SHK SAMIR. AMLIPUA MTOTO WA BACHU NI FEDHULI, MAULID YANAWEZA FANYWA BILA YA KUSOMWA BARZANJE QASIDA

  Рет қаралды 31,382

Saimu gwao Online tv

9 ай бұрын

Пікірлер: 295
@burhaanmamboleo3551
@burhaanmamboleo3551 9 ай бұрын
MashaaLLAAH...Huyu bwana mkubwa sie ndy njia yetu kwenda kwa ALLAAH. ALLAAH akuhifadhi Mzee wetu.
@AllyNgale
@AllyNgale 9 ай бұрын
Jazaka llahu khayran huku nilipo Mawahabi Sasahivi vilevindowano vyao vilivyomo kwenye myoyo yao vimeondoka Kwasababu ya Mawaidha na Darsa zako Sasahivi wameyakubali Maulidi nawanayasoma Maulidi Nawao wamechukizwa saana na kitendo cha Bacho Cha kutupa Barzanji
@hajikatanje5961
@hajikatanje5961 8 ай бұрын
Bacho yupo sahihi ktk mafundisho ya dini ya kiislamu hakuna sikuku ya maulidi nakama ulimsikiza vizuri aliyasoma na yaliomo katika hicho kitabu ni ya uzushi ndio maana hadi leo hayupo aliokuja kuthibitisha yale yaliopo ktkt kitabu cha maulidi Mashekh wa kibidaa wote hadi sasa wameshindwa kuthibitisha yapo au hayapo nakama yapo mtume au maswahaba au wale Mashekh wa4 wameyasimulia ktk vitabu gani kwa hiyo maulidi hadi leo yamesha julikana kuwa ni uzushi
@SwalehAbdallah-vq4ny
@SwalehAbdallah-vq4ny 9 ай бұрын
Mashaallah unawafundisha umma kwa hekma na kwa upole na Allah azidi kukufungulia na huyo hasidi Allah atamshinda
@salimmbarouk5946
@salimmbarouk5946 9 ай бұрын
MashaaLLAAH hii ndo elimu inavofundishwa kwa hoja na elimu mungu amzidishie
@ustadhisampakatema3812
@ustadhisampakatema3812 9 ай бұрын
Maashaallah... Allah akujaalie umri mrefu na afya njema sheikh Samiir
@AllyNgale
@AllyNgale 9 ай бұрын
Safi sana Shekh Samiir وافعلواالخير
@abubakartengeza1978
@abubakartengeza1978 9 ай бұрын
maashaallah shukran ssana sheikh
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 9 ай бұрын
Acheni kuwapoteza wasambaa wasambaa washajua ukweli
@mdoekibai5063
@mdoekibai5063 9 ай бұрын
wasambaa wanojielewa ndohao unaowaonaapo hao unaosema ww wasambaa feki majaahil kama ww
@ramadhanmbwana5718
@ramadhanmbwana5718 7 ай бұрын
Majibu ya kielimu hayo kwa hicho kilicho zungumzwa na huyo shekh
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 7 ай бұрын
@@mdoekibai5063 msaambaa anaeshekherekea maulid hawezi kua salama hata kidogo lazma awe wazimu
@uthaymaanashshiraaziyy2413
@uthaymaanashshiraaziyy2413 9 ай бұрын
Maa Shaa Allah Tupe raha, Tupe ilmu,
@mohammedalghannami3150
@mohammedalghannami3150 9 ай бұрын
Umefahamika sana Sheikh Samir
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 9 ай бұрын
MashaAllah,Allah Azd kukuongoza uzd kutuelmshaa, Hao wanopotosha Watajua Wenyewe Nafs Zao ,Kumcfu Mtume na Kumswalia Mtume N Muhmu Na Allah kasema Anae Mswalia Mtume Atapata Ujra uliobora ,Tumpende Allah Iksha Anafataa Mtume Tumpende na Tufate Matendo Yke Yote, Mtume Muhammad Amefutiwa Mazmb Yke Yote , MashaAllah Kw Nn Tucmfate Mtume N Neema Tuloletewa Na Allah Kwn N Umma Bora Huu🙏
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 7 ай бұрын
Inaonesha unafuata ushabiki WA watu Kwa faida zao!hakuna Muislamu hata mmoja anayekataa kimswalia Mtume usipotoshe mada hii! Kwa ushabiki!hapa tatizo ni vipi Mtume anaswaliwa!ivi haiwatoshi alivyotufundisha Allah nanna ya kumsifia Mtume?au hamuisimi Qur aan na tafsiri yake?
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 7 ай бұрын
Hapa ni MAF huum Tu yamewapitia upande labda Kwa pilau na halua za bure nadhani ni hicho Tu kinachowasumbuwa!
@usseneandurabe9733
@usseneandurabe9733 9 ай бұрын
Al majaazi na nduguyake al munkar wamesababisha matatizo makubua sana wasingemchokoza mtoto wa bachu manake watu wanahama maulidi
@salimasalim405
@salimasalim405 9 ай бұрын
Muogope Mola wako ww usiseme uongo kama hula kusema bora kukaa kimya
@ruzatuntajadin1274
@ruzatuntajadin1274 9 ай бұрын
Sijaona watu wengi Mawlidini kama mwaka huu na Zefee ndefu kama Mwaka huu shukran shekh Bachu
@SaidAbdallah-sm1ft
@SaidAbdallah-sm1ft 9 ай бұрын
Acheni ujinga fuwateni mafunzo ya MTUME sio uzushi
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 9 ай бұрын
Wahabi watu wamatusi kizazi kilicholaaniwa kutoka najidi
@SaidAbdallah-sm1ft
@SaidAbdallah-sm1ft 9 ай бұрын
@@fadhilimusa9732 neno fedhuli sio tu bas kama sio tusi tufanye babako ni fedhuli je unakubali neno Hilo asifie babako
@hajiomari8198
@hajiomari8198 9 ай бұрын
Maa Shaa Allah
@makinibwika1427
@makinibwika1427 9 ай бұрын
Toeni dalili wapi mtume kasoma Maulidi na wapi kasema watu wasome Maulidi. Mukinielezatu na dalili ama Aya ama hadidhi mm kesho nasoma Maulidi na twari litapigwa mpaka zipasuke
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 8 ай бұрын
Na wewe toa dalili wapi mtume aliamrisha kukusanya qur ani.. ??
