Рет қаралды 612
Tarehe 29 June 2024
Code Alipata nafasi ya kufanya show ya utangulizi kwenye viwanya vya Tanganyika Packers, Mgeni rasmi wa show hiyo alikuwa Chley msanii kutoka SA. Show iliambatana na wasanii kutoka Tanzania Chino Kid, Marioo, Jaivah, na wengine wengi. Code alifanya vizuri sana ikiwa ni show yake ya kwanza kufanya na kushiriki stage kubwa kama hiyo na wasanii wakubwa.
Endeleea kufuatilia chanel yetu kupata matukio muhimu ya burudani.