SIJAKOSEA KUSEMA KUFUATA JAMAICA SAUDIA HAIFUATI DINI WALA VIONGOZI WA DINI

  Рет қаралды 16,649

arkas online tv

arkas online tv

4 ай бұрын

USISAHAU KU SUBSCRIBE

Пікірлер: 290
@MkindiRama-lp6hy
@MkindiRama-lp6hy 4 ай бұрын
Maashaalla ukweli unamweka mtu kuwa huru sema tuu sheikh usichoke
@habibbusengojaffer4938
@habibbusengojaffer4938 4 ай бұрын
Sheik ana sema ukweli ❤
@mohamedsalimsuleiman7014
@mohamedsalimsuleiman7014 4 ай бұрын
Mashallah Shekh wangu Allah akupe umri mrefu wenye kheri na wewe, unaongea ukweli mtupu na asiekuelewa wewe hamuelewi mtu mwingine tena, kwa sababu unamfahamishabmtu mpaka kwa mifano
@bagalucha
@bagalucha 4 ай бұрын
Tatizo propaganda za maadui wa Uislamu kuichukia Saudia,na kuzidisha mambo,zaidi ya namna ukweli ulivyo,takribani asilimia 90 yanayozushwa kuhusu saudia ni uwongo,uhalisia unapokwenda huko,ni tofauti na ukweli wenyewe,tunawaambia hawa wazabizabina,ambao hutumia dini ndio maslahi yao ya maisha katika huu ulimwengu,kwa kuchafua dini ya Allah Subhana wataala,na wengine wanaochangia kwa kuchochea wasiyoyajua,basi wajuwe,Jalla Jallalu yupo,mwenye kuyajua tusiyoyajua,na kila mmoja atabeba alilolichangia kulipotosha,ushabiki wa kuropokwa na wamelishwa ya uchochezi ya wapotoshaji na maadui wa Allah,alama zao za unafiki,Allah Atazihukumu, tahadhari mengi yanayosemwa hayana ukweli.
@omytifa6403
@omytifa6403 4 ай бұрын
MashaALLAH sheikh ❤
@thuweinmassoud9062
@thuweinmassoud9062 4 ай бұрын
uko sahihi sheikh
@kimeajuma3267
@kimeajuma3267 4 ай бұрын
Sheikh wangu nakuelewa sana
@user-hj2ff9zt6m
@user-hj2ff9zt6m 4 ай бұрын
ALLAH AKUBARIK SHEIKH IZUDDIN
@waziriboy9941
@waziriboy9941 4 ай бұрын
Kwa point ya Saudia,, sheikh wangu nakusapoti mara 100000%
@bagalucha
@bagalucha 4 ай бұрын
Tatizo propaganda za maadui wa Uislamu kuichukia Saudia,na kuzidisha mambo,zaidi ya namna ukweli ulivyo,takribani asilimia 90 yanayozushwa kuhusu saudia ni uwongo,uhalisia unapokwenda huko,ni tofauti na ukweli wenyewe,tunawaambia hawa wazabizabina,ambao hutumia dini ndio maslahi yao ya maisha katika huu ulimwengu,kwa kuchafua dini ya Allah Subhana wataala,na wengine wanaochangia kwa kuchochea wasiyoyajua,basi wajuwe,Jalla Jallalu yupo,mwenye kuyajua tusiyoyajua,na kila mmoja atabeba alilolichangia kulipotosha,ushabiki wa kuropokwa na wamelishwa ya uchochezi ya wapotoshaji na maadui wa Allah,alama zao za unafiki,Allah Atazihukumu, tahadhari mengi yanayosemwa hayana ukweli.
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 4 ай бұрын
Kati ya mashekh ninao jivunia mafundisho yake mmoja wapo ni huyu ,Allah amzidishie elimu zaidi tuzidi kufaidika zaidi na kunufaika kwa elimu na mawaidha yake.
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 4 ай бұрын
Amiin
@user-st3re4uw9u
@user-st3re4uw9u 4 ай бұрын
Umepotea basi kabisa kabisa
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 4 ай бұрын
@@user-st3re4uw9u Mashetani ndio walio potea na wao hujiona ndio wako sahihi siku zote na wao ndio walikuwa wanamwita mtume MUHAMMAD S. A. W kuwa mchawi na mtu alie potea MUNGU aepushe dhana hizo mbaya. Siku Allah akikujalia neema ya uislam sahihi na ukawa muuni utaacha chuki na dharau na kejeli kwa itikadi zisizo na faida kesho kiama.