@mwalimjecha6893
@mwalimjecha6893 9 ай бұрын
Mawahabi hamna hoja inatakiwa musalim amri mwende maulidini
@IssabakariMagwa-ps3qe
@IssabakariMagwa-ps3qe 9 ай бұрын
Yani Ni Bora niwe mkiristo kuliko kua mnafiki
@abuuadil4070
@abuuadil4070 9 ай бұрын
😢sheikh ujazungumza manemo ya faida wewe nikashfa KWA ndungu bachu lakini sheikh bachu hanatunyesha URONGO wa kitabu Cha barzanji kinacho somwa maulidin hiyo ndiyo HAKI tumehiyona
@omaraliomar1671
@omaraliomar1671 9 ай бұрын
Yaani ww na Bachu nyote ni wapuuzi.
@user-bd7xm6sm3o
@user-bd7xm6sm3o 9 ай бұрын
Kiswahili tu kimekushinda kuandika kwa ufasaha wake .....haya zungumza wewe 😮
@ahmadmadaai1357
@ahmadmadaai1357 9 ай бұрын
Eelimu. Muhiimu wach ujing ni fedhulli kwll sabb anapotosha umma imekuw haatunn raha kw uupuuuzi. Wake elimu hana htt kuaandik hajui aanatia aibu
@tollyngoloko
@tollyngoloko 9 ай бұрын
Kama badoo hujaelewa hutoo elewa tena kabisa
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 9 ай бұрын
Subuhanallah. Eti fezuri. Shehewewe lntakillah
@AndulHida-hs5py
@AndulHida-hs5py 9 ай бұрын
Jazzak Allah kheri
@davidruhasha9670
@davidruhasha9670 9 ай бұрын
Mtoto wa bachu anawasumbuwa sana elimu hamna nyinyi mmeshikilia mila za babu zenu dini ya mungu inajitenga kaabisa na maulidi ndio mana ushahidi wenu wakuonganisha onganisha ili mpate ushahidi 😅😅😅
@jakuabdull34
@jakuabdull34 9 ай бұрын
Busara hekma ni kitu cha msingi dini haiendeshwi kwa ushabiki mwambieni na huyo bachu msitukorege kama muko kimaslahi wekeni sawa
@harithally2264
@harithally2264 9 ай бұрын
Mwenye elmu hana tabia kama yako
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 9 ай бұрын
Mukifika kwenye niqaashi Uhl bidaah hamna hoja
@zainabusadi6469
@zainabusadi6469 9 ай бұрын
Sasa kaomba msamaha wa nini kama alikuwa sahihi
@mikidadivindi4364
@mikidadivindi4364 9 ай бұрын
Wewe mjinga kweli yani unaweza kumdhihirishia asie amini kuwa kuna mungu bila kuunganisha ushahidi
@kivatirokitojo657
@kivatirokitojo657 9 ай бұрын
Chaka la simba languruma maashallah Allah ampe shekh letu umri
@HassanSalum-pg9yu
@HassanSalum-pg9yu 9 ай бұрын
nyinyi hamjielewi ndio tatizo maaana nyinyi mna njaaa sana na kupenda pesa sisi mtume tuna mfahamu sana ila hatupendi shirki zenu😊
@user-fy4op1sw2f
@user-fy4op1sw2f 9 ай бұрын
Rudi darasani
@salimasalim405
@salimasalim405 9 ай бұрын
Hamna mnachokijua zaidi ya kukata kanzu hem tafuteni elimu kwanza ndio mvae kanzu fupi😂😂😂😂😂
@ustadhirajabu5736
@ustadhirajabu5736 9 ай бұрын
Wewe wajielewa kweli mwehu ww..
@ustadhirajabu5736
@ustadhirajabu5736 9 ай бұрын
Maulid yatasomwa mpaka kiama
@AllyKagoma
@AllyKagoma 9 ай бұрын
Tatizo ujinga umewajaa labda umlete babuyako ndioatajwe nahaiwezekani
@AlphaOfthepack
@AlphaOfthepack 8 ай бұрын
Mumeelewa jamani.watu wasome kwanza ndio wabishane,Sio kubwabwaja tu na kupotasha watu.Allah akuhifadhi sheikh wetu na akuzidishie kila la kheri.
@SaidAbdallah-sm1ft
@SaidAbdallah-sm1ft 9 ай бұрын
Sasa hapo ndo kazungumza Nini huyo jaahil wa twariqa
@jakuabdull34
@jakuabdull34 9 ай бұрын
Kuwana heshma yawezekana jahil mwenyewe au hujui
@letuslearn7548
@letuslearn7548 9 ай бұрын
اللهم يا لطيف صل دايما ابدا على محمد وعلى آل محمد كما صليتم علي ابراهيم و علي ال ابراهيم و بارك على محمد وعلى آل محمد كما باركت علي ابراهيم و علي آل ابراهيم انك حميد مجيد عدد كمال الله و كما يليق بكماله من يوم خلقت الدنيا الي يوم التلاق
@zanzibarfin5789
@zanzibarfin5789 9 ай бұрын
Safi sana shehe wangu ila nashauri imefikia wakati sasa watoto wetu wapewe elimu ya maarifa ya maulidi pamoja na tafsiri ya maulidi.maana sasa hawa mabachu watatuharibia watoto wetu. Mii naomba watoto wafundishwe tafsiri ya maulidi.
@sahraqaalib902
@sahraqaalib902 9 ай бұрын
Ndugu yangu Tafsiri ipi unayoitaka? Kama Quran na Sunnah na maswaha waliotangulia ambao wao wanampenda na kumfuata Mtume wetu kipenzi chetu Mtume Muhammad swalaLlaahu Alayhi wasallaam hawakufanya kwa nini na wewe na familia yako mfike huko tafuta Madaris ambayo yanafuata Quran +Sunnah ili siku ya akhera uwe salama ndugu yangu kwani kaburini utaenda peke yako hakuna mtu atakufuata ni hilo tu nakupa nasiha
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 9 ай бұрын
​@@sahraqaalib902maashaallah. Umemwambiakweri. Kwani wengiwao ushabikitu hawajuilolote Allah atuongoze ss na familiarizetu tuifate sauna na Quru,an
@abdilahihassan6603
@abdilahihassan6603 9 ай бұрын
Mungu atupe ufahamu tujuee bidaa nizipi
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 9 ай бұрын
Wakiwapa watoto tafsiri ya Barzanji ndio utakuwa mwisho wa hayo Maulidi
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 9 ай бұрын
Jambo la ajabu Hawa watu wa Maulid wanayajali maandiko ya Barzanji kuliko hata Qur aan!maana Allah amesema ktk Qur AAN:HAKIKA HUYU MJUMBE WAKE KUWA NI KIGEZO CHEMA KWENU"sasa tuwaulize hawa Makhulaffi!Mtume (saw)alikuwa akisherehekea kuzaliwa kwake siku ya Jumatatu kila wiki Kwa kufunga na huu ni ujumbe tosha Kwa mwenye akili timamu:sasa hii ya mwezi 12 na mfunguo sita wameipata wapi?
