SHUHUDIA CHIDI BENZI AKIMCHANA MAKAVU HARMONIZE "HAMNIWEZI"

  Рет қаралды 1,043,233

TemuTV

TemuTV

4 жыл бұрын

#TemuTV #harmonize #chidbenzi
Live Chid Benzi Ataka Kumfua Harmonize Mbele Ya Polisi Na Bodyguard "Hamniwezi"

Пікірлер: 375
@awadhiismail3154
@awadhiismail3154 4 жыл бұрын
Harmonize kweli kawa mtu mkubwa yaan kaanza mziki 2014 Leo hii anamlipa cheed benzi wa miaka ya nyuma Sana daaah jamani embu gonga like hapo
@hkmeme5437
@hkmeme5437 4 жыл бұрын
Chid benzi ni tejja
@boazmasinde2764
@boazmasinde2764 4 жыл бұрын
Chid benzi mbumbavu tuuu ngoma hana
@yakoboilomo5566
@yakoboilomo5566 4 жыл бұрын
Ndo maana wana hasira nae
@beninternationaltv3136
@beninternationaltv3136 4 жыл бұрын
Sema nshukuruni diamond alie mtowa
@kamaakamaa1795
@kamaakamaa1795 4 жыл бұрын
Awadhi Ismail subscriber channel yangu
@sadikhanboy
@sadikhanboy 5 ай бұрын
Namkubali jeshi Konde boy for everybody 💯🙏💪🔥💥🎤Jeeshi all the way!! Sadikhan boy from KENYA
@tobaramadhani7139
@tobaramadhani7139 4 жыл бұрын
Jeshi anajitahidi sana kuwabeba ila mijitu bangi haibebeki mbona kiuchifu katulia na maisha mazuri tu yanaenda
@muhambeKalubala
@muhambeKalubala 4 ай бұрын
ww ni jechi tuh hakuna mwengine kabisa Kazan naile kipaji man❤ 9:40
@lulanatty8474
@lulanatty8474 4 жыл бұрын
Teja ataka shindana na king harmo jeshiii mtu mwema 😍😘
@ImamshiraziMwidau
@ImamshiraziMwidau 2 ай бұрын
Its all about creativity mambo na Ubunifu..
@meshacksamson1008
@meshacksamson1008 4 жыл бұрын
Kama unamkubal harmonize gonga like hapa maana namkubal mbaka naumwa yaan
@user-wv2ur5sh2b
@user-wv2ur5sh2b 4 ай бұрын
Jamaa namkubali san
@danieljems7810
@danieljems7810 3 жыл бұрын
Harmonize noma sana Kweri we ni jeshi
@titobernard383
@titobernard383 4 жыл бұрын
Hizi story zinatokea wapi !? Jamani hebu tusizenguane hapa !
@mussajacob8346
@mussajacob8346 4 жыл бұрын
Teja afadhiliki ashazoea maisha ya uteja chidy afadhiliki
@user-xz6qb5cb1y
@user-xz6qb5cb1y 6 ай бұрын
Kumamako
@Favour-keys
@Favour-keys 4 жыл бұрын
You got it men 👊
@lucaswalogwa3821
@lucaswalogwa3821 4 жыл бұрын
Chid Benz amenivuruga sijaona alichofanya zaidi ya mambo ya kitoto kabisa
@jwasafiog5416
@jwasafiog5416 4 жыл бұрын
Duh kaaibishwa mdogo wangu
@alicetowo3645
@alicetowo3645 4 жыл бұрын
Sjui alitak apewe sh ngp?? Binadamu bhnaa hatulizikii, angekaa tu hiy el angeipt wap Sasa, !!!,
@muhambeKalubala
@muhambeKalubala 4 ай бұрын
ww ni jechi tuh hakuna mwengine kabisa Kazan naile kipaji man❤
@flightclubtanzania1638
@flightclubtanzania1638 4 жыл бұрын
Laki 3 hela ndogo kwa maisha haya na mziki hiiii ya zamani chid come on banaaa
@sammysammy2001
@sammysammy2001 4 жыл бұрын
Hamonaz Big up
@halimapatricia5882
@halimapatricia5882 4 жыл бұрын
Sahii walipwa na madogo na ww uliokomaa kwa mziki hahah unga hauachi mtu salama
@omarimtoro58
@omarimtoro58 4 жыл бұрын
bro chid unalipwa laki 3 na madogo mlio wa inspire. unga haujawahi kumuacha mtu salama. @chidbenz na tid.
