SHIILOLE ATUMIA MIL.90 KUIRUDISHA SHISHI FOOD DAR, KUMBE MUME WAKE ALISUSA!

  Рет қаралды 33,809

Bongo5

Bongo5

Жыл бұрын

Msanii wa muziki na Mjasiliamali, Shilole amefanikisha kuurudisha mgahawa mpya wa Shishi Food Mabatini, Kijitonyama jijini Dar Es Salaam baada ya ule wa awali ambao ulikuwa maeneo ya Leaders Club jijini Dar Es Salaam kuvunjwa ili kupisha ujenzi wa Zahanati.
Mume wa Shilole, Rommy amedai haikuwa rahisi kufanikisha hilo kwani wamewekeza zaidi ya Tsh Milioni 90 katika ujenzi huo mpya huku wakiwa wanatoka kwenye kubomoa mgahawa wao wa Leaders Club ambao waliwekeza pesa nyingi.
Rommy amedai kutokana na sakata hilo amegundua mke wake ni mpambanaji haswa kwani yeye alimkimbia baada ya sakata la bomoabomoa kuchanganya kwani walikuwa wanatofautiana kwenye baadhi ya mambo anakaona akimbilie Dodoma.
Amedai zoezi lote la bomoabomoa yeye alikuwa yupo Dodoma kuepuka kukaa na msanii huyo ambaye alikataa ushauri wake.
#entertainment #news #music #funny