@mabablaz123
@mabablaz123 4 ай бұрын
Siku hizi unasema haki tupu..mashallah
@ngorweurongo8276
@ngorweurongo8276 3 ай бұрын
mashaalah. allah akutie nguvu. sema kweli mungu na ss waumin tu pamoja nawe
@user-nm2db7gg2x
@user-nm2db7gg2x 4 ай бұрын
Mashaallah shekhe uko sahihi allah akuzidishie
@user-ec4pd4nm6m
@user-ec4pd4nm6m 4 ай бұрын
اَلسَلامُ عَلَيْكُم وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ‎
@user-ec4pd4nm6m
@user-ec4pd4nm6m 4 ай бұрын
الله akuzidishie atuongoze
@user-vr8dq5tw8y
@user-vr8dq5tw8y 4 ай бұрын
Asante sana sheikh kwa kutufungua masikio nimekuelewe vizuri mwenyezi mungu akujalie sana sheikh
@patkrinsliy7389
@patkrinsliy7389 4 ай бұрын
Saudia hali mbaya kwa maana ya mamlaka ni mtihani kwa waislam.. Kuna vijana wengi walioslimu na waislam kutoka Marekani na Ulaya hufunga safari ya ndoto yao kwenye uislam kwenda Saudia kushuhudia uitimilifu kwenye uislam na watu wake lakini wanayoyakuta Saudia ni ya kushangaza kwenye uovu timilifu ndani ya uislam. Moja ya kijana alikwaruzana kidogo na kijana mwenzake kutokana na kugombania nafasi ya kusalia msikiti ulikuwa umejaa na nikiwa karibu nae na akiwa ndani ya malalamiko kijana aliyerudi kutoka Saudia akamwambia wewe hujaona kitu bado Saudia hali mbaya zaidi. Moja ya vijana hao amesilimu wiki mbili zilizopita. Kuna wimbi kubwa la Wamerekani kusilimu hivi sasa na kwakuwa uwezo upo ndoto yao kubwa kwenda Saudia na si Maka tu na madina hutamani kuona mazingira ya nje ya miji hiyo mitukufu miwili pia
@UmmuHaneefahChikomele
@UmmuHaneefahChikomele 4 ай бұрын
Ungekuwa mkweli ungeweka ushahidi waweza kuthibitisha lini mliikubali Saudi....?
@user-po9wi5lh1o
@user-po9wi5lh1o 4 ай бұрын
Kama saudia Wana ungana na mayahudi kuipiga parestina utawamini vipi sio parestina tu lrack ribia silia afughanistan
@user-po9wi5lh1o
@user-po9wi5lh1o 4 ай бұрын
Mambo mengi kibao tu wanahalibu lbada ya hija lmekua biashala lnayo lipa
@sports007tv4
@sports007tv4 4 ай бұрын
​@@UmmuHaneefahChikomeleAcha upumbavu ww uliona wap muislam akasaidiwa na mmarekan mumelala sna kwakumezeshwa ujinga wenzenu wanalipwa nyie mmekalia ubish tu ukielezwa una dalili na hata hiyo dalili ukipewa pia hujui mnacho jua nikutukana watu nakukataa ukwel saudia ni wayahudi wanaovaa vazi la kiislam yan Saudia na America tofaut yake ni ile miji mitukufu tu ila uongoz wke na America ni ule ule mwez washauandaa miaka mitatu mbele ww ukisubiria eid bwna wako Saudi 🇸🇦 angalie mwez yeye anasubir tarehe zke zifike atangaze
@jumaomari3842
@jumaomari3842 4 ай бұрын
Miezi shehe ni mingi duu nimefurahi sana
@mwambamkombozi4672
@mwambamkombozi4672 4 ай бұрын
Alhamdulilah Sisi tupo ulaya miaka mingi sana na hatufuati Saudia kabisa na tupo kwa maelfu ambao hatufuati Saudia.
@sammarley1413
@sammarley1413 4 ай бұрын
Msifate kabisa brother hawa saudians niwapotofu kabisa hawana kabisa uhusiano na dini
@UmmuHaneefahChikomele
@UmmuHaneefahChikomele 4 ай бұрын
​@@sammarley1413 Mche Allah maneno yako yanaandikwa
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 4 ай бұрын
Unaichukia Saudia umejikalia zako nchi za kikafiri huko Europe kwenye ndoa za jinsia moja jnaangalia nyuchi tu 😂😂😂
@achangomaitambae1229
@achangomaitambae1229 3 ай бұрын
anayo yaongea sheikh mengi ni ya uongo.mimi niko saudia miaka mingi sana
@user-lc1dl3qs4w
@user-lc1dl3qs4w 4 ай бұрын
Mashaalah piga ukwl ukwl nilikua siyajuy haya
@babuuosama8752
@babuuosama8752 4 ай бұрын
Ukweli wauma wafwatao saudia hole wenu. Sio wazee usingizi wanakosa ni wakukesha Madisco vilabuni ndani ya miji ya Saudia . Leo wewe Huko Kenya wafwata calenda ya saudia bandala ya Mwandamo wa Mwezi . Sheik wetu uko sawa ❤.
@jumachilundajr4853
@jumachilundajr4853 4 ай бұрын
Wangi wao hatuna ilmu ya kidini nimelewa sana Shekhe IZIDDUN
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 4 ай бұрын
Mimi naamini kila nchi ifuate mwezi wake. Hapa nilipo europe mwezi hauonekani. Sasa tufate wapi? Naomba kuelimishwa sheikh wangu.
@Tv-dl4qj
@Tv-dl4qj 4 ай бұрын
Mko ulaya kama mwezi hamu uoni dini inasema kamilisheni siku 30 mwezi wa sha'bani.
