Sheikh KISHKI Amkumbusha MAGUFULI, Alichomfanyia Akiwa Waziri!

  Рет қаралды 289,401

Global TV  Online

Global TV Online

5 жыл бұрын

Sheikh KISHKI Amkumbusha MAGUFULI, Alichomfanyia Akiwa Waziri!
MASHINDANO makubwa ya Qur-aan Tukufu yanafanyika Leo Jumapili ,Mei 19, katika Uwanja wa Taifa jijini Dar ambapo washiriki kutoka nchi 20 barani Afrika wanachuana kuwania taji la mshindi wa kuhifadhi Quraan...
Mashindano hayo yameandaliwa na Taasisi ya Al-Hikma chini ya Sheikh Nurdeen Kishk....
Vijana kutoka Tanzania wanaoshiriki katika mashindano hayo ni Shamsuddin Hussein Ali (20), Mohammad Faiz Lardhi (19) na binti pekee Sumayya Juma Abdalah (12) ambaye anatokea Mkoa wa Pwani.
Mgeni rasmi katika mashindano haya ni Rais wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli....
#MASHINDANOYAQURAAN
Https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website:
www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Пікірлер: 299
@johnbanzi884
@johnbanzi884 5 жыл бұрын
Hongera waislam,hongera waheshimiwa marais wetu watanzania ni wamoja tudumishe amani,upendo na mshikamano
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 5 жыл бұрын
Kweli safi
@yasinimohamed4633
@yasinimohamed4633 5 жыл бұрын
John Banzi o
@binsultan5495
@binsultan5495 5 жыл бұрын
Qul yaa ayyuha lkaafiruun. Laa aabudu maataabuduni. Mtume alijua yatatokea. Mana sijamsikia shehe yoyote leo akitaja neno ALLAH. Mbeye ya mfalme kasema yake kasahau mashehe wa uamsho.
@imasimas4506
@imasimas4506 4 жыл бұрын
Mashaallah Shaikh Nurdeen Kishk hekima na busara mungu amekujaalia unajua kufikisha ujumbe. mungu akubariki na Ambariki Rais John Magufuli na Amuongoze katika njia njema Ameen. from Muscat Oman
@luheyissa5247
@luheyissa5247 5 жыл бұрын
Mzee wetu magufuli mungu akuzidishie uende na moyo huohuo
@saidsahd1971
@saidsahd1971 5 жыл бұрын
Mheshimiwa Rais makufuli unapendwa sana na watanzania wengi sana hebu slimu Uwe. Muislam ili uwe juuu mpaka mbiguni upate ufalme wa bwana hicho ndio kilichobakia nna sasa wakatti umefiika wa kuwatooa mashehe wetu gerrezani. Jisafishie njia. Kwa unao waongoza na Kwa mwenyezimungu . Pia inshaalla mungu. Akuongoze
@smarty1064
@smarty1064 5 жыл бұрын
Said Sahd mashekh hawatoki leo maana kesi zao zimewekwa kisiasa na kesi wanazifanyia kusudi zibak chini ya mahakama ili rais asiweze kuingilia, wangetoa hukumu rais angetoa msamaha na kuwatoa - siasa chafu zilitumika kuwatia hatiani
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
1998 Kishki alikua only 18 years . Lakini alikua anajua namna yaku tafutia haki Waislam na kusaidia yatima. Mashekhe mengine yame kaa kugombania misikiti na sadaka na ku eneza ushirikina na chuki na kutumia watoto wa watu kua wana mziki kwenye ma kaswida ilhali wao waki chukua pesa za CD
@smarty1064
@smarty1064 5 жыл бұрын
Hibo Muslima mioyo ya binadamu imetofautiana - wapo wanaona huruma kwa binadamu wenzao bila kujali dini zao na sisi jamii tunategemea kusaidiwa na watu wa dini (iwe wakristo au waislamu) lakini ni wachache wenye moyo huo, Mwenyez Mungu amfanyie wepesi aendelee na moyo huo pengine na viongozi wengine wa dini wataiga
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Allahuma Aameen
@rithamalyagili127
@rithamalyagili127 3 жыл бұрын
Hakika mungu ampokee magufuri katika uzima wa milele
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 3 жыл бұрын
Daaa nalia sana kuona magufuli hayupo duniani
@kshdbzjnxksksw6567
@kshdbzjnxksksw6567 3 жыл бұрын
Sipeke yako ila Allah anajua zaid
@omariadam8839
@omariadam8839 3 жыл бұрын
Daaa JPM umetuliza watanzania 😭😭😭
@sahyall3646
@sahyall3646 5 жыл бұрын
Mashaallah mungu amlinde atuongoze zaid waslam tufkie mbali zaid
@myeukomaro329
@myeukomaro329 3 жыл бұрын
May the good Lord rest the soul of Magufuli in eternal peace.
