WAKRISTO WA MADHEHEBU TOFAUTI WAHITILAFIANA JUU YA BIBLIA

  Рет қаралды 5,140

Straight Path Dawah

3 күн бұрын

@StraightPathDawah #RamadhanKuria kwenye Dawah mitaani akishirikiana na baadhi ya wana Dawah kutoka jijini Nairobi. Tafadhali subscribe..

Пікірлер: 60
@MohamedMeja
@MohamedMeja 3 күн бұрын
Mashallah mungu awaongozea wakristoo
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk Күн бұрын
Amiin
@chiefmkalikibz1503
@chiefmkalikibz1503 2 күн бұрын
Hai ipo wazi masheikh zangu, na hata wao kwa wao wadhihirisha kwa kukarangana. ALLAHUMMA TUJAALIE TUFE KATIKA UWANJA WA MAPAMBANO BALI SIO KATIKA VITANDA VYETU TUKIWA TUMESIBA #MANDIY. #Armie2Palestine #WorkForChange #WorkForPeace #WorkForKhilafah
@josemu870
@josemu870 2 күн бұрын
Barikiweni sana sana
@azizashiundu5778
@azizashiundu5778 2 күн бұрын
Mashallah
@user-fr6rv2yb4s
@user-fr6rv2yb4s 3 күн бұрын
Sheikh leo kuna shida,munabishana na hawa mkitumiya story na fikra badili ya kuwanyamazisha na maandiko kama kawaida yenu.Kuna aya nyingi ndani ya biblia ya kuthibitisha yesu siyo mungu. Hii ya leo imekuwa story. ALLAH awabariki kwa kazi mzuri
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 күн бұрын
Hakujasomwa vitabu au umetazama nusu na kuhukumu?
@twaine40
@twaine40 2 күн бұрын
Hawa uelewa wao nifinyu Sana yaani Mtu yuasoma andiko na Bado yuabishana Sub'haana Allah
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 2 күн бұрын
Mashaallah Allha 💖
@dominicwafula3997
@dominicwafula3997 9 сағат бұрын
Sheikh Abbas amenikosha sana alipo wafunga kwa kuwauliza sai yesu upo wapi na tena kma nani nilingoja swali hilo sana mpaka raha MashaAllah😂😊
@Mimein-vn7or
@Mimein-vn7or 2 күн бұрын
Allah akujaze kheri ya Dunia na akhira.
@Jingajinga64
@Jingajinga64 2 күн бұрын
Hao wa leo wamekuja kwa nia ya ushindani na kuharibu muhadhara. Na leo pia utaratibu umeharibiwa na hao jamaa. Musiwakubalie kamwe siku zijazo. Shukran
@user-ng1po1dh4z
@user-ng1po1dh4z 2 күн бұрын
Huyo Anaejifunika kofia usoni, anaona aibu, kwa ukweli uliomo ktk. Biblia kitabu wanachokiamini. Kubali hamkubali, Yesu si Mungu, yeye alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu.
@seifissa9705
@seifissa9705 2 күн бұрын
Yaani hao jamaa mungu awasamehe
@mohamedmaina2279
@mohamedmaina2279 2 күн бұрын
Shukuran
@MohammediSemndili
@MohammediSemndili 2 күн бұрын
Masha allh mungu awabariki nasubir part3 kama itakuwep
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 күн бұрын
insha'Allah
@adanabdi5249
@adanabdi5249 2 күн бұрын
Sawa
@prettyaysha7892
@prettyaysha7892 2 күн бұрын
Hii kazi haitaki hasira wallah mm ni mwanamke lakini naskia kugonga huyo wa white aki hata ingekua mm ndio nnafanya hii ningekaa na manundu ya uso kwakupigwa😊
@user-fc6uf6be5u
@user-fc6uf6be5u 5 сағат бұрын
😂😂😂 subhana Allah yaani binadamu kazaaa Mungu wawakristo daaaa
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 Күн бұрын
Hawa niwabishi tu hawana wajuwalo
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 2 күн бұрын
Tomaso ni chizi! hio ni kali
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 20 сағат бұрын
NimechekaetiTomato.nichizi@🇹🇿🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Adm9464
@Adm9464 2 күн бұрын
Confusion continues. Wakristo hawasikisani.
@hamzamohamed377
@hamzamohamed377 3 күн бұрын
Bro naona wengine wako na feelings chunga usivamiwe
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 20 сағат бұрын
Allah.yupo.mlinzi.mkuu.atamlinda.leo.mpakakesho.yaumalikiama.lnshaAllah
@muddathirkassim2407
@muddathirkassim2407 2 күн бұрын
Eti yesu alikuwa kwakanisa,,,😂 hata hana haya 😂
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 Күн бұрын
Yani wamejazwa imani ambayo kwa maandiko hakuna mpaka wanaikataa Bibilia yenyewe...duh! Mtihani kweli na hawa marafiki zetu
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 20 сағат бұрын
SubhanaAllah.
@samxx411
@samxx411 2 күн бұрын
Huyu jamaa alovaa kofia hajui hata anasema nini?? ilimradi na yeye aseme.
@zainabhussain4114
@zainabhussain4114 2 күн бұрын
Kweli 😂😂
@namasakajuniorke3886
@namasakajuniorke3886 Күн бұрын
Kama nyinyi vidume kweli muweke video yote mnakata mahali niliwagaragaza
@wakeshojana
@wakeshojana 3 күн бұрын
HIYO SI ISHU YA AJABU....HATA WAISLAMU WA MADHEHEBU TOFAUTI HUITILAFIANA JUU YA KORAN.......TAFUTA RUTO AKUPEE KAZI HUNA HOJA.
@abdulJambe
@abdulJambe 2 күн бұрын
Qur'an ni Moja Wacha makasiriko mlaji nguruwe
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 күн бұрын
Sijaomba KAZI labda wewe uje nikuajiri
@softymoha5484
@softymoha5484 2 күн бұрын
@@chapchap-oz1ou Quran ni moja dunia yote kwa taarifa yako...then ibada yetu ni moja..dunia kote
@samxx411
@samxx411 2 күн бұрын
Hakuna hicho kitu, qurani ulimwengu mzima ni moja tu....labda useme tafsiri inaweza kuwa tofauti kulingana na lugha ya sehemu..lakini qurani ya asili inabaki kuwa ni moja tu.
@mahmudmugarura2175
@mahmudmugarura2175 2 күн бұрын
​@@chapchap-oz1ou mnapotea sababu hamjui maandiko wakristo walio kuepo wangapi wametoa Andiko,,? Chunga usije ukaolewa tena wewe ni mwanaume.mburukenge
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 47 МЛН
FOOLED THE GUARD🤢
00:54
INO
Рет қаралды 64 МЛН
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
00:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 7 МЛН
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 137 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 47 МЛН