SHETANI ANAZUIA MATOKEO SIO BIDII - PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 68,080

Pastor Sunbella Kyando

Pastor Sunbella Kyando

2 жыл бұрын

Shetani haogopi watu wanao omba, huwa anaogopa "MATOKEO" kwa sababu matokeo ndiyo yanayowavuta watu kwa Kristo. Akikuona una matokeo anaanza kukuona ni mtu HATARI.
Muhuburi 10:7
Anasema kuna "ajabu" kubwa Duniani, wale ambao Mungu amewaumba kuwa mifano, kuwa kimbilio, kuwa watu wakuu hawapo kwenye nafasi walizoumbiwa, nafasi zao zimekaliwa na watu wengine WASIOSTAHILI kuwepo.
Ifike sehemu wale walioumbwa kuwa kwenye hizo nafasi, kuwa wakuu wawepo kwenye hizo nafasi.
Enough is ENOUGH! #Shetani#Anazuia#Matokeo

Пікірлер: 97
@husseinchea5524
@husseinchea5524 2 жыл бұрын
Sijawahi kuona mtumishi wa MUNGU km wewe. Ungekuwa mwalimu wa shule basi wanafunzi wangefaulu vizuri sana... watching from Mombasa 🇰🇪
@seniorlecturerperfectboy5615
@seniorlecturerperfectboy5615 2 жыл бұрын
Yuko vizuriiii....sanaaa mnoo
@itsyourboy1407
@itsyourboy1407 Жыл бұрын
Mno mno
@florentkatembo1456
@florentkatembo1456 Жыл бұрын
Mwengine iko fungua vuka yorodani uta ona
@joannelson1137
@joannelson1137 2 жыл бұрын
Mungu akuweke mtumishi kwa ajili yetu , Asante sana Yani unafundisha jaman ,mungu aendelee kukuinua juu zaidi akupake mafuta yake
@GraceMwazembe-fu8js
@GraceMwazembe-fu8js Ай бұрын
Mtumishi wa mungu una neema kubwa sana ktk ufundishaji mungu akupe uzima
@Miriam84Akizimana
@Miriam84Akizimana 2 жыл бұрын
To be honest most people's Destin has been exchanged. This world ni mungu atusaidie 🙏
@wandedalushi2984
@wandedalushi2984 2 жыл бұрын
Moyo wangu unatamani siku moja nishuhudie Yale MUNGU atanirudisha kwenye nafasi yangu
@shemmunene4675
@shemmunene4675 2 жыл бұрын
Powerful message wa Tanzania kwakweri Muna mutumishi wamungu tembea Kenya please 🙏🙏🙏
@blessedtumaini516
@blessedtumaini516 2 жыл бұрын
Bwana Yesu Kristo nipandishe kwa punda wangu nisende kwa miguu tena uliniumba mwenye ukuu na ukaniokoa kutembea kwa miguu nimenda yatosha I was born for greatness I am great for your Glory Lord. Amen Ubarikiwe Mtu wa Mungu kwa huduma hii njema. Ulindwe na Mungu Baba daima.
@zamdasalumu9740
@zamdasalumu9740 9 ай бұрын
Ee mungu nitoe kwenye iyo roho inatesa maisha yangu
@elishasoka6692
@elishasoka6692 2 жыл бұрын
kila kiti kilichokaliwa au kukalia ninakirejesha kwa Jina la yesu kupitia huu ujumbe wa Mungu.
@happinessmtani7621
@happinessmtani7621 2 жыл бұрын
may God continue bless you man of God. I'm in oman when I listen you're preaching am blessing always I see The peace in my heart may God open all the gate which trouble my result of success 🙌 🙏 I humble to God,let me less and Him to be more.
@selinasamsonnkone673
@selinasamsonnkone673 2 жыл бұрын
Mungu nikumbuke nibaliki nihurumie Mungu nishike watoto wangu wawili wadogo wanao fatana wanavinyama puani namimi sina pesa ya oparesheni hivyo MUNGU simama badala yangu
@neemasaidisaid1791
@neemasaidisaid1791 2 жыл бұрын
Amen. Baba ukatukumbuke kwajiliya jina lako.kila goti lipingwe sifa na utukufu ni wako bwana.
