Sheikh Alhad Mussa Atupa Jiwe Gizani "Namshangaa Sheikh Anayeshangaa Msheikh Kumiliki Bastola"

  Рет қаралды 17,044

QIBLATEIN ONLINE

QIBLATEIN ONLINE

2 ай бұрын

QIBLATEIN ONLINE Ni channel ya dini ambayo inajihusisha na kukusanya taarifa za kidini kutoka Tanzania na huripoti matukio yote ya ndani ya Tanzania kila siku kupitia FACEBOOK, INSTAGRAM KZfaq @QiblateinOnlineTv)
🙏🤝Tafadhali🙏Subscribe #qiblateinonlinetv #ili uwe sehemu ya familia hii muhimu.
INSTAGRAM 👉👉 / qiblatein_online_
FACEBOOK👉👉 profile.php?...
TIKTOK 👉👉 www.tiktok.com/creator-center

Пікірлер: 175
@MussaJuma-nf3vg
@MussaJuma-nf3vg Ай бұрын
Ustadh Musa unanitia mashaka sana . Inadhihirisha ww bado unachuki sna hukuridhia wenzako kupata nafasi. Unapoihalalisha bastola kwa nchi hii unamaanisha nini?? Natamani kujua ww mlezi wako nani?? SHEIKH WALID YUPO SAHIHI MASHALLAH UCHAMUNGU UMEMJAA. USTDH UNATUVUNJA MOYO SANAA.
@allymyete5327
@allymyete5327 Ай бұрын
Subhanallah!! Ila Alihad Bado kama unachuki na Walid maneno Yako ni Makali Sana!!
@saidsalim4524
@saidsalim4524 Ай бұрын
Jamaa yangu muda wako umekwishaa wacha maneno yakijingaa unaonyesha wazi kimekuuma sana kutenguliwa na nafasi kuchukuliwa na waleed
@jakuabdull34
@jakuabdull34 2 ай бұрын
Njaa ikaepembeni tumueke mbele mungu alhad sjawah kumkubali hata siku moja namuona anapambania cheo na tumbo tu
@user-xo9rb7wj7s
@user-xo9rb7wj7s 2 ай бұрын
Ni Padri, hana sura ya uislam,
@salymkingungo5229
@salymkingungo5229 2 ай бұрын
Huo ndo ushamba na chuki binafsi,sasa hapo kaongea nini kibaya ambacho hakipo kwenye dini!!!mbona mnakuwa na chuki za kipumbavu sana waslamu wa mchongo ninyi!??
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 Ай бұрын
Mungu ndio ajuaye yaliyomo vifuani mwa watu.
@Boyhoodking
@Boyhoodking 2 ай бұрын
Dah hv huyu jamaa alikuwajekuwaje sheikh wa Mkoa mbona ni Muhuni sana dah😂😂😂 elimu hana na hekma kakosa Juhaaaaal
@allynguba2579
@allynguba2579 Ай бұрын
Uongozi wa kupeana alipooa pale kwa mzee ndo akapewa nazani
@nancyenock5601
@nancyenock5601 Ай бұрын
Mimi mkristo tena wa hali ya kujitambua lakn shekhe yule Walidi wa mkoa yuko sahii mno huyu ilipaswa kupigwa makofi hapa
@omarimamboleo2634
@omarimamboleo2634 2 ай бұрын
Tatizo si kumiliki silaha tatizo una silaha na mabodigadi baada yakuwa na wanafunzi usipoteze malengo tafuta wanafunzi ufundishe acha fitina
@user-jh4sw3ww6w
@user-jh4sw3ww6w 23 күн бұрын
Uwezo Hana sasa wa kufundisha
@AllyKiduka
@AllyKiduka 2 ай бұрын
Shekheee madiliiiiiiiiiiiiiiii amekasirika
@mirzah117
@mirzah117 Ай бұрын
😂😂
@kassimukilima
@kassimukilima 2 ай бұрын
kuna shari kubwa kwa masheikh wetu mungu awanusuru maana hii speech imekaa kurudisha mapigo kwa shekh wa awali kuzungumza Mkoa
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Ай бұрын
Huyu amekosa hekima
@allymwabawa1882
@allymwabawa1882 2 ай бұрын
Dah haya maneno ya kusema "mbona unatuletea ushamba...maneno ya kipuuzi..." yamebeba sura mbaya sana
@Ayyub_Semtawa
@Ayyub_Semtawa 2 ай бұрын
Akhi Ally..,Mashallah una busara sana kwa kuliona hilo..kiukweli Sheikh amejibu kwa hisia za kisasi sana..Uislam umefundisha adabu ya kukosoana
@IssaAli-wz5jh
@IssaAli-wz5jh 2 ай бұрын
Kabisa mkuu shehe huyu kauli zake nyng haziko sahihi na alistahiki kumpisha Shekhe Walid mapema mno.