@bishoomapicha204
@bishoomapicha204 4 жыл бұрын
Omari Mtoro sdguyreh
@IqbaraAzizi
@IqbaraAzizi 3 ай бұрын
Nmemuona h baba
@user-kv6ik2sr9x
@user-kv6ik2sr9x 6 ай бұрын
fire❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-mq5in3fi5y
@user-mq5in3fi5y 4 жыл бұрын
Uyo chid benz analake tu kwa konde man km kishajua atapewa lak3 kwnn ackatae boya tu uyo ss mbn kakubal na pes kachua kwa mzik gn alokua nao mpk alew milion naend uk
@zenamadhan2517
@zenamadhan2517 4 жыл бұрын
Uyo konde anahaja nae nn asingemuita atakuja muazirisha bure..teja hana amani
@tekonmwangi4232
@tekonmwangi4232 4 жыл бұрын
Me I love you harmonice
@maligeltabatholomeo8128
@maligeltabatholomeo8128 4 жыл бұрын
Kwani kama kaona laki 3 ndogo si angekataa!!!! Kwani kashikiwa bakola au? Konde mbele kwa mbele aturudi nyuma
@ramadhanyusuph7986
@ramadhanyusuph7986 4 жыл бұрын
Kweli angekataa tato unga haumuachi mutu salama
@mohamedchalamila3637
@mohamedchalamila3637 4 жыл бұрын
Ngada c mchezo
@danmsafi2383
@danmsafi2383 3 жыл бұрын
Sio bure konde atakuwa anakutomba wew🇹🇿🇹🇿
@maligeltabatholomeo8128
@maligeltabatholomeo8128 3 жыл бұрын
@@danmsafi2383 si alianzia kwako ndo maana unajua
@juliasitemba4410
@juliasitemba4410 4 жыл бұрын
Chaka yes
@omelausufu602
@omelausufu602 4 жыл бұрын
Bro chidi benz sio mzima ule ni msenge tu
@monalisalucas6078
@monalisalucas6078 4 жыл бұрын
Watu kama woteee
@alimairakoze3784
@alimairakoze3784 4 жыл бұрын
Jeshii
@bonnysureolkokolaboy4342
@bonnysureolkokolaboy4342 4 жыл бұрын
Huyu chalii anajiskia sana sa ndio ilikua anajiandaa mda wote huo kwenye kosta, acha ujinga mmakonde wew
@susanmwalili4365
@susanmwalili4365 4 жыл бұрын
My son loves You KONDE boy
@yasinitwalika1565
@yasinitwalika1565 4 ай бұрын
Chid kichwa chake kishapagawa unapomuita sehem utegemee lolote kutokea, Mm nimeckia mc kasema mimi masi yeye kasikia chid benzi
@hansmkomwa8137
@hansmkomwa8137 Жыл бұрын
Hi
@tariqkassim144
@tariqkassim144 4 жыл бұрын
Nice
@deusdeodavid5360
@deusdeodavid5360 4 жыл бұрын
Laki 3 hela ndogo hasa kwa msanii mkubwa kama benzi japo 5 basi
@mptv2549
@mptv2549 4 жыл бұрын
Good job harmo, keep up with the good job. And can someone tell ray to start thinking of his next step na achane ni baba yao harmo kabisa
@kaitaramadan6340
@kaitaramadan6340 4 жыл бұрын
Duh
@shillaedmund
@shillaedmund 4 жыл бұрын
Tishaa sanaaa Konde BoY🔥🔥
@geofreyniyonkuru5724
@geofreyniyonkuru5724 4 жыл бұрын
😱😱😲😲🥴🥴😸😸😸😂😂😂chid haki nushabiki wangu na wewe kwisha umezingua laki tatu sikidogo
@user-gu7kg3vt3w
@user-gu7kg3vt3w 4 ай бұрын
Ukiwa mteja sehemu yoyote lazima uzarauliwe
@fredychambu2909
@fredychambu2909 4 жыл бұрын
Good
@user-qm6lq7ud9p
@user-qm6lq7ud9p 5 ай бұрын
LAKI 3 YA TANZANIA 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@raheemyusuph5694
@raheemyusuph5694 4 жыл бұрын
chid anazngua sanaa yan kiukwel daaah chid anazngua,..
@hameesmohamed9236
@hameesmohamed9236 4 жыл бұрын
Bange bwana 😂😂😂😂😂😂
@benjaminfataki6898
@benjaminfataki6898 4 жыл бұрын
si angataa kwanini kakubali kupiga show chid chiz mkorofi.
