uyu jamaa ni level zingine kabsa bhn,, genius uyu🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@husseinmbwana8160Ай бұрын
Nikazi ngumu sana kuchekesha watu wazima haswa wenye nyazifa kubwa serikalini,lkn jamaa ameweza,pia lugha yake ipo smart na hachoshi watu,,pure talented comedian we have in the country 🎉
@user-cq4mz8wn3bАй бұрын
Majaji hawakukosea kumchagua kuwa mshindi wa cheka tuu,pokea maua yake❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@directorimmah_vfx3043Ай бұрын
Leonardo ni mnyama sana na tunakuona mbali mzee.. ongeza juhud
@eddyology7304Ай бұрын
It is encouraging to see a brother rise from humble beginnings to manage corporate events. Hongera sana Leornado.
Hongera sana kaka Mwenyezi Mungu azidi kukufungulia milangoo...sio kazi ndogo hapooo
@user-zr5mk4ud8jАй бұрын
Asante Ayo kwa kumpa leonardo platform anastahili anatoa ushauri mzuri
@barakae.n6418Ай бұрын
The best standup comedian 🇹🇿
@mickyboytz247Ай бұрын
Jamaa nimkali sana uyu atali 👏👏👏👏👏👏
@user-ei4xs3kn5qАй бұрын
Hongera bro unajua mungu akuzidishie
@justinsamwel4946Ай бұрын
Uyu jamaa anajua mpaka anaboa tumpe like zake
@johnmbigi7930Ай бұрын
Anakera😂
@abdulrahmanissasizimwe2107Ай бұрын
Hamkamati KIPOTOSHI banaaaa
@jofreymakelemomaisha2095Ай бұрын
@@abdulrahmanissasizimwe2107Kipotoshi bado sana, Leonardo ndo King wa Stand up comedy Tanzania
@newttechog75Ай бұрын
Weeee kipotoshi ndo nan😂
@samwelanania286Ай бұрын
More blessing 🙌 braza unaweza
@MalkaMercyАй бұрын
Mkali wa mathe ukimuona kama kisheta eeh kumbe he is very smart😂😂😂
@upendomumba4827Ай бұрын
Toka siku ya kwanza nilikupenda unajua sana unamaterial yaliyoenda shule❤️❤️❤️
@HAPPYNATION-km1ew8 күн бұрын
@rehemaally4366Ай бұрын
Anatoa platform nzur sana❤ ishi sana leonard unamadini bhna
@user-ds8kq8ov6lАй бұрын
Aliye sikia ahmed ally makofi kwa wingi gonga like hapa😂😂😂😂
@goodlucksamson6910Ай бұрын
Moja ya wachekeshaji bora wa majukwa ya kusimaa
@modegraphicsАй бұрын
Jamaa anakula endorsements tu saivi.. safi sana
@kobatvonlineАй бұрын
Jamaa ana IQ KUBWA sana🔥🔥🔥🔥
@issasefu86Ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥m nakupa maua yang bro ,Leonardo unajuwa Sana,Godbless you ,Mungu atakusaidia utafik mbali 😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
@barnabasmarsel3876Ай бұрын
Mwamba wala hatumii nguvu kuchekesha watu😂😂😂😂🙌
@deejeydaevАй бұрын
Jamaa unpredictable kabisa safi sana...
@NeemaNeem-ex2oiАй бұрын
ni kweli kabisa ata kwenye mavazi tunaona mtoto wa boss akivaa kimini huitwa misi lakini wa maskini huitwa malaya
@user-ei2ud7gh5hАй бұрын
Kweliiii kabisaa 😂😂😂😂😂❤❤❤
@fikirimutambala4330Ай бұрын
Unajuwa sana from USA
@abeidabdullwarith8991Ай бұрын
Huyu jamaa anakuja vzr sana big up
@vincentauxerbius7554Ай бұрын
Jamaa anatisha sana yaan jokes zake Zina mafundisho mazuri😅😅😅🏃🏃🏃🏃♂️🏃♂️
@Suma001Ай бұрын
Leonard hayup sirias na maisha kabisa 😂😂😂
@aristocharles-cq2fdАй бұрын
Your the best commedian in Tanzania
@benOfficial36Ай бұрын
😂😂 ila na mm pesa ya sponsor nilishawahi kuitumia sana, daah!! Haya maisha, had nikalipiwaga ada ya shule. Sema yule sponsor alikuwa serious sana had akamuoa demu wangu 😂😂😂
@barakal.mollel5480Ай бұрын
😅😅😅😅
@KhalfanMassoudАй бұрын
He's GOAT....
@kharidmadanganyaАй бұрын
Leonard unaweza sana mzemwenzangu ongeza juhudi mbaliii unaonekana.
@user-nj1nt9rc1rАй бұрын
Huyu jamaa anajua nimerudi hii video mara tano na haichoshi😂😂
@deborahmidiburo3541Ай бұрын
Nakukubali sana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤️❤️
@shadowmedia7644Ай бұрын
He is genius of comedy 😅😅😅😅😂😂😂😂
@lidancerchrisАй бұрын
TALENTED😂⛽🔥🚬
@ANY_TIME_TVАй бұрын
huyu jamaa noma san me namkubal kinoma
@LiboryMulungaАй бұрын
Good performance..
@doiabel3793Ай бұрын
Kinacho nishangaza wabongo huwa wanakuja kwenye show bila pesa hata kumtunza mchekeshaji tu kwenye jukwaa hamna jaman acheni roho mbaya watunzeni wachekeshaji kwenye jukwaa
@lampadshigonko3006Ай бұрын
tunza pesa mjomba
@ailennkya89217 күн бұрын
Wanatunza pesa Then wamelipa viingilio ni support pia
@blackstartz7331Ай бұрын
Wa nne mimi like zangu jamanieeeeeeeeeeeee
@fumoke3705Ай бұрын
Anapitisha ujumbe mzuri sana kwenye comedy 💯
@hassansalumkuvengaАй бұрын
huyu mxhkj anatisha mungu akuzidishie
@user-sk7un6ls2tАй бұрын
Pesa shikamoo 😂😂😂
@pharesjacob1198Ай бұрын
Hii material umeandika mzee itakuwa umelipwa pesa nyingi😂