No video

SHEBBY |BIL 6 ZA USAJILI SIMBA HAZIWEZI KUSHINDANA NA AUCHO NA CHAMA | MO HAJAWAHI KUKOSA KOMBE LIGI

  Рет қаралды 11,432

Finest Online

Finest Online

Ай бұрын

Пікірлер: 64
@DavidSwila
@DavidSwila Ай бұрын
Chagamba tunamtaka mzee Saidi .nakufatilia toka South African
@fabiandanford3572
@fabiandanford3572 Ай бұрын
Chagamba ukitaka brand yako iwe na thaman angalia wakuhoji ii yakuokota okota wasio eleweka utapoteza wateja uyo hata mpira hajui msikikatae badae
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l Ай бұрын
simba nguvu moja 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@user-mg1yl2rl8s
@user-mg1yl2rl8s Ай бұрын
Huyu anaongelea mpira au kitu gani? Haeleweki ana hasira kama kabakwa😢
@mwansasujonny3536
@mwansasujonny3536 Ай бұрын
Mmh... Hawa jamaa wanajidanganya Hawa.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
SIMBA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@stellamboya8673
@stellamboya8673 Ай бұрын
Hapo unaongelea wazee na vijana tusubiri tuone simba tulichifariji hivyo ila kilichotukuta mlikiona na chama kwenda yanga ni sawa na alivyoenda berkane hata simba wangemtaka sana chama tungezidi kuumia ni bora wanasimba msiuzunike muda wa chama simba ulishaisha hata yanga umeona wamempa mkataba mwaka mmoja
@samwelmasunga8293
@samwelmasunga8293 Ай бұрын
Apo mume sema kwel make mzee saidi ,milaji, na mzee masatu hao ni 🔥
@jumamakame3978
@jumamakame3978 Ай бұрын
Huna kigugumisi jibu uzuri😂
@user-wv2gf9tx5m
@user-wv2gf9tx5m Ай бұрын
msije mkawakataa baadae
@richardmafumba1780
@richardmafumba1780 Ай бұрын
Timu hujawahi kuiona ikicheza kwnye mechi yeyote,lkn unavyoelezea,nahisi huyu anashindwa kutofautisha mpira halisi na mapenzi ya timu
@NiceMussa
@NiceMussa Ай бұрын
Watu kama hawa sio wakuwahoji
@user-mg1yl2rl8s
@user-mg1yl2rl8s Ай бұрын
Ndo maana wanaonekana majuha au mbumbumbu😅
@user-mg1yl2rl8s
@user-mg1yl2rl8s Ай бұрын
Yaani akili zao zilivyo hata mo aseme leo anamsajiri mwigulu nchemba utaskia wanakwambia ni bonge la mchezaji kipaji kilikua kimejificha kwenye siasa😅😅😅😅😅
@user-wn9bp5cl1j
@user-wn9bp5cl1j Ай бұрын
Jamaa anajua sana
@raphaeltanzania
@raphaeltanzania Ай бұрын
chagamba punguza haraka mwamba ana madini usifanye tukose nondo harafu huyu mwamba ni mtu na nusu
@NiceMussa
@NiceMussa Ай бұрын
Na kidomo chake kama ndege😂
@nassirabas
@nassirabas Ай бұрын
Chagamba na mzee wako said 😅nyie munachekesha sio media
@jumamakame3978
@jumamakame3978 Ай бұрын
Tuekee iyo video chagamba😂😂
@husseinmbunji8847
@husseinmbunji8847 Ай бұрын
chagamba mbona unahijigi watu wa simba tu
@richardmafumba1780
@richardmafumba1780 Ай бұрын
Huyu jamaa upeo mdogo,Lameki Lawi yuko wapi na alitambulishwa?,wapi ambao wanadanganywa
@abdallahmwanga5792
@abdallahmwanga5792 Ай бұрын
😂😂😂😂 Huyu boya asikimbie tarehe 8 au 9....
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn Ай бұрын
Ni kweli mzee zaidi ajitokeze jamani
@abdallahmwanga5792
@abdallahmwanga5792 Ай бұрын
MASHABIKI WA SIMBA,BADO SAAAAANA AISEE...😂😂😂😂 YAANI NI MAMBURULA VIBAYA SANA... MAMBUMBUMBU...😂😂😂😂
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb Ай бұрын
Ww chagamba niyanga unapenda yanga ikisifiwa
@pidibegashe768
@pidibegashe768 Ай бұрын
Ila wewe jamaa chagamba wewe ni yanga kabisa😅😅
@josephmandala2225
@josephmandala2225 Ай бұрын
Shebby duuuh mbona mwanzo nilikuona mtu wa mpira mbona mpnz yamekuzidi sasa .
@user-il6rm7cj1g
@user-il6rm7cj1g Ай бұрын
❤❤❤❤❤
@user-bx1qo9fe3q
