UTAFURAHI SHEIKH SHAFI ALIVYO KUTANA NA WAHUNI WAKATI WA KUZIKA

  Рет қаралды 66,953

ISLAAH ISLAMIC  TV

ISLAAH ISLAMIC TV

7 ай бұрын

#drsulle #tanzania #islaamic #trending #islaahislamictv

Пікірлер: 99
@PirfaImanipirfa-vj3oz
@PirfaImanipirfa-vj3oz 6 ай бұрын
Mwenyezi mungu akulipe kila la heri, nausubiri mjadalah wa Dr suleimane na pasta ndacha
@abcmnbb2610
@abcmnbb2610 3 ай бұрын
Mashaallah tabarakaah Yani sheikh wetu napendaga mawaiza yako Mungu akupe pepo inshaallah ❤
@bahatijsaha7298
@bahatijsaha7298 26 күн бұрын
Masha'Allah
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 7 ай бұрын
Allahu Akbar, MashaAllah 🙏
@munamuna4621
@munamuna4621 7 ай бұрын
Saidi kinyogori tunaomba nae awepo kwenye mdahalo watu 3 kama hawapo kwenye mhadhara unakua hauna ladha ,mazinge..shafii kinyogori❤
@rashbash645
@rashbash645 6 ай бұрын
Hiyo ni ukweli kabisa
@QofSaidiKbsk01
@QofSaidiKbsk01 7 ай бұрын
Sheikh sheikh ❤
@RamadanPaul
@RamadanPaul 7 ай бұрын
Mashaallah
@hamzalipuye7198
@hamzalipuye7198 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 nakupenda sana Sheghe kwa ajiri M/MUNGU
@MuhamedyKamby
@MuhamedyKamby 7 ай бұрын
Nazak llha nampenda san sekhe safii na dr sule nafulah san na kuinjoy nipo waskiliza san
@zuhramwavyoni8400
@zuhramwavyoni8400 3 ай бұрын
❤❤❤
@feisaldesign4156
@feisaldesign4156 7 ай бұрын
Sheikh shafii Allah azidi kukupa shufaa uzidi kutufunza
@user-td7ie2in6i
@user-td7ie2in6i 7 ай бұрын
mash-ALLAH
@sabanirama9233
@sabanirama9233 7 ай бұрын
Itakua raha siku hio wakuwepo hao waishimiwa ea wili,Insha-Allah.
@user-rt5vq5vc3k
@user-rt5vq5vc3k 6 ай бұрын
Allhahu aqbar
@user-tw9hy9bn5c
@user-tw9hy9bn5c 7 ай бұрын
Kila amtazamae mwanamke kwa kutumani, ashazn nae moyoni.. inakuwje kuamua kwenda kuzn kbssa a.. ahhhhh shavii hapo weka saw
@hassanboru4038
@hassanboru4038 3 ай бұрын
The best sheiks of Tz mashaaaallah..salimia pdd prof mazinge na dr sulle
@MusaRamadhani-wj2dw
@MusaRamadhani-wj2dw 7 ай бұрын
Shafii ongea na sule uwe na yeye kwenye mjadala kwani shafii uko vizuli upande wa bibilia
@ahmadzaid2940
@ahmadzaid2940 7 ай бұрын
TUNAOMBA NA OSTAZI SHAFFI NAE AWEPO KWENYE MDAHALO WA DK SULEY NA KINYOGORI NAE TUNAOMBA AWEPO INSHAALLAH NAAMIN KWA UWEZO WA MWENYEZ MUNGU HIO SIKU YA TAREHE 16 NA 17 MAMBO YATAKUWA MAZURI
@rajuxcharity
@rajuxcharity 7 ай бұрын
Umeongea kitu chamana sana tunaomba wawepo kabisa
@athumanali2969
@athumanali2969 7 ай бұрын
Si alisema hataki mtu yoyote awepo katki hao wahadhiri yeye peke yke anatisha ,
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 7 ай бұрын
shaffi awezi kuja,anamuogopa ndacha!
@mwanaikaomar8628
@mwanaikaomar8628 7 ай бұрын
​@@JeanMuzaliwa-bs6qhamuogope kwakipi hasa huyo ndacha?
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 7 ай бұрын
@@mwanaikaomar8628 maana Islam amuna ukweli na Islam bila biblia amuna kbs!
@uthmanmaluja7005
@uthmanmaluja7005 6 ай бұрын
Mmh..Kwani tutaingia peponi kwa matendo au Kwa rehma za Allah she wangu mbona unajitabiria pepo bila hata kusema ishaallah
@bentybenty2343
@bentybenty2343 7 ай бұрын
MASHA ALLAH 😂😂😂
@emanuelmichael7679
@emanuelmichael7679 5 ай бұрын
Hahaha aisee babuu fumba machooo
@saddiqmageta7904
@saddiqmageta7904 5 ай бұрын
😂😂😂😂
@adamopitanvitanvita7958
@adamopitanvitanvita7958 7 ай бұрын
mimi namtaka said kinyogori na mazinge
@sosdododo5653
@sosdododo5653 3 ай бұрын
Wallahi huyu bwana ah hata sijui nivipi manake ,,namkubali mimi yuko sawa lakini nadhani alipitia mambo ya mtaani wakati waujana wake ,,,Allahu yaalam ,,,ni mchangamfu
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 7 ай бұрын
Hu Msemo Wa Unatenda Zambi Unafuta Zambi Unatenda Zambi Unafuta Zambi Kwa Sitahili Hi Ni Kweli Wauni Watakuja Kuzika Wenyewe
@aminahkimwana109
@aminahkimwana109 7 ай бұрын
😂😂😂😂dah!
@desderiushaule4264
