Duh!! Huyu Dada katumia vizuri umaarufu wa ndugu yake kujipatia utajiri na umaarufu...huo mjengo ni balaa zito mnooo🎉🎉🎉
@prettywanjera9368Ай бұрын
Kabisa wanakwambia ndugu apate nawewe upatee😊
@jamilaathumani5481Ай бұрын
Kajitahidi ..ongera sana esma..umeweza dada.. mungu akubaliki Kila la heri esma.. ubarikiwe
@user-bg6jh2no2cАй бұрын
Kujenga sio kazi ndogo tuzidi kumuomba Mungu azidi kutupa hizo baraka👏👏👏👏👏👏👏
@samsungoman5626Ай бұрын
Inshaallah
@MrTop-wj7noАй бұрын
Hongera sana kipenzi cangu ESMA nimekupenda sana sema umasikini mbaya daah! Zuchu atulie kwa huyo huyo Simba hawapendi kuona akiwa nae akiachana nae wataanza kumuhesabia wanaume waanze kumuita malaya
@TaarabChannelАй бұрын
MashaAllah. ..Mungu mkubwa ukiwa hai usikate tamaa..a.walivyokua na maisha ya dhiki nani alidhani watakuja nao waishi hivi...Usikate tamaa..tia bidii Mungu atatenda
@channyanjen9047Ай бұрын
Safi Sana Esma wanataka zuchu ayisabiliwe wanaume alafu haohao kesho wamwite Malaya siyo hulka yake kabisa yani waganda net kama ruba awakusema waseme yeye asijali zuchu wetu❤❤❤
@annertz9969Ай бұрын
Ndoinavyotakiwa mwanamke siyo kwenda kuongeza makalio❤
@alimuchiri615129 күн бұрын
Bro mtangazaji sema Masha Allah sije ukatia husda jumba la watu😄😄
@IMANWILLIAM-bl2uiАй бұрын
within every poor family there is someone selected by God so as to break the chain of poverty. Congratulations to Simba
@queenlinda255Ай бұрын
Your absolutely right
@user-wi6uk1vz1hАй бұрын
Absolutely
@Tariq_TryagainАй бұрын
Ila Esma na Duwe wana-chemistry nzur san.. ndomaana anapewag vitambaa vya kueka kichwani😂
@zubedasaif3324Ай бұрын
😂😂😂
@MrTop-wj7noАй бұрын
😂😂😂😂😂
@nahlahassan-fd6leАй бұрын
😂😂😂😂hatari
@jocelyneliaminarukundo3633Ай бұрын
Congratulations esma
@user-qq2oc4bt3iАй бұрын
Mashallah mashallah
@user-ne4fl7kc8hАй бұрын
Hongera kwake❤❤❤❤❤
@ukhutfatumah1154Ай бұрын
Hongera sana esma umepamba dada umaalufu wako. Umeutumia vyema
@asallymbwego3914Ай бұрын
Big la nyumba Hongera aisei
@jrsinghamАй бұрын
Maashaallah Allah amfungulie zaid
@mfalmekaitaba2425Ай бұрын
Ila esma ni mzuri bhana
@kamikazisalma5209Ай бұрын
Mansha Allah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MkamiMaroАй бұрын
❤❤
@mussanchimani4839Ай бұрын
Hongera
@azizayassin3623Ай бұрын
❤❤❤
@beatricejohn1659Ай бұрын
Hongera sana Esma ❤❤Ila saa ndio uhame na friji ya watu😂😂😂Pepsi cola
@anitamwehonge828710 күн бұрын
😅😅😅😂😂
@jumabikyeombe3392Ай бұрын
❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@user-pu6pr5jt4nАй бұрын
Mashalah esma yuda una akil😂❤
@jedidahbintidaudi8241Ай бұрын
ila jamani mbona mnamuuliza maswali sensitive hivi kuhusu mume wake kuhusu vyanzo vya mapato? kweli jmni msifanye hivo. alichokuambia basi ridhika ndugu yangu. eti baba? mwacheni dada wa watu
@user-kw2cd7qu4pАй бұрын
😂😂😂lazima amtetee mume ila hakuna kitu hapo😅😅
@FelistersMejumaa-xi2geАй бұрын
Hongera dada ❤❤
@wemaMichael-fr4thАй бұрын
Hakuna space kwa lena kama mim hapo sijui kama nitaweza kuingiza gari na kutoa
@CROWNMEDIAKEАй бұрын
Congratulations
@SekelaJakson-ls7ddАй бұрын
Uyo esma anavoogopa camera sasa😃😃
@leaherasto929Ай бұрын
safi kujenga sio mchezo
@user-nw3ie8yq1xАй бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@muniraahmed624Ай бұрын
Esma nomaaa😂😂😂
@MwanamisiKumbikoАй бұрын
Ameua. Ila kasahau kitu kidogo sanaaaa
@SalmaBakari-dq3rsАй бұрын
Mashaallah
@Dativa-fe3cjАй бұрын
Usk mwema
@sund2553Ай бұрын
Mmewe ni mission town 😂😂😂
@user-gy7mk8ur1fАй бұрын
Nyumba kubwa sana ila kiwanja kidogo sana
@EzzyEddy-il3ceАй бұрын
Unataka kiwanja cha kujenga nyumba au unataka kiwanja Cha kujenga bustani??? Mpe maua yake bhn acha izo kaka
@user-gy7mk8ur1fАй бұрын
@@EzzyEddy-il3ce huwa una elewa cjampinga nimesema nyumba kali ila kiwanja kidogo angalia kuna upande uwezi hata kupita sio lazima nyumba iwe na bustani ila nafasi muhimu
@user-bg6jh2no2cАй бұрын
Amna cha husband material walla nini ni kibenten kama vibeten wengine🤐🤐🤐
@rewardnjau7220Ай бұрын
mond kwa promo ni hatareee, nani kaona friji la pepsi ndani kwa Esma?
