SHEIK YUSUF DIWANI AUNGANA NA DR SULLE KUHUSU WAISLAMU KUWATUMIA MAJINI, APINGANA NA USTADHI SHAFII

  Рет қаралды 2,773

SIMULIZI ZONE

SIMULIZI ZONE

15 күн бұрын

TUMEONGEA NA SHEIK YUSUF DIWANI KUHUSU WAISLAM KUJIHUSISHA NA MAJINI NA HAPA ALIKUWA ANAFUNGUKA JINSI WANAVYOTUMIKA KUWASAIDIA

Пікірлер: 26
@nassoroyahaya821
@nassoroyahaya821 12 күн бұрын
Hello,Ustadh katika Umma wa kijini ulioishi hapa Duniani zaidi ya miaka 2000 kabla ya kuwepo kwa Mwanadamu,na hao majini walifanya dhambi na kufanya uasi na siku zote chanzo cha uasi ni Shetani je,hao majini Shetani wao ni nani ...anaitwaje na dini inatwamhia nini juu ya hilo
@SIMULIZIZONE
@SIMULIZIZONE 12 күн бұрын
Nashukuru kwa hili swali, inshallah tutapata majibu
@Khmediy3241
@Khmediy3241 12 күн бұрын
Chanson cha uasi cha kwanza ni nafsi shetan wapili nafsi pekee inaweza peleka mtu motoni
@Khmediy3241
@Khmediy3241 12 күн бұрын
Nafsi imeumbiwa kupenda rakhaa n'a kwenye Raha ndo Zambi ilipo
@HamisAbdallah-cj2sc
@HamisAbdallah-cj2sc 13 күн бұрын
HUYU SHEIKH DIWANI SIJAWAHI KUMUELEWA HATA SIKU MOJA UNAKUMBUKA ULIWAHI KUMTETE SHEIKH ALHADI MUSA KUHUSU ALELUYA KUWA NI SHAHADA ILA AHEIKH MUHAMEDI BACHU AKAKUKOSOA MWISHO WA SIKI USTAZI SHAFI AKAMALIZA MJADALA KUWA HALELUYA SIO SHAHADA DIWANI NI MFATA UPEPO MBONA WEWE HUWATUMII MAJINI UWE TAJIRI ACHENI UONGO .ALLAH ATAWADHALILISHA.MIAKA YOTE MLIKUWA ANAPINGA KUHUSU KUWATUMIA MAJINI MKIWA MKIWAJIBU WAKIRISTO LEO MNASEMA NI HALALI WAISILAMU TUMEINGILIWA ALLAH TUNUSURU NA HAWA MASHEIKH WAPOTOSHAJI
@safinamaridhawa
@safinamaridhawa 13 күн бұрын
Nimekuelewa sana sheikh kwa ufafanuzi uliokuwa bora na ufasaha wa hali ya juu
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m 13 күн бұрын
Duh kweli naamini sasa dunia imefika ukingoni kabisa 😂😂😂😂 Tunahalalisha kuishi na waasi wa mwenyezi mungu
@shepherd1x84
@shepherd1x84 11 күн бұрын
Wenye masikio hawaambiwi sikiza..majini ni mashetani.,ndio mapepo wabaya woooooooote!Hakuna mwema katika mashetani
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 12 күн бұрын
Kunabaadhi yamaswali hayaja jibiwa muandishi ameomba aya au hadithi ya mtume muhammadi ilio sahihi inayo thibitisha kunanguvu inafaa kuliko ya Allah
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 11 күн бұрын
ASANTE KWA KUWAELEZA UKWELI WAISLAMU KWAMBA UISLAM NI DINI YA MAJINI, WAKRISTO SISI MAJIN NI MALAIKA WALIOMUASI MUNGU NA WANASUBIRI MOTO WA JEHANAM
@msemakweli243
@msemakweli243 13 күн бұрын
Waisilam watabisha na kubisha lkn ukweli ni kwamba uisilamu bila majini ni ngumu na bila ya shaka yoyote ndugu wa muisilamu ni muisilamu
@nubianqueen6700
@nubianqueen6700 7 күн бұрын
Mashekhe wa mchongo
@austorb.nyondo2708
@austorb.nyondo2708 13 күн бұрын
Acha uongo mkubwa huo, hatuna majini yanamuabudu Yesu. Kwanza yalikimbia mbio yakaomba asiyaangamize bali ayaruhusu yawaingie nguruwe tu
@berry4726
@berry4726 12 күн бұрын
Wakristo ndio wanaokula nguruwe hehehehe mtihani kweli watakuwa na majini wengi wachafu.
@TheAlman
@TheAlman 13 күн бұрын
Huyunae mjinga kwer sasa huyo alieandika hicho kitabu si mwanadamu sisi tunataka ushahidi wa qurani sio mananeno ya upuuzi
@johnwoshi3459
@johnwoshi3459 13 күн бұрын
We diwani Unakwepa hoja habari ya nyoka unaleta story za uongo
@abdallahcharif8252
@abdallahcharif8252 13 күн бұрын
Tuna mpata dje mzee diwani wa pale kigoma?
@baqirmkilindi9369
@baqirmkilindi9369 3 күн бұрын
Hata wakristo wanayo soma biblia
@nubianqueen6700
@nubianqueen6700 7 күн бұрын
Ahsanta sana simulizi ingawa wewe sio muislamu, unasisitiza sana aya itoke kwenye Qurani, pia sisi hapa waislamu tunataka dalili kutoka kwenye Qurani, lakini hawatatoa kwa sababu hamna.
@TheAlman
@TheAlman 13 күн бұрын
Hili nalo jinga tu
@shaakirahmussa9291
@shaakirahmussa9291 13 күн бұрын
Ma sheikh awa hawana muelekezo isipokuwa wanatizama kwenye Kuna maslaha yawo. Hatuna mausiliyano sisi namajini nukta
@StanleyMadinda
@StanleyMadinda 13 күн бұрын
Bado huna elimu ya dini 😅😅😅
@sulekhan7119
@sulekhan7119 12 күн бұрын
@@shaakirahmussa9291 Haujui chochote kuhusu majin
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 13 күн бұрын
Wewe mwandishi wa habari huna jipya unatafuta content tu huna lingine ..mana maswali ni hayohayo Kila wakati unajibiwa maswali vizuli kabisa lakin huelewi kutwa kuuliza maswali ambayo ushapewa majibu Sasa sijui Nia yako ni nini...
@IdrissaMoussa-tx7jy
@IdrissaMoussa-tx7jy 13 күн бұрын
Uyu jama ni muongo kweli
Uwanja wa chemka leo hoja za majini na Shetani za letwa kwa wingi kumechemka sana
1:31:35
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 11 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 104 МЛН
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 37 МЛН
WAKRISTO WA MADHEHEBU TOFAUTI WAHITILAFIANA JUU YA BIBLIA
57:21
Straight Path Dawah
Рет қаралды 10 М.
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27