Sikia Askofu Rogathe Zakayo Swai alivyo mwagia sifa Mke wake kwenye kadamnasi ya watu
Пікірлер: 6
@queenraphaher7736 Жыл бұрын
Hongera sana wazazi wangu
@adriannebatakanwa6904 Жыл бұрын
Nakupenda sana Mr. & Mrs Rogathe Swai. Nikiwa mke wa Mchungaji ulitufunza somo la kumlinda mume kwa maombi. Sitosahau ule ushuhuda wa maisha yako jinsi likahaba lilijifanya limeokoka likawa linaenda kutaka ushauri kwa Askofu. Mungu Akawa anakuonyesha kwenye maombi mara kadhaa. Ukaondoka kumfuata mume wako ofisini kweli likahaba lilivyokuona tu likaanza kutukana hadi matusi ya nguoni hadi Askofu akashangaa. Likatoboa siri kuwa nia ilikuwa si kuokoka bali katumwa kumwangusha mtumishi dhambini. Big Up sana mama. Nakukumbuka sana.
@dativajoachimwai1194 Жыл бұрын
mama anasauti nzuri sanaa
@rehemapascal1296 Жыл бұрын
Hongera sana mtumish kwa kizindua kitabu
@givenmsomba9358 Жыл бұрын
Uzee fainali,mama wewe ni wa mfano nimekufamu ukiwa mama kijana