Sheikh Othman Maalim - Misingi ya Kuchagua Mke Anayefaa Kuoa

  Рет қаралды 4,815

Muslimu Tv

Muslimu Tv

3 жыл бұрын

Sheikh Othman Maalim - Misingi ya Kuchagua Mke Anayefaa Kuoa
Sheikh Othman Maalim leo amtuletea mawaidha mada ni Mke Anayefaa Kuolewa
Sifa Za Kuchagua Mume Au Mke
Uteuzi wa mwenza katika ndoa ni jambo muhimu sana ambalo linatakiwa lizingatiwe au sivyo tutaingia katika balaa kubwa katika maisha yetu ya hapa duniani.
Ndoa ni jambo ambalo limepatiwa kipaumbele na Uislamu kwa kuwa ni Sunnah ya Manabii na Mitume na watu wema
#SheikhOthmanMaalimMisingiyaKuchaguaMkeAnaefaaKuoa #mamboyakuzingatiakablayakuoa #mamboyakuangaliawakatiwakuchaguamchumba #mkeanayefaakuoa #talakakwenyendoa #edayandoahedayandoa #mawaidhayandoa
Ndoa ni maumbile ambayo mwanadamu amepatiwa na Allah Aliyetukuka. Katika Uislamu hakuna utawa na kujitenga na majukumu ya kimaisha na kujenga jamii. Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:
“Hakika Allah ametubadilishia utawa kwa Uislamu ulionyooka” (al-Bayhaqiy).
Pia amesema: “Nami naoa wake, mwenye kukengeuka na Sunnah yangu basi si katika mimi” (al-Bukhaariy na Muslim).

Пікірлер: 1
@a.856
@a.856 Жыл бұрын
Jazakallah khayran
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 79 МЛН
OMG🤪 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:50
Potapova_blog
Рет қаралды 18 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 43 МЛН
The day of the sea 🌊 🤣❤️ #demariki
00:22
Demariki
Рет қаралды 106 МЛН
Mambo matano 5 yenye kuharibu Swaumu (Funga)
1:14:02
Muslimu Tv
Рет қаралды 1,3 М.
ADHABU KWA MWENYE KUACHA SWALA
1:02:08
IQRAA TV
Рет қаралды 1 М.
Sheikh Othman Maalim - Cheo Cha Mwanamke Katika Uislam
50:17
Khidhry 29
Рет қаралды 8 М.
VOA Somali Radio Idaacadda Galabnimo 08.07.2024
20:07
VTV Somali
Рет қаралды 10 М.
027 4 OTHMAN MAALIM   KISA CHA ABDALLAH IBN OMAR
1:03:55
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 32 М.
SHK OTHMAN MAALIM: HIKI NDO QISA CHA SAHABA KIPENZI CHA MTUME JULAIBIIB
1:03:25
Riyadh Tv Online Znz
Рет қаралды 18 М.
SHEEKH MUSTAFA | QISOOYIN OO UGU SAAMEYNTA BADAN_XUL 2024
2:44:02
Madxafka Diinta
Рет қаралды 69 М.
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 79 МЛН