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 Ай бұрын
Kaongea mengi mazuri, nyinyi mmeona ushamba tuuuu, Allah s.w. ndio ajuaye yaliyomo vifuani mwa watu.
@broumaiyyah8018
@broumaiyyah8018 2 ай бұрын
Chuki tuu huyu mpuuzi kwanza ana elimu gan na maneno alosema sheikh wa mkoa wa dsm n kwl masheikh mmekua wanasiasa mnasahau majukum yenu.We body guard wa nn na bastora vyote hvy.
@sadambakari2579
@sadambakari2579 2 ай бұрын
Hujaelewa kasome makusudio ya sheikh walid nikuwa masheikh wasomeshe ili wakitembea bac mabordy gard niwanafunzi wako mm nimemuelewa sana sheikh walidi sheikh alihadi umekurupuka
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 2 ай бұрын
Swah
@mkamitiothman610
@mkamitiothman610 Ай бұрын
ALLAH atuepushe na chuki. SUBHAANAKA YAA RABY 😭🤲
@kdrama_lovers406
@kdrama_lovers406 2 ай бұрын
Allah tulinde na shari ya hii mitandao 😔
@salumsimai642
@salumsimai642 2 ай бұрын
Yani masheikh wa Sasa Wana kazi kweli kazi kusemana tuuuuu!!!! Iv hua mnapata nn kutukanana Kila mmoja kujiona Bora dhidi ya mwenziwe mcheni Allah na mustiriane kwa ajili ya kumukhofu Allah
@iddikayombe166
@iddikayombe166 2 ай бұрын
Sema huyu shekh anakauli chafu sana
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Ай бұрын
Huyu mhuni Tu aliyejificha kwenye kichaka cha usheikh
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 Ай бұрын
Kaongea mengi mazuri weee umeona ushamba tuuuu Allah Akbar ndio ajuaye yaliyomo vifuani mwa watu
@AishaSelemani-mp9zc
@AishaSelemani-mp9zc 2 ай бұрын
Allah ni samehe sjawahi kumpenda huyu shekhe kama mashekhe wengne hana nuru
@HusseinAlly-kw3pg
@HusseinAlly-kw3pg Ай бұрын
Kaka umeishiwa mbinu mwache shekhe wetu Walid afanye kazi ya Allah wewe endelea na siass zako
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 2 ай бұрын
Maneno sio mazuri kabisa
@salumunsabimana6502
@salumunsabimana6502 Ай бұрын
Huyu sijuwi kama ataingiya peponi anakashfa na dharau anakibri lakini sikosalako kutoka shekh mkuu na kuwa ustadh duuuu inauma lazima atapike anavo jisikiya maneno ya utumbo utumbo Wewe ndo ulikuwa shekh mkuu unawaambiya wenziyo eti miwashamba huyu kalaa kihuni hana respect.
@MohamediHamisi-oq2kv
@MohamediHamisi-oq2kv 2 ай бұрын
Hii dini sio maliyako Fanya heshma na mashekh wanaotegemewa
@kheriakida3309
@kheriakida3309 2 ай бұрын
Huyu hamna kitu kabisa ,anahangaikia tumbo tu,hamuwezi waleed kwa ilmu na pia mwenzie ,hajaweka njaa mbele,na kusifia viongozi, alhad anaumwa na cheo sana sana
@user-zs7eq8up5s
@user-zs7eq8up5s 2 ай бұрын
Sheikh waalid alhday ni mtu safi hapa kazungumzwa vby tukiangalia na cheo chake tuwaheshim viongoz wetu hasa waadilifu kama sheikh waalid wazee walitumia hekima sana kumteua yeye ana busara mpole sio mtu wa jazba japo wenye husda zao wanajaribu kuleta fitna..
