Kilimo cha papai,ni kilimo ambacho kinafaida ya muda mfupi na pia gharama ya kufanya kilimo hichi ni ndogo ukilinganisha na mazao mengine,ambapo pia unaweza kufanya kilimo mseto ili uweze kunufaika vema na shamba lako.
Пікірлер: 11
@philiponkoswe53192 жыл бұрын
Asante kwa kipindi bora
@philiponkoswe53192 жыл бұрын
Je sababu za kuungua kwa majani
@bonytarimo28773 жыл бұрын
Hongera mtaalam kwa Elimu Tunaomba no yako
@mrmahmoud12783 жыл бұрын
Hongera mkulima ila ungepunguza utegemezi wa mbegu za kisasa. Bado mbegu za kiasili tunatoa katika papai na zinafanya vizuri sana na zina faida zifuatazo ukilinganisha na za kisasa.. 1. Papai lake tamu zaidi 2. haziathiriki na magonjwa kirahisi. 3. zinastahamili ukame 4. hazina gharama 5. Unazipata muda wowote nk
@changanikisesa70212 жыл бұрын
Pls nipe contact
@mrmahmoud12782 жыл бұрын
@@changanikisesa7021 upo wapi wewe? me nipo Zanzibar
@yohanamwakanyelenge3786Ай бұрын
Barikiwa songa mbele nakufuatilia
@richardmatete96793 жыл бұрын
Umetuelekeza vizuri inahamasisha ombi,tuwekee namba ili tupate maelekezo zaidi ya hapo
@chambagoagrovet1720 Жыл бұрын
l
@evakanyeka6994 Жыл бұрын
Tunaomba namba ys cmu tafafhali
@rahmaguchiba73003 жыл бұрын
Naomba namba za cm kwa mafunzo zaidi na kuhusu masoko