@usseneandurabe9733
@usseneandurabe9733 9 ай бұрын
Mi nazani fedhuli ni yule asiyetosheka na yale aliyeleta mtume
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 9 ай бұрын
Sana
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw 9 ай бұрын
Mashall ah ❤❤❤❤
@user-ws7fb8ph9q
@user-ws7fb8ph9q 9 ай бұрын
Wazushi washirikina allah anawahona
@hafswanaaman2911
@hafswanaaman2911 9 ай бұрын
A alkm shkrn Sana sheikh. mpe ukweli
@AbdillahHabibu-sx3mi
@AbdillahHabibu-sx3mi 9 ай бұрын
Masshaalla
@user-vb6vm6hc6g
@user-vb6vm6hc6g 9 ай бұрын
Hivi aya matusi ndio sunna? Mfano mm ninaepiga maulidi nakosea ivi aya matusi ndio unanilingania nirudi kwenye mstari au?
@jakuabdull34
@jakuabdull34 9 ай бұрын
We hata usivyorudi kila mmoja anailingania nafsi yake mm nawashangaa mnapata shida
@abdulykahera4273
@abdulykahera4273 9 ай бұрын
Acha kuwadanganya watu shekhe bachu yupo sahihi kama unajua kutetea ingia uwanjani
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 9 ай бұрын
Mikojo alotoka MAMBRUI haijamtosha?
@madrassatulihyaa-ilislaami2911
@madrassatulihyaa-ilislaami2911 9 ай бұрын
Huyu ni Shkh mkubwa na hana wakati huo
@MtandaKibari-zm4bj
@MtandaKibari-zm4bj 9 ай бұрын
Mawahabi dini haifundishi kutukana matusi ndugu zangu سباب المسلم فسوق ndugu zangu tunakwenda wapi? Hivi hamjielewi? Subhanallah wallah wallah wallah wallah tumepotea sana
@husseinazizi1275
@husseinazizi1275 9 ай бұрын
قال الإمام آبو بكر الطرطوشيء رحمه الله مذهب الصوفية بطالة وجهالة وضلالة وما الإسلام إلا كتاب الله وسنة رسول الله صلى الله عليه وسلم
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 9 ай бұрын
Wakristo Christmas = waislam maulidi (mpya imeigwa) Wakristo gospal= waislam kaswida (mpya wameiga) Wakristo nyimbo kusindikiza jeneza= waislam takbira kusindikiza jeneza (mpya wameiga) Wakristo upako na manabii = waislam masharifu na dua za majini na nuksi( mpya wameiga) Hawa mashekhe hawa Allah atawalipa. Wallah mwanangu itabidi asome dini Asianguke kwa hawa wanaoita watu katika upotevu
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 9 ай бұрын
Umesema kweli kabisa, hawa watu wa maulidi ni kiburi tu lkn haki iko mbele ya macho yao.
@abdulgadiralahdal901
@abdulgadiralahdal901 9 ай бұрын
Mayahudi walifunga ashura na wewe unafunga.
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 9 ай бұрын
@@abdulgadiralahdal901 Mimi nafunga kwa sababu **mtume** alifunga sio kwa sababu mayahudi walifunga, rudi darasani kasome dini acha kuokota mambo, na mtume asingefunga ashura na mimi nisingefunga pia.
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 9 ай бұрын
@@abdulgadiralahdal901 😅😅😅 kweli maulidi yamewaharibu akili hawa watu, sasa mayahudi wakifunga ?? Ndio nini? Wao ndio walio anzisha? Hamna njia za kuitetea bidaa ya maulidi hata moja.
@abdallhabinmkasibayyat6657
@abdallhabinmkasibayyat6657 9 ай бұрын
Kuna siku kuadhimisha sheikh wenu wahabiii ipo siku mnasherekea nyinyi ndio wakriso mnamtukuza mtu kama wakristo
@Safinatulshifaa
@Safinatulshifaa 9 ай бұрын
Msiba mkubwa Allah tuongeze
@MtandaKibari-zm4bj
@MtandaKibari-zm4bj 9 ай бұрын
Nilichokigundua hapa ni ushabiki mtupu kama wasimba na yanga
@mafiatv5479
@mafiatv5479 9 ай бұрын
Wewe ndo wajua ushabiki wa yanga na simba, vila sisi twasema mambo ya dini
@user-xn3kz4mc4v
@user-xn3kz4mc4v 9 ай бұрын
Ewe Alllah mpe umri wa wenye kheir
@AbdillahSOthman
@AbdillahSOthman 9 ай бұрын
Sasa kma ni sira ya Mtume basi mlitakiwa muwafundishe vijana madrasa huko sio kukusanyika siku ya Mwez wa mfungo sita mkasema mnasoma sira..
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 9 ай бұрын
Bila kuwafunza darsa wangejuaje kusoma tukikutana?
