SHIDA YA SIMBA NI MFUMO AU VIONGOZI?, WATAENDELEA KUTESEKA MPAKA KIAMA | MO NAYE NI SHIDA

  Рет қаралды 3,074

KISHAMBA MEDIA

KISHAMBA MEDIA

2 ай бұрын

Ni mchambuzi wa soka Zuberi akitoa mtazamo wake kuhusu vuguvugu linaloendelea katika klabu ya Simba

Пікірлер: 9
@costantinestephen2594
@costantinestephen2594 Ай бұрын
Tabu iko pale pale
@peterchande957
@peterchande957 Ай бұрын
Umeongea vzr sana
@SalmaChamy-tg4bo
@SalmaChamy-tg4bo Ай бұрын
Kwa ubingwa simba wasahau jwa maka hii ijayo nadhani hii club ingefutwa tu basi
@user-hu4el2rx2u
@user-hu4el2rx2u Ай бұрын
Mo ndio sababu
@silvanuskisinza4303
@silvanuskisinza4303 Ай бұрын
Ili tutafute suluhu lazima tutofautiane, baadae tutapata muafaka. Hata wakibaki hawa viongozi hawezi kuwa naufanisi wa mafanikio. Wengi ni watu wenye masilahi binafsi.
@peterchande957
@peterchande957 Ай бұрын
Shida kubwa Mo na mfumo mbovu pia katiba mbovu
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 Ай бұрын
Idara ya ufundi Ina matatizo ndio au hapana. Miaka mitano iliyopita Simba ilikuwa Bora sana tatizo lilianza pale wachezaji walipoondoka either Kwa viwango kushuka au kuchukuliwa na timu kubwa. Simba ilishindwa kupata replacement Bora au sawa na wale walipoondoka. Najiuliza idara ya ufundi Ile iliyokuwapo miaka mitano iliyopita Iko wapi? Kinachoshangaza Simba na Yanga zinashiriki kwenye michezo ya CAF wachezaji bora mbalimbali wa timu pinzani wamekuja Benjamin Mkapa tumewaona, je iweje mpaka Sasa Simba haijaainisha wachezaji wa kusajili Toka timu hizo za nje zilizocheza na Simba na Yanga?
@SalmaChamy-tg4bo
@SalmaChamy-tg4bo Ай бұрын
Kajula sio mtu wa mpira anafungua chanel tu
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 29 МЛН
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 9 МЛН
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 27 МЛН
MCHUNGAJI AUMBUA NJAMA ZA WAJUMBE SIMBA KUMTOA MO/ WALIKUWA WAPI?
12:33
Maximum Tv Online
Рет қаралды 7 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /23/ #love
28:53
BabaJoan
Рет қаралды 191 М.
Messi and Neymar Bond 😍
0:36
Flush
Рет қаралды 2,4 МЛН
Football Players Slap Challenge😱
0:25
Football Arena
Рет қаралды 12 МЛН
Haaland Respect Moments 🥶
0:40
Foot Mood
Рет қаралды 5 МЛН
Players vs Robot Goalkeeper + Putin🤯🔥
0:19
Best Football Shorts
Рет қаралды 6 МЛН