👌👌
@ayoubabdull1265
@ayoubabdull1265 4 жыл бұрын
Hii ndio ndoa haswa Samatta kwa hili hujabadilka,sio kujaza mijitu mipumbav haina maadil eti mastaa pumbav zao ,naona tunga tu kichwan hii ndio taratibu zetu ....wapumbav waache na upumbav wao dunian mapito tu ...nimeipenda san ...
@kiluwasalum5002
@kiluwasalum5002 4 жыл бұрын
Safi sana dogo kwa kuingia kwenye chama chetu mungu akujalie dogo
@mohammedabdallah6390
@mohammedabdallah6390 4 жыл бұрын
Mabrouk inshallah ndoa njema
@mzeemzee4748
@mzeemzee4748 4 жыл бұрын
Mabrouk Samata harusi ya heshima na adabu na maadili ya dini ya kiislam sio mastaa wengi masifa na kukumbatiana na wanawake na kucheza nao
@jimjam4162
@jimjam4162 4 жыл бұрын
MASHA ALLAH. ALLAH aibariki ndowa yenu na awape watoto watakao mtwi ALLAH.
@abuyabally5086
@abuyabally5086 4 жыл бұрын
harusi nijambo jema limefanywa na wajawema hongera samagoal
@shakilakhamis2413
@shakilakhamis2413 4 жыл бұрын
ma shaa llah hongera sanaa kakaang
@keppablanko4701
@keppablanko4701 4 жыл бұрын
Congratulation capitano God bless you
@halimambena6110
@halimambena6110 4 жыл бұрын
Mabrouk Alf mabrouk mungu awalindie ndoa yenu hd pale kifo kitakapo watenganisha inshaallah
@iddmabena6652
@iddmabena6652 4 жыл бұрын
Allwa akuruzuku kwa ibada hii njema
@salmasalim6055
@salmasalim6055 4 жыл бұрын
elf mabrook
@abdulihafidhali5379
@abdulihafidhali5379 4 жыл бұрын
Home is home.hongera sana kk
@kassimomar7589
@kassimomar7589 4 жыл бұрын
Mimi nimeipenda hii harus hana mkuu
@haroldukason4302
@haroldukason4302 4 жыл бұрын
Hakika Mbwana Samatta anajielewa. Ingekuwa wale watoto wadogo wangealika wale wanaokujaga na mabaunsa 8 na kushindana na manguo yasyoelewaka kuleta nuksi kwenye ndoa. Hongera dogo utazid kufika mbali sana.
@azizauledi4108
@azizauledi4108 4 жыл бұрын
Hongera sana Allah akuongoze ufate maadili mema ya dini yetu islam mashaa Allah
@twahirukilemile8654
@twahirukilemile8654 4 жыл бұрын
mashallah allah akujaalie maisha mazuri weye pamoja na familia yako
@khadidjayasini8688
@khadidjayasini8688 4 жыл бұрын
Mashaa allah alfu mabruok🌹
@salimliemba3458
@salimliemba3458 4 жыл бұрын
Mash Allah mabruk
@amiramir3860
@amiramir3860 4 жыл бұрын
Barakallahulakuma
@henedferej2201
@henedferej2201 4 жыл бұрын
Mabrouk
@maxmaizer4631
@maxmaizer4631 4 жыл бұрын
Ktk ndoa zote nilizo ona zimefata dini ipasavo hiyapa afu ya aina yake usiku usiku
@chandeabdallah7064
@chandeabdallah7064 4 жыл бұрын
Hongera samata
@ibrayakub476
@ibrayakub476 4 жыл бұрын
Mashallha hiyo ndio ndio inayotakiwa sio mpaka kila midia ionyeshe mwisho wa siku kufru kama ilivyokuwa ramadhan kwenye kufuturisha
@muhrajovic752
@muhrajovic752 4 жыл бұрын
Kuna vitu ni vya thamani mno Allah akikupa useme Alhamdulillaah na akimpa mja basi muonee wivu (wivu wenye faida) kama huku' KUTOJIONESHA mbele ya watu
@twaakyonlinetv99
@twaakyonlinetv99 4 жыл бұрын
maashaallah
@princessaidal1130
@princessaidal1130 4 жыл бұрын
Kila LA kheri Samata
@aminakhatibu733
@aminakhatibu733 4 жыл бұрын
Hongera Mbwana Samatta
@toxkibope9370
@toxkibope9370 4 жыл бұрын
safi sana kaka njoo chama LA wanaaaa
@ashritaabdallah6474
@ashritaabdallah6474 4 жыл бұрын
Allah awadumishe kwenye ndoa yenu
@mathewungani9724
@mathewungani9724 4 жыл бұрын
Hii ndio Ndoa impendezayo Mungu
@beatricepallangyo2821
@beatricepallangyo2821 4 жыл бұрын
Hongera sana
@hasanially9294
@hasanially9294 4 жыл бұрын
Mora akubaliki na akubaliki juu ya mke wako
@seifsaidi9911
@seifsaidi9911 4 жыл бұрын
mashaAllah
@medardjustinian5223
@medardjustinian5223 4 жыл бұрын
Nimependa sana mtindo wa maisha wa familia hii
@hafidhharuna9958
@hafidhharuna9958 4 жыл бұрын
Saf sana kaka
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Ni somo!!!