@MrTop-wj7noАй бұрын
😂😂😂 mwamba
@user-dl2cr9dk1mАй бұрын
Jamani mpeni maua yake kajitahidu
@user-zz7jr7yj9mАй бұрын
Honger yakeee anajitahidi
@khalsasalim7930Ай бұрын
Raha ya kuoa mishangazi wanamijengo yao 😂
@user-gu1lg2zr8sАй бұрын
Wanaume wavivu ndio nyie, sasa utamu gani kulelewa maskini, unakua hauna say. Kakangu tafta pesa, kujisimamia kama mwanaume kuna utamu wake. Pambana sana usikate tamaa
@Official83640Ай бұрын
Na atakuwa na mimba maana tumbo limechomoka maa'shaallah
@criminalminds7723Ай бұрын
Atazaa vipi na alilalamika alifirwa mkundu na jamaa mwengine mpaka akashindwa kukaa vizuri?
@LeeLian95Ай бұрын
@@criminalminds7723looh haikua saut ya Esma ile mxew
@Official83640Ай бұрын
@@criminalminds7723 Innalillah
@HabibahKhalfanАй бұрын
Dada zazamani tupesisi izofenich
@FredrickMatiku-xf2ukАй бұрын
Mulokoziiii nyumba nimeiona ni nzuri haujapanga matofaliiiiii umejenga kweli nyumba ni nzuri hongera dada esma unawapa moyo mabintiiiiii wadogo wasidange watafute pesa wafanye vitu vya maana ila hapo simba dangote Ana mkono wake Kaka nasibu nimeona Ka friji ka pepsi
@Mohaa4309Ай бұрын
Wasafi mbona mwatumia micro fon Moja 🤷
@saummohamedm435Ай бұрын
Kweli tv ya familia
@tanzcanmediatv4473Ай бұрын
Na nyinyi anzisheni yenu mtabanwa na wivi mwishowe mpate ma depression
@FatumaShabani-mp9vtАй бұрын
Anzidha Yako basi bwana 😏😏😏
@tanzcanmediatv4473Ай бұрын
Anzisha yenu
@fatimawazeer701Ай бұрын
😂😂
@HenriHSPАй бұрын
Nasikia tu s2kizy baby
@mwanaidingwita6214Ай бұрын
😂😂😂😂❤
@lilianpuka218Ай бұрын
Mbona freji la Pepsi ndani 😮😮😮
@mfalmekaitaba2425Ай бұрын
Kwahiyo umechukia au?
@zayumar2955Ай бұрын
@@mfalmekaitaba2425jmniiiiiiiiii 😅😅😅
@Merry-re1pwАй бұрын
Ukumbuke wana hisa za Pepsi hao lzm litue kwao.
@Naju645Ай бұрын
Due mnafk et chanzo cha mapato😅😅
@user-he2pk6io4dАй бұрын
Sasa mnaweka miziki ya nini na maojiano
@awatifalghanim1106Ай бұрын
Si ndio ujinga wa KiBongo🤣🤣🤣
@user-pf7cu9px3cАй бұрын
Me duwe namkubAli sana
@omanmct135Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@nellymtambo8432Ай бұрын
Sasa ni kwanini anazunguka nyumba nzima mnafanyishwa interview ya kuoneshwa nyumba nzima kwa dirishani usumbufu tuuu😂
@user-xh7xf2ki3rАй бұрын
Wambea kama nn mnafukuzwa lkn mmoo tuu
@mylovejosecharles4362Ай бұрын
me nampnda esma hana mambo mengi
@eestermos993311 күн бұрын
Ya kawaida tu
@mwajumagomera7609Ай бұрын
Hongera mwaya esma
@farhannahkulishwaburekunam5360Ай бұрын
Ipo mitaa gani nyumba nzuri
@Deedah4Ай бұрын
Gorofa 2 ?? Au moja tu??