@mohamedathuman2216
@mohamedathuman2216 5 жыл бұрын
Allah asema mbingu na arzi zinakaribia kupasuka kwa kuambiwa mungu anamtoto uyo raisi imaniyake inamuelekeza hivojamani mashee wadunia ifkisheni quraani kama alivoifkisha bwana mtume sws hiinidni siosiasa kfupi mnakera
@mohamedathuman2216
@mohamedathuman2216 5 жыл бұрын
Mashehe wote wameikumbatia dunia jamani kama Allah amgombesha mtume wake juuyakutomskilza kipofu kwaajili anakikao na matajiri wa maka sura tu abasa seuze wewekishki uyohana nyiemnampa pepo labda hapaduniani lakini ya Allah haingii kwaimani aliokuanayosasa labda aslimu awemuisilamu uondoukweli mkichukia ndoivo ndohaki inavotaka
@mirajihazard2117
@mirajihazard2117 5 жыл бұрын
kwa kweli nimeikubali sana hutba ya raisi na maneno ya sheikh kishki mungu awabariki sana watanzania na waislamu wote kwa ujumla amin
@DottRoBroc
@DottRoBroc 3 жыл бұрын
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty
@Nuurkhalif78
@Nuurkhalif78 4 жыл бұрын
Mungu amuongoze dini ya ki islamu mzee makufuli rais waa Tanzanian
@shimuld6721
@shimuld6721 5 жыл бұрын
Mwenye enzi Mungu amhidi Mh.rais JPM na atuhidi na sisi wote kwa jumla ameen Yaarabil Alameen jamian
@piusnjechele3815
@piusnjechele3815 5 жыл бұрын
M/Mungu bariki viongozi wetu wa dini
@Nuurkhalif78
@Nuurkhalif78 4 жыл бұрын
Masha Allah baraka Allah xayaka Allah jazaka Allah kheyran
@mustyboymaalim2070
@mustyboymaalim2070 4 жыл бұрын
MashaAllah namuombea rais maghufuli awe muislamu
@J4UPro
@J4UPro 3 жыл бұрын
Maashaallah
@kshdbzjnxksksw6567
@kshdbzjnxksksw6567 3 жыл бұрын
Inaniliza sana kwanini hakufa akiwa kaslim ila Allah anajua zaid
@adamjuma4665
@adamjuma4665 5 жыл бұрын
Duh! Mashekh zetu n noma et! Serikali ya kkafir imekuwa tukufu, Subhanalah
@stevenclaud6648
@stevenclaud6648 5 жыл бұрын
Adam Juma wew ndio kafiri fara wew
@alhadhaji5086
@alhadhaji5086 5 жыл бұрын
Wengine hao watazameni tu ni hao hao
@user-ql2om7qj3v
@user-ql2om7qj3v 5 жыл бұрын
Yes maneno mazito
@othumanmaulid7406
@othumanmaulid7406 5 жыл бұрын
Acha uchochezi na mawazofinyu. Kiongozi sikuzote hatakiwi kuwa mbaguzi au unataka kusema hawa mashekhe hawaijui dini.
@ayshahams7373
@ayshahams7373 5 жыл бұрын
Wasio kubali mungu mmoja ni kafiri tu mungu ni mmoja tu na dini ya kweli uislamu
@douglasvernon9492
@douglasvernon9492 2 жыл бұрын
We miss you magufuli always we remember you rest in peace❤️❤️❤️❤️
@arafatsalehe6607
@arafatsalehe6607 5 жыл бұрын
mungu akulinde Shk wetu na akuhifadhi kila Mwenye zamila mbaya imkute mwenyewe Allah mlinde sky wetu kishki
@alhadhaji5086
@alhadhaji5086 5 жыл бұрын
Mwambie huyo Sheikh wako kuna Waislam wenzake miaka 8 sasa wanateseka na hao Rafiki zake. Angalau angalizungumzia na hilo au ndoo Ni Uwamsho anaogopa kuhojiwa na kuwakera Wakuu.