Пікірлер: 59
@joviangeofrey6918
@joviangeofrey6918 Жыл бұрын
Hongera sana. Wanawake wengi jifunze Kwa dada shishi. Vipesa kidogo tu vinawatia kibri mnadharau waume zenu na kuvunja ndoa zenu. Kumbe mnaweza kuitumia hao wanaume kufanya mambo makubwa Zaid. Kusapotiana kunawezekana Kwa njia au namma mbalimbali siyo ela tu
@mgosimkome9242
@mgosimkome9242 Жыл бұрын
Akipata mzee akampa kisimu tu cha Iphone anakudharau na kukuona huna maana na kukuambia kama vipi tuachane angalia wanawake wanaopambana wamiliki pesa sio unafanya mapenzi ili upate kupiga mizinga wanaume kusumbua tu muda wote nitumie hela nitumie hela huo ni uvivu wa kufanya kazi ila wanawake wale wanaopambana kuwa na vyao sio vya kuomba omba
@joviangeofrey6918
@joviangeofrey6918 Жыл бұрын
@@mgosimkome9242 ushamba na umasikini wa fikra huo
@hildafrisch9370
@hildafrisch9370 Жыл бұрын
Hongera sana Shilole kwa kupambana. Mungu akusaidie kukupa maisha marefu. Amen.
@aziza9093
@aziza9093 7 ай бұрын
Mashaallah Allah wabaraki kaziya mikonayako
@ashuramhandoashuramhando6798
@ashuramhandoashuramhando6798 Жыл бұрын
Mume Bora sana Shishi mshike vizuri hana makuu ❤️🔥🙏🙏
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 Жыл бұрын
Mungu awazidishie kheri ktk ndoa yenu na upambanaji wenu wa kutafuta pesa shishitipwatipwa 🥰🥰🥰🥰💟👌
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Hongera shishi na ROMI ,,unanikumbusha mbali Sana,namimi ninaye mtu ambaye tunapambana pamoja Yani safi kumpata mwanaume wa ivyo hongereni Sana Mr &Mrs romi
@abubakarsaid3860
@abubakarsaid3860 Жыл бұрын
dah.rom anazidi kukauka tu inaonekana anapitia mateso sana .inaonekana katengwa na ndugu zake
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Жыл бұрын
@@abubakarsaid3860 mmh waja mnamaneno .. Sasa Romi lini alishakuwaga mnene.. huyu Toka namjua ndio muda ule wanatambulishana na shishi alikuwa hivihvi.. na hata kipindi kile alikuwa amekauka zaidi.. nafuu ya Sasa acha umbea ..
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Wewe ni Ndio wewe ulikuwa unalia lia kwamba umeachana na mtu wako au 😂😂
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Mume wake mpole sana
@bahatijuma5736
@bahatijuma5736 Жыл бұрын
Dada shishi ww ni mwanamke wa nguvu hongera ni mfano wa kuigwa mungu akutangulie🙏🙏🙏🙏🙏
@tawsi-yc3nk
@tawsi-yc3nk Жыл бұрын
Hongera sana dada shish pia mungu awape maelewano mazuri kwenye maisha yenu ❤
@annaikoti-mr7sb
@annaikoti-mr7sb Жыл бұрын
Duuh hongera sana shishi. Nakupenda sana mdogo wangu mpambanaji .
@madamehatibu9324
@madamehatibu9324 Жыл бұрын
Romi na Shishi🤗🤗🤗🤗🤗🤗 Shishi umepata Mwanaume ambaye atakua kicheko chako siku zote mstaarabu na mwenye hekima lakini anayekupa kipaumbele Kama mkewe rizki Ni mlango hufunguka kwa yeyote awe mume au mke Ila Siri ya kufanikiwa Ni kujaliana kupendana kuheshimiana na kupeana muda wa kila mmoja kufanya kazi kwa mustakabal wa familia
@veronicawilsonmbwambo1054
@veronicawilsonmbwambo1054 Жыл бұрын
Hongera San mwanamke wa nguvu
@angelsylvester4795
@angelsylvester4795 Жыл бұрын
Shishi wewe ni mwanamke wa nguvu sana jamani mola akupe kheri zaidi na maisha marefu nakupenda sana
@bahatisunga1642
@bahatisunga1642 Жыл бұрын
Hongera sana Shilole
@athumanmarekano2454
@athumanmarekano2454 Жыл бұрын
Hongera sana mpiga picha usiejulikana sasa rommy vipi hujui matumizi yaliyofanyika ktk mgahawa wenu jiangalie dogo utasifia mpaka basi maana huna kitu eti mtoto wa kiume anasusa
@auntymaria7003
@auntymaria7003 Жыл бұрын
Mashallah
@innocentoisso6869
@innocentoisso6869 Жыл бұрын
Kazi nzuri lakini hizo rangi ulizochanganya hapo juu kuna wapuuzi wanazitumia Kama nembo yao
@foodbasiccourt2028
@foodbasiccourt2028 Жыл бұрын
Mmeshaanza hizo rangi sio za lgbtq sio kabisa lazima zitimie zote ndio iwe nembo nembo huwa haitakiwi imiss rangi
@stevegastondoctorhuuniukwe7986
@stevegastondoctorhuuniukwe7986 Жыл бұрын
@@foodbasiccourt2028 zitimie mala ngapi? Mnaacha kupambana na dalili mnashabikia Tu Uchoko!! Rangi ziko wazi hizo.
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Acha kuwa na mawazo mgando Inaonekana unapeo mdogo sana yaani ndio kitu ulichooona
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
@@stevegastondoctorhuuniukwe7986 rangi ni rangi tu acha kuwa na mawazo finyu comment vitu vya maana
@foodbasiccourt2028
@foodbasiccourt2028 Жыл бұрын