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 9 ай бұрын
Unaweza ukafanya Ktu kiwe Cha Kher Hta kma Mtume Hakufanya , kna kua Chemaa kw Allah
@fatmasuleiman2710
@fatmasuleiman2710 8 ай бұрын
Hamumuezi yule kijana simba kasomaa ilmu pale kwao,Allah atuekee simba wetu bachuu
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 8 ай бұрын
Wewe nawe akiki zako matope . mtu mwenye jicho moja mbele ya vipofu anaonekana mfalme wao
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 8 ай бұрын
Bachu ana elimu gani
@mnolamanyendi4956
@mnolamanyendi4956 9 ай бұрын
Mtume hajafundisha mauridi njooni msome Saudi Arabia
@abuuwandi1354
@abuuwandi1354 9 ай бұрын
Mtume kwani alifanya mashindano y kuruan mbona mnahoji maulidi tuu je mashindano y kuruani nayo mtume kafanya kama hajafanya nao ni bidaaa
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 9 ай бұрын
Mauridi au maulidi saudia hakuna elimu kuna upotoshadi ea hata hata masheikh wengi wamefungwa na wengine wameuwawa
@muqadam-mk5st
@muqadam-mk5st 9 ай бұрын
Lete Dali watu wakosme saudia Aya Hadith
@mafiatv5479
@mafiatv5479 9 ай бұрын
basi sote motoni, ikiwa wasubiri kila kitu akifanyacho mtume km sasa wewe wafanya mengi mtume hajayafanya, ila mmeona maulid tu?.... ila jiangieni, mawahabi, ahlu twarika wamesoma, nyie mmekarieishwa tu maulid bidaa, mwezi wa kimataifa, khitma haifai huyo sheikh abdul kadri kakake kishki, asema maulid hayana neno, na yeye kasoma wapi? na ni sheikh wa kiwahabi, huyu kasoma hajachapia
@taurehassan7399
@taurehassan7399 9 ай бұрын
Wewe ulosoma saudia waambie waarabu wako hyaitwi maurid waambie wakasome au wakakusomeshe tena
@MwamvuaJafari-fq4ku
@MwamvuaJafari-fq4ku 9 ай бұрын
Apotatizo nielimu mtu yoyote anaepinga maulidi ajetumsomeshe ataelewa inshallah
@AminaAmina-pc5ke
@AminaAmina-pc5ke 9 ай бұрын
😂
@aymanmangube4092
@aymanmangube4092 7 ай бұрын
sawa, nyie somesheni maulid na sisi tusomeshe Tawhiid halafu mwisho tutajua nani anahalalisha kuwaomba mait
@khamisali9907
@khamisali9907 9 ай бұрын
Wallahi nimefurahi sanaaaah kwakweli huyo mtoto wa kutia vibao
@SaidAbdallah-sm1ft
@SaidAbdallah-sm1ft 9 ай бұрын
Subir kesho muvuliwe Tena box
@bwagizoselemani8434
@bwagizoselemani8434 9 ай бұрын
Kafundisha wap toen dalili bas mbn maneno tu
@abdurahimabdulkadir3926
@abdurahimabdulkadir3926 9 ай бұрын
Watu Bado wako katika mabono asilimia 90% Tanga ilkua Majazi tukaseka Kenya waskilizaji watapata elimu nayo ikabakia Munkar sasa hivi watu wengi wako kwa mabano jee hadithi ikiwa Munkar yafaa kutumika ust said ilkua atueleze sababu yy anasapot lkni amenyima watu elimu
@KambiRamadhan-gu4ko
@KambiRamadhan-gu4ko 9 ай бұрын
Mwalim wangu munkar inafaa ndio maana bachu kagoma kujibu kwa sababu kanuni za hadithi zinaruhusu hivyo.
@KambiRamadhan-gu4ko
@KambiRamadhan-gu4ko 9 ай бұрын
Mwalim wangu munkar inafaa ndio maana bachu kagoma kujibu kwa sababu kanuni za hadithi zinaruhusu hivyo.
@abdurahimabdulkadir3926
@abdurahimabdulkadir3926 9 ай бұрын
@@KambiRamadhan-gu4ko wee swali la ust said halikua eti kutumia hadithi dhaifu yafaa au haifai swali lake lilikua wazi aliuliza watu wa hadithi walisema wapi mtu alitumia hadithi dhaifu anaitwa mrongo? Na bachu alijibu kwa uwazi kabisa ya kuwa kama angekuwa mwandishi wa barzanji nimpokezi wa hadithi tungemjadili lkni yy simpokezi wa hadithi Soo sheria haturuhusu kumjadili bali twaijadili hyo hadithi na hapo ndio ilkua yafaa ust said ailimishe watu aseme skiza bachu hii hadithi yafaa kutumika kulingana na kitabu flani au mwanachuoni flani amesema hivi katika kitabu chake sasa hapo bachu aseme na yy lkni ust said alikosesha watu elimu watu walkua wametega maskio kuskia wanyama waliongea jee ni kwely?wacha kuhepesha
@KambiRamadhan-gu4ko
@KambiRamadhan-gu4ko 9 ай бұрын
@@abdurahimabdulkadir3926 Nalifahamu hilo swali. Ila kumbuka swali hilo ni lapili swali la kwnza ni pale saidi aligoma kutetea kutamka kwa wanyama kwa kumtaka she bachu alete hoja kwa nini barzanje aitwe muongo au maneno ya kwenye barzanji yawe ya uongo. Kwa sababu wamekubaliana munaqasha wa kielimu kwa maana lisemwalo liegemezwe kwenye hoja
@abdurahimabdulkadir3926
@abdurahimabdulkadir3926 9 ай бұрын
@@KambiRamadhan-gu4komaelewano yalikuwa wazi kabisaa hapa twajadili maneno ya barzanji hatumjadili mtu hapa aliandika barzanji ni maneno aliyatoa mahali kivyake anajua yakona ushahidi ndio maana akayatumia mpka watu wa maulidi wayatumia sasa ilkua ni jukumu la ust said aseme wanyama walitamka kwa ushahidi huu hapa kitabu kma huna hiki hapa na yafaa kutumia hii hadithi lkni yy aliuliza swali inje ya topic na hivyo hivyo ukaelezwa mwenye barzanji simpokeaji hadithi ilkua yy ust said afaidishe umma uliokua umetega maskio kuskiza lkni kila wakiskiza ni hapo tu inje ya mada swali liko pale pale jee wanyama walitamka kwely? hilo ndio swali la kwanza sasa angezama kwa vitabu aki watu wangefaidika hivi 90%washaskia hadithi ni Munkar jee yafaa kutumia au haifai kutumia Bado watu wako kwa mabano