@ElicanaGeorge-fm6fk
@ElicanaGeorge-fm6fk 9 ай бұрын
Amen amen nimemuona eliud Samuel barikiwa sana, pia nimebarikiwa na neno
@maggiemlawa1562
@maggiemlawa1562 2 жыл бұрын
Barikiwa sana man of God 👏💪
@zachariashurura7226
@zachariashurura7226 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi kwa huduma, naomba mungu anipe na Mimi kibali Cha kufunguliwa kupitia madhabau hii ya Reality of Christ.
@danielkyalo5666
@danielkyalo5666 2 жыл бұрын
I really like your preachings am following you daily at your KZfaq channel while am out of Africa continent and learnt alot,you are a preacher and teacher too .Iooking forward to come at your church once I come back be blessed.
@petermunuo1657
@petermunuo1657 Жыл бұрын
Amen mtumushi barikiwa sana
@rehemakatana1137
@rehemakatana1137 Жыл бұрын
God remember us
@goodluckygalbon1585
@goodluckygalbon1585 Жыл бұрын
Nabarikiwa mnoo na mahubiri yako maan yanagusa moyo wng na Mungu afny badilik la hayo mahubiri ndan ya maish yangu , ubarikiwe mtumish wa Mungu
@carolfelix3075
@carolfelix3075 2 жыл бұрын
Akina Cornelio wengi leo ndio wana vita za kiuchumi na nafasi.Powerfull Revelation Mteule
@monicaalute3143
@monicaalute3143 Жыл бұрын
Mungu azid kukutumia
@sheshem5453
@sheshem5453 2 жыл бұрын
Powerful Revelation Indeed.. Help us Ooo Lord..
@josephatjordan5560
@josephatjordan5560 2 жыл бұрын
UMEKUWA BARAKA SANA KWANGU🙏🙏🙏🙏Mungu aniketishe katika kiti changu🙏🙏
@loveandnature2821
@loveandnature2821 2 жыл бұрын
YESU KRISTO NIPE SHUHUDA .AMEN
@timothymakokha4112
@timothymakokha4112 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana myumishi
@evansmusungu1593
@evansmusungu1593 Жыл бұрын
GOD I ask you to place me where am supposed to be Am tired of this situation plz heal my heart ooh God
@ioniced247
@ioniced247 2 жыл бұрын
Amen Tumeijua kweli nayo kweli itatuweka huru God Bless You
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Жыл бұрын
Amina Mungu Yuko na wewe ni zaidi ya mchungaji,
@janethfwamba8561
@janethfwamba8561 Жыл бұрын
Amina baba ndio kinachonikuta kwa Sasa ninawakati mgumu mno na sitoki ee mungu naomba unitowe ktk kifungo hiki Ninaamini
@PasssCharles
@PasssCharles 8 ай бұрын
Mungu akuinuwe zaidi mtumishi wa mungu
@baluhyaandrew1564
@baluhyaandrew1564 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi Nkyando Sunbella
@fotonatusijoely7219
@fotonatusijoely7219 Жыл бұрын
Amina Sana mtumishi barikiwa mno 🙏
@kitundubarikimisholi7329
@kitundubarikimisholi7329 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana Mtumishi wake na azidi kukutumia zaidi zaidi
@jeremiahdeus1127
@jeremiahdeus1127 2 жыл бұрын
Amen amazing word inside of us there is special materials
@emanuelmsaky8074
@emanuelmsaky8074 2 жыл бұрын
Powerful message true man of God Mungu akuinue viwango vikubwaa zaidi
@buhigwedc2827
@buhigwedc2827 2 жыл бұрын
Amina ni kweli kwako kuna majibu yangu
@prophetislael5265
@prophetislael5265 Жыл бұрын
Nakupenda sana baba mafundisho yako yanagusa mioyo yetu
@bettymwanuke1424
@bettymwanuke1424 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi YESU akutunze
@janethfwamba8561
@janethfwamba8561 Жыл бұрын
Ndio maisha yangu baba naomba mungu anitowe huko
@rebecakabirigi9918
@rebecakabirigi9918 2 жыл бұрын
MUNGU azidi kukutumia zaidi na zaidi mtumishi👏
@marypraise6693
@marypraise6693 2 жыл бұрын
Am blessed 🙌🙏✨
@user-xq3iq1gg3w
@user-xq3iq1gg3w Жыл бұрын
Very nice my God steel bless you
@williamnamende1023
@williamnamende1023 2 жыл бұрын
Amen mtumishi wa MUNGU somo zuri
@floraleonard9095
@floraleonard9095 Жыл бұрын
MUNGU AKUWEKE PASTOR SUNBELL KYANDO.