@user-st3re4uw9u
@user-st3re4uw9u 4 ай бұрын
​@@Tv-dl4qjhiyo Shaban atajuaje Ni 30 wakati hainekanwi bro tuache kilafu kWa Dini yetu
@latif15
@latif15 4 ай бұрын
Sheikh zungumza dini ndio kazi yako sio siasa za nchi au badilisha mkondo na abdulsamad.
@bizimanamasachi5721
@bizimanamasachi5721 4 ай бұрын
Mashaalla wape ukwe vibaraka
@ramlajuma5317
@ramlajuma5317 4 ай бұрын
Alhamdulillah Maa shaa Allah tabaaraka llah hakika mungu akuzidishie unasema maneno ya kweli
@mahammadanhag4445
@mahammadanhag4445 4 ай бұрын
Warabu wajnga cwakubal aswa asa wasaudia wabaguz sana wezao Gaza ata Maj hawapelek
@shabanisaid2171
@shabanisaid2171 4 ай бұрын
Allh Akbar umenizindua maalim nilikuwa mjinga sana
@salehmussa9371
@salehmussa9371 4 ай бұрын
Shekh ongea ukweli ,kufata na kutokufata tutaamua wenyewe. Lkn binafsi mimi nakuelewa.
@user-jl9sl2gb9w
@user-jl9sl2gb9w 4 ай бұрын
Huyu ni muongo sana,kwa mfano anasema adhana ya alfajiri imekatazwa saudia" Subhaanallah kilicho katazwa ni kutumia spika za nje tu wakati wa kuswalisha,na siyo adhana NI UONGO WA HALI YA JUU HUU YANI UONGO PLUS
@salehmussa9371
@salehmussa9371 4 ай бұрын
@user-jl9sl2gb9w Sasa nduguyangu ktk Iimani ikiwa Sheikh nimuongo lkn umekiri kuwa Spika za nje zimekatazwa na mengine aliosema huja comment, inamaanisha 90% ya alichosema nikweli. OK tubaki kwenye spika zanje zilizokatazwa! Nihoja gani ya msingi iliosababisha spika za nje zikatazwe? Ni muislam gani mwenye imani yasawasawa anaekerwa na Quran ikisomwa? Wagonjwa wanatakiwa kusomewa Quran wao wanakataza kwa msingi upi? Tuache kufuru, Kua muarabu au mzungu au muhindi au muafrika (mweusi)au mchina nikwaajili yakujuana tu. Na haimaanishi kuwa watu wa Saudiarabia hawana dhambi. Mwakajana tu kunakijana kauwa na yeye kachinjwa ,hii niushahd nawao wanakufuru kubwa wanafanya. Namengi mengi tunayajua. Endelea kuwatetea lkn kufuruzao zipo waziwazi , Allah awasamekh wao nasisisi pia lkn wao baadhi niwashenzi km watu wengine.
@user-wl8cq2rn8z
@user-wl8cq2rn8z 4 ай бұрын
Sheikh mm nakukubali km Saudi Arabia ingekuwa nchi ya kiislam icnge karibisha Mpira jambo la kishetani na kutumia pesa nyingi kwa ajil ya Mpira.
@abdoulamisi5179
@abdoulamisi5179 4 ай бұрын
Jamanini tuskilize kwa umakini
@ahmedkhator3968
@ahmedkhator3968 4 ай бұрын
Mashallah
@MohdJuma-ex2zw
@MohdJuma-ex2zw 4 ай бұрын
Masha Allah mungu akuweke uzidi kutuzindua shehe
@seifrashid2064
@seifrashid2064 4 ай бұрын
Allah atukubalie swaumu zetu
@FatumaMuya
@FatumaMuya 4 ай бұрын
Amiin
@mrok284
@mrok284 4 ай бұрын
Shekhe upo vizuri. Allah akupe afya njema
@jumaomari3842
@jumaomari3842 4 ай бұрын
Huyu she Yuko vizuri amesoma dini anaijua huyu
@madrassatulihyaa-ilislaami2911
@madrassatulihyaa-ilislaami2911 4 ай бұрын
Umeonaeee❤❤❤
@user-tg3fy3yh5m
@user-tg3fy3yh5m 4 ай бұрын
Jamaica unkujuwa ami
@bagalucha
@bagalucha 4 ай бұрын
Tatizo propaganda za maadui wa Uislamu kuichukia Saudia,na kuzidisha mambo,zaidi ya namna ukweli ulivyo,takribani asilimia 90 yanayozushwa kuhusu saudia ni uwongo,uhalisia unapokwenda huko,ni tofauti na ukweli wenyewe,tunawaambia hawa wazabizabina,ambao hutumia dini ndio maslahi yao ya maisha katika huu ulimwengu,kwa kuchafua dini ya Allah Subhana wataala,na wengine wanaochangia kwa kuchochea wasiyoyajua,basi wajuwe,Jalla Jallalu yupo,mwenye kuyajua tusiyoyajua,na kila mmoja atabeba alilolichangia kulipotosha,ushabiki wa kuropokwa na wamelishwa ya uchochezi ya wapotoshaji na maadui wa Allah,alama zao za unafiki,Allah Atazihukumu, tahadhari mengi yanayosemwa hayana ukweli.