@yusuphrashidi-dr1kb
@yusuphrashidi-dr1kb 2 ай бұрын
Chukua hii hata waliemteua sheikh walid mmoja wapo kajiudhuru uko chukua hii mpya then matatzo haya yanaletwa na mufti coz mkwewe huyu ndy tatizo kubwa
@mubarakasaid4626
@mubarakasaid4626 2 ай бұрын
ssa jaman mmi sijajuwa kamsema nani kwani kamtaja mtuu jamani acheni mambo ya kuhisi vibaya...
@saidsalim4524
@saidsalim4524 Ай бұрын
Waleed ndio alisema kwanini mashehe mnatembea na mabunduki
@guugug9gt829
@guugug9gt829 2 ай бұрын
Shehe ni waaliid yupo vizuri wengine nichamacha ccm
@SalimAbdulla-gw5rq
@SalimAbdulla-gw5rq 2 ай бұрын
Wambie umeongea kweli umezungumza kihasira kweli tusiwe lege lege kweli cc mashekhe wa zanzibar tumelegea kweli .somo ili tuchukue.
@binurusm8886
@binurusm8886 Ай бұрын
Hata zunavyoongea tu Unaonesha Una chuki ya waziwazi Kabisa, Pole Sana Kila jambo Na Wakati wake.
@silimakhamis7088
@silimakhamis7088 2 ай бұрын
Shekh wetu shekh waliid,nnavyomjua atafnya kama hajakuskia,atakutazama tu usemeee,ila ujumbe umefika "kaa kitako usomeshe"
@muddynkatira8089
@muddynkatira8089 2 ай бұрын
Imani zaifu na chuki anaizihirisha kana kwamba yule jamaa alijichangua dini yetu haipo ivo
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Ай бұрын
Kajificha sana, sasa chuki yake imedhihiri
@mwimyiyusuf1652
@mwimyiyusuf1652 2 ай бұрын
Mtatoana roho bureee Dunia mtaiacha
@user-gt9eu2hg8f
@user-gt9eu2hg8f Ай бұрын
Na sidhani kama Waleed alikuwa anakusema alikuwa anataka Mashekhe Mjue Majukumu yenu sio Madili
@muhsinsasamalo987
@muhsinsasamalo987 2 ай бұрын
Basstola ndio ameona cha muhimu. Haya tuambie darsa lako ni wapi?,wanafunzi wako ni kina nani,? basi hata video mawaidh na daawa pia hatuzioni kwenye platform za kijamii. Wewe ni siasa tu na deals.
@iddiramadhani5111
@iddiramadhani5111 2 ай бұрын
Shekh wa mkoa kiuwekli alipitiwa kusema vile hata mimi namkubali sana ila siku ile alizingua kumsea vile dr sulle.
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 2 ай бұрын
Hakumsema dr Sule alikua anampiga za mbavu sheikh Walidi ndie alieanza kumsema vibaya
@ramadhanmkandas5733
@ramadhanmkandas5733 Ай бұрын
Sio sifa nzuri katika uislamu nyinyi ni viongozi, katika hayo munatufunza nini katika uislamu,, hebu turudi nyuma tuelewane kuliko majibizano katika mitandao
@HusseinAlly-kw3pg
@HusseinAlly-kw3pg Ай бұрын
Njaaa mbaya sana inalilah wainailah rajion
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 ай бұрын
ALHADI NI MNAFIKI WORSE THAN WAGALATIA NI SUMU 😢😢
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn 2 ай бұрын
Hii ni hasad tu ya vyeo kiukweli yule sheikh wa mkoa alitoa kauli ya kiuchamungu .huyu yeye anaona Shari tu ndio maana anatetea kuwa na silaha. Hapo ni hasad tu sheikh Walid alikua sahihi
@isihakamshare3396
@isihakamshare3396 2 ай бұрын
Alhadi ana matatizo Sana.