@husseinkarim6745
@husseinkarim6745 4 жыл бұрын
Samata katunyima pilao
@abdulkarimmbottoni2590
@abdulkarimmbottoni2590 4 жыл бұрын
Kimya kimya
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 4 жыл бұрын
Huyu kaka anajitambua umefanya vema.kumuoa mama watoto wako huo ndio ubinaadam, hongereni sana ndoa iwe ya heri na baraka tele
@michaelmponeja2102
@michaelmponeja2102 4 жыл бұрын
Sio matangazo mengi kama za wasanii wa kariakoo
@benjaminpatrick6364
@benjaminpatrick6364 4 жыл бұрын
Mke mbonaaa simwoniiii sasa?
@mwanamwemaomary6934
@mwanamwemaomary6934 4 жыл бұрын
Ongera xn,akunaga masifa
@minaside6717
@minaside6717 4 жыл бұрын
Hongera
@iddmabena6652
@iddmabena6652 4 жыл бұрын
Allwa akuruzuku kwa ibada hii njema
@edinamutakyawa6872
@edinamutakyawa6872 4 жыл бұрын
hongera cn
@ramadhanabdallah9614
@ramadhanabdallah9614 4 жыл бұрын
naomba tu nijue iyo qaswida kaimba nani wadau nisaidieni
@hasanially9294
@hasanially9294 4 жыл бұрын
Ume ukimbia ubaro baro
@DIweni
@DIweni 4 жыл бұрын
Huyu ndo sababu anaelewana na yule jamaa sababu tabia na matumiz ya umaarufu wao vinafanana
@hashimnkanga5722
@hashimnkanga5722 4 жыл бұрын
kwa salio alilonalo mjomba samata hii ndoa kama amelazimishwa'local sana
@salimkhamis3638
@salimkhamis3638 4 жыл бұрын
Hivyo ndo inavyotakiwa
@minaside6717
@minaside6717 4 жыл бұрын
Waislam hatuna makuu, dini imekataza kufanya kufuru hapo alipofanya ni sahihi kabsa.
@yasinshaban4933
@yasinshaban4933 4 жыл бұрын
@Hashim Nkanga ulifanikiwa hata kupita madrassa au kuckilza jpo wana zuoni wanasema nn juu ya misingi ya din? Hususan mtu kujifagharisha??
@endruwguzula5993
@endruwguzula5993 4 жыл бұрын
huo ndomwisho wauelewa wako inaelekea wewe ungekua napesa ungefungia angani samata sio limbukeni naanajua anachofanya usimzungumzie m2 fanya yako 2one
@hizzamtunguja8133
@hizzamtunguja8133 4 жыл бұрын
amehalalishiwa maana watoto wawil hakumbuki ndoa, allaah amsamehe
@KobbyTz
@KobbyTz 4 жыл бұрын
Zama zimebadilika dunia sasa ina mambo mengi, kuna ndoto na malengo, mipango na mikakati ya maisha katika maisha, pia kusubiri wakati ambao Mungu atakufungulia milango ya kufanya jambo, muda wake umefika baada ya kuweka mambo yake sawa ameamua kufunga ndoa, tumpongeze kwa hilo pasi na kuangalia alipokosea kwani ni Mungu tu ndio anayepaswa kuhukumu.
@omaryommy404
@omaryommy404 4 жыл бұрын
Jibu Zurich sana kk
@nickymunuo9134
@nickymunuo9134 4 жыл бұрын
Kaoa magomeni apa hahahah
@ahdahmed8383
@ahdahmed8383 4 жыл бұрын
Maashaallah
@ashritaabdallah6474
@ashritaabdallah6474 4 жыл бұрын
Hongera sana
@mgasathedon1579
@mgasathedon1579 4 жыл бұрын
Kama kalazimishwa vile
哈莉奎因以为小丑不爱她了#joker #cosplay #Harriet Quinn
00:22
佐助与鸣人
Рет қаралды 8 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 12 МЛН
TAJIRIKA NA KILIMO CHA ALIZETI
12:51
Tanzania Kilimo digital Tv
Рет қаралды 1,1 М.
ANGALIA MR RIGHT ALIVYOWAPA WAKATI MGUMU WAREMBO
2:39
ST BONGO TV
Рет қаралды 482 М.