Ewemwenyezi mungu tujalie tuwe katika watu wako uliowachagua na utuondoshee kwa kila ulio tuharimishia yaarabi ameen 🙏🙏🙏
@user-qs8kc3xf6g Жыл бұрын
Ameen ya rabb
@ferroaboo3459 Жыл бұрын
Ameen
@salmakinjo4543 Жыл бұрын
Ameen
@ArafaAmirAmir-ci7ld9 ай бұрын
Amin thumma amin
@HBoga Жыл бұрын
Mashallah sheikh wetu Othman Maalim. Kusema tu ukweli napenda sana kusikiliza darsa zako. Nikiwa kazini, naeka mwaidha yako na uskia raha sana kwa vile unatoa mawaidha kwa hekima na mara zengine kwa ucheshi. Mungu akuzidishie elimu na umri mrefu ili tuzidi kufaidika na mawaidha yako
@abdaladelo371 Жыл бұрын
❤ inshaallh taaala yarabi
@hamisasalehe2427 Жыл бұрын
Assalaam alaykum ee umati Muhammad! ALLAH ndie atakulipa hii elimu utupayo! Shukrani kwa darsa zako hazikinai kusikiliza. Najifunza jipya kila ninaposikiliza darsa zako. Jazzakallah khair.
@halimahbwelele694 Жыл бұрын
MashaAllah shekh umesema ukwl kabisa Allah akuhifadhi
@suraiya3151 Жыл бұрын
Allah akutunze sheikh wetu InshaAllah 🤲🙏🏼❤️🥰💕
@jumahamad37239 ай бұрын
Allah akuhifadh ustadh wangu maaalim wangu kheri na baraka iwe kwko
@mwanasitibakari3255 Жыл бұрын
Mashaallah mwenyezi mungu akuzidishie umri sheikh ss pia twajifinza kupitia mawaidh yako Allah akuzidishie malipo
@ulamaashaban8039 Жыл бұрын
ALLAH ajaalie wenye kusikia na kufuata
@halimasaid5781 Жыл бұрын
Tunaelimika SI haba , Allah akujaze kheri
@amirimohammed2875 Жыл бұрын
Yahalaah tujalie mwisho mwema na shehe wetu umpe moyo usiokinai yalabi🤲
@AthumanSalehe-nl7di Жыл бұрын
Mwenyezi mungu akulipe kila la heri shekh nasi tunaokusikiliza darasa zako atulipe inshaalah
@husseinalieth4346 Жыл бұрын
Maasha Allah..Allah akuhifadhi
@user-bc4rm3oh7i Жыл бұрын
Mola akulipe kheri duniani na Akhera.
@mohamedalimwangare Жыл бұрын
Shukran mjombangu @ Othman Maalim. Wanaudhubillahy siku hizi watu wanasambaza kwa Kutumia simu sio kwa sauti au sura ilonukuliwa.
@ramamganga7227 Жыл бұрын
Allah akuzidishie kher uzid kutuelimisha in sha Allah
@FeswalMohamedislamMohamed Жыл бұрын
AA shekh wangu mm Niko Kenya lamu kisiwani nakukaribisha lamu joo shekh utupe dawa uwatowe ushamba mashekh WA huku nampenda darasa lako mm tafadhali mungu akikujaliya njoo lamu tafadhali naomba shekh wangu njoo lamu wabilahi tawfik ishallah niombeya duwa na mm mwanao tafadhali Sana'a
@nadiaahishakiye8170 Жыл бұрын
Shukrani kwadarsa🙏😊Allah akujalie mwisho mwem
@habibahusein3883 Жыл бұрын
Tunajifunza mengi San kupitia mihadhara yako Allah bless you shekh Othman
@kalamuMedia Жыл бұрын
Akujaalie nawe
@salmahussein80768 ай бұрын
🙏🙏asante shekhe kwa somo zuri
@aminaomary4889 Жыл бұрын
Inshallah mung hakujaze khery inshallah ❤❤❤❤
@dalfatsoud4867 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu atujaalie tuwe waja wake waliotakasika na atuvue na mitihani
@rashidimrangi1953 Жыл бұрын
Allah atunusuru na mashaka hayo inshaallah
@awatifalghanim1106 Жыл бұрын
Subhana Allah...Mungu atuepushe na mambo kama haya. Amin
@masoudnasor8920 Жыл бұрын
Abdul
@shabantwaibu10757 ай бұрын
Amiin
@user-fd7ev8iy3s7 ай бұрын
Naam hakika maneno yako kaka angu mashallah mashallah hongera sana sana 🤲🙏
Ustadh mungu akuhifadhi akulinde akupe umri napenda darsa zako zaufaswaha wala humlengi MTU mungu akupe umri nasi atuongoze
@AthumaniChaurembo9 ай бұрын
Maa' Shaa Allah kwa kutupa waadhi unaotunasihi namna Bora ya kuishi ktk ardhi, Allah azidi kukuongoza ktk khayraati,
@user-oj2vv5bh3i Жыл бұрын
❤alalh
@rahmaalfan1776 Жыл бұрын
Yaarab tuongoze kufanya khery
@dsmtourssafaris Жыл бұрын
mashaallah
@samirasadasalum5974 Жыл бұрын
Shukrani sana sheikh wngu
@saidmwidin8662 Жыл бұрын
【 ALLAH 】 tupe subra nJemaa Yah mawaidha YaLioYoo kuwa na mafundish0 boraaa kwe2
@alimzee Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@miishhassn Жыл бұрын
🙏🙏🙏❤🙏
@suraiya3151 Жыл бұрын
🤲🤲🤲🥰🥰😍
@hashimwaziri3583 Жыл бұрын
Swadacta
@naimajeddara8687 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤👌
@extraknowledge47098 ай бұрын
swadakta
@msafiriafraha2080 Жыл бұрын
mtukufu mtume s.a.w amesema kwamba al-haqqu murrah yaani ukweli ni mchungu aliendelea kwa kusema sema ukweli hata Kama unakudhuru na Quraan Karim huthibitisha kauli hiyo ndani ya surah al-Ahzab ,kuulu kaulan sadida yaani sema ukweli katika kila hali kwahiyo dini inasema watu wadumu katika ukweli hakuna kauli hizi za kusema eti uwongo umeruhusiwa katika mazingira fulani
@msafiriafraha2080 Жыл бұрын
@@gallibmhammed8971 hakuna nabii aliyedanganya hata mmoja ndani ya Quraan Karim
@msafiriafraha2080 Жыл бұрын
@@gallibmhammed8971 huna unachokijua katika Quraan na mashekhe wako ,manabii wote ni watu watakatifu ,hakuna Mahala waliposema uongo ,onesha aya hiyo ,wewe unabidi unioneshe aya ambayo Allah Mtukufu amesema kwamba nabii Ibrahim a.s alisema uongo (auzubillah mindhaaliq)
@imranbanda3963 Жыл бұрын
Muhammad Bachu must learn from sh othman muallim
@mansourkhamis457 Жыл бұрын
🙆
@idrissaomba8803 Жыл бұрын
mbona sauti inakatika saaaana?
@kalamuMedia Жыл бұрын
Kulikuwa na tatizo la kiufundi Pole
@hamadigwau1889 Жыл бұрын
Ni ukweli wenye uhakika ndani yake
@sadakheri1795 Жыл бұрын
Mashaallah mungu awapeni upendo zaidi nazaidi kutuelimisha mwalimu wetu