@songombingo108
@songombingo108 2 ай бұрын
Huyu Shehe si alituambia Magu ni zaidi ya Yesu na Mungu? Bado mnamuamini tu??😢😢😢
@samsontumbo6545
@samsontumbo6545 Ай бұрын
Duh ridhik ngumu san . Umeshindw kuvumilia mtt wakium sikilajambo lakujib ukimya na hoja inamashiko zaid punguz kuongea sikila jamb lakujib Acha kazabu
@user-oj4wp7qv6x
@user-oj4wp7qv6x 2 ай бұрын
Makafiri hawapati tabu kutupiga vita waislamu saiv tunapigana vita wenyetu inauma sana
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 Ай бұрын
Allah ameahidi anailinda dini yake.
@bobomlangi212
@bobomlangi212 2 ай бұрын
Inna Lillahi, Wainnaa Ilayhi Rrajiuun.
@MwinsheikhSamata
@MwinsheikhSamata 2 ай бұрын
Naam zama tulizo nazo sheikh alhady upo sahihi kabisa kujilinda ww mwenyew ni muhimu kwanza kabla ya kutegemea watu wakulinde
@mudhihirIbrahim-hb7ry
@mudhihirIbrahim-hb7ry 2 ай бұрын
Huna inswaafu
@kagetaabdallah3712
@kagetaabdallah3712 2 ай бұрын
Uyu jamaa chuki tu inamsumbua ndani ya moyo wake umejaa chuki na hasad
@athumanishabani5381
@athumanishabani5381 2 ай бұрын
Alhad unaanza kuchanganyikiwa lkn ata ukizungumza nafasi ya ushekh wa mkoa hauji tena
@AbdullahOmar-be4wy
@AbdullahOmar-be4wy Ай бұрын
Kwa kweli shekhe wetu wa walidi alikosea kibinadamu kudharau au kuleta dharau kwa wenzake kauli aliyoitumia sio mzuri huwezi kusema shekhe gani ww au hatukuelewi kwa sababu kuwa na bastola au bodigadi vizuri waheshimu kila mtu hakuna asiyekasirika mm simlaumu shekhe ali hadi
@benardmwinuka6948
@benardmwinuka6948 Ай бұрын
Duhhhhhhh
@allymtito8117
@allymtito8117 Ай бұрын
Huyo alhadi Allaah amuongoze, mwenzake kaongea maneno mazuri yeye analeta porojo, afu usifananishe vitu ambavyo huelewi asili yake
@Onlyforfun1992tube
@Onlyforfun1992tube 2 ай бұрын
Sawa shekhe kasema mi nani nipinge
@abelimwakijungu1226
@abelimwakijungu1226 Ай бұрын
Tatizo Unaleta Kibri ya kiswahili na mipasho badala ya kujifunza maana pana ya ujumbe unaopewa na kiongozi wako. Ndio maana wajumbe wamekauka.
@galatonetz
@galatonetz 2 ай бұрын
Doh!!..😢
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 Ай бұрын
Msimdhanie vibaya sheikh nimemuelewa vizuri sana, kama.mna chuki ondoeni, akikosea sheikh kama binaadam aambwe kosa lake na akipatia apongezwe sio saa zote chuki sisi ni waislam na ni binaadam tunakosea na tunapatia hakuna mkamilifu
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 Ай бұрын
Kwa uwezo wa Allah namuomba ajalie Shekhe Walid aje awe Mufti wa Tanzania Amiin . Sijui utajificha wapi mkosa busara wewe 😅😅
@rashidmsita6588
@rashidmsita6588 Ай бұрын
Jiwe la sheikh Walid limefikia kichwani huyu bwana mpaka kapagawa, Kumuita mshamba mwenzie ni neno limemuonesha namba huyu bwana alive hana hekima
@feisaldesign4156
@feisaldesign4156 2 ай бұрын
Me naona Yale makundi 72 ya dini wakat wake ndio huu Pepo inakaz jamn kuipat tupambne San Kila muislam ajitahid kuwa na jema lake la siri baina yake na mungu
@AbdullahOmar-be4wy
@AbdullahOmar-be4wy Ай бұрын
Hakuna 72 makundi ya waislam mtume hakusema waislamu ni umma wake
@ALIKHAMIS-un4fv
@ALIKHAMIS-un4fv Ай бұрын
Ulichotakiwa na sheikh walid usomeshe dini baba huna hata mwanafunzi mmoja😂😂
@iddmohammed1086
@iddmohammed1086 Ай бұрын
Mpuuzi katika ubora wake
@user-jh4sw3ww6w
@user-jh4sw3ww6w 23 күн бұрын
Lakini nadhani uwezo wako ni mdogo tu, Sheikh Alhad. Na bado una kisirani, kuondolewa U sheikh wa mkoa
@IddyDaruweshi-jv1fu
@IddyDaruweshi-jv1fu 2 ай бұрын
KUMEKUCHA KUMEKUCHA HUYU BWANA MBONA KAMA ANAPENDA BIFU SANA NANI KAMUUDHI KWANI ILE KAULI YA SHEIKH WA MKOA SHEIKH WALID ALIVYOSEMA KWANI KAMTAJA YEYE MBONA SIELEWI
@allydunga
@allydunga Ай бұрын
Alhadi hunasifa ya kuwa hata imamu wa kitongoji Hivi ulipataje pataje ushikh wa mkoa?!Au ndo mkwe?! Kibri ulichonacho Allah atakudhalilisha sana kibaraka wa makanisa.