@user-bx1qo9fe3q Ай бұрын
Huyu sio mtu wa mpira ni shabiki wa simba ngoja uoneeeeeeeee wewe koloooo
@maimunaathumani9121
@maimunaathumani9121 Ай бұрын
Bona chagamba bona una hasira
@festosimon232
@festosimon232 Ай бұрын
Ila chagamba.
@Shadia544
@Shadia544 Ай бұрын
Wakwanza leo naomba LIKE zangu CHAGAMBA JAMANIII MLETE MZEE SAIDI JAMANIII TUMEMMIS JAMANIII 😂😂😂😂😂
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
ILE KITU VP??? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Shadia544
@Shadia544 Ай бұрын
@@salimmalaka256 Salim sitaki ugomvi na wewe 🤣🤣🤣🤣🤣kitu gani tena jamaniii 🫢🤣🤣
@wizzyfernando8655
@wizzyfernando8655 Ай бұрын
Shadia
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
@@Shadia544 SI ILEE NAMESA MESA HAHAHAHHH
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
@@Shadia544 TENA UNILIPIE KODI KAMA YULE DADA WAKIOMANI HAHAHAHHH
@paulmwandambo7799
@paulmwandambo7799 Ай бұрын
Chagamba unaanza kukosa heshima , ni watu Gani unao wahoji haoooo
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
TULIZA KIJAMBIO HICHO
@Bquality
@Bquality Ай бұрын
Chagamba unafeli chaliangu...fanya hv we muhoji mzee saidi huyo hata hajielewi.
@user-nt4ov8uv4n
@user-nt4ov8uv4n Ай бұрын
Chagamba utafeli ,huyo bwege anaongea kishabiki,,hajui mpira,mtafute Mzee saidi au miraji!
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
MTAUFYATA TU MATOPOLO MACHOGO FC NYIE 😂😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO
@kiwakhalid4981
@kiwakhalid4981 Ай бұрын
Leo changamba umekosa wa kuhoji
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
TULIZA KIJAMBIO HICHO
@azizasoli
@azizasoli Ай бұрын
Sasa kinakuuma nn hersi akitudanganya, wakat azz yupo yanga na bado mtateseka sana mwaka huu
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
UNA JINA ZURI TATIZO NI UTOPOLO MACHOGO FC 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO
@user-mg1yl2rl8s
@user-mg1yl2rl8s Ай бұрын
​Jina lako la Salima ni zuriiii ewe ​utopolo wa mo dewji aka UTOMO au mbumbumbu juha 😅😅😅😅​@@salimmalaka256
@minaniormar5841
@minaniormar5841 Ай бұрын
MNADANGANYWA KWANINI WASIWAPI CARD ZAWANACAMA DUUUUUU,
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
HAIKUHUSU TOPOLO MACHOGO FC WEWE 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO
@paulmwandambo7799
@paulmwandambo7799 Ай бұрын
Huyu umemtoa wapiii
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
MULIZE SHANGAZI YAKO ASHURA CHEUPE 😂😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO
@samychomakantastymela7175
@samychomakantastymela7175 Ай бұрын
Chagamba huyu nani tena unamuhoji anaongea vitu havieleweki
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
TULIZA N'NYEE HIYO 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 MATOPOLO MACHOGO FC 😂😂😂😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO
@mbatilombatilo5526
@mbatilombatilo5526 Ай бұрын
HUYU HAMNA KITU HANA CONTENT HUYU....tafta watu makini...muache huyu na mambo yake huko atakuharibieni tu....hana CONTENT kabisaaaaa
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
TULIZA KIJAMBIO HICHO 😂😂😂😂😂😂😂 MACHOGO FC 😂😂😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO
@idybwoytz8485
@idybwoytz8485 Ай бұрын
Mupuziii san daaaah MB zangu 😢😢😢😢
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 54 МЛН
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 9 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 43 МЛН
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 54 МЛН