No video

SHILOLE AFUNGUKA KUMLETEA DIAMOND MCHUMBA ALINISUMBUA SANA ZAWADI HIZI ZA MAMILIONI KAMLETEA DIAMOND

  Рет қаралды 34,849

SamMisago

SamMisago

Күн бұрын

SHILOLE AFUNGUKA KUMLETEA DIAMOND MCHUMBA ALINISUMBUA SANA ZAWADI HIZI ZA MAMILIONI KAMLETEA DIAMOND

Пікірлер: 93
@Michael-ig6oi
@Michael-ig6oi Жыл бұрын
Shishi usije Ludia Taifa letu lina mwangaliya msani wetu sikumpeleka kienyeji ungewasiliana na Nasibu, muombe msamaha brother wa taifa
@FatmaAli-oy7yu
@FatmaAli-oy7yu 3 жыл бұрын
Mbona nasib km hajafurahi
@user-he9rs9yq8i
@user-he9rs9yq8i 6 ай бұрын
Ameshaonwa n wengi mno😅
@azizasaid5255
@azizasaid5255 3 жыл бұрын
Nakupenda sana shishi. Nakiona kama mwanangu.
@azizambaira2554
@azizambaira2554 3 жыл бұрын
🤔🤔🤔
@mwansaflorence6862
@mwansaflorence6862 3 жыл бұрын
Huyu nae nikama hazitoshi, hivi unaweza kupeleka mtu kumuona huyo mtu mkubwa bila hata appointment, unamwamini vipi kama katumwa ? Uhuru wake na Diamond anatumia vibaya huyu.
@zaggyization
@zaggyization 3 жыл бұрын
ndio tatizo la kuchukuliana poa,inabidi amwombe msamaha,amenisikitisha sana
@hemedykiboko2650
@hemedykiboko2650 3 жыл бұрын
Fact
@texastexas2545
@texastexas2545 3 жыл бұрын
Hili demu huwa n lijinga Sana n mlopokaj na anapenda sifa za kijinga
@leonardpeter6385
@leonardpeter6385 3 жыл бұрын
Huna Akili Ulitaka kumkuwadia
@noelamadadi5731
@noelamadadi5731 3 жыл бұрын
Shilole hapo umefeli haki, ukamwangusha chibu, kiufupi namsapoti mama Diamond 💯💯💯
@naamohamed1042
@naamohamed1042 3 жыл бұрын
Shilole kujitoa ufahamu tu unaweza
@lindahjoseph8360
@lindahjoseph8360 3 жыл бұрын
Yaan kwa hili namuunga mkono mama mond kwa %110 thoo nampenda shishi
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 3 жыл бұрын
Angalia jicho la babu tale😂😂😂😂😂
@sheilalolila2233
@sheilalolila2233 3 жыл бұрын
Dunia ina mambo mungu tusaidie
@PeterWafula-vr1gx
@PeterWafula-vr1gx 3 ай бұрын
Diamond platinumz aifai amwowe zuchu malisafi apo
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Жыл бұрын
Dada ongea tu Lugha yk nzuri iliyojulikana na kueleweka,si kuwa lazima kugha za wenzetu,Watangazaji 😢zawadi haijaelezwa umbeya gani iutaka UTANGAZE ameletewa zwd!
@ruttykibonge4093
@ruttykibonge4093 3 жыл бұрын
Ata daimond happy ajapenda kabisa usiamini mtuu aya olewako hizo pafyumu ziwe sumu zimuafeti daimond ata babutale kashangaa sanaaaa uoniaibu leo nimekushusha kweliii
@aishasalum4601
@aishasalum4601 3 жыл бұрын
Aibu zingine hizi🤣🤣🤣
@athumanmarekano2454
@athumanmarekano2454 3 жыл бұрын
Uyo mdada shilole ni malaya ndio maana na chamoto amekiona
@florahjeremiah7596
@florahjeremiah7596 3 жыл бұрын
Vizur mwaya
@halimanamrihaji4062
@halimanamrihaji4062 3 жыл бұрын
Njoooo nkustir shishi ovo
@Sppah697
@Sppah697 3 жыл бұрын
Queen Darking kapowaaa! Kapwaayaaa! Yani Zuchu anaonekana ana bafasi kuliko Queen Darling!
@aishaomar1845
@aishaomar1845 3 жыл бұрын
Hahahaha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 we Kenyanys are having fun 😂😅😅😅😅we don't CARE who Diamond marries that's he choice and Allah ❤️❤️❤️❤️❤️bit we wish him the best
@keenanmiles843
@keenanmiles843 3 жыл бұрын
i know Im pretty off topic but does anybody know of a good place to watch new tv shows online?
@RajatSharma-uq7pz
@RajatSharma-uq7pz 3 жыл бұрын
Shishi usirudie tena kitendo ulicho fanya utajiharibia mpaka kazi zako
@ruttykibonge4093
@ruttykibonge4093 3 жыл бұрын