@rahmashabani6483
@rahmashabani6483 5 жыл бұрын
Allah Akbar.namuombea rais wetu asilimu wallah
@mahamedabdi1881
@mahamedabdi1881 5 жыл бұрын
InshaAllah
@user-os9ul5iu5y
@user-os9ul5iu5y 4 жыл бұрын
Ishaallah
@officialwawa4370
@officialwawa4370 4 жыл бұрын
Just like a wish
@shakirutimanyika6848
@shakirutimanyika6848 5 жыл бұрын
Mungu akujalie kwa ilo Rais wetu
@salumabdul9760
@salumabdul9760 4 жыл бұрын
Allah analipa amali aliyotendewa yeye tu jamani msijisahau saana mashekhe
@abdullahifarahofficial5716
@abdullahifarahofficial5716 4 жыл бұрын
Mungu amuhifadhi sheikh kishki na rais wake ameen....nawapenda kwa ajili ya ALLAH
@ibruzlee9188
@ibruzlee9188 3 жыл бұрын
Hakika Atapatikana kama yeye tena😥🇰🇪♥️
@jumaayubu
@jumaayubu 3 жыл бұрын
Jana Kalala katika nyumba ya umati. Ee mwenyezi Mungu mtukufu kampunguzie adhabu ya kaburi na umlipe haki stahiki
@bekososo9778
@bekososo9778 4 жыл бұрын
Ma’sha’Allah
@mwazaniiddisaidi8219
@mwazaniiddisaidi8219 5 жыл бұрын
Mungu akulendi makufuli
@ramadhanimkwama8573
@ramadhanimkwama8573 4 жыл бұрын
Mungu ambarki magufur
@DerickSamweli-xv1lq
@DerickSamweli-xv1lq 9 ай бұрын
Mungu amuweke mahala peponi
@salumuhamissi3492
@salumuhamissi3492 5 жыл бұрын
Mmiliki wa radhi ya Tanzania mungu c magufuli huyu shekhe hajielewi
@user-us9gl8jg4l
@user-us9gl8jg4l 5 жыл бұрын
Nenda basi nchi yoyote kama utapewa ardhi bila kupitia serikali za nchi acha ujinga
@mustafalada4976
@mustafalada4976 5 жыл бұрын
Njava mbaya
@calabash4221
@calabash4221 5 жыл бұрын
Kwa sheria ya Tanzania Rais ndio mmiliki kwa niaba ya wananchi..kasome sheria ya ardhi
@user-us9gl8jg4l
@user-us9gl8jg4l 5 жыл бұрын
@@calabash4221 kuna watu wanajifanya wanajuwa sana sio tz tu aende nchi yoyote duniani aone kama anaweza kujenga tu au kumiliki ardhi bila kibali cha serikali husika hapa Oman ukiwa sio mwananchi wa hapa yaani hauna passport ya Oman huwezi kumiliki eneo wala kununua hata nyumba hata uwe una pesa vipi
@abaafarhat9191
@abaafarhat9191 3 жыл бұрын
Wallah nakupinga hapo kishki eti tunakupigia dua uwe juu juu kabisa mbinguni da yaani hajaingia kwenye uislamu unambashiria pepo awe juu kabisa na wewe ni shehe kioo cha jamii
@nyokasr3103
@nyokasr3103 4 жыл бұрын
Mwenyi mungu awabariki washiriki wote.