@bethmbwilo3092
@bethmbwilo3092 2 жыл бұрын
Bwana Yesu akubariki Sana Mtumish
@lavendanekesa5404
@lavendanekesa5404 2 жыл бұрын
God bless you man of God
@juliethamwenda395
@juliethamwenda395 4 ай бұрын
Amina
@stanslauslugendo31
@stanslauslugendo31 2 жыл бұрын
Enough is enough GOD!
@seniorlecturerperfectboy5615
@seniorlecturerperfectboy5615 2 жыл бұрын
Respect sana ntazid kukufatiliaa milele
@jacquelinenanze6530
@jacquelinenanze6530 2 жыл бұрын
Be blessed Pastor
@neemasamwel9958
@neemasamwel9958 24 күн бұрын
Pastor unanijua kwan?maana unaniongelea mimi kabisaaaa😭😭😭
@muinjilistdeborahcharles4457
@muinjilistdeborahcharles4457 2 жыл бұрын
Barikiwa saana mchungaji
@bennamuchau6487
@bennamuchau6487 2 жыл бұрын
Mungu wangu nisaidie..
@evalineswai3420
@evalineswai3420 4 ай бұрын
Amen
@maycongowi7505
@maycongowi7505 2 жыл бұрын
Barikiwa san mtumish 🙏🙏
@noelpaul640
@noelpaul640 2 жыл бұрын
Powerful Revelation
@laisonlugono9111
@laisonlugono9111 2 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@tulinagwemwakalukwa6468
@tulinagwemwakalukwa6468 2 жыл бұрын
Asante Yesu
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 10 ай бұрын
JUSUS IS POWERFUL
@ivanfaustin9717
@ivanfaustin9717 2 жыл бұрын
Aminaa
@samwelmahimbo3694
@samwelmahimbo3694 2 жыл бұрын
somo lote linaitwaje niliangalie
@heavenlight5084
@heavenlight5084 Жыл бұрын
Hili somo ni langu kabisa,farasi wangu wamepanda wengine,nalima shamba wengine wanavuna 😭😭😭 Ee MUNGU MUNGU nisaidie
@jibumalilo1605
@jibumalilo1605 Жыл бұрын
MUNGU ni mwema Sana hashindwi na kitu
@Shikuwanjoki
@Shikuwanjoki 2 жыл бұрын
Helps us God come and rescue your people 🙏
@bethcharles1794
@bethcharles1794 2 жыл бұрын
Mtumishi uko vzr
@alicemalombo6813
@alicemalombo6813 4 ай бұрын
🙏🙏🙏😭😭🙏🙏😭
@kgutimle1853
@kgutimle1853 Жыл бұрын
Ahsate kwa neno
@angeljoseph4666
@angeljoseph4666 2 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏
@merryjeremiah7533
@merryjeremiah7533 2 жыл бұрын
Amiina
@manmaster536
@manmaster536 2 жыл бұрын
Safiiii
@gracejonh4022
@gracejonh4022 Жыл бұрын
Unakuja mwanza lini
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Daddy ❣️
@kakabaraka1058
@kakabaraka1058 2 жыл бұрын
00:21
@rehemakatana1137
@rehemakatana1137 Жыл бұрын
Oooooo yes
@zephaniafegha3071
@zephaniafegha3071 Жыл бұрын
Amenii
@official_maryrich346
@official_maryrich346 2 жыл бұрын
Amina mtumish am blessed
@ThomsonTumain
@ThomsonTumain 2 жыл бұрын
Dah!