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 5 ай бұрын
Muongo Uyooo bwana. BArzanji Atwambie wapi kapata ,kwamba wakati mimba ya bwana mtume ilipotunga wanyama wot baharini na ardhini walisema
@ShaibmbaroukHemed-mi5rf
@ShaibmbaroukHemed-mi5rf 9 ай бұрын
Ama kwelii bachu amewatia wazimu kila mpenda maulidi awe mkubwa awe mdogo hawana mjadala wanamjadili bachutuu. Heee mnaishikilia bidaa utafikiri nihaki mtume muhammad SAW hataki mauludii kama yanafaa wengefanya masabawake kwanza musituletee paukwa pakawa naona bachu kawashikaaaa hamuna tabasamutena mukipewa ukweli wakali kama pilipili bachu watakusema sanaaa watakulanisanaaa usijali tetea haki batili itaangukatu Allah atakulinda na maadui wako
@salimasalim405
@salimasalim405 9 ай бұрын
Bdo hujaongea mangapi hayakufanywa na Mtume wala maswahaba saii yanafanyika nilichogundua mm sio kwamba kila ambacho hakikikufanya na Mtume wala maswahaba kwenu ni Bidaa , ispokua yale msiyoytaka ndio bidaa kwenu mnayoyataka sio bidaa kwenu mnankaa kimmyaa, hya tuambie quran inaelekeza vp khc mayatima na nyinyi mnafanyaje mumekua mabolozi wakubwa wa kujenga mabweni ya kuatia watoto mayatima kma kuku wa mayai jmbo amblo halikufanyika kwa lengo 2 la maslahi ya matumbo yenu eti mwawalea hawana ma jamaaa hawa 😆😆😆😆😆😆😆
@mansurabubakar3906
@mansurabubakar3906 9 ай бұрын
Mbwaww
@salimasalim405
@salimasalim405 9 ай бұрын
Inanonekana wazi hujasoma hata Arshadu nenda kasome kwanza alafu ndio uje uzungumze khc maulidi na si maulid 2 inaoneka hata kutia udhu hujui coment ya wa somi zinajuulikana🤣🤣
@hajikatanje5961
@hajikatanje5961 8 ай бұрын
Mim navyo juwa ktk mafundisho ya haki mwenyeezimungu na mtume hajaweka mafumbo shekh bacho yeye ameweka wazi maswali yake na nyinyi kama mnajuwa kuyatetea leteni hoja yenye mashiko na ndio maana leo mmedhihirisha wazushi ilaa kyam saa
@SaidAbdallah-sm1ft
@SaidAbdallah-sm1ft 9 ай бұрын
Hili jamaa kumbe zuzu nalo Yani aongea utumbo
@user-me2vi8mg2h
@user-me2vi8mg2h 9 ай бұрын
Kama kaongea utumbo ww mwache na utumbo wake ww Baki kinyesi chako
@mafiatv5479
@mafiatv5479 9 ай бұрын
utumbo babk na mamako
@SaidAbdallah-sm1ft
@SaidAbdallah-sm1ft 9 ай бұрын
@@mafiatv5479 na wewe Kuma la mamako na mama wa mamako na bibi wa bibiako na kizaz chako chote Cha kike ومن نزل Ngundu wa babako na baba wa babako ومن على Mshenzi shoga mkubwa we naona unafuwatilia comment zangu sana wataka rungu au mwanamke unashoboka shuboka tu كلب الأسود
@jambiajambia5969
@jambiajambia5969 9 ай бұрын
Tafuta elimu bro, elimu ya dini haihitaji ushabiki, inahitaji utulivu na tafakur. Sikiliza kisha tafakari na nenda katafute elimu ya dini.
@sahraqaalib902
@sahraqaalib902 9 ай бұрын
Watu wa Maulidi wamekoseshwa usingizi na kijana mdogo Allaah amuhifadhi Sheikh Bachu
@hemedimbwambo4674
@hemedimbwambo4674 9 ай бұрын
Ktk maulud kuna neno Amezaliwa Makka kwahiyo hajazaliwa Makka,,,au kazaliwa kwenuuu,
@user-jn2us3oo2c
@user-jn2us3oo2c 9 ай бұрын
We ABUU shaka kua na adabu kutukana mashekhe we hauja funzwa na babako na mamako pumbavu Nazi we
@faridahmed6296
@faridahmed6296 8 ай бұрын
Mafunzo ya Mtume Amesema mtukufu wa daraja asema nifwateni hakusema wala hato Sema. Nisifuni
@MohamedAhmed-yi1yf
@MohamedAhmed-yi1yf 9 ай бұрын
Jee masshaba walifanya maulidi?
@jumafaki2891
@jumafaki2891 9 ай бұрын
Wauliza masahaba mtume Hadith ya bibi Aysha isemayo mtume alikua akimuekea membari hasani bin thabiti akawa anasimama kwenye hiyo membar akimsifu mtume
@abuuamourmuhamed1934
@abuuamourmuhamed1934 9 ай бұрын
Hawaja fanya maulid
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 9 ай бұрын
Hatutaki porojo Maulidi ni haramu
@jakuabdull34
@jakuabdull34 9 ай бұрын
Harama mwenyewe
@MohaMody-jf1zh
@MohaMody-jf1zh 9 ай бұрын
Munampenda mtume na mwachukizwa akitajwa ama akihuishwa hapa kwa maulid wengi wafaidika haswa kutokana na seirah ya mtume nna hakika hapo ulipo hata huwajui watoto wake
@IjumaaIjumaa
@IjumaaIjumaa 9 ай бұрын
Jibu wanyama walisema kuwa mtume kazaliwa nani anasipitisha je mkusanyeko huo swahaba Gani kasoma maulidi
@faridahmed6296
@faridahmed6296 8 ай бұрын
Maulidi ni dini
@DivNg27
@DivNg27 9 ай бұрын
Mawahabi wamekuja kuvuruga Dini,hawajui wanapinga niini!!utasikia Mtume S.A.W hakufanya... lakini wao wanafanya visivyofanywa na Mtume S.A.W
@hemedimbwambo4674
@hemedimbwambo4674 9 ай бұрын
Mawahabi wanafanya kazi za Mayahudi hawajijiwi watendalo
@MtandaKibari-zm4bj
@MtandaKibari-zm4bj 9 ай бұрын
Hivi anaesoma maulid c umuache asome? Yann umshambulie ? Kama Mimi nawewe hatuyataki c tuwaache? Mm ni muhabi lkn Sina habar na maulid Yao acha wafanye watakavyo lkn cyo kumtusi muislam mwenzie
@user-wi1cn2pc4p
@user-wi1cn2pc4p 9 ай бұрын
Bado kaka ujajitambua, ingekua akili kama hii basi hata nabii ibrahimu asingevunja masanamu maana yalikuwa hayamuhusu
@iddimohamed254
@iddimohamed254 9 ай бұрын
mti wenye matunda upigwa mawe kweli bachu nikidume hamna hoja mnaanya anya tu....