@alwatanalgilgilan-y3078
@alwatanalgilgilan-y3078 2 ай бұрын
Huyu sheikh simpendi iii, hana ahaiba ya kuwa sheikh Juso kama jambaziii. Hata useme vp humuwezi sheikh Walid. Nani MWANAFUNZI wako??? Sheikh dilii
@hassanmakame
@hassanmakame 2 ай бұрын
Katupa Jiwe gizani lakini mkaweka picha ya sheikh Walid kwenye thumbnail...mnapenda fitina nyie watu...! Mngeweza kuweka hiyo video yenu pasi na kuihusisha na sheikh Walid. Msiamshe fitina iliyolala, acheni hizo mambo, fitina hazina afya kwa umma.
@hawakiza6067
@hawakiza6067 2 ай бұрын
Kweli kabisa
@ALIKHAMIS-un4fv
@ALIKHAMIS-un4fv Ай бұрын
Kumbe umepigwa dongo ww ila ujirekebishe ww ni sheikh siasa waachie wenyewe ameongea kweli sheikh walid
@sadikimohamedmangasala7245
@sadikimohamedmangasala7245 2 ай бұрын
Hawa masheikh wa hivi ndio wanaopunguza heshima za waumini kwa masheikh, hivi kama mwenzio katoa boko kuna haja gani ya kumtusi mwenzio tena kiongozi wako kwa mamlaka ukafikia kumuita mshamba, mpuuzi haileti picha. Wewe ulipokuwa kiongozi watu tulikuheshimu hata pale ulipotoa maboko. Sheik jitathimni umekosea maneno uliyotumia kumdogosha mwenzio
@mudhihirugara8845
@mudhihirugara8845 Ай бұрын
Huna adabu unamsema kiongoziwako kwanini usimuite ukamwambia huoniunafiki
@allymdami3908
@allymdami3908 2 ай бұрын
Huyu si ndio alikuwa mwenye kiti wa maridhiano na amani, anaye wataka vijana na waumini kuzunguuka na mapanga!!
@husseinkihame9542
@husseinkihame9542 Ай бұрын
Huyuu shekh wawapi mbona ni wa hovyoo hivi.
@farijala1
@farijala1 2 ай бұрын
Halafu , Maudhui halisi Ilikuwa Sio Bastola, Ni kwamba Masheikh Wafanye Kazi zao
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg 2 ай бұрын
Zama za Mtume walikuwepo wakisali na Mtume, kumbe wapo na walked?