@anafisuleimani7083
@anafisuleimani7083 5 жыл бұрын
Masha allah
@azizimuhibu7771
@azizimuhibu7771 5 жыл бұрын
Allah mzidishie nguvu rais wetu,,na waongozaji wote wa al hikma foundation
@jumajaffary9698
@jumajaffary9698 5 жыл бұрын
Allahu Akbar Insha Allah atamfunua macho ajiunge kwenye dini ya haki
@salmaiddy4931
@salmaiddy4931 5 жыл бұрын
Juma Jaffary amiin
@mumkmamy5186
@mumkmamy5186 5 жыл бұрын
Aameen
@aminamohamed2856
@aminamohamed2856 5 жыл бұрын
Ameen
@hassanmsipi4094
@hassanmsipi4094 4 жыл бұрын
Juma Jaffary Aaaaaaamin Thumma Aaaamin
@salimali7930
@salimali7930 4 жыл бұрын
Kenya yetu lnshaallah,Allah Bareek
@sherifaali7268
@sherifaali7268 3 жыл бұрын
Wewe hapa siyo kenya ni Tanzania toka zako hapa
@sihamjuma6734
@sihamjuma6734 4 жыл бұрын
Allah awape mwisho mwema AMMIN
@musamuntanz7187
@musamuntanz7187 Жыл бұрын
Mashaallah 😭😭
@jokhagadafy2144
@jokhagadafy2144 3 жыл бұрын
Allahu Aqbar😭😭😭😭😭
@salumabdul9760
@salumabdul9760 4 жыл бұрын
Sheikh kishki usijisahau saana..
@shabanimohamedijafar8142
@shabanimohamedijafar8142 5 жыл бұрын
Eti mwenyezi mungu amekuchagua huyu shekhe wetu sijamuelewa hapa
@kwisa4899
@kwisa4899 5 жыл бұрын
Shaban mohamed Jafar sasa ulifiri kachaguliwa na nani ?
@mohamedothman9769
@mohamedothman9769 5 жыл бұрын
Hamna shekh hapo. Mashekh waliobaki ni kina Issa Ponda tu
@alhadhaji5086
@alhadhaji5086 5 жыл бұрын
Naam Ponda Ndio mtetezi pekeake hao wengine wamenunuliwa kimya chao ngojeni tu simbali Mutaambiwa inafaa kushirikiana na Makafir ktk ibada kwa Masheikh wa aina hii ya kuwasifu na kuwapandisha juu makafir Allah anSema WAKUUDU LAKU KULA MARSADA
@abuunusayba525
@abuunusayba525 5 жыл бұрын
Alafu anasema anachukia rushwa toka alivyo umbwa sijui alikuwepo
@ebrahimshamos4696
@ebrahimshamos4696 4 жыл бұрын
Sasa kachakuliwa na shetani au vipi si wewe ungechaguliwa bacy
@alhadhaji5086
@alhadhaji5086 5 жыл бұрын
Sheikh Unakosea Rejea aya zinazopatilana ktk surat Touba uone Muislaam anakuwa juu ama Chini wacha Sifa za kujipendekeza. Kishki Unajishushia hadhi. Na ww jiandae kwenda kuungana nao wakikuita mm napata Mashaka sana na ww Sheikh kishki
@ramanhoibrahim3383
@ramanhoibrahim3383 5 жыл бұрын
Mwacheni aongee..
@azizikeya8314
@azizikeya8314 5 жыл бұрын
Unatakiwa kuisoma dini si kukosoa tu mtume alimsifu mfalme anajashi na Qur'an ilisomwa jafar tena swahaba alikuwa muislam yule
@alhadhaji5086
@alhadhaji5086 5 жыл бұрын
Jee Alishirikiana nae ktk ibada ww hujielewi ngoja simbali Mutaenda kanisani kushiriki kama wao wanavyoshiri na Masheikh wa aina hii ya kujipendekeza kwa Makafir ndio Chanzo cha kuuharibu Uislaam.Ujue uislaam hauhitaji Ushirika na dini nyengine.Ndio maana Allah akashusha Sura mzima kumkataza Mtume wetu Asijeakajaribu kushirikiana na Makafir ktk Kuabudu na Ktk surat Touba ndio akamaliza haswa.Ww kama ni marafiki zako endelea nao tu Mtume amesema mtu Atafufuluwa na yule ampebdae Allah atuepushe kuwapenda Makafir.Emu mfuatilie Sheikh Ponda utafahamu ubaya wa hao Usione wanacheka na kukuonyesha uso bashasha Yaliomo moyoni mwao ni Mabaya zaidi kuliko wayadhihirishayo Allah anasema hivyo.