@Muhamed_mo
@Muhamed_mo 9 ай бұрын
Udume wake ajifunze heshima.huyo baba yke hakufanya anayoyafanya yeye.ende akaufunze mdomo wake kwanza alafu aje katika membar
@idihsingano-kq2sy
@idihsingano-kq2sy 9 ай бұрын
Mbona kakimbia ku le kenyaa??
@iddimohamed254
@iddimohamed254 9 ай бұрын
Bachu anefungua watu maskio zamani hatukujua hi barzanji na uovu wake lakin sa hi tushaelewa uku Kenya bachu tunamkubali 100%
@Iddymaryam08
@Iddymaryam08 9 ай бұрын
Huu ubishi woteee ni sabb ya uchache wa elimu tuliyonayo. Pili ni kukosa exposure yaan unazaliwa tz unazeeka tz ni changamoto. Ila kama umefika nchi tofauti zenye kufuata medhehebu tofauti2 basi tulipunguza ubishi. 1. East africa (wengi imam shafii) 2. Sudan na turkey (wengi malikiya) 3. Saudia (hanafiyah) 4. Misri (wengi hambaliya) N.K ni mfuano wenye uhalisia mkubwa Ukifika huko kuna vitendo unaweza kuona waislam wakifanya ukabaki kuduwaaa
@usseneandurabe9733
@usseneandurabe9733 9 ай бұрын
Wewe unakusudiya nini unaposema mtu anzeekea Tanzânia?
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 9 ай бұрын
@@usseneandurabe9733Soma.
@musamohamed5830
@musamohamed5830 9 ай бұрын
Tisa kumi Allah awahifadhi hao maimamu wanne ila hamna hata mmoja wao alifanya maulidi 😅😅😅
@user-us7tk5nd9e
@user-us7tk5nd9e 9 ай бұрын
Waabudu makaburi nyinyi
@abusalmadangaadam708
@abusalmadangaadam708 9 ай бұрын
Sheikh ulikua tanga kipindi dogo yuko tanga ila wenzenu walilaumu kuwa walimipa taalfa ila hamjakuja limekaa je hilo
@idihsingano-kq2sy
@idihsingano-kq2sy 9 ай бұрын
Achauongo shekhe samili alikua hayupotanga alikua Yuko kenya
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 9 ай бұрын
Oneni videvu vya masuufi eti watu wa twariika!!!!! Twariika ipi!??? Mtume wenu alikua na ndevu nyingi nyinyi mmenyoa ndevuu sas mwajifananisha na mtume yupi??
@muqadam-mk5st
@muqadam-mk5st 9 ай бұрын
Wewe jaheli kwani Kila mwenye ndevu ndio mtu wasunnah
@muqadam-mk5st
@muqadam-mk5st 9 ай бұрын
Naje kila ambae hana ndevu SI mtu wa sunah ?
@alhilaltvonline
@alhilaltvonline 9 ай бұрын
Kweli watu hawajulikani wanachopinga, maana hawajulikani wanapinga Maulid, nasheed au ndevu....
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 9 ай бұрын
@@muqadam-mk5st sio kwa makhurafii....mko hovyoo Allah kawaruzuku ndevuu ila sababutuu ya waogopa watu wenu mwanyoa mtume yupi kafundisha kunyoa ndevuu
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 9 ай бұрын
Alhamdulillah kwa kuacha upumbavu huu wa Maulidi.
@imamually1926
@imamually1926 9 ай бұрын
Ww sheikh unawapoteza watu Omar r,a ni miongoni mwa maswahaba walio pewa uhuru na Mtume s,a,w kwamba Omar abbakar othumani ally hawa wakifanya jambo wafuateni mbona wadanganya watu ww sheikh muogope Allah.
@mwanakheri2880
@mwanakheri2880 9 ай бұрын
Bachu ni adui wa Mtumi s.a.w
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 9 ай бұрын
Intakillah. Kupinga maulidi nasikuwaAdui wa mtume. Muhammad swalalahu alahiwasalam kinacho angelica hapo ni uzushi hautakiwi
@mohamedrashid7864
@mohamedrashid7864 9 ай бұрын
Utawauliza siku ya kiama hao maswahaba .hamna swahaba hapa atakaekujibu swali lako
@user-dq1xt2dd6l
@user-dq1xt2dd6l 8 ай бұрын
Ndii fedhuli maana hajielewi bach
@salimalharrasi3943
@salimalharrasi3943 9 ай бұрын
SAIDI ALIKUA AKIJIZIMA DATA MAJIBU ILIKUA USEME UONGO AU KWELI
@mody-guyngido2792
@mody-guyngido2792 9 ай бұрын
Dollar million moja hiyo atakae toa hadithi kua Mtume Swalallahu Aleihi Wasalam au Maswahaba zake wamesherehekea Maulid.
@harunaramadhanimzule
@harunaramadhanimzule 9 ай бұрын
Dollar milion moja ukileta katazo lahayo maulidi
@mody-guyngido2792
@mody-guyngido2792 9 ай бұрын
@@harunaramadhanimzule maulidi ni uzushi,na wenye kuzusha kwenye Dini unajua adhabu yao
@hididube9252
@hididube9252 9 ай бұрын
😂😂😂😂 wamerikani wametumia mamillioni ya Dollar kunga kuanzisha uwahabi chanzo Cha wahabi ni wazungu walianzisha kwa kutaka kugawa waislamu Tafadhali tafuteni historia ya wahabi utapinga maulidi kwa chuki zenu tu halafu Bingwa wenu tulishuhudia yye Hana elimu swali moja ilimtoa jasho na kwehepa
@jambiajambia5969
@jambiajambia5969 9 ай бұрын
​@@mody-guyngido2792simu unayoitumia ni haramu, tupe hadith mtume alitumia simu au swahaba alitumia simu na tv. Vyote hivyo ni bidaa na ni haramu.