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 2 ай бұрын
Wewe Sheikh Alhaadi Si Kila kitu Unataka Kujibu sio Jambo Zuri Kabisa Kumbuka Watu wa Twariqa hawapo hivyo Na wewe ulishawahi kusema ni Mtoto wa Zawiyani umelelewa kitwariqa Twariqa Sasa changamoto Nini Sheikh
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 2 ай бұрын
Huo mdomo ndio uliponza kichwa
@feisalboy6702
@feisalboy6702 2 ай бұрын
Yote chuki hy ya kuondolewa ushekhe wa mkoa akapewa mwenziwe
@ZuhuraMarande-fl2zw
@ZuhuraMarande-fl2zw 2 ай бұрын
Kwahiyo umekuja umesimama kwe nye hotuba kuja kusutana na ward mtafute pembeni siyo mitandaoni uwiiiii 😮
@abdulhadiomar8915
@abdulhadiomar8915 Ай бұрын
Nachotaka nani kamualika huyu mhuni anaejiita shekhe, hamna kitu humu huyu tapeli wa sadaka za waumini
@allymafita1985
@allymafita1985 2 ай бұрын
Maneno machafu kabisaa, yaan Walid hajitambui, ni dharau kwa KIONGOZI mkubwa kama Walid, Sheikh Walid ni sheikh WA watu anaeleweka na alichozungumza alikuwa sawa anahusia mahusiano ya jamiii na viongozi, bodyguard na silaha za Nini, haya ya Alhad hayana Afya kwa jamii ya kiislam tunayohusiwa mshikamano Kila leo
@faridubakana6733
@faridubakana6733 2 ай бұрын
Mhh Shekh Alhad kwa kuzingatia nafasi ya Shekh Waliid hakupaswa kusema hivo --eti Ushamba lol
@user-xg5se4sy2t
@user-xg5se4sy2t 2 ай бұрын
Kaka kunawakati Walidi anazingua yani wewe unahisi shida ya bastola ni nini
@KiuIbrahim
@KiuIbrahim 2 ай бұрын
Huyu jamaa hangana heshima hata kwa wakubwa zake amewahi kulivunjia heahima baraza za ulaa akamnanga vibaya katibu wake sheikh chizenga amewahi pia kumwambia Muhammad iddi kuwa anavuta bange kwenye clip kwa kweli hana nidhamu ya kuongea
@kilimoufugajipesatv5751
@kilimoufugajipesatv5751 2 ай бұрын
Shekh wa madili. Unataka kumiliki silaha akuone
@user-oe8nv2tw7w
@user-oe8nv2tw7w 2 ай бұрын
Tuhuma ya bastola umeijibu vpi mbn hujaijibu hoja ya kuwa naa wanafunzi? Ni kina nani wanafunzi wako? Una fundisha kitabu gani wpi dhamira yake kuu ilikua ni shekh na kufundisha sio kutukuzwa kama mfalme bila kufundisha
@awadhially
@awadhially Ай бұрын
Duuh
@user-ck6lf9gg6v
@user-ck6lf9gg6v Ай бұрын
Ana dalili za ushoga yy Kila siku anajiona ni mkamilifu na kujiona wamjini alimuandama Mohamed idd Leo kaja na mpya kasome huna elimu story nyingi kazi kutupia majini wenzio ulimuumiza Mohamed idd Leo unataka kumfanyia ubaya Walid utadunda. Hapa naona Kuna kundi la Tanga linapigwa vita na dar na kusini.
@twahakabajemi9716
@twahakabajemi9716 2 ай бұрын
Semeni imani zenu sio sawa kwani ukiwa na silaha hautakufa?
@swalehejuma6611
@swalehejuma6611 2 ай бұрын
Huyu Ndugu anakoelekea siyo kuzuri kabisa, anamfedhehesha kiongozi hadharani kwa kumuita mshamba?! Hakika nyani haoni kundule. Sheikh Walid anafanya kazi kubwa ya dawa, hata akikosea usimtukane kiongozi hadharani.
