No video

Shambulio la risasi dhidi ya TRUMP lawatia doa kubwa Secret Service, Mshambuliaji alipenyaje?

  Рет қаралды 24,233

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 61
@JOHNINSURANCE
@JOHNINSURANCE Ай бұрын
Asante kwa makala nzuri. Majeshi tu ujisifu yako tyar mda wote n.k n.k n.k lakn maswala haya ya usalama ata uwe perfect vipi mwisho wa siku huwa n TYMING TU BASI. anayekutym basi licha ya kwamba mwaweza kuw vizuri kiasi gani. MUNGU ndiye mlinzi pekee wa kweli na wa usalama vyema. MUNGU NI NI Idara ya usalama tosha.
@TrinaRoman345
@TrinaRoman345 Ай бұрын
Kila siku nasema ukiona taifa linakosoa mataifa mengine ujuwe kwao ndo tatizo linapoanzia wala hakuna cha kujufunza😏🤗 ingekuwa limetokea afrika yani hani miswada yao ya kishoga wangesitisha 😢 Mungu atawaumbua mbona kwenye kiti kuna robot bado hapo hapo ulinzi kwa watu hovyo tu
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 Ай бұрын
@@TrinaRoman345 Ccta hawa jamaa ni wajinga sana yaan wanawaona wenzao mbumbumbu so bora ilivyotokea kwao
@waithirahnaomy1573
@waithirahnaomy1573 Ай бұрын
Mungu ni mwaminifuu ..tunashukulu
@furahajacob9110
@furahajacob9110 Ай бұрын
Hatari.,..xana
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 Ай бұрын
Walilenga kumuua Trump sio kwamba hawakujua hii ni 'potential targeting position'
@user-eg1ts2fu9z
@user-eg1ts2fu9z Ай бұрын
swali ni kwamba mshambuliaji hakusogea sehemu yyt alipigwa risasi palepale na yy aliwekwa kwe target
@user-vf3wt3sb1h
@user-vf3wt3sb1h Ай бұрын
Lazima wamuue kwasababu ameshindwa kutimiza alichotumwa kwaiyo lazima wapoteze ushahidi.
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 Ай бұрын
Sera zake za kufukuza wahamiaji.
@disanatv4485
@disanatv4485 Ай бұрын
This is not a dream to say you will forget in the morning when you wake up, I think that is something that Biden should understand.
@user-wn3zb5xv6v
@user-wn3zb5xv6v Ай бұрын
Jamaa kakosea shabaha watuwake wanamlaumu sana
@aminaali792
@aminaali792 Ай бұрын
SNS NDIO MY NUMBER ONE CHANNEL 🙌🏾👏🏾😍🤍
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 Ай бұрын
Sniper hajalenga ipasavyo kwanini kapaniki angetulia alenge kwenye paji la uso tu trump you must GO please 🙅🏾‍♀️🙅🏾‍♀️🙅🏾‍♀️🤷🏾‍♀️
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 27 күн бұрын
My be you ll go before Trump
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 Ай бұрын
Hawa Security na system wanahusika kwa upande fulani
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 Ай бұрын
Bora ilivyotokea Marekani kwetu Congo 🇨🇩 hali tete tumuombe Ibrahim Taore aje😢😢😢
@samtechtanzania3252
@samtechtanzania3252 Ай бұрын
Alisema dj sma+255 aise kweli atakubaliwa kuingia Ikulu ya white house
@bilid4128
@bilid4128 Ай бұрын
Historia huwa inajirudia...Wana tabia ya kupigana Risasi
@jovnechrispine436
@jovnechrispine436 Ай бұрын
Da atali sana 😮😮
@hazygardmericho9571
@hazygardmericho9571 Ай бұрын
kosa ni la mdunguaji hakua na shabaha
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 Ай бұрын
😂😂😂😂
@kagoyemwambal9061
@kagoyemwambal9061 Ай бұрын
Had ya kifo chake bado huy
@dannywillson5874
@dannywillson5874 Ай бұрын
Haya maisha uwez kuwa na akili zaid kuliko wote watu wapo na akili na mipango 🤝🫡
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Ай бұрын
Donald Trump💪
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e Ай бұрын
Noma san
@RamadhanpMwakilasa-di5hc
@RamadhanpMwakilasa-di5hc Ай бұрын
Dahh jamaa hana shabaha kabisa🫣🫣🫣🫣
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 Ай бұрын
Umeona eeeh😂😂😂😂😂😂😂😂 ingekua mm ningemdua ya jicho na kumsambaratisha ubongo
@user-ni2kv3yf6e
@user-ni2kv3yf6e Ай бұрын
😂😂😂😂
@SalumJuma-iz2gj
@SalumJuma-iz2gj Ай бұрын
Uyo muuwaji sijui haoni au sijui ana makengezaa sasa kamkosajee,?
@user-ps5co3pc3f
@user-ps5co3pc3f Ай бұрын
Pumzika Kwa amani John F. Kennedy
@pesaspy_tv
@pesaspy_tv Ай бұрын
Hapa mdy ingekuwa Africa sasa kiongozi mpinzani kashambuliwa ingekuwa balaa
@samehewaliokukoseya2605
@samehewaliokukoseya2605 Ай бұрын
Africa atustuke naiyo wametutesa sana
@ankalmzito254
@ankalmzito254 Ай бұрын
RUTO MUST GO
@NdovuDentalClinic_