@mody-guyngido2792
@mody-guyngido2792 9 ай бұрын
@@jambiajambia5969 Hakutumia alisema itakuja zama,watu wataongea na kupeana taarifa wakiwa masafa marefu,wakati mtu MTUME Akionyeshwa vita kama kwenye TV huku akielezea watu unajua ilikua ishara ya nini.,hadithi za Maulidi huzioni utaona za TV na simu kweli?
@faridahmed6296
@faridahmed6296 8 ай бұрын
Tangu kusoma maulidi natija ni nini na ni thawabu ngapi wapata ukisoma
@AllyGilo-ey8fy
@AllyGilo-ey8fy 9 ай бұрын
huyu shekhe mtihani inaonekana hajielewi maneno Yale yakokwenyebarazanje
@user-tb5mc2wm1z
@user-tb5mc2wm1z 9 ай бұрын
Maulidi ni uwongo
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 9 ай бұрын
Sasa we shehe gani unotowa maneno ya ajabu
@cpahassanjibril
@cpahassanjibril 9 ай бұрын
sheikh sikuhizi hadi viono mna nengua bana. nyie wanaume mnafanya mambo ya maajabu. wacheni uzushi
@mswakisaid2320
@mswakisaid2320 9 ай бұрын
Bila kuwa na Elimu hapa hutaelewa kitu 😀Labda waleee watu maalum. Nao ni wachache sana. Tusomeni.Elimu ya Dini yetu. Tusiwe Kama mafundi saa😀
@hajikatanje5961
@hajikatanje5961 8 ай бұрын
Kwenye dini ya Mungu hakuna mafumbo na wala hajaileta dini ya kiislamu iliwatu wapate shida ya kuielewa mtume ameipokea HII dini sio kwa mafumbo ukiona Mashekh wanao jiamini na maulidi yao wanashindwa kuyatetea kwa maandiko maana yake wamefeli hawana maandiko thabiti kwa hiyo wamebaki na uganga na mila za mababu sio din
@fahmymasoud3653
@fahmymasoud3653 9 ай бұрын
Huyo baba yake hakua fedhuli kama yy,,, Hana tuu adabu hiki kitoto
@JRN2612
@JRN2612 9 ай бұрын
Nyinyi mnaboa sana kwa kweli. Mimi nimesoma maulid utoto wangu wote mpaka nimekuwa mtu mzima, na daima nilikuwa nachukia mawahabi wakisema maulid hayafai, lakini nilikuwa sijakaa nikawaskiliza. Baada ya kuwasikiliza hoja zao nikatamani atokee mtu aje kuzipinga kwa kutumia hoja; mtu aje aseme kuwa "haya wanayoyadai hawa mawahabi ni ya uongo, kwa sababu 1, 2, 3". Badala yake imekuwaje? Kila mukija kutetea maulidi munalalamika tu na kuleta porojo, bila ya kuleta hoja za msingi. Hivi munategemea mtu aliepewa neema ya akili kama mimi (Alhamdulillah) anaweza kumfuata mtu kwa poroja lake bila ya dalili? Basi hiyo akili itakuwa na faida gani kupewa?. Uislamu hautufundishi kufata porojo za watu bila ya kujali ni nani anaeleta porojo hilo. Uislamu unatufubdisha tutumie akili kupambanua dalili na kisha kufata dalili za wazi. Kwa kifupi hamuna hoja musipotezee watu time zao. Mimi ni ibadhi na siwapendi mawahabi kwa sababu wanatuita makafiri, lakini katika hili la maulidi basi wapo sawa kwa asilimia 💯 %. Wacheni bidaa na uzushi musioweza kuutetea, ukaidi tu😅😅😅😅
@salmanmagwe2612
@salmanmagwe2612 9 ай бұрын
Kaka ktk taratibu za kisheria ni kuwa yule apingae ndio huombwa dalili kwani asli ya vitu ni halali hadi ije hoja au dalili ya kukataza. Sio useme tu hayapo na Mtume a.s hakuyafanya. Kuna vitu vingi mtume hakufanya au alivikataza na sisi tunavifanya: 1.Kuswali Tarawehe jamaa na Mtume as alikataza. 2.kuswali tarawehe rakaa 23 wakati Mtume wetu as aliswali 11 kwa ujumla wake. 3.Talaka 3 mahali moja na hili Mtume hakulifanya. 4.swalatu kheirun minna nnaum,hata hii haikuwepo. 5.makongamano 6.kutoa vyeti ktk Madrasa zetu n.k Je una dalili ya kuwa Mtume as aliyaruhusu au aliwaruhusu Maswahaba wayazushe na wabadilishe hukmu za dini?
@JRN2612
@JRN2612 9 ай бұрын
@@salmanmagwe2612 Usikariri sana, sio kila jambo mpingaji ndio atoe dalili. Mimi nikisema kuoa wake wanne haifai utaniambia mimi nitoe dalili kwa sababu napinga, au ni wewe ndio utanipa dalili? Bila ya shaka ni wewe ndio utanipa dalili kuwa inafaa kuoa waki wanne. Lakini hata hivyo unavyotaka, mawahabi wametoa dalili katika kila madai yao, na watu wa maulid kazi yao ni porojo tu. Kusema maneno ya Barazanji ni uongo hiyo ni akili ya kawaida tu. Yaani mimi ukiniambia ati wanayama wamesema, kikawaida kawaida siwezi kukuamini. Ni lazma utetee hoja yako kuwa ni ukweli wanyama wamesema, tena ulete dalili. Sasa huyu bishoo wa Mombasa kwanza anataka mimi ninaesema kuwa ni uwongo wanyama walisema ndio nitoe dalili, kuwa ni uongo. Dalili ni kuwa wanyama hatujawahi kuwasikia wakisema na sio katika vitu wanavyofanya. Ili tuamini kama ni kweli walisema lazima wewe sasa ndio utoe dalili. Kama vile waliposema wakati wa nabii Suleiman, ushahidi Qur-an. Sasa hawa mabwana wanakuja na kihadithi dhaifu na pia wanashindwa kutaja masnad ya hadithi hiyo. Mie ambae sio msomi nikiona unashindwa kutaja masnadi ya hadithi nitakuwa nawaza kuwa inawezekana kuna jitu jiongo pengine katika huo mtiririko wa wapokezi ndio maana unaogopa kuwataja. Yaani kiufupi Bachu kawagaragisha.