@annassuleiman4508
@annassuleiman4508 5 жыл бұрын
@@alhadhaji5086 wewe ndiyo hujielewi kabsaaa yani hata dini huijui inavyoonesha. ivi kumuita kafiri msikitini aje apate mawaidha na kumualika uwanjani ni ipi ina hatari zaidi?? sasa kwa taarifa yako mtume alikuwa akiwaalika msikitini kabsa na walikuwa wanajaa kwa ajili yake kwenda kupata neno la mungu. sasa hapo ni wapi wamechanganya ibada??? bakwata wanafahamika kuwa wana mushkira wao kokote wanaingia na
@annassuleiman4508
@annassuleiman4508 5 жыл бұрын
@@alhadhaji5086 swali nakuuliza je kishki alishawahi kuingia 5kanisani kufanya ibada??? ikiwa hapana mbona unamlaani?? Tatu Embu Jifunze ilmu ya hikma ndiyo utajua kama kishki anapatia au anakosea. kifupi ngoja nikufundishe, Magufuli ni Raisi na vitabu vya dini vinatufundisha kuwatii viongozi wetu. haijalishi awe ni muislamu au mkristo maadam ni kiongozi wako basi huna budi kumtii. hiyo Ndiyo Nidhamu. kumsifu mtawala kwa nia ya kuepukana na madhara hiyo inaruhusiwa maadam usivuke mipaka kwa kumuita mungu au mtume au kumsifu kwa ajili ya kudai haki pia inajuzu. kwahiyo kwamimi sioni kishki kama amekosea, asingefanya hivyo huenda hayo aliyoyataka asingeyapata. kwahiyo jaribu kuwa na adabu.
@ahdahmed8383
@ahdahmed8383 4 жыл бұрын
Shukurani sana kishiki mungu akulinde sana
@bosheabdiproductionmediace3653
@bosheabdiproductionmediace3653 5 жыл бұрын
I rly love makufuli i salute you sir
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 Жыл бұрын
Mwenye akili hataweka udini kwa huyu baba hakika mungu akulinde magufuri
@mariammdoe8045
@mariammdoe8045 5 жыл бұрын
Maashaallah
@salumkhamis7818
@salumkhamis7818 5 жыл бұрын
Nachukia sana nikiona masheikh wako magerezani wanateseka,kisha mnasema ALLAH amemleta si umwambie kuna waislam wanateseka huko au hayawahusu ya waliopo magerezani eti atakuwa juu mbinguni,ALLAH anawaona
@chidiberbatov3613
@chidiberbatov3613 5 жыл бұрын
Baba hapa umenena neno,,mh!!!!
@ramanhoibrahim3383
@ramanhoibrahim3383 5 жыл бұрын
Mie napingana na wewe waache wakae tu..
@salumkhamis7818
@salumkhamis7818 5 жыл бұрын
Ramanho Ibrahim namuomba ALLAH awahifadhi masheikh wanaoteseka magerezani, ila usiombe yakukute na wewe
@mohamedothman9769
@mohamedothman9769 5 жыл бұрын
@@ramanhoibrahim3383 kwa kuwa ww uko uraiani unakula ugali unalala na kujamba ukiwa huru.
@alhadhaji5086
@alhadhaji5086 5 жыл бұрын
Huyo niadui wa Uislam musimshangae akisema wakae hukohuko Masheikh
@abdulkarimkipngeno2597
@abdulkarimkipngeno2597 5 жыл бұрын
Mashaa Allah
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 4 жыл бұрын
YESU nimfalime watanzania
@sniper93999
@sniper93999 2 жыл бұрын
😥😥mungu akusameh makosa yako JPM😥😥
@zubeydaseif1714
@zubeydaseif1714 5 жыл бұрын
Mashaallah
@kyaro5945
@kyaro5945 4 жыл бұрын
woe until i got goose bump
@salumabdul9760
@salumabdul9760 4 жыл бұрын
Ikumbukwe kuwa kuna hadithi inayosema mwana wa chuoni aliekwenda kwa mfalme ambae sio muislamu na akamnynyekea amepoteza nusu ya elimu yake muwe makini sana mashekhe..
