No video

sheikh Jaafar aendelea anika siri na namna waganga wanavyo tapeli watu Part 02

  Рет қаралды 36,275

Kalamutz

Kalamutz

Жыл бұрын

Huu ni muendelezo wa Darsa la wiki ilopita,hapa Sheikh anarudia alichoonesha wiki ilopita na kuongeza kwa tafsiri ya visanga vyote......

Пікірлер: 49
@thestonetown3302
@thestonetown3302 Жыл бұрын
Allah awape kheri kubwa sana hapa duniani na kesho mbele ya Allah#tunasubiri muendlezo penye majaaliwa ya Allah #nawapenda waislam wote kwa ajili ya Allah na wale ambao sio waislam nawapenda piah#karibun kwnye uislam dini ya haki❤️
@bahatiesco5885
@bahatiesco5885 Жыл бұрын
Fifty
@bahatiesco5885
@bahatiesco5885 Жыл бұрын
Etty
@AsheryKenneth-zg3tb
@AsheryKenneth-zg3tb Жыл бұрын
Inshallah ALLAH awazidishie wepesi MASHEIKH zetu mzidi kutupa DAAWW
@CheiaNdiricho-kn4zb
@CheiaNdiricho-kn4zb Жыл бұрын
Masha allah mungu akupeni wepesi nawa penda sana
@user-kx9ci7wh5g
@user-kx9ci7wh5g Жыл бұрын
May almighty God add more days on you, God bless you .
@morogoromedia
@morogoromedia Жыл бұрын
Mashaallha masheikh wetu allha awaekee
@saimonrodgers8262
@saimonrodgers8262 Жыл бұрын
Mungu akubriki kwa kuwasanua watu..
@user-il6ch9ve9h
@user-il6ch9ve9h Жыл бұрын
Masha allah mungu akupe wepisi uzidi kutufahamisha
@mayumasala8442
@mayumasala8442 Жыл бұрын
Maashallah Maashallah tabaraka rahman jazakallah her
@tumawaziri3022
@tumawaziri3022 Жыл бұрын
Shehe mungu akupe maisha marefu
@shomaryabdul6862
@shomaryabdul6862 Жыл бұрын
Allah umaamin 🤲😢 shehe osmani Nimeerewa sana Ilo darasa 🙏
@leanyakaligo
@leanyakaligo Жыл бұрын
Asante.sasa shehe nifanye nini mtoto huyu ame teseka na ugonjwa wa kifafa.
@abedsaidy7263
@abedsaidy7263 Жыл бұрын
Shukrani shekhe kwa kutufungua macho namasikio
@bentybenty2343
@bentybenty2343 Жыл бұрын
Jazakallahu khair
@abdulhida8291
@abdulhida8291 Жыл бұрын
Barak Allah feeq, Jazzaka Allah kheri
@doctormwalimjuma8040
@doctormwalimjuma8040 Жыл бұрын
Shiki upo ila wagonjwa wapo
@doctormwalimjuma8040
@doctormwalimjuma8040 Жыл бұрын
Naomba sheh nitafute mimi nimganga kutoka pemba
@raiswamaraishalisi8426
@raiswamaraishalisi8426 Жыл бұрын
Ameen ! Kutoka Congo
@neymarjunior8404
@neymarjunior8404 Жыл бұрын
Asante sana
@doctormwalimjuma8040
@doctormwalimjuma8040 Жыл бұрын
Saw shehe ila tiba ipo tuu
@doctormwalimjuma8040
@doctormwalimjuma8040 Жыл бұрын
Wateja watak wapate wao tuu sisi tutumiya majini tusipate wateja aziza umeongea ukweli wewe upo wapi aziza
@islamsaid4830
@islamsaid4830 Жыл бұрын
assalamu alaikum sheikh athman Michael na sheikh Jafar naomba usaidizi wenu kwa majina naitwa islam said salim kutoka kenya mombasa niko swali nataka kuwa ambia kuna wabaya wangu wana ni sumbua sana kwa ndoto ama wanitumia wanya kama vile jibwa ama paka na mimi mwenyewe napata ujumbe kutoka ndoto ama mashale yana nisheza kwa mwili wangu sazengine wana niumiza mwili wangu kama vile kwa mkono huskia mishipa huni uma sana mana wanani finya hizo mishipa hadi naumia ama mara nyengine jicho langu huliskia likini dunga sana ndani hilo jicho langu huwa niskia hivyo lazima nitaona kitu kama vile majibwa ama paka wakija kwangu na waona uzuri maruhani yangu yana nilinda sana naomba usaidizi wenu nifanye mbinu gani ya kuwa dhibu hawo madui zangu wabaya mana ni wachawi na hawo wanga
@doctormwalimjuma8040