@madrassatulihyaa-ilislaami2911
@madrassatulihyaa-ilislaami2911 4 ай бұрын
@@bagalucha Wew ushafika saudia??
@bagalucha
@bagalucha 4 ай бұрын
@@madrassatulihyaa-ilislaami2911Suala zuri sana,Allah ni Shahidi kwa hili nimeshafika,na sio Saudia tu,kwa kadara ya Allah ulimwengu nilijaliwa kuuzunguka ulimwengu kwa zaidi ya nchi 50,na nauzunguka mpaka sasa,hapa nilipo nipo nje ya Tanzania,umri wangu ni mkubwa,na hizo safari siziwezi tena,narudia tena chungeni ndimi zenu,mengi yanayosemwa hayana ukweli,na uwe na tahadhari unapokuwa Saudia,sheria za kiislamu bado zimesimama,hizo media na propaganda za kidini zisikupotoshe,hukumu ya kukatwa vichwa na mikono bado vinaendelea,na maduka huwachwa wazi hadi Leo,wakaenda kuswali,mimi sipo makka kwa sasa,lakini mdogo wangu yupo huko,na futari zinaliwa msikitini ni bure kwa kila mtu,ni sadaka za iftari kila mwahali,tena kila siku,muazini kila mwahala,usisikilize upotoshaji,hao masheikh wanaozua wasiyoyajua Wallah wanachukua dhima,tena dhima kubwa.
@hafidhramadhni934
@hafidhramadhni934 4 ай бұрын
habibi alhamdulillah umeweka wazi kila kitu asie helewa achimbe shimo ajifukie tu
@AhmedSaid-hy4vp
@AhmedSaid-hy4vp 4 ай бұрын
Mashallah shekhe
@musarashid7873
@musarashid7873 4 ай бұрын
Allah akubarik sheikh umeeleweka vzr
@musr931
@musr931 4 ай бұрын
Khurafi is at his best!
@user-ip4hn8un7m
@user-ip4hn8un7m 4 ай бұрын
Asante
@ramadhanibahati2829
@ramadhanibahati2829 4 ай бұрын
Good Shekh❤
@LemkiHamadi
@LemkiHamadi 4 ай бұрын
Huyu shekhe anaongea ukweli ulio waziwazi sasa kama utakuwa na ushabiki wa kumkejeli ni hiari yako
@nasirirashidi4350
@nasirirashidi4350 4 ай бұрын
Umetufungua Ufaham sheikh shukran
@user-jl9sl2gb9w
@user-jl9sl2gb9w 4 ай бұрын
Hapana ndugu yangu,amekutia uongo mwingi sana,saudia hawaja kataza adhana na kama wamekataza adhana mimi namuomba Allah aniangamize kwa namna yoyote mbaya.
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 4 ай бұрын
​@@user-jl9sl2gb9wusitetee usalafi, nyuma ya usalafi kuna ukafiri unasapoti harakati zao.
@yes_yes1310
@yes_yes1310 4 ай бұрын
Sheikh Umeeeleweka vya kutosha 🥺Allah akuhifadhi.
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 4 ай бұрын
Sio Serekali ya kioslamu kabisa manake Hata kina Rihana wana tumbuiza siku hizi Concert kwenda mbela
@shukurually8769
@shukurually8769 4 ай бұрын
Kiukweli hawa wazee wa saudia wanazingua wakifunga wafunge ila wasitutangazie
@MustafaSambala
@MustafaSambala 4 ай бұрын
Sheikh .. wangu upo sahihi ..
@user-uq4dm5sd9i
@user-uq4dm5sd9i 3 ай бұрын
Hiyo saudia iliyokataza adhana kwa spika nje ni saudia ya Kenya au saudia ipi maana huku adhana twaziskia vzr misikiti yote saudia
@huseintajo8113
@huseintajo8113 4 ай бұрын
Mwezi wanatangaza sawa makosa ya mtawala usiyalinganishe na muandamo wa mwezi kuwa muadilifu
@Abdulcareem2024
@Abdulcareem2024 4 ай бұрын
Sheikh Ako na umakinifu wa akili CONSCIOUS
@user-it3ee7zq2y
@user-it3ee7zq2y 4 ай бұрын
Hata misri siku hizi mpaka sudia itangaze
@AbdullahiSheba
@AbdullahiSheba 4 ай бұрын
Sh. izzudin masha allah
@AliKibwana-hs5dv
@AliKibwana-hs5dv 4 ай бұрын
Mashallah sheikh
@suuahmed71
@suuahmed71 4 ай бұрын
Maneno kuntuu ya ukweli .wameelewa hawataki tuuu kufuata
@HamisAbdallah-cj2sc
@HamisAbdallah-cj2sc 4 ай бұрын
Sheikh unasema kweli saudia hakunankitu nimayahudi kimtazamo.