@NdovuDentalClinic_ Ай бұрын
Ila ingekuwa wabongo wangekimbia 😂😂😂😂
@pascalmanyama2304
@pascalmanyama2304 Ай бұрын
Tungekuwa kina sie hapa wangesema ulinzi ni dhaifu.Mlinzi ni Mungu tuu,Trump asingegeuza shingo kuangalia kulia risasi ingempata vizuri kichwani,Mungu apewe sifa.Binadamu akiamua kufanya ushetani ni ngumu kumzuia.
@kidyybravo5267
@kidyybravo5267 Ай бұрын
Leteni GPS
@aishaarusha894
@aishaarusha894 Ай бұрын
Yajayo yana furahisha😂😂😂😂😂😂😂😂
@mlelwatv5831
@mlelwatv5831 Ай бұрын
Aisee trump ni jasiri ona alivyosimama imara ningekuwa mimi hapo daa aisee mikojo na kutetemeka tii😂😂
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Ай бұрын
👍✌️👊.
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 Ай бұрын
Aliyetumwa kumpiga risasi Trump, ameuliwa na waliomtuma...sababu alilipwa pesa nzuri na ameshindwa kutekeleza wajibu wake na kuua ushahidi....tuliosoma Cuba hapo tunasema NO case😂😂😂
@user-bs1od1zl4m
@user-bs1od1zl4m Ай бұрын
Taifa hilo halifai kukosoa mataifa mengine kwa mambo ya ajabu kamahayo
@leeyjr1446
@leeyjr1446 Ай бұрын
😊😊
@SadamKapere
@SadamKapere Ай бұрын
Akuna kuti brother aacha kupotesha watu wemweye umeona kama iyo kitu sio it's just a trick
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 Ай бұрын
Hivi kingetokea nini nchini endapo tu jamaa angefanikiwa? Asa kwenye uchaguzi
@shamslukumay2627
@shamslukumay2627 Ай бұрын
Editing
@Thobiaslucaskipara
@Thobiaslucaskipara Ай бұрын
ndo tukuulize wewee
@user-js5ox2mo1j
@user-js5ox2mo1j Ай бұрын
trap aliusurika kifo Jana
@janetlamb9018
@janetlamb9018 Ай бұрын
Halijashtua dunia 😂
@user-yp9el7xp8g
@user-yp9el7xp8g Ай бұрын
Hii ilipangwa na ikapangika ili apate umarufu
@Makikokasongo
@Makikokasongo Ай бұрын
Hapana target imeenda penyewe bahati tuu
@azizayassin3623
@azizayassin3623 Ай бұрын
Terrorist Terrorist attack ama ni mtu alikuwa na bunduki kazi kweli kweli😮
@user-ql6hg7fy9p
@user-ql6hg7fy9p Ай бұрын
Jaribio la kumuuwa Donald Trump ni aibu kubwa kwa Marekani, ingawa hii ndiyo michezo yao michafu wanayoifanya kwa viongozi wazalendo wa mataifa mengine Dunia, na Ronald Reagan Rais wa zamani wa Marekani, naye aliwai pia kukumbwa na hali hiyo kama ya Donald Trump. Donald Trump aliwai kusema kwamba wanataka kuniuwa, aishi Donald Trump, japo atambue wahuni wapenda vita wako ndani ya Serikali ya Marekani wanamuwinda. Na wakati mwingine Mungu akitaka kukupa anguko anakutia kwanza kiburi, nawaza hili tukio lingetokea Urusi ya mzalendo wa kweli Vladimir Putin, vyombo vya habari vya magharibi ungesikia wakisema CIA na FBI walikuwa wanajua na waliwatahadharisha.
@gosbertireneus5558
@gosbertireneus5558 Ай бұрын
hahahaaaa...hapo ulipomalizia hapo pamenifurahisha sana,hawa jamaa kuuana ni kawaida walimuua John Kennedy na wengine kibao tu,hiyo ni fedheha kwa taifa kinalojifanya kuwa ni democratic state
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga Ай бұрын
Wenyewe wamemtuma huyo ,lkn sio tatizo kumuuwa kw sababu ya uzembe wake.
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE Ай бұрын
bwege
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga Ай бұрын
@@PAULNYANDILE 😃😃
@ayoublupande3007
@ayoublupande3007 Ай бұрын
Hawa wametengeneza wenyewe ili kutafta namna ya tramp kumpa nguvu 😢 hahaha 😂
@nsusabudda2951
@nsusabudda2951 Ай бұрын
Kwaiyo angepigwa yakichwa..ingekuwa ajari kaz sio....?
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 Ай бұрын
​@@nsusabudda2951kila kitu watu wanahisi ni kiki dooo
Putin amwalika Rais Pezeshkian wa Iran kuhudhuria mkutano wa BRICS
1:47
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 1,4 М.
Thank you mommy 😊💝 #shorts
0:24
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 33 МЛН
Wednesday VS Enid: Who is The Best Mommy? #shorts
0:14
Troom Oki Toki
Рет қаралды 50 МЛН
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Audio)
2:53
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 8 МЛН
Majeshi ya ISRAEL yadaiwa kuua Wapalestina 52 Jumanne hii pekee!
2:20
UDADAVUZI mtitiriko wa TRUMP kupigwa risasi! Kulikuwa na SNIPER wa pili
35:47
Thank you mommy 😊💝 #shorts
0:24
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 33 МЛН