@afrigrowersАй бұрын
Hongera zake amejitahidi na ameweza haijalishi mume kachangia au laa chamsingi ni furaha na amani tu.unaweza olewa na mwenyepesa ukakosa furaha.
@pilijumaa8876Ай бұрын
Ni kweli
@salamalsawaqi1206Ай бұрын
Sasa na huo mziki kwanini hatusikii ila mziki
@khamoshmikidadi618Ай бұрын
Nikion hivi najion kumbe me kile kibanda changu km ch kufugia kuku tu mbele za watu😢
@m.mmarckus6298Ай бұрын
Tuko wengi lkn nivizuri kushukuru naulichonacho wapo ambao hata hicho chakufugia kuku hawana😢
@sophiekanyengele3241Ай бұрын
Kwahiyo tv ya familia imeitwa ili ituonyeshe nyumba?
@awatifalghanim1106Ай бұрын
Ni nyumba ya kawaida lakini watanzania wengi hawaishi kwenye majumba mazuri basi hiyo nyumba wanaiyona ni kitu cha AJABU sanaaa . Umasikini mbaya.
@user-wf4vk3vz8eАй бұрын
Sometimes try to do your interviews in English bro
@nyabugongwe2933Ай бұрын
We are in Tanzania brother
@user-wf4vk3vz8eАй бұрын
@@nyabugongwe2933 it's fine but u can as well mix English and kiswahili
@user-tk4ko9on7nАй бұрын
hichi kipende mwenyewe ni aaliyah tu
@melanialeonard4031Ай бұрын
Hilo limziki ni lann punguzen basi
@user-kq5qc4qv5eАй бұрын
KWA mumewe kaongea kwa uchungu 😅
@piuskusenge-jf2obАй бұрын
Serikali angalieni kwa jicho pevu mbezi beach, kama asemavyo Esma , barabara za mbezi beach zinatisha. Sifa ya mbezi na uhalisia ni tofauti
@zariadunia6328Ай бұрын
Kapewa na mond kwa vitambaa gani navyo mpaka mtoto anasomeshewa
@mariamkibindo1741Ай бұрын
Unakuwepo akipewa hivyo vyote acha wivu bana
@annasolomon9855Ай бұрын
Labda sapoti lakini na yeye ameweka kitu
@RandB_ChannelАй бұрын
Angalawu mmeanza kujenga makwenu. Hiii nyumba ni nzuri ndani kuliko hata ya Mwijaku haaaa njo vizuri mutoke kwenye majimba yakupanga Esma ikosaha nijamuzito
@Mohaa4309Ай бұрын
Nyumba wanazo hawa sema hawataki zionyesha tu
@Mohaa4309Ай бұрын
Diamond ana zake pia ila yuaficha baby Mama zake wasilete fujo
@RandB_ChannelАй бұрын
@@Mohaa4309 kwa mbwembwe za Diamond akose kuzionesha . Hana
@user-wd2bc7bf5xАй бұрын
@Mohaa4mmmhh309
@SekelaJakson-ls7ddАй бұрын
Uyo mtangazaj ako kakitambaa kichwan huwa ni ka nn😂😂😂😂
@HAWAJUMA-vh5vrАй бұрын
Anafunikia kichogo chake 😂😂😂😂😂
@user-cr1nk1zc5sАй бұрын
Anatangaza vitambaa vya Esma
@shahamtindoАй бұрын
Haka kaesma kazurii
@user-no7pz1bz4yАй бұрын
Esma niajili niwe shaghala wako, ninaozowefu wakaz miaka 15 🇴🇲 🇴🇲 🇴🇲 🇴🇲 🇴🇲 sasaa nataka nije kwako.
@AsdDsa-fi5qkАй бұрын
Mmmh
@mayraamon8965Ай бұрын
😂😂😂😂
@beautifulafrica6886Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 we kuweza
@juliakinusa4900Ай бұрын
Makeup jamaaani...bila hio kizungu mkuti....in reality u not pretty....let's b really..dough... congrats sister...
@KelvinPatrick-mm2zvАй бұрын
duu ila due ni mmbea kinoma eti biashara gani
@Tariq_TryagainАй бұрын
Ila Esma na Duwe wana-chemistry nzur san.. ndomaana anapewag vitambaa vya kueka kichwani😂