@mohammedmohsin3186
@mohammedmohsin3186 4 ай бұрын
Mche mola wako kaka
@hashimumwinyi2239
@hashimumwinyi2239 4 ай бұрын
Ndio hali ilivyo nduguu kama hujui yule kiumbe mwenye jicho moja ni yeye asilimia zote​@@mohammedmohsin3186
@babazungu3180
@babazungu3180 4 ай бұрын
Shekh nimekupata vizur ila elewa pia wapo wasaudia watakao ingia moton maana wao ni binadamu
@mjaweathman6519
@mjaweathman6519 4 ай бұрын
Ungesema kuna wasaudi watakao ingia peponi Kwa sababu wamotoni nikama wote pumbavu zao 😂😂😂😂
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
​@@mjaweathman6519😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-rn1xk1yr5j
@user-rn1xk1yr5j 4 ай бұрын
Huwezi kushindana na daula TAWHEED
@sulehassanshall6140
@sulehassanshall6140 4 ай бұрын
Somalia ndio Dola yatauheed sio Suudia. Endeni Somalia mukaone Waislam haswa wanawake wakiislam wote Wanavaa majalibib . .Kama nisuudia Hakuna uislam huko.. wakishika Dini niwachache Sana ..Dini iko Afrika ..
@mjaweathman6519
@mjaweathman6519 4 ай бұрын
​@@sulehassanshall6140kweli kabisa wanao ijua Saudi vizuri ni kama Sisi mashagala lakini wengine wataitetea tu hakuna uislam huku ni wayahudi
@Rmkh88
@Rmkh88 4 ай бұрын
Saudia ni dola la kikafiri
@zamyabubakar854
@zamyabubakar854 4 ай бұрын
Dola ya tawheed ya kikafiri saudia kabisa sheikh
@MohdJuma-ex2zw
@MohdJuma-ex2zw 4 ай бұрын
Mola mpe umri mrefu shehe wetu azidi kuwazindua walio kosea
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 4 ай бұрын
😂😂😂😂 unajua nafurahi kitu kimoja, Ktk nchi zenye viongozi w kinafiki ni saudia Arabia dini imepew kichogo kabis na ujinga mkubw zaid huwatumia hao hao maulamaa kin sheikh Sudais na kuwalazamish kutoa fatwa na maelekez mengin ya kidini , na Qatar na EAU huwafuat, kuwaogop na kuwaheshim san Saudia. Hiz ni nchi ambazo siasa zao na mamb Yao ya ndan Marekani ndie anaeamuwa ndug zang ndug zang tusifuat mikumbo tufuatilie hizi nchi siasa zak na serekali zake sio km hakuna waisalamu tuelewan ila viongoz wao sio wanaofuat uislamu na unafiki mkubwa uko ktk hizi nchi tufuatilie na tuzisome hizi nchi za ukanda ule wa middle east pan maoza oza pale makubwa na kiongozi wa yote ni saudia Arabia
@halidmauga96
@halidmauga96 4 ай бұрын
Swali langu ni kwamba je kama kila mji na mwezi wake sasa kwanini waseme tumekubaliana kenya, Zanzibar na Tanzania bara kuwa mwezi ukionekana tunajumuika pamoja?
@jumasalum3684
@jumasalum3684 4 ай бұрын
Acha ujinga we mwisilamu,
@ibra.mstudingfile8584
@ibra.mstudingfile8584 4 ай бұрын
Msikiliz kwa makin yy hakatai ufate uko lkn je uko unako data ni sahih
@AhmedmohamedNur-cr7su
@AhmedmohamedNur-cr7su 4 ай бұрын
Walio funga na saudia wanachooooo
@user-bf8km3dv4p
@user-bf8km3dv4p 4 ай бұрын
Wallah nahisi wahabi wanatatizo kubwa LA kiakili, yani wameshindwa kumuelewa izzudi Wallah
@mohammedmohsin3186
@mohammedmohsin3186 4 ай бұрын
Wewe ndio una matatizo sababu hujakaa kusoma dini yako.
@UmmuHaneefahChikomele
@UmmuHaneefahChikomele 4 ай бұрын
Kwani yeye ni nani hadi kila asemacho kiaminiwe..?
@abduwahabi7019
@abduwahabi7019 4 ай бұрын
Suudia mtu akiiba anakatwa mkono akiua na yeye anauliwa akizini anapigwa mawe ebu nitajie ktk nchi ulizo sema za Kenya na nyinginezo niipi inampiga mawe mzinifu!! Ni ipi mwizi anakatwa mkono?? Izudani mjinga sana anachuki na nchi inayo simamia sheria ya allah
@salehmussa9371
@salehmussa9371 4 ай бұрын
Wewe umemexeshwa taarifa hujui lolote, vyema kaakimya .
@HemedSerious
@HemedSerious 4 ай бұрын
Ww ni mwehu na hufaham kwn yy kasema izo nchi ni za kiislam? Au kasema ni afadhali kuliko iyo inayosemwa ni ya kiislam? Mbona ww ni mwehu na mjinga
@salehmussa9371
@salehmussa9371 4 ай бұрын
@@HemedSerious Endelea kutema povu na matusi hicho ndiokipimo cha uelewa na akilizako,ndiojibu sahihi na naelewa wewe nimuelewa kiasi gani.