@JRN2612
@JRN2612 9 ай бұрын
@@salmanmagwe2612 halafu mifano yako yote 5 ukitoa huo wa 6 ambao hauna kichwa wala miguu basi inaonyesha ni matendo ya ibada. Nikipinga hayo ni lazma nitoe dalili. Ama kusema kuwa wanyama waliongea, hilo si tendo la ibada, bali ni story ambazo zimetungwa.
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 9 ай бұрын
We kweli mjinga jifunze ewe kijana ujinga ni aibu hakuna anayeridhia ujinga ila punda
@JRN2612
@JRN2612 9 ай бұрын
@@mhusinigau3231 toeni hoja, wacheni porojo na kuplay victim😅😅
@SlimShariff
@SlimShariff 9 ай бұрын
Mtoto wa backu pigania kwanza wazungu wanatembea zanzibar . Hauna adabu
@salumnuhu9066
@salumnuhu9066 9 ай бұрын
Zungumzeni mambo kielimu mbona mnababanya bambanya tu
@user-ze8rk9ye6r
@user-ze8rk9ye6r 9 ай бұрын
Sheikh hayo maneno mbona nimengi tu usilaumu mtu kwa maneno matupu ebu tetea maulidi kwa dalili sahihi,tetea kwa hoja,na kama pia sheikh waona simsomi ebu muite kwa munakasha kisha hapo atajulikana yuajua ama hajui
@user-ib7kx9dc5m
@user-ib7kx9dc5m 9 ай бұрын
Abushak naona sasa ushabiki umekushika he nawale wapo zaliwa mpaka wazeheha hawana ndevu vp hao acha ujinga kabisa nyie ndoo mmefanya mpaka leo yupo hapa kwa iung'ang'ani vitu vya hovyo
@user-ze8rk9ye6r
@user-ze8rk9ye6r 9 ай бұрын
Mwenzenu yuatumia dalili nyinyi atakae simama ni story na maneno mengi tuuuuuuuuu hamueleweki watu wanasikikiza tu lakini mwenye akikili yuajua hawa hawana chochote cha mxingi
@fahmymasoud3653
@fahmymasoud3653 9 ай бұрын
Nyny ni kundi la mayahudi hamujielewi tuu, Kuna siku mutajua tuu,,,, Nyny muna mabalaa ya ushirikina ila hamujioni tuu
@fahmymasoud3653
@fahmymasoud3653 9 ай бұрын
Mungu kakaa, Mungu anamiguu, Ana macho, anashuka, upuuzi mtupu... Eti sio miguu km munayoijua nyny, basi sio viungo hivyo
@swafniesaid2331
@swafniesaid2331 9 ай бұрын
Mwahabi nimaadui wamtumi nawana wazùwoni mimeshidwa namuta shidwa mupoooooo
@ahmedattas2216
@ahmedattas2216 9 ай бұрын
Mjadala wa maulid umeshakwisha mawahabi njooni tusome maulid na tuangalie mambo mengine
@MwamvuaJafari-fq4ku
@MwamvuaJafari-fq4ku 9 ай бұрын
Maulidi ndio uislam kamili
@KASSIMSAMAMBO
@KASSIMSAMAMBO 9 ай бұрын
Khaaaaaaa😂
@abuuamourmuhamed1934
@abuuamourmuhamed1934 9 ай бұрын
Innalillah wainna ilayhi rajiun
@omarytobaomary7148
@omarytobaomary7148 9 ай бұрын
Acha uongo mzee mtaongea sana kwa7bu mliguswa kwenye kidonda hamuna hoja zakutetea maulid
@saydouside9468
@saydouside9468 9 ай бұрын
Bachu..19...wamadufu...0...danika ya 15...MPAKA ikiisha Bachu30...madufu 0...inapigwa tena Kenya.. tusubiri..kama hawajatia barznje kwapani
@aluishabani627
@aluishabani627 9 ай бұрын
ahsanta shekhe samiri bachu ajui kabisa
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 9 ай бұрын
AKIENDA tena atakunya baada yakujikojolea
@mohamedrashid7864
@mohamedrashid7864 9 ай бұрын
Mawahabi hawajawahi kumiliki akili
@mwambamuyango9002
@mwambamuyango9002 9 ай бұрын
hoja ziko mezani pandeni kitandani
@kuluthumumussa1123
@kuluthumumussa1123 9 ай бұрын
Maulidi yatazidi mzidi kuumia mafisadi
@abdulykahera4273
@abdulykahera4273 9 ай бұрын
Namoto unawasubiri acheni kua wajinga
@mutomubaya
@mutomubaya 9 ай бұрын
Hivyo ndivyo mlivyofunzwa kutukana Waislamu? Tumieni ilimi wenu vyema.
@ahmedmattar4661
@ahmedmattar4661 9 ай бұрын
Huyu mtoto wa bachoro inafaa akapimwe akili nahisi hana akili
@suuahmed71
@suuahmed71 9 ай бұрын
Hana kweli alisema mwenyewe kwa kinywa chake asema alipata ajali akaumia kichwa chake maskini ndio amekorogeka. MUNGU amuwafu amponye
@shabaniadam7015
@shabaniadam7015 9 ай бұрын
Huna lolote mootoshaji tyu ,na utawapotosha mamuma tyu sio wasomi
@user-lz3cc1pe6x
@user-lz3cc1pe6x 9 ай бұрын
unapewa pesa kwa porojo zako bidaa wewe
@ahmedmattar4661
@ahmedmattar4661 9 ай бұрын
Hakuna wahabi aliesoma wala mwenye akili mawahabi wote zumbu kuku
@EdhaOmar-jd6os
@EdhaOmar-jd6os 9 ай бұрын
Yule anaitwa baaachupu
@khamiskhamis3165
@khamiskhamis3165 9 ай бұрын
Acha upumbavu wewe
@RashidiHassani-in9rb
@RashidiHassani-in9rb 9 ай бұрын
Wakumbushe na cheti Cha ndoa hakikuwepo waambie ustadhi mbona wanang'ania
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 9 ай бұрын
Cheti Cha Ndoa hutumika hata ktk Masuala ya Kiserikali na Kuiitii Serikali/Mamlaka kama Si Jambo la Kumuasi Mungu hata Allah anaridhia.
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 45 МЛН
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 40 МЛН
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 45 МЛН