@@stevegastondoctorhuuniukwe7986 unaonekana wewe ndio mwenyekiti wa mashoga puuu aibu kwanini umeruhusu mwanaume mwenzio akuinamishe? Maana umelegea hadi umechanganya rangi hizo sio rang za mashoga kama wewe.tatizo akili yako inawaza kufilwa hata nikikuelekeza rangi zenyewe huwezi amini kwani akili imeshapumbazwa
@edinachami4318
@edinachami4318 Жыл бұрын
Shishi food karibu Arusha uwekeze
@wilbatnyato4679
@wilbatnyato4679 Жыл бұрын
Mtu anaekukimbia wakati wa matatizo hlf anakuja kurudi kwny raha inabidi kufikiri mara mbilimbilu
@ombenmichael3473
@ombenmichael3473 Жыл бұрын
Hongera shishi food
@irenegeorge3501
@irenegeorge3501 Жыл бұрын
Shishi🔥🔥🔥🔥
@chifuthedoni8889
@chifuthedoni8889 Жыл бұрын
Watu wa dar nyie! Mko waongo sana! Kwanza shilole hata hajawahi kushika 50 milion cash! Hio 90 kaitoa wapi? Mbona mnamwonea? Au ye ndo kawadanganya?
@shadidashafiu1965
@shadidashafiu1965 4 ай бұрын
Acha wivu😂
@isaachakim31
@isaachakim31 Жыл бұрын
Ongera
@elimidakashumba2422
@elimidakashumba2422 Жыл бұрын
Hongera
@amanimusa5744
@amanimusa5744 Жыл бұрын
Hapo weende mahakamani wakaandikishiane hata baadae kusije ndugu wakatifuana. Bora wakaandike zangu asilimia ngapi zame ngapi.
@tarsilabayyo-qt2xu
@tarsilabayyo-qt2xu Жыл бұрын
Naomba namba ya shishi me na shda na kazi waitres cashier naweza
@shadidashafiu1965
@shadidashafiu1965 4 ай бұрын
Kazi usiombe mtandaoni mpenz nenda ofisini onana nae
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
Rangi hizooo
@AbdillahSOthman
@AbdillahSOthman Жыл бұрын
Izo rangi mchanganyiko zina ashiria kitu gani?
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 Жыл бұрын
Tupe jibu Wewe...Maana Unaonekana kama Una Iman na Mungu...
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Жыл бұрын
Hel imeend nying umetoa sh ngapii 🙄🙄🙄🙄🙄🙄 viwanaume vingine
@Mastorytv
@Mastorytv Жыл бұрын
Wewe ndio shishi?
@neemajames2073
@neemajames2073 Жыл бұрын
Yani eti mwanaume unasema sio mm niliefanya kwahiyo ww unalelewa ??
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 Жыл бұрын
Ulitaka Adanganye....Amesema kipato chake na mkewe mkewe Kamzidi....shida iko Wapi...kwamba yeye Afanyi kazi...!!!Acha Ushamba Mke na Mume kushilikiana kwa kila jambo ni Muhimu sana kwa Maisha Yenu.
@Boaz22
@Boaz22 Жыл бұрын
Mnaweka mbao, mnapaka rangi,mnasema million 80 kwenda 90 😅😅😂😂😂, nyie, hivi mnajua wasanii wana fake life sana??😂😂😂
@stanslauschatata3483
@stanslauschatata3483 Жыл бұрын
Jaribu kuheshimu hustle za wenzio! We umefanya kipi cha maana ukiacha hiyo tekno ulioazima kucomment usenge
@khadjamhozya
@khadjamhozya Жыл бұрын
Ndomana hakajaweka picha iritukaone nahisi ni kamaraya kachafu kanakojiuza kwa500 tu
@khadjamhozya
@khadjamhozya Жыл бұрын
Kanapinga biashara ya mwanamuke shujaaako kamalaya kachafu
@agnesspetro6695
@agnesspetro6695 Жыл бұрын
Nilijengaga Banda la kuku tu kabanda, kwakutumia mbao ohoooo subutu, mbao sio masihara wewe
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 Жыл бұрын
Milioni 90 yaani nimemalizia nyumba Yangu juu kabisaaaa! Nyumba Yangu ni gorofa naishi chini juu bado m90 namalizia juu na huo ndio ukweli wasanii wa kibongo bwana kwa kuongeza sufuri hawajambo
@highthemetv7857
@highthemetv7857 Жыл бұрын
Hujaulizwa acha kiherehere
@abdibilali4186
@abdibilali4186 Жыл бұрын
Ghorofa yako inakuingizia bei gani
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 Жыл бұрын
@@abdibilali4186 nikimaliza napangisha M kwa mwezi na sijajengea pesa zaidi ya hizo zinazotamkwaga na wasanii upo baba!
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 Жыл бұрын
@@highthemetv7857 kiherehere! Nyie ndio wale waongeza masifuri anyway huo uwongouwongo kuna siku utawaumbua kwa mfanyabiashara hiyo hela mpaka ije ikulipe sio leo
@hashymharun9337
@hashymharun9337 Жыл бұрын
Milioni 90 ya makaratasi🚮
@joycekaguo8476
@joycekaguo8476 Жыл бұрын
We uon
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 132 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 484 М.
Mogadishu's Busiest Market (Somalia)
12:09
gus1thego
Рет қаралды 494 М.
HUYU NI MHE JOHN POMBE MAGUFULI 14 Nov 2013
13:38
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 280 М.
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 379 М.
貓咪 小鬼當家🎮🔫🚑 #aicat #shorts #cute
0:41
Cat Cat Cat
Рет қаралды 22 МЛН
😬 Мам Дай Хлеб 🍞 #shorts
0:38
AOneCool
Рет қаралды 2,7 МЛН
Would you recognize your soul mate by smell?
0:14
Den Done It
Рет қаралды 18 МЛН