@issahabdallah9018
@issahabdallah9018 4 ай бұрын
Tuongeeni na raisi wetu atuchapishie misahafu kutoka kenya. Maana wanatuheshimu sana waislam.
@abdul-rahmanfakijuma1879
@abdul-rahmanfakijuma1879 4 ай бұрын
Maa Shaa Allwah
@user-uq4dm5sd9i
@user-uq4dm5sd9i 3 ай бұрын
Saudia haiheshim dini hii misikiti inajengwa na wakoloni au? Mbona unabweka tu utamdanganya nani zama hizi
@user-zx2gj4dh1g
@user-zx2gj4dh1g 4 ай бұрын
Shekh anakwama
@MohdAliHaji
@MohdAliHaji 4 ай бұрын
Mche Allah
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 4 ай бұрын
Usitetee usalafi
@nurdiniuledi48
@nurdiniuledi48 4 ай бұрын
Mashaallah
@dj_ha17-ux6st
@dj_ha17-ux6st 4 ай бұрын
Kuna sehemu umezungumza ukweli na sehemu umezungumza kwa ushabiki kwa maneno ya mtaani na tuhuma zisizo na mashiko ..NI NYIE NYIE SAUDIA ILIPOKUWA INAFANYA VIZURI MWANZO BADO MLIKUWA MNAIPONDA ,,Huwezi fananisha Saudia na Jamaica hata kama kuna maasi kwenye baadhi ya miji ya wageni kama Jeddah au Riyad lakini bado Saudia ina kheri nyingi kuliko miji yote ..Shida ni baadhi ya Viongozi wanataka kuibadili ili nchi kwenda kimagharibi ...UADILIFU kitu kigumu sana
@AthumaniAmiri-fv5zp
@AthumaniAmiri-fv5zp 4 ай бұрын
Sasa umekataa nn unakubal nn😅😅😅
@UmmuHaneefahChikomele
@UmmuHaneefahChikomele 4 ай бұрын
​@@AthumaniAmiri-fv5zp Mbona kapambanua vizuri wewe tu ndo haujamuelewa tatizo la hao masheikh zenu ni kutaja mabaya yaliyo machache kwa uwingi na wakakosa uadilifu wa kuyasema mema ya Saudi ili kuwafurahisha mashia watoe michele kwenye maulidi zao
@abuuzainab8581
@abuuzainab8581 4 ай бұрын
Maa Shaa Allah
@user-ec7us6vf6w
@user-ec7us6vf6w 4 ай бұрын
Kwaiyo Jamaica wanafuata Dini??? Mashekhe wa cku izi mnatafta umaarufu mitandaon
@user-io8hn1jb4d
@user-io8hn1jb4d 4 ай бұрын
Wew nawe uwe msikivu hajamaanisha jamaica ila pale tu ukapokuona kua ni sahihi mi mkristo ila nimemuelewa palipo na haki ndipo upafuate kaka
@harunichambo4658
@harunichambo4658 4 ай бұрын
Hapa tatizo watu wanatetea sehemu, kwa kuwa inaitwa saudia bhac watu wanadhan hayawez kutendeka maovu, ni hivi fateni uislamu unavosema na wala sio kuangalia sehemu, au mtu juu ya kile anachofanya, Mwanadamu kagewa akili ili aweze kuchanganua mwenyew kati ya njia mbaya au nzuri, TUFATE SHERIA NA MISINGI YA UISLAMU NA WALA SIO SEHEMU AU MTU!!!!
@UmmuHaneefahChikomele
@UmmuHaneefahChikomele 4 ай бұрын
Labda ungemtaja anayetetea saudia kama nchi na sio dini...?
@abduwahabi7019
@abduwahabi7019 4 ай бұрын
Je ktk inchi zote izo ulizozitaja au nchi zote unazozijua niselikari gani au mfalme gani amewai kumnyonga mtoto wake kwa ajili ya kutekeleza hukumu ya dini?? Nyinyi mnachuki na suudia kwa kuwa wao niwatu was tauheedi.mtawazulia mengitu nabado
@user-sb6gy6dx1m
@user-sb6gy6dx1m 4 ай бұрын
Chuki gani shekhe na wakati wametangaza wazi miji ya kidini ni makka na madina, kwingine ruksa kufanya unachotaka bila kujali mipaka ya uisilamu. Kwenye lazima ukubali sio kuleta kichwa kigumu Kama ndugu zetu wasiokuwa waisilamu wanabisha wakati haki hiko wap.
@islamseyffden7723
@islamseyffden7723 4 ай бұрын
😂😂suudia kubw jinga abu jahal lahab😂😂
@suheilbalian7546
@suheilbalian7546 4 ай бұрын
Shekhe ni kiongozi gani anaeongo hata kwa sheria moja tu ya kiislm
@highhigh7476
@highhigh7476 4 ай бұрын
Afadhali Kenya 👍
@shmohd11
@shmohd11 4 ай бұрын
Sheikh Serikali ya Saudia ya lini? Serikali ya Saudia Zama zote? Sema wazi Serikali ya sasa ya Saudia
@osmanmanbile9327
@osmanmanbile9327 4 ай бұрын
Serekali ya saudia ya sahii
@YusufuThegreat
@YusufuThegreat 4 ай бұрын
Sheikh ongeya mambo ya ki ELIMU SIYO uhaduyi maneno Yako unaleta uwaduyi wewe mwenyewe ujuwi niwanani?