@mwajayshekallaghe568
@mwajayshekallaghe568 5 жыл бұрын
Takbiiiir
@dariyally3278
@dariyally3278 5 жыл бұрын
Allah akbar
@mohamedothman9769
@mohamedothman9769 5 жыл бұрын
Subhanallah
@balkisamour5815
@balkisamour5815 3 жыл бұрын
Mashallah
@hamismanili3800
@hamismanili3800 5 жыл бұрын
ah anakumbusha anataka sifa taja mashekh wanodhalilishwa magerezan fursa ishatokea mnashindwa kusema viongoz gan nyny mnosahau ndugu zenu wa kiislam unakumbuka scholl 2007
@naamohamed9964
@naamohamed9964 5 жыл бұрын
Hilo neno ndugu wallah mtihan
@ausihaji2398
@ausihaji2398 5 жыл бұрын
Mwaka 8 wa nanee sasa wapenzi wetu wapo MAGEREZANI .Jamaa amebakia kumfagilia mtawalatu
@naamohamed9964
@naamohamed9964 5 жыл бұрын
@@ausihaji2398 tena sijawahi kusikia hilo likiongelewa naona leo wamekumbusha eneo la kujenga tu badala hata huyo muft angewakilisha hata barua mhhhj ila bora tukae kimnya jamana mana dunia ina mambo mengi
@IBRAHIMELSUBHY
@IBRAHIMELSUBHY 5 жыл бұрын
Tusiwe wavivu wa kufatilia mambo tukabaki kutoa lawama tu sheikh kishk alishaliongelea jambo hilo hata miezi mitatu haijafika nyuma na alimtumia RAIS hayo malalamiko kuhusu masheikh
@raymondabunuas58
@raymondabunuas58 5 жыл бұрын
muwapiganie mashehe wanaofanywa mabibi katika vituo vya pls nyinyi ndio Kwanza munaongelea shule
@naasorzuber442
@naasorzuber442 5 жыл бұрын
innalillahiiii,,,,,,,,,,,,,,,
@luheyissa5247
@luheyissa5247 5 жыл бұрын
Nakupenda Sanaa rais wangu
@omaratik2778
@omaratik2778 5 жыл бұрын
Hongera wa Tanzania huu ni umoja
@johnbanzi884
@johnbanzi884 5 жыл бұрын
Sana
@josephfrank4446
@josephfrank4446 Жыл бұрын
Ya Allah
@kercynshimirimana3022
@kercynshimirimana3022 4 жыл бұрын
Manshaallh
@aishahamismabugmashaalluh3255
@aishahamismabugmashaalluh3255 4 жыл бұрын
Jamani tunaomba mumfikishie rais Wetu kuwa mashehe Wetu wasameheeni Jamn miaka saba so kidog 😭😭😭
@shd12m55
@shd12m55 5 жыл бұрын
Inna lillah wainna ilaih raajiun.....
@khadijarashid9874
@khadijarashid9874 5 жыл бұрын
mashaallah
@mbidadaud1256
@mbidadaud1256 5 жыл бұрын
excelent Point
@rukayyawendo1268
@rukayyawendo1268 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 5 жыл бұрын
Magufuli jembe kitambo jaman kwa Hali hi anko yupo juu kilelen
@saumuseif9189
@saumuseif9189 3 жыл бұрын
Mashaallah huyo yabidi asilim kwakweli
@Ali2023T
@Ali2023T 5 жыл бұрын
Allahu Akbar
@muhamadusi4969
@muhamadusi4969 5 жыл бұрын
Sheikh Kishki hajielewi ww kumuita Magu maana yeye ndiye anawapiga vita masheikh na wingine amewatia ndani mpaka leo hii. jitambue hadhi yako ww.
@Damarry-FX
@Damarry-FX 5 жыл бұрын
Acha uchokozi ndugu.
@IBRAHIMELSUBHY
@IBRAHIMELSUBHY 5 жыл бұрын
Usiongee usiyoyajua ndugu yangu moto wa Allah ni mkubwa una hakika yeye magufuli ndo aliyewatia magerezani hao masheikh
@frankassey5971
@frankassey5971 5 жыл бұрын
Mashekhe walifungwa uongoz wa kikwete na shein
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 5 жыл бұрын
@@IBRAHIMELSUBHY Lakin yeye ndo rais kwann asiwatoe!????