@user-gt9eu2hg8f
@user-gt9eu2hg8f Ай бұрын
Sasa utamsaidia Silaha kama Hana kumbe zinagawiwa kama njugu huyu Shehena sio Shehe Sasa kumtolea Mfano sudeisy ndio mfano wa Maana halafu unathubutu kusema eti uislam wa kuturudisha nyuma haupoo? Wakisasa ni upi huna hekma katika Mazungumzo Yako
@msarama5406
@msarama5406 2 ай бұрын
Watu wa bakwata na mivyeo wanaweza wakauana walah kama watu wa siasa nao utasikia muheshimiwa mwenyekiti wa ulamaa muheshimiwa sijui nani nani wa kata basi fulu siasa
@murtalla2826
@murtalla2826 Ай бұрын
Wee ni muhuni kama wahuni wengine tuu
@JailaniRamadhan-it3kp
@JailaniRamadhan-it3kp 2 ай бұрын
Punguza maneno bhna
@RamadhaniRashidi-rd1my
@RamadhaniRashidi-rd1my 2 ай бұрын
Shekhe kuongea maneno ya kiuchamungu
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 2 ай бұрын
Unasemea bastola...ikibidi ata na majeshi....dunia sahv haifai hata chukuchuku....watu wana roho mbaya ww
@AbumishAbu-cz9su
@AbumishAbu-cz9su Ай бұрын
Nyinyi😂hamjui Allah huwa anapo taka kumporomosha mtu humshusha hata kwa kila analosema linageuka hasara kwake hyu hana muda mrefu hiko cheo alonacho ataondoshewa kwa hizi kauli zake. Hana hta maadili
@user-xg5se4sy2t
@user-xg5se4sy2t 2 ай бұрын
Tatizo waislamu tumejawa na ushabiki huyu shekhe wa mkoa ni mchokochoko ila tu ushabiki unawafanya musione ujinga wake haya jiulize kuhusu hiyo bastola ww unaona yupo sawa!
@hilalikaumo3470
@hilalikaumo3470 2 ай бұрын
Kwani sheikh wa mkoa alimsema nani ebu tujuze
@abdalaseleman921
@abdalaseleman921 Ай бұрын
Wewe hukuzingatia muktadha wa Shk. Walidi, unaonekana ni mwenye chuki kwa namna unaongea kwa kupaniki.
@AllyKiduka
@AllyKiduka 2 ай бұрын
Hili lialhadi nishetani hasadi imelijaa limeondolewa ushekhe wa mkowa
@user-mf2ll7nz5g
@user-mf2ll7nz5g 2 ай бұрын
Hata hiyo taikondo si mbaya ila kwa hapo ili letwa kwa maslahi ya nafsi
@Twalhathaidary
@Twalhathaidary Ай бұрын
Huyu sheikh alivyokaa kwenye hiko kiti cha sheikh wa mkoa mbona hakuongea vitu kama hv..!
@rashidmsita6588
@rashidmsita6588 Ай бұрын
Huyu Muft alifanya kher kubwa kumtoa sheikh wa Mkoa, amekosa hekima hata ndogo kabisa, Unapoamua kujibu hoja jibu bila kejeli tena kwa Sheikh wake wa Mkoa.
@abdallahjumanne5739
@abdallahjumanne5739 2 ай бұрын
Uyu shekhe vip,kauli chafu hana hekma kabisa cjui aliupataje ushekhe wa mkoa ajatajwa anatukana matusi ndo nn
@multamulta1143
@multamulta1143 2 ай бұрын
mara atapiga DUA YA KIPEKEE
@user-rc4db5tg8f
@user-rc4db5tg8f 2 ай бұрын
😂😂
@yusufutitu1836
@yusufutitu1836 2 ай бұрын
itakuwa wewe ndiyo una silaha kwasababu wewe ni mtu wa matukio tena unamuita shehe mwenzio mpuuzi ila wewe nishari sana katika dini
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
Top U.S. & World Headlines - July 29, 2024
10:31
Democracy Now!
Рет қаралды 170 М.
Kisa cha vijana waliomdharau mzee - Sheikh Walid Alhad
25:26
Kalamutz
Рет қаралды 40 М.
Hii ndio khutba ya mwisho ya sheikh Muhammad bn sheikh Ayyoub TAMTA day 1997.
26:14
Exclusive:Huyu ndio Sheikh Walid Alhad Kipenzi cha wengi
26:00
UTAFURAHI SHEIKH SHAFI ALIVYO KUTANA NA WAHUNI WAKATI WA KUZIKA
10:05
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 68 М.
SHK.OTHMAN ASIMULIA ALIVYOTUKANWA NA KIJANA BARABARANI MATUSI MAKUBWAMAKUBWA
11:39
SHEIKH WALID AKIMKARIBISHA SHEIKH OTHMAN MAALIM KWA AINA YA KIPEKEE
40:58