Shilole utumie hakili haya hizo pafyumu zikiwa nisumu zikamuasili daimond naunajua kabisa daimond wanawake wengi kawaacha aya jekama wamemtuma ebu tumieni akili jamaniiii
@emmakipalula9097
@emmakipalula9097 3 жыл бұрын
Duuuu sijui Ila naona aibu
@franklinmganga736
@franklinmganga736 3 жыл бұрын
hana akili huyu demu utakuja kumpoteza mond wetu
@jackilinemwanja6596
@jackilinemwanja6596 3 жыл бұрын
Hahahahahaaaaa yaaaniiiii shiiishiiiiiiiiii kama chiiiziii vileeee,ndo maana uchebee anakubutuaa bwegee wewe,hujuii mondi kama mume wa zarii,wengn hao ni wapita njia,wew shishi food Gani unamletea mond muuuuzoooo huoooo,zari ndo chakula bora kwa diamond.
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 3 жыл бұрын
Hhhhh ila WCB wamekukomesha kweli umezidi kujipendekeza Sana duu nimefurahi Sana Adabu yako. Hapo ulifikiri unakaidisha wasanii wengi. Duu Maskin vizuri Sana wamekukomesha
@taifafitina6547
@taifafitina6547 3 жыл бұрын
Mond anaeehimu kila mtu nngekua Mimi kode ningevunga
@aishaaboud4406
@aishaaboud4406 3 жыл бұрын
Hehehe mama D akutafuta utakoma Shishi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@chantalmulasi5663
@chantalmulasi5663 3 жыл бұрын
Mnafki sana wewe shishi siuna jifanya una mpenda zari?
@misanamohamedi8438
@misanamohamedi8438 3 жыл бұрын
Shishi mwehu,eti paaariiss msuuuu
@josephkomba64
@josephkomba64 3 жыл бұрын
Shishi ww ni balaaaa nakukubali xana unajiamini yani
@joevang4685
@joevang4685 3 жыл бұрын
jamani shishi anajua k
@littlecute9920
@littlecute9920 3 жыл бұрын
Eti savahaa shishi bwana😂
@yasintajames1524
@yasintajames1524 3 жыл бұрын
Yani watu wanatok Paris uku wengn tupo tz tunampendaa kinyamaa💋💋
@lucyjoseph5178
@lucyjoseph5178 3 жыл бұрын
Hahahahaha mtokee sasa
@faustermathiasfaustet5362
@faustermathiasfaustet5362 3 жыл бұрын
Mmmh! Makubwa aibu zingine Hahahaaaaa!!
@ummymsangi1204
@ummymsangi1204 3 жыл бұрын
Hahaaa nimecheka jamn wadada tunatabu sie
@zumamarande3242
@zumamarande3242 3 жыл бұрын
Kiki hizo mlikuwa kimya sana tupo na Tembo kajara
@stivepeter8054
@stivepeter8054 3 жыл бұрын
Hivi vijamaa vinamtengaga lavalava
@aaa64sa13
@aaa64sa13 3 жыл бұрын
Lava ako busy maana na yeye anajambo lake kubwa week ijayo. Sasa kumuona sio rahisi hivyo nadhani ni 27/3/21. Wcb Nlm 4life.
@zamdachiguru2054
@zamdachiguru2054 3 жыл бұрын
Pafyum zina mambo
@faroukrashid5507
@faroukrashid5507 3 жыл бұрын
Zawadi inatakiwa hazarani? Watangazaji mtakua wa Songwe.
@jameskahasa2247
@jameskahasa2247 3 жыл бұрын
Which which which
@jumacharles2870
@jumacharles2870 3 жыл бұрын
😂
@albertbunyinyiga7581
@albertbunyinyiga7581 3 жыл бұрын
Dishi ili
@yousirsports7482
@yousirsports7482 3 жыл бұрын
isiwe kaleta corona we jichanganye
@wandishaomani8392
@wandishaomani8392 3 жыл бұрын
Mbona sasa haja pokea zawadi yake jamani sio poa ana dharau sana diamond.ila msimraum sana shishi mashabiki ndivyo tulivyo sio kwa huyu dada tu kutamani kuonana na mwanamzi.kila mtu huwa anatamani kuonana na msaini anae mpenda hivyo tuacheni unafiki wa mitandaoni.ingekuwa kweli huyu dada anamtaka kimapezi domo.shishi anayo namba ya diamond ange mchana tu.shishi sio taila kama mnovyo zani😏😏👌
@pheobemaina8343
@pheobemaina8343 3 жыл бұрын
Aiiiii mwambie a kwenda na hizo perfumes zake uwezi jua ni nini anataka
@suma643
@suma643 3 жыл бұрын
Mnacomplain nn kipi cha ajabu hapo alikuwa anapendwa michael jakson hadi na wachumba za watu sembuse huyu aaah wa Tz sisi kaaah
@yakaramayaka1456
@yakaramayaka1456 3 жыл бұрын
Shuleeeee
@jumarocky9544
@jumarocky9544 3 жыл бұрын