@hundamaniamania872
@hundamaniamania872 5 жыл бұрын
Muombeni pia atoe magerezani masheikh wanabambikiwa kesi ooh
@robertmanase6423
@robertmanase6423 4 жыл бұрын
Hii ndio Tanzania, daima umoja
@mariamabdull4134
@mariamabdull4134 5 жыл бұрын
Aisee tumuombee duwa kiongozi kiongozi wetu
@paschalmashimba3584
@paschalmashimba3584 4 жыл бұрын
Safi sana rais
@zuberramadhan3267
@zuberramadhan3267 5 жыл бұрын
hayo maneno mengine muogopeni Alla
@mohamedothman9769
@mohamedothman9769 5 жыл бұрын
Nakwambia..!!
@abdulukwachu4447
@abdulukwachu4447 5 жыл бұрын
Sheikh Kishk wakati natazama Mashindano live kupitia zbc2 nilikuwa na Raia wa Gana amesema katika ile bendera ya Gana aliepanda nayo muwakilishi wa Gana imekosewa Rangi ,inshaallah mwakani hili swala lifatiliwe vizur
@halfanmundo282
@halfanmundo282 5 жыл бұрын
kishk anaongea kisom sana mbele ya watu ,sio mtu unapata dakika tano kuongea na rais unamwambia ilove you yaan unaleta michezo yako ya pwan. hapa
@lenniefei6710
@lenniefei6710 5 жыл бұрын
Hiki ndicho kipimo cha Taqwa kwa mwanadamu,awe shekhe awe maamuma! Kiyama kutakua na mambo makubwa!
@binsultan5495
@binsultan5495 5 жыл бұрын
Mtume katuusia tuwe makini na wanfiki kwan wamo katika ss
@Mohamed-wt8tw
@Mohamed-wt8tw 5 жыл бұрын
Kweli sheikh kishki amefeli kama hajavuka mipaka, anasema "muheshimiwa rais utakuwa juu mpaka mbinguni" astaghfiru Llah
@gracemwanyinga5000
@gracemwanyinga5000 4 жыл бұрын
Kaarib
@almasisadick8901
@almasisadick8901 4 жыл бұрын
Yafikia hatua waislamu kuwafanya maadui wa Allah kuwa ndiyo vipenzi wao ni alama ya unafiki
@nelsonandanyi
@nelsonandanyi 5 жыл бұрын
Takbr
@mohamedshaaban3297
@mohamedshaaban3297 5 жыл бұрын
Tatizo la nchi ya Tanzania hakuna uhuru kuhusu uislam,,,, ukitaka kwenda jela ungoleya uislamu husikilizwi wla kutekelezwa na Ndiyo maana mashekhe na waislamu tunakuwa wanafiki,,,, Qur-an inasema musiwachukiye makafiri ila musiwaamini mana watakufateni ili na wao muwafate ndiyo mana mungu alimwambiya mtume Muhammad awambiye makafiri nyinyi mna dini yenu na mi nna dini yangu.
@mbodzebemasika7477
@mbodzebemasika7477 5 жыл бұрын
Wallahi
@binsultan6981
@binsultan6981 4 жыл бұрын
Abdallah bin ubaida
@sophiaally7433
@sophiaally7433 5 жыл бұрын
Taqbiiiirr
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 5 жыл бұрын
Hebu angalieeni huyu anavyo jidhalilisha na kua mdogo sana
@fahimally3923
@fahimally3923 5 жыл бұрын
zuheor salim mm simkubali kishkii kbs na tabia zake yuko ananyeyekea kama vile hatuna hatia ktk nchi yetu
@farhiyachina6308
@farhiyachina6308 5 жыл бұрын
Masha Allah shaikh nuradiin kishki
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 5 жыл бұрын
MUNGU mpe afya njema isiyokuwa na marathi Magufuli tunakuenjoy sana mkuu
@ismailsharif59
@ismailsharif59 5 жыл бұрын
Big up rais
@salumabdul9760
@salumabdul9760 4 жыл бұрын
Hatusemi kwa ubaya lkn.