@henryd.rcongo2287
@henryd.rcongo2287 4 жыл бұрын
Ili li bwana chid Benz pesa zote atauza dawa ya kulevya na iyo ma unga.konde boy fire
@sirijoseph655
@sirijoseph655 4 жыл бұрын
Chidy benz wew fara ungeji tambua mapema usinge kuwa hapa
@sideboy3164
@sideboy3164 4 жыл бұрын
Madawa noma aiseee
@ericbeston1423
@ericbeston1423 4 жыл бұрын
Nakukubar sana
@asmaphilipo7004
@asmaphilipo7004 4 жыл бұрын
make one home boy
@asiamwangxx3413
@asiamwangxx3413 4 жыл бұрын
Love you konde boy
@faidamakoye7735
@faidamakoye7735 3 жыл бұрын
H nakupenda kama nini yan tembo OG yani
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 4 жыл бұрын
Haha haha huhuhuhu hahahaha dunia wadaa ulimwengu shujaaa
@inoskingreskape8476
@inoskingreskape8476 3 жыл бұрын
Harmonize jeshi king
@pendokenneth8729
@pendokenneth8729 4 жыл бұрын
Show😂😂😂😂😂😂
@nizeyemanarachid9092
@nizeyemanarachid9092 4 жыл бұрын
🤗
@user-xp5pb5qh9o
@user-xp5pb5qh9o 5 ай бұрын
Jamani uyo si h baba alie mtusi konde boy
@browntiger4849
@browntiger4849 4 жыл бұрын
Chidi kashachizika
@jacksonmichiel6057
@jacksonmichiel6057 4 жыл бұрын
Jeeexh
@williamtarama4589
@williamtarama4589 4 жыл бұрын
Nashangaa watu wanavyoropoka km huyo chiz mwnzao chid! Laki tatu kapewa kasaidiwa tu kafanya kaz gani ya maajabu hapo!? Kpewa ya kula ck kadhaa tu! Kuliko angepewa bila kufanya chochote, angejishtukia kupokea 😂
@feyramsozclass4015
@feyramsozclass4015 4 жыл бұрын
Tatizo wanafata akiwa tayali kashakula vitu vyake
@ndevundavo7798
@ndevundavo7798 4 жыл бұрын
William Tarama ata apewe milioni ishilini yote atakula unga
@user-ph2sd5jp6z
@user-ph2sd5jp6z 6 ай бұрын
Chid aache bang
@saeedmassoud256
@saeedmassoud256 4 жыл бұрын
Play back c mzuka izo ni show mbovu
@osmanmussa6596
@osmanmussa6596 4 ай бұрын
Namuona h baba hapo mlangoni amempisha njia konde boy mziki sio uadui
@joshuajoshua7092
@joshuajoshua7092 4 жыл бұрын
Mtt wasimba huyu anawanyosha saf chid alitaka nn
@fadyshaby8320
@fadyshaby8320 4 жыл бұрын
Nadhan Kama pesa aliolipwa ni tofaut na makubaliano alitakiwa kufuata utaratibu kudai haki yake,.....alichofany n kudhalilisha tamasha na aliempa dili.......mbn kunawakati wasanii walikua wanafany shoo kwa kupewa nauli tuu....chidy atafany watu wapate hofu kumpa shoo zao........
@mrishodaudi2243
@mrishodaudi2243 4 жыл бұрын
Nanyie mnalichukuaga lanini hilo limazalilisha buludani muwe mnaliacha limtu mnalisaidia ila halieleweki lanini
@boazmtilege146
@boazmtilege146 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😛😛😛Chidbenzi
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 жыл бұрын
Wakati mwingine ukimsaidia mwenzio nae ingalau apate chochote kitu,matokeo yake ni kulaumiwa na matusi,ni bora usimsaidie mtu ili uepushe nongwa.
@officialmrtop1018
@officialmrtop1018 4 жыл бұрын
We boya kweli laki tatu kwa msani kamsaidia nini? Chizi
@kamaakamaa1795
@kamaakamaa1795 4 жыл бұрын
Mariam Fritsi subscriber channel yangu apo
@seifdisail3007
@seifdisail3007 4 жыл бұрын
@@officialmrtop1018 mla unga unataka apewe ngapi?!
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu 4 жыл бұрын
@@officialmrtop1018 laki 3 kwa dakika 10 alizoperform ni ndogo? Hapo kalipa watu wangapi na yeye kaingiza ngapi?