acha ukuwadi
@12322879
@12322879 3 жыл бұрын
Mlinzi anapokea zawadi anatembea nayo,kama ni bomu je?
@meg-iv1sw
@meg-iv1sw 3 жыл бұрын
Yenyewe cant trust anyone atackama ni mwanamke..dunia imekuwa mbaya..shish araletea diamond wrong person!aki
@ashibby5647
@ashibby5647 3 жыл бұрын
Kama umesikia mwachie number like apa
@ezradaniel4613
@ezradaniel4613 3 жыл бұрын
Nimecheka😆😆😆
@jeyshillyjack4470
@jeyshillyjack4470 3 жыл бұрын
Shilole utapasuka
@pillyolsen8377
@pillyolsen8377 3 жыл бұрын
Jiga ww uwezi muamini mtu kwa muda mfupi ata umjuwi vizuli namuuga mkono mama dagote
@fantamohamedi8564
@fantamohamedi8564 3 жыл бұрын
Hizo pafyum asizipake alikwambia diamond anataka mke
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 3 жыл бұрын
Shilole ; Leo umeonyesha uwezo wako FINYU wa kupambanua jambo. USIRUDIE
@maureenmwende3515
@maureenmwende3515 3 жыл бұрын
Jamani mbona wameepa huyo dada
@bestinarajabu34
@bestinarajabu34 3 жыл бұрын
6
@jeyshillyjack4470
@jeyshillyjack4470 3 жыл бұрын
Dar,mbona mnawaangalia dada Kwa dharau?
@josephatjordan5560
@josephatjordan5560 3 жыл бұрын
Which which wchich Gift😂😂😂😂
@safariamani554
@safariamani554 3 жыл бұрын
😂😂😂
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@nyamburalemis7341
@nyamburalemis7341 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@florencerose859
@florencerose859 3 жыл бұрын
🇹🇿 umbeya muko juu
@myfetty1960
@myfetty1960 3 жыл бұрын
Chizi ww mxuyuuu umeuona yule muza maandazi kama ww
@Kwazulu1
@Kwazulu1 3 жыл бұрын
Shishi mnafiki. Day Light Robbery. Zarina anakuamini alafu unamugeuka??. Shame on you
@mauwabijoux6966
@mauwabijoux6966 3 жыл бұрын
Sasa makasiriko ya nini kwani zari si ana king bae wake hamjampokea pole ama nivile munajua moyo wa zee upo kwa dai
@Kwazulu1
@Kwazulu1 3 жыл бұрын
@@mauwabijoux6966 hatakama ivo Mauwa lakini Shishi ni ndumila kuwili badala ya kumushauri Diamond a settle na mwanamke mmoja yeye anazidi kumuletea wanawake wengine na yeye ni mwanamuke , Uchebe angetafutiwa mwanamuke na Zarina angefurahi? NDO maana Uchebe alimpigwa.
@jcrackcrack1669
@jcrackcrack1669 3 жыл бұрын
Zari ame move on
@mauwabijoux6966
@mauwabijoux6966 3 жыл бұрын
@@Kwazulu1 si rahisi ki binadam ila dai sio mutu waivo angekua ni mwenye nia ya kutaka kua na mutu kwani wanawake wangapi wamempita mikonono utasema wote wabaya ndio ivo dada dai sio muowaji
@Kwazulu1
@Kwazulu1 3 жыл бұрын
@@mauwabijoux6966 kweli nakubaliana na wewe Mauwa. Ulishaona wapi Mauwa mpaka mama yake amuchagulie . Akatubu ili aowe.
@ummiissaabdulissaabdul8117
@ummiissaabdulissaabdul8117 3 жыл бұрын
Shilole mpuzi sana wataka sifa za kijinga yani mtu atoke uko akwambie yuataka kumuona mtu na umchukue umpeleke subhanallah je kama amekuja na nia mbaya
@lucyjoseph5178
@lucyjoseph5178 3 жыл бұрын
Ety ni muungwana yaan sijui lini wadada tutabadilika kwahyo mwanaume akiwa star fresh tu mh aibuuuu
@pettyjongera1295
@pettyjongera1295 3 жыл бұрын
Hii aibu kubwa jmn,,,,Mondi mwenyewe kashangaa wala hajawaelewa vzr hata zawadi hajapokea
@khairattapanya2828
@khairattapanya2828 3 жыл бұрын
Peleka uwongo wako ata kuongea uwongo uwezi uyo demu mpeleke uchebe
@debiesalma5311
@debiesalma5311 3 жыл бұрын
This was not nice shish
@zumamarande3242
@zumamarande3242 3 жыл бұрын
Kiki hizo mlikuwa kimya sana tupo na Tembo kajara
@glorykapenja9473
@glorykapenja9473 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 16 МЛН
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3 МЛН