@muinjilistdeborahcharles4457
@muinjilistdeborahcharles4457 2 жыл бұрын
Kweli
@marrynaftali7969
@marrynaftali7969 2 жыл бұрын
Natamani kujua ratiba ya ibada za hapa
@OMnews007
@OMnews007 2 жыл бұрын
Unafundisha neno vemaa
@drvidah7030
@drvidah7030 2 жыл бұрын
Mungu naomba nitembee na punda wangu na sio miguu
@petermwawa5769
@petermwawa5769 Жыл бұрын
wakati sahihi MATOKEO YANGU YAKOJE
@pascaledward295
@pascaledward295 Жыл бұрын
KYANDO LINI MBEYA ILI TUPATE NENO LISILOGOSHIWA TUNAKUFATILIA TU KWAMTANDAO TU PROMIS
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 2 жыл бұрын
Ebu tufafanulie 1st peter 18-25 it's the blood of Jesus that redeems not silver or gold we are in a new despensition of Jesus'Christ Not amount of money can break evil Covent/yokes
@grolyqueen5833
@grolyqueen5833 2 жыл бұрын
SoMo fup san
@makanijosephine6443
@makanijosephine6443 2 жыл бұрын
mtumishi hujui tu umenitoa mbali na mahubiri haya am very much blessed una majibu yangu but i dont know how to reach and see you personal
@georginakasibu7637
@georginakasibu7637 Жыл бұрын
Ubarikiwe Pastor. Anwan yako please na phone number ni ipi ? naomba uniombee .
@ceflenenicolaus3848
@ceflenenicolaus3848 11 ай бұрын
Ameni
@rebecachristian5207
@rebecachristian5207 2 жыл бұрын
Amina
@hopekonkoma3029
@hopekonkoma3029 2 жыл бұрын
Ubalikiwe sana Mtumishi wa Bwana umetumwa kwetu mtumishi nakutazama nkiwa kenya 🇰🇪🇰🇪 Nairobi god bless you so much
@elizabethcrispin2541
@elizabethcrispin2541 2 жыл бұрын
Imekua kwangu katika jina la YESU kristo emen
@elishajailosy8346
@elishajailosy8346 Жыл бұрын
Amen
@kyakosmumbere5681
@kyakosmumbere5681 2 жыл бұрын
Amina
@levismbarikiwa7154
@levismbarikiwa7154 2 жыл бұрын
Amen
VITA  KWA WALIOBEBA MAONO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
23:59
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 117 М.
YESU ANAFUFUA VILIVYO KUFA  NA KUOZA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
21:39
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 30 М.
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 77 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 52 МЛН
KUNA SAUTI NYINGI KWENYE ULIMWENGU WA ROHO
25:49
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 14 М.
SADAKA YA AGANO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
24:16
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 20 М.
Faida ya Kukaa Kimya -  Pastor Sunbella Kyando.
20:06
Chomoza Tv
Рет қаралды 121 М.
NAFASI MUNGU ALIYOKUPATIA KWENYE FAMILIA YAKO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
14:44
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 52 М.
NEEMA + KAZI = ? - PASTOR SUNBELLA KYANDO
50:11
Reality of Christ Church
Рет қаралды 11 М.
ARDHI INASIKIA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
19:35
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 34 М.
KUSHINDA ROHO YA KUKATALIWA NA KUKOSA KIBALI || PASTOR GEORGE MUKABWA || 04/01/2024
1:24:36
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 71 М.
ROHO YA UMASIKINI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
30:52
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 75 М.
ROHO ZINAZOZUIA MATOKEO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:21:12
Reality of Christ Church
Рет қаралды 30 М.
FIKICHA MACHO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
18:57
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 4,7 М.