@mariammuscat4300
@mariammuscat4300 3 жыл бұрын
😭😭😭😭💔💔
@ShakiraHamisi-qp6ll
@ShakiraHamisi-qp6ll 4 ай бұрын
@ShakiraHamisi-qp6ll
@ShakiraHamisi-qp6ll 4 ай бұрын
Mashallaaaah allaah ampokeee hukoalikooo
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 5 жыл бұрын
Tumegundua target yako sh kishk na wenzako kumualika rais dah kumbe mna shida kubwa sana hampaswi kulaumiwa
@clqudiaemmanuel7740
@clqudiaemmanuel7740 5 жыл бұрын
Ni wivu Kwan mheshimiwa kawakosea nin mtu akifanya vyema mpongeze Kwan shida nin hongera rais wangu
@mohamedothman9769
@mohamedothman9769 5 жыл бұрын
Hata mm kama muislam sijaona faida ya kumualika rais, wameshindwa hata kumuomba awaachie mashekh wetu..
@binrashid8671
@binrashid8671 5 жыл бұрын
@@mohamedothman9769 wameomba walicho omba na wewe kaombe hayo mengine tatzo liko wapi?
@inocentbartholomew7696
@inocentbartholomew7696 5 жыл бұрын
njaa tu na unafki anamuita rais mtukufu na mungu je
@mohamedothman9769
@mohamedothman9769 5 жыл бұрын
@@inocentbartholomew7696 umeona eeh..
@ahmadkhattar6760
@ahmadkhattar6760 5 жыл бұрын
Kisqi unapenda kiki kama msaniiiiii alisikila mlevi mmoja akisema😁
@adibandagile2552
@adibandagile2552 5 жыл бұрын
Ahmad khattar kama huna cha kucomment bora kukaa kimya kuliko kusema kama ulivyosema😣😣😣
@mohamedothman9769
@mohamedothman9769 5 жыл бұрын
@@adibandagile2552 hizo ni kiki, ww unadhani ni nn
@zoonaruqashi700
@zoonaruqashi700 5 жыл бұрын
Me nilizan atamuambia kuhus madheikh wa zazibar kumbe sivo mungemuwa hap hap huy magu angeliona haya ba vibaya lkn munayssahau ya muhumu munamsifia tu hapo kishki umebugi
@eliphaziamon8794
@eliphaziamon8794 5 жыл бұрын
Zoona Ruqashi angalia tuhuma zao ,MTU kukutw na silaha we unashabikia aachiwe kisa sheh ,tafakar kwa upana ,
@yassinnjige7484
@yassinnjige7484 4 жыл бұрын
Kishk alixha ikumbatia dunia na akasahuuu akhera Ni mnafki anaomba ardhi lkn wenzie wapo jela ALLAH ata muhuliza siku ya kiama
@yassinnjige7484
@yassinnjige7484 4 жыл бұрын
@@eliphaziamon8794 ww hizo silahaa huliziona ama uliambiwa mbona km nikweli akuna hushahidi mahakamani Awana atia wale Ni dhulma wanazo wanyiwa ungelijua nikweli km walixha khumiwa
@mdohikigangamjukuu5117
@mdohikigangamjukuu5117 5 жыл бұрын
Hakika inapendeza mno
@Apeacfulguy
@Apeacfulguy 5 жыл бұрын
Kamkumbushe nyerere alichokifanya mwaka 1964 yale mauwaji ya waislam elfu 20000 hayo ndo yakumkumbusha ambacho hicho hicho chama alungano nacho yeye huyo anoitwa rais wa tanzania
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 8 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 32 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 83 МЛН
Duh! Binti Huyu Amshangaza MAGUFULI, Waziri AMELIA Hadharani!
9:17
Global TV Online
Рет қаралды 2 МЛН
Waziri MKUU Mbele ya MAGUFULI - "Ulinipigia Simu Nikiwa Uwanjani"
4:28
HAYA NDIYO ALIYOYASEMA SHEIKH KISHK KABLA YA RAIS MAGUFULI KUZIKWA
13:02
Kishki Online TV
Рет қаралды 886 М.
KIJANA MLEMAVU WA MIGUU AMTOA MACHOZI SHEIKH KISHK.
5:00
Kishki Online TV
Рет қаралды 81 М.
BARAKA MWAKIPESILE MAARUFU "MAGU" MBELE YA RAIS  Dkt. MAGUFULI
3:32
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 8 МЛН