Jamaa Linex ana kipaji kikubwa sana. Ana vocal nzuri, ni mtunzi mzuri, yaani ni full package shida kubwa ni hizo media zinapromote wasanii wabovu wanaoimba matusi.
@ramadhanitokwete80692 ай бұрын
Kwaio wew babalevo Huwezi kumsadia mtu hadi ukamuombee msaada sehem nyingine akati unasema unapokea mil 10 mshahara kwa mwezi! Shwain
@ibrahimomari245826 күн бұрын
Hapo ulizingua sana...yoyote mwenye akil asingekwenda
@Juli-ep9dnАй бұрын
Mpeni support Linex
@lamekkauka9056Ай бұрын
Baba levo kaongea kweli kabi hoyo mwamba anaiba jamani
Iyo tiba ipo kabisa kigoma mimi nshawahi kuungwa mguu uliovunjika kwa kienyeji nilikua na umri wa miaka 9 sikwenda hosptal, hata siku moja mzee nikua naona anashika kisu anasimama kwenye jua na mimi na simama kwenye jua ndo anafanya take, huyo mzee alikua anatwa richard balilula kutokea kijiji cha mkongoro kigoma bila shaka alishatangulia mbele ya haki
@olemenye2 ай бұрын
we mdada tulia mtu akiongea nyamaza
@onlyonetztv6102 ай бұрын
Baba Levo namuelewa sana kwenye hili.
@user-xh9ow7jl4m2 ай бұрын
Kumbuka baba levo mlikaa geto Moja na linex mpka tukawaita ndugu na mapacha kabsa leo unamgeuka
@amedjr14932 ай бұрын
Achana naye bado hajielew atakuja kukumbuka shuka wkt kushakucha
@andrewcharles97532 ай бұрын
We will we ll
@hellenkianda-yc2gz2 ай бұрын
Msimraum babalevo linex namjua mm mwenyewe namdai alitumia gari yangu kipindi nafanya huduma ya tax ya Uber anapenda sana pombe kuliko maisha ya kesho
@theafricanprincevivecongo86322 ай бұрын
Laumu
@callplatnumz89262 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@eladiuspeter5862 ай бұрын
Linex ndio muimbaji, Nyie Wengine makelele tu, Mikono juu, kushoto kulia, kushoto kulia
@Inezamethodebrighton2 ай бұрын
Kidumu gani kidumu kibuganizo wa burundi 🇧🇮 au
@peteremmanuelymatwimatwiem32582 ай бұрын
Eeeeeh huyo huyo
@pauloegbert515Ай бұрын
Ni mvuta bangi tu
@user-bp3tr4fw2f2 ай бұрын
😂😂😂
@audifacejosephat70712 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@onclemk2 ай бұрын
Baba levo 😂😂😂
@ursulinenyandindi30512 ай бұрын
Yani anasaidiwa na kampuni kibiashara au nini? Kwann wakurugenzi wawe na sauti? Ni kazi au msaada? 😢
@fncmedia112 ай бұрын
Ivi unawesa msaidia mtu alie kuja azarani na kukuksahifu kuwa wew ni omba omba na huna cha kumwambia...?? Sikiliza interview za nyuma za Sandy Mjeeda