@Happy-be8hh
@Happy-be8hh 4 ай бұрын
Mwana falakia wa Saudia anasema kwa miaka 65 kuna Hali 38 kwamba unatangazwa mwezi bila ya kuwepo
@Ibunmaulanashirazy-sn5ui
@Ibunmaulanashirazy-sn5ui 4 ай бұрын
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 4 ай бұрын
Huko Saudi-Arabien siku hizi ufedhuli mwingi tuu mungu atusimamie na hiyo Macca yetu tuu na Madina Inshallah 🙏🙏
@UmmuHaneefahChikomele
@UmmuHaneefahChikomele 4 ай бұрын
Mnajazwa chuki mno angalieni mashia washasema makka yao Karbala mtajazwa hadi mtageuza kibra
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 4 ай бұрын
@@UmmuHaneefahChikomele hatariii
@osmanmanbile9327
@osmanmanbile9327 4 ай бұрын
Sisi saudia tunaupenda ni nchi ya waislamu na nchi ya dini lkn tunasema wenye wako mamalakini saudia sahii n vibarka wa america wala hawafai kufutwa wanaistahili kutolewa mamalknai
@abduwahabi7019
@abduwahabi7019 4 ай бұрын
Wewe hujui kuwa mashia wa Yemeni walituma mabomu kuipiga alkaaba!! Je muislaam anaweza kuipiga alkaaba!!!
@SalamaKhamis-un8vn
@SalamaKhamis-un8vn 4 ай бұрын
Swadaqta
@jumaqmussa3001
@jumaqmussa3001 4 ай бұрын
tatizo kuna wa2 wana commment kwa jazba cjui shekh kasema kutoka na na aya hajasema ukahij jamaica jaman sikilizen mpaka mwisho ndo ukoment acha jazba
@HemedSerious
@HemedSerious 4 ай бұрын
Wanachanganya mambo Kwa jazba na sio km hawaelewi
@jamalkishangu
@jamalkishangu 4 ай бұрын
Saudia ni nchi iliyo na matatizo makubwa katika maendeleo ya Uislamu, ipo kwa ajili ya dunia zaidi. Wakuu wa serikali, ukoo unao tawala ni kikwazo kikuu, wamesilimu lakini hawajaamini.
@mjaweathman6519
@mjaweathman6519 4 ай бұрын
Kweli kabisa
@abduwahabi7019
@abduwahabi7019 4 ай бұрын
Wewe nchi yako inasimamia sheria ipi ktk sheria za Allah mpaka uanze kuilaumu suudia? Tutajie apa
@idrisaabdallahmadenge3155
@idrisaabdallahmadenge3155 4 ай бұрын
Huyu anachuki binafsi
@HemedSerious
@HemedSerious 4 ай бұрын
Ww una chuki Zaid
@Worldunite
@Worldunite 4 ай бұрын
Kweli kabisa SAUDIA YA MASALLAF HIYO, sasa walivyokuwa na nyenyekevu halafu wanaanza kuodoa adhaana, live tareweeh, wanasappot Israel, nk UISLAMU WA SAUDIA unaendeshwa na mfalume,sio misingi ya kidini
@alihirbo3875
@alihirbo3875 4 ай бұрын
Nabwana kilamwaka nyinyi mnafata saudia kwa sikuya 2
@user-dc8bu2mf9v
@user-dc8bu2mf9v 4 ай бұрын
Shekh kuwa makin katika kusems
@user-fi6hb3lp5y
@user-fi6hb3lp5y 4 ай бұрын
Awe makini vipi anyamaze au? Si yuasema ukweli Tena awemakini vipi? Mwamtisha au
@babuuosama8752
@babuuosama8752 4 ай бұрын
Nikipi wenzetu wakenya wenye kuwa na haraka ya kufunga siku ya ishirini na tisa kutokamilisha Thalathini ? ETI saudia Wametangaza Wewe uko 🇰🇪.
@adamjutto5849
@adamjutto5849 4 ай бұрын
Sasa nyie masheikh ambao ni vibaraka wa wamisri nataka nkwambieni,hakuna nchi yyte saivi ya kiarabu mnayoijua nyinyi ina fuata uislamu wa sawa,angalau hao suudi wajitahidi,tembeeni muyaone,hao wamisri na masheikh wa az-har ambao miaka nenda miaka rudi wajitia kuikosoa saudia,nchi yao wao wenyewe imeathiriwa na umagharibu kwa kias cha juu saana,kiasi ilifika hatua walipagana wao kwa wao kwa kutohitaji uongozi wa kidini,nchi za kiarabu zote saiv zimeingia katk ma mipira,miziikiii,udanguurooo,kubusishwa na mabishara atarishi,sasa msitake kuionea saudia kwa sbbu ya tofauti za kiitikaadiii,hakuna hata nchi moja ya kiarabu unayoijua weweee ina ukamili,fanyeni wlau inswaaf mnapokua mnaizungumzia saudia
@alihumaid3492
@alihumaid3492 4 ай бұрын
Lubuva WEWE UNASEMA OMAN MAIBADHI WATU WA BIDAA..... JE.... UNAWEZA KUWEKA HOJA ZAKO HAPA YA HIZO BIDAA UNAZO ZUNGUMZIA????? NAOMBA UTUFAHAMISHE AU VINGINEVYO UTAENDA KUMJIBU ALLAH KWA MANENO YAKO HAYA POTOFU!!!!!