@desderiushaule4264 5 ай бұрын
Mahubiri ya waislamu yamejaa porojo tupuuuuu, hii inamaanisha kwamba sheikh shafi kama angekuwapo kwenye mdahalo wa kielimu wa dr sulle vs Ndacha naye angegalagazwa kama wenzake wote waliokuwa wameketi kwenye meza ya wahadhiri wa kiislamu kwa sababu sheikh shafi hana quran nyingine tofauti na ile iliyotumika kwenye meza ya mjadala. Ukweli unabaki kuwa ukweli na uongo hausitiriki.
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g 7 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huyu sheikh mbona msela sana
@chemstry409
@chemstry409 7 ай бұрын
Al habib Shaffi.....kaza wapo wawili....😂😂😂
@maulidipazi6770
@maulidipazi6770 7 ай бұрын
Hiyo hata mm niliona buza
@ajuaeonlinetv9762
@ajuaeonlinetv9762 7 ай бұрын
Eti hallo jina la mtu
@user-ct7zd6he2j
@user-ct7zd6he2j 6 ай бұрын
Yani mdahalo ukikosa mazinge,kinyogoli,mbogo na shaffi huo utakuwa sio mdahalo nimkutano wa siasa😂
@Naw89
@Naw89 7 ай бұрын
Sheikh umenivunja mbavu
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 7 ай бұрын
We ni kajinga
@RamadanPaul
@RamadanPaul 7 ай бұрын
@@sadathboutique6253 mjinga mwenyewe
@jamalmanishi7282
@jamalmanishi7282 7 ай бұрын
Hakuna Muislam hata mmoja aneijuwa biblia wanachojuwa ni mandiko tu
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 7 ай бұрын
mafundisho yako uongo,piano mafundisho mapotovu ya sio na maandiko!
@RamadanPaul
@RamadanPaul 7 ай бұрын
Hivi wewe unashida Gani.... Kwa hiyo wewe hujui "Asalaam" Mbona Yesu alisalimia ASALAAM WALEYHKHUM
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 7 ай бұрын
@@RamadanPaul mm sina shida na mtu ila mm sitaki mtu kutumia akili zake kwa mambo ya Mungu
@RamadanPaul
@RamadanPaul 7 ай бұрын
@@JeanMuzaliwa-bs6qh ... Hebu nambie kitu ambacho wewe umekiona hakipo sawa....
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 7 ай бұрын
ASOTUMIA AKILI NI MJINGA AU ZUMBUKUKU KAMA WANYAMA ​@JeanMuzaliwa-bs6qh Kila mtu kapewa aqili (Liko kwenye Qur'an) na Allah (Mwenyenzi Mungu) ili aitumie kwa maisha. Baadhi ya aya humalizikia kwa suala: Afala Taaqiloun (Kwa nini hamtumii Akili)? ni mara 13 kwenye Qur'an. Waislam hawatakiwi kuwa Wajinga au Mazezeta. Lazima watumie akili watakachosoma iwe Qur'an, Biblia, Katiba au Proper (Kweli) Ganda (Uongo).
@RamadanPaul
@RamadanPaul 7 ай бұрын
@@khatibal-zinjibari6956 ... Achana nae huyo bwana hana analolijua....
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 7 ай бұрын
uyu muongo sana yani awa ndio ma agents wakubwa wa shetani!
@mwanaikaomar8628
@mwanaikaomar8628 7 ай бұрын
Ushindwe katika Jina la Allah.
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 7 ай бұрын
@@mwanaikaomar8628 nyie mumepotezwa kitambo
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 7 ай бұрын
Sasa uongo wake ni nini kama sio muumini wa kiislam nyamaza hayakuhusu fyuuuuu
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 7 ай бұрын
@@mwawekomiuda9779 muongo sana uyo nyie mumeshapotezwa!
@SaadaKiyungi-uz6jn
@SaadaKiyungi-uz6jn 7 ай бұрын
We chizi mpya kama huelewi kaa kimya
@user-rw7fc8qf6z
@user-rw7fc8qf6z 7 ай бұрын
❤❤❤
UNAZITOLEA MACHO MALI ZA WATU UNAJUA WAMEZIPATA VIPI?// SHEIKH NYUNDO
32:53
Самое Романтичное Видео ❤️
00:16
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 5 МЛН
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 15 МЛН
ИРИНА КАЙРАТОВНА - АЙДАХАР (БЕКА) [MV]
02:51
ГОСТ ENTERTAINMENT
Рет қаралды 15 МЛН
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 103 МЛН
INAJUZU KUOA MKRISTO?
5:32
Ustadh Khatib Omar
Рет қаралды 2,6 М.
SHEIKH WALID AKIMKARIBISHA SHEIKH OTHMAN MAALIM KWA AINA YA KIPEKEE
40:58
DR.SULLE HATAKI MASIHARA TENA//ELIMU YANGU ITADUMU NITAKUMBUKWA NA........
38:03
Самое Романтичное Видео ❤️
00:16
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 5 МЛН