@doctormwalimjuma8040 Жыл бұрын
Wawo wataka kutibiwa wapowe tuu
@doctormwalimjuma8040
@doctormwalimjuma8040 Жыл бұрын
Na mm nimwisilam siwezi kukuzarau ila Ramli ndiyo ninayo pata wateja mm man Ramli yangu digombanishi watu nangaliya kilichopo ndiyo ninacho mjiww bila kunambiya
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 Жыл бұрын
Acha kunichekesha
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 Жыл бұрын
😮Tuambie na ujanja wa tv za waganga
@YassiniSamsung-yn5bs
@YassiniSamsung-yn5bs Жыл бұрын
👍
@manyotaonlinetv1110
@manyotaonlinetv1110 Жыл бұрын
Wewe umevijuaje hivyo kama si mshilikina acha kuharibu kazi za watu mjuzi ni mwenyezi mungu swali je huyo alotibiwa kwa njia hizo kafanikiwa kama kafanikiwa watu watazidi kutafuta tiba za aina hiyo maana tiba zipo na aina ya stahili hiyo ipo kikubwa ni tiba sahihi
@doctormwalimjuma8040
@doctormwalimjuma8040 Жыл бұрын
Nataka vilinge hivyo nivijuwe watu wengi wanataka kutibiwa nafusi tuu nafusi ikituliya tuu hupowa maradhi yake
@doctormwalimjuma8040
@doctormwalimjuma8040 Жыл бұрын
Mimi nidoctar nipo pemba ila ndiyo hivyo
@doctormwalimjuma8040
@doctormwalimjuma8040 Жыл бұрын
Watu wengi kama hawajapitishwa vilinge hawakubali
@doctormwalimjuma8040
@doctormwalimjuma8040 Жыл бұрын
Mimi siwezi kukuzarau kwasababu wewe nishehe
@doctormwalimjuma8040
@doctormwalimjuma8040 Жыл бұрын
Nawatu pia tunazidi kuwatibia tuu
@user-mj9yx5ud1y
@user-mj9yx5ud1y 8 ай бұрын
Hahahaha wewe Shee kotekote uko
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq Жыл бұрын
Sheikh umejioanga 😂😂😂
@omarybasho2341
@omarybasho2341 Жыл бұрын
Hunalolite wemwenyeweganga
@azizihfarijala5307
@azizihfarijala5307 Жыл бұрын
mbona utuonyeshi ujanja wa wachawi na wanga. hapa naona kuna kugombania wateja
@muba6699
@muba6699 Жыл бұрын
Kwani uliambia Wachawi na wanga Ujanja Sio ujanja ni mfumo au chama unajisajili bila kusajiliwa na mtu!! hata wewe unaeza kua mchawi hata kesho ukanza safari zako mwanza dar na ungo 😂😂😂 acha uswahili ndugu yangu😅😅 jina lako nimeliheshimu ((farijal family)) ila nilikua nataka kukukandia kispoti Mwana Yanga WEWE SHABIKIA TU YANGA!!! hizi darsa sio Simba na Yanga😅😅😅 skujui ila Ni Signal flani hivi nimekupa We mtu mzima jiongeze!!!
@uwesumandwanga1818
@uwesumandwanga1818 Жыл бұрын
Shekhe unaposema waganga unawakosea watu kwanza uganaga c halamu ila halamu ni ushilikina na c waganga wote washilikina hapana
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq Жыл бұрын
😂😂😂
@everlyneiminza5722
@everlyneiminza5722 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@omarybasho2341
@omarybasho2341 Жыл бұрын
Hunalolite wewe mwenyewe unaushi kwa uganga
@nusrahmollel7721
@nusrahmollel7721 Жыл бұрын
Masha Allah
@neymarjunior8404
@neymarjunior8404 Жыл бұрын
Asante sana
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 Жыл бұрын
Cheikh unanichekesha mpaka naliya
@abedsaidy7263
@abedsaidy7263 Жыл бұрын
😂😂😂
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 178 МЛН
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 6 МЛН
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 39 МЛН
TENDO LA NDOA LIFANYIKE KWA UFANISI MKUBWA //SHEIKH OTHMAN MAALIM
38:56
KISA CHA MAITI ALIYEVUTISHWA BANGI //SHEIKH OTHMAN MAALIM
14:49
arkas online tv
Рет қаралды 270 М.