@mxofmfk8406
@mxofmfk8406 4 жыл бұрын
@@officialmrtop1018 swali ni kama laiki 3 ni ndogo mbona kapanda jukwaani kuperform, mi nilijua angekataa kupanda jukwaani na ansingekuja kwenye hiyo show
@ismailmajala2802
@ismailmajala2802 4 жыл бұрын
Kichwa cha habari cha kutafutia viewers 😆😆😆🤦🏽‍♂️
@brightonchedego8100
@brightonchedego8100 4 жыл бұрын
Mbona hata na yy hajatumia gharama ya kutafuta hata wa kuwalipa sasa laki3 inakuwaje ndogo wakat kuperform kwenyewe hakufk hata dk10 pia alikuwa peke yake,akiwa anapotezewa anaanza kulalamika kuwa hakumbukwi,,usipokuwa makini Chidy kila msanii mkubwa atakuogopa kukuita ksha urud kwenye kuperform kwenye mabaa na kupewa elfu20 kama miaka kadhaa iliyopta 😃😃😃
@imascodallas3098
@imascodallas3098 4 жыл бұрын
daaaaaaa
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 4 жыл бұрын
NILIKUWA NAMPENDA ILA ALICHEMSHA MDOMO AWACHIE WANA WAKE NA MAUNGA HAYAMUACHI MTU SAWA ...
@indiaboytz5731
@indiaboytz5731 4 жыл бұрын
Kweli asee uyu mshkaji ata mm amentoka kabisa nilikua fans wake mkubwa ila kafanya ungese fala uyu ana maana teja abebeki
@hassansalumu932
@hassansalumu932 4 жыл бұрын
We aunaakil
@nicehamis2448
@nicehamis2448 4 жыл бұрын
Hahahaha 😀
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 4 жыл бұрын
Hakika hela ndo kila kitu laki tatu zinaenda kukusumbua na ulegendary wako!!
@abastansanga7256
@abastansanga7256 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@pgabbermusic5423
@pgabbermusic5423 4 жыл бұрын
Ukiwa huna akili huo ukubwa wako unakua haina mana amelipwa laki tatu ila hajalazimishwa so hapo utaona upeo wa mtu kama yuko sawa au la
@saidijuma9386
@saidijuma9386 4 жыл бұрын
Chidi ashakuwa hater ana chuki za wazi wzi km ktu hutk ni bora useme tu kulko chuki za kijinga hvy punguza chuki haisaidii
@mwajujomba7782
@mwajujomba7782 4 жыл бұрын
Huyu hampendi harmonize si aliwahi kumponda sasa ndo hiyo anafanya laki 3 nyingi sana kwa yeye na anaimba nini sauti lishakufa
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 4 жыл бұрын
Mabaunsa nafikir wako vzr
@muhambeKalubala
@muhambeKalubala 4 ай бұрын
pôle sana kwak chid kabisa ina leta ahubu 😢
@dennismusilamulwa1526
@dennismusilamulwa1526 3 жыл бұрын
Uhuu
@danielmwangonda8380
@danielmwangonda8380 4 жыл бұрын
Kuwa makin na kazi mbona hakuna alicho fanya chid kwa konde
@kingrasdee445
@kingrasdee445 4 жыл бұрын
Flag sana kw Konde boy, sem2 chid madawa yalmfanya kaarb na kutaka kumshusha!!
@yudadaniel4867
@yudadaniel4867 4 жыл бұрын
mijitu kama hii ndio maana inaachwaga tu yeye alikuwa anataka million 10?
@kamaakamaa1795
@kamaakamaa1795 4 жыл бұрын
Yuda Daniel subscriber channel yangu
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu 4 жыл бұрын
Alivoona kumejaa alidhan ye ndo kajaza hahah
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 жыл бұрын
Tatizo ndio hivyo unapomsaidia mwenzio ingalao apate kitu,matokeo ni kulaumiwa,bora usisaidie kuepusha lawama.
@costantinejoseph4907
@costantinejoseph4907 4 жыл бұрын
anazngua kamma ndogo kwa nini alipanda jukwaani? sio ustaarabu
@dbashhussain8711
@dbashhussain8711 4 жыл бұрын
😁😁
@dancerschanel8682
@dancerschanel8682 3 жыл бұрын
tisha mbaya mwanang konde gang😂
@6VEVONEWS
@6VEVONEWS 6 ай бұрын
Chid benzi ni chizi tuu huyo
@benhorta5121
@benhorta5121 4 жыл бұрын
Kweli leo ndio nimeshtuka chid bez kumbe anaakili za kitoto kbs.. Kwan hata angefanya bure kwani amelazimishwa kuja pia sisi inatuhusu nini kama mashabiki, Dogo jinga kbs shoo yenywe ya bure akuna kingilio chochote sasa laki 3 kwa dakika 15 mbona pesa nyingi sana.. Oya temu mm shabiki yako since before 5000 subscriber ..