@SirlemNasir
@SirlemNasir 4 ай бұрын
Maneno mengine ni sawa na mengine ni siasa na chuki. Mfano kama kuhusu flag ya Saudi 🇸🇦, wachezaji mchezo aina yoyote, wakati wanaingia chooni, ni sawa kuingia na kalima hiyo.. Mtume Muhammad Pete yake alikua akiivua kwa sababu gani wakati akiingia kwa haja ?? Ni sawa hiyo flag ibadilishwe, iwe ya heshima na kuwepo ya sirikali. Bila ya neno la Tawhid.
@babanusayba3600
@babanusayba3600 4 ай бұрын
Mnasapotiana ujinga
@user-es6db6gk4w
@user-es6db6gk4w 4 ай бұрын
Kwakweli muna chuki sana na saudia mpaka unaifananisha na Jamaica nendeni mkahiji uko uko Jamaica tuwaone kweli na chuki zenu mbona nchi zenu izi zimearibika vibaya zaidi hamsemi kazi kuisema vibaya saudia kwakuwa kuwa wapo tofauti na mitazamo yenu
@UmmuHaneefahChikomele
@UmmuHaneefahChikomele 4 ай бұрын
Ni wajinga wanaobebeshwa chuki na makafiri wa kishia na manaswara
@selemanijafari9225
@selemanijafari9225 4 ай бұрын
Kwani tunafata mwenzi au tunafata tabia za nchi mana hamna nchi ya kiisilamu kote hali tete mm npo zanzbar lakn afazali na apo daa wat wanakaula na ukionekana daa vp tusifunge
@user-zx2gj4dh1g
@user-zx2gj4dh1g 4 ай бұрын
Shekh anakwama ubovu serekali hauwez kushusha hadhi mahali ilipossisiwa dini
@user-lm9wz2ix8g
@user-lm9wz2ix8g 4 ай бұрын
Facts 100% ndio Wana tutesa huku ju hata hawa jui sunnah ya mtume wetu MUHAMMAD S.A.W very bad people subhannallah hata na hii Ramadan hawa huruma kabisa
@kazinaimwishehe-ec3xu
@kazinaimwishehe-ec3xu 4 ай бұрын
shehe inasemekana kiongozi wa saud anahasiri ya uyaud ndomana wameungana tushituke
@UmmuHaneefahChikomele
@UmmuHaneefahChikomele 4 ай бұрын
Tumia kichwa kufikilia....
@huseintajo8113
@huseintajo8113 4 ай бұрын
Fuaata jamaika na ukitaka kuhiji nenda huko jamaika ukahiji.
ULIZA UJIBIWE 2024 NI 1
46:13
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 11 М.
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 79 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 12 МЛН
NDOTO NYINGI NI ZAKWELI // SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:05:14
arkas online tv
Рет қаралды 11 М.
Angalia tahadhari kwa Wakristo nchini Saudi Arabia
5:56
Tanzania Gospel Network
Рет қаралды 577
MAISHA NA HISTORIA YA SHEIKH OTHMAN MAALIM
45:49
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 82 М.
Seerah Ya Mtume: Kifo Cha Khadija | Sh. Jamaludin Osman EP 35
54:18
HorizonTV Kenya
Рет қаралды 45 М.
MATAJIRI MNACHUKUA WAKE ZA WATU MNAENDANAO DUBAI // SHEIKH NYUNDO
29:50
arkas online tv
Рет қаралды 3,8 М.
"MUNGU HANA MKE." PASTOR NDACHA AKIELEZEA YESU NI NANI.
1:25:25
Straight Path Dawah
Рет қаралды 14 М.
MJUE MKE WA BILAL BIN RABAH NA SHEIKH OTHMAN MAALIM
40:36
arkas online tv
Рет қаралды 14 М.
MWEZI WA SAUDIA WAZUA BALAA KWA WAISLAMU TANZANIA
23:39
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 1,9 М.
The cat chose the right one 🥰🥳😸
0:32
Ben Meryem
Рет қаралды 45 МЛН
КАРОЧЕ НЕУДОБНАЯ СИТУАЦИЯ😱🔥 #shorts
0:45
ПОПОВИЧИ
Рет қаралды 7 МЛН
Waka waka 🤣 Which video is the best 1,2,3,4? 🤩
0:13
Adani Family
Рет қаралды 5 МЛН
❗️XOTINI YOMON QURQIB KETTI 😱😱
0:18
HUSAN_SHORTS1
Рет қаралды 4,8 МЛН