@muhambeKalubala
@muhambeKalubala 4 ай бұрын
ww ni jechi tuh hakuna mwengine kabisa Kazan naile kipaji man
@cadeyvassir1132
@cadeyvassir1132 4 жыл бұрын
Hbaba ni bodyguard wa harmonize lol🙆‍♂️🤣
@ndevundavo7798
@ndevundavo7798 4 жыл бұрын
Sidhani kama kuna tatizo kama anazipata pesa
@stevewanga957
@stevewanga957 4 жыл бұрын
Chidi nae Sai anazeeka vibaya.....
@ameeraaljassim4138
@ameeraaljassim4138 4 жыл бұрын
Kwani alilazimishwa iyo kitu alikua akitumia bado inamtatiza awepole
@yudaseleman8320
@yudaseleman8320 4 жыл бұрын
Mlishawahi kuperform nyinyi au midomo2
@zarhaalmasi7170
@zarhaalmasi7170 4 жыл бұрын
Bangi mbaya
@johnsonbhusagwe6945
@johnsonbhusagwe6945 4 жыл бұрын
Chuma nae anabebwa habebeki yaan anazingua kinyama
@abuuhafsah9630
@abuuhafsah9630 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@casidyromy8706
@casidyromy8706 4 жыл бұрын
Johnson Bhusag
@dianasamson9311
@dianasamson9311 4 жыл бұрын
Hata aropoke vipi.... atajijua mwenyewe.... tunasepa mbele... huyo Chizi tulishamsahau... hana jipya. Konde Boy to the World.🤣🤣🤣🤣🤣
@nassorbakar6560
@nassorbakar6560 4 жыл бұрын
Uhakika
@babayussfa3950
@babayussfa3950 4 жыл бұрын
Umeona eeeh mteja anatav
@samiramadenge953
@samiramadenge953 4 жыл бұрын
Unga bwana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kamaakamaa1795
@kamaakamaa1795 4 жыл бұрын
Diana Samson subscriber channel yangu
@dastaniguni5599
@dastaniguni5599 4 жыл бұрын
Huyo maza na mjezi wa utopolo tumbo km Molinga
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 3 жыл бұрын
Kumbe wenyewe hamjui kilichomkera, mbona head lines mnasema kulipwa laki tatu
@wardamakame1652
@wardamakame1652 4 жыл бұрын
Rayyvan ft diamound
@cassianowaeast1108
@cassianowaeast1108 4 жыл бұрын
Hivi unavaaje jacket kwenye joto mmakonde mwenzangu unaniangusha 😂😂 KONDE MTOTO
@AbdulGermany210
@AbdulGermany210 4 жыл бұрын
Kweli hatari shoo haina backstage
@rabaonetv
@rabaonetv 4 жыл бұрын
Jamani baada ya kumwona chuma Basi twendeni tukajifunze uzalishaji wa bidhaa mbali mbali za viwandani huku kwenye channel yetu RABAONE TV Mafunzo ni BURE KABISAAA Tunafundisha uzalishaji wa bidhaa mbali mbali kama vile sabuni aina zote, lotion, cream, mifuko na zinginezo nyingi.
@mateofungo3834
@mateofungo3834 4 жыл бұрын
Yang
@deusdeditswebe8930
@deusdeditswebe8930 4 жыл бұрын
mia tatu...
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 115 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 10 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 37 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 47 МЛН
ROMA NA STAMINA WALIVYOTINGISHA FIESTA DSM + SUPRISE YA CHIDI BENZ
13:27
DIAMOND ALIVYOM SUPRISE CHID BENZ NGOMA YAO / ATAKA KUMWAGA MACHOZI
6:02
Neden yüzünü saklıyor
0:19
H. DANIŞIK
Рет қаралды 31 МЛН
Why Is He Unhappy…?
0:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 63 МЛН
tom with Jerry 😱 #funny
0:12
Nemi Shorts
Рет қаралды 14 МЛН
Waka Waka 💦💃😁 #funnyshorts #rianashow
0:14
RianaShow
Рет қаралды 11 МЛН