No video

SIKILIZENI - DONATOS

  Рет қаралды 47,560

Iris Empire

Iris Empire

4 жыл бұрын

“Mkuu wa uzima aliye Kufa, AMEFUFUKA, uzima umeshinda mauti”
Karibu kufurahia Ufufuko wa Bwana Wetu Yesu Kristo
Pamoja na Donatos (Zawadi kutoka kwa Mungu”
Upate kubarikiwa na Kufufuka na Kristo.
WIMBO: SIKILIZENI
WAIMBAJI: DONATOS
MTUNZI: STANSLAUS MUJWAHUKI
KINANDA: ALPHONCE MVILLE & CHARLES LUBASHA
VIDEO: STUDIO iRiS PRO
AUDIO: HOLY TRINITY STUDIOS
LIKE, SHARE AND SUBSCRIBE.

Пікірлер: 100
@sambayametikana8682
@sambayametikana8682 2 жыл бұрын
Yani mmenikosha nyie watu nlikua nawatafuta long sana nisikie huu wimbo sasa pitapita yangu huku nimekutana nao tena mmeuimba vzr sanaa Mungu awabariki kwa kumuimbia vzr sana
@agripinapeter5899
@agripinapeter5899 8 ай бұрын
Hii nyimbo naipenda sana aisee Mungu awabariki,,,,,,,na kuna mtu nmempenda kirafiki sjui nampataje naomba nisaidiwe
@evakamwanga5731
@evakamwanga5731 Жыл бұрын
Jamn hii Nyimbo inanibariki sana sana yaan pasaka haiend bila huu wimbo naupenda sana sana. Na mmecheza vzr nmewapenda Bure nawapenda hongeren Kwa wimbo mzur wimbo wng mmenibariki mno♥️😘🙏
@afyayangutv6015
@afyayangutv6015 Жыл бұрын
Good nimeipenda mnanimalizia sanaMb na siujuti na sidiwnload
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Wimbo mtamu kweli😍 .Hongereni sana🤗🤗
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 3 жыл бұрын
Asante sana! 🙏🏾 God Bless You!
@danieldotto3877
@danieldotto3877 2 жыл бұрын
bonge la creativity iRis Pro studio mnakuja juu siku had siku Mungu akuinue zaid boss brother Gerald 👏👏👏👏
@lazarombuze9776
@lazarombuze9776 4 жыл бұрын
Hongereni sana kwa wimbo mzuri,unaleta tafakari na furaha za kipasaka MUNGU awabariki
@laurentndalech8297
@laurentndalech8297 3 жыл бұрын
Chalii Hii kukomoa aiseee... Watakosa pa kupumulia...Great Job keep it up brother
@niyongabojonas4760
@niyongabojonas4760 3 жыл бұрын
nawapongeza sana. Naona maneno yanaambatana na hali. F uraha- inaonekana munapoimba. so sweet.... nimebarikiwa
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 3 жыл бұрын
Asante sana! 🙏🏾 God Bless You!
@sambayametikana8682
@sambayametikana8682 2 жыл бұрын
Ni wanakwaya wa parokia gani wamenikosha sana
@kwayamtbenadetha-mkwawa6612
@kwayamtbenadetha-mkwawa6612 4 жыл бұрын
Video yenye utulivu na wimbo wenyewe Radha nzuri hongereni sana nabarikiwa Sana🙏😊
@deborangunya7317
@deborangunya7317 Жыл бұрын
Mmenikumbushambali sana
@nicholas_mango
@nicholas_mango 4 ай бұрын
Keep up the great work bro
@Maria-td9vm
@Maria-td9vm Жыл бұрын
Mfalme mshindaji!
@abigaelmumbua432
@abigaelmumbua432 2 жыл бұрын
🥳🥳🥳Nice one
@gabriellyimo409
@gabriellyimo409 4 жыл бұрын
Sijapata kuona Kwaya tamu hivi..
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 4 жыл бұрын
Gabriel Lyimo hahah Karibu sana
@markfrank5335
@markfrank5335 3 жыл бұрын
Wimbo mtamu sana huu )
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 3 жыл бұрын
Asante sana! 🙏🏾 God Bless You!
@jayzjj590
@jayzjj590 Жыл бұрын
The best of the best Love it soooooooo much I've listened like one million times
@lidiathomas2008
@lidiathomas2008 4 жыл бұрын
Hongereni kazi nzuri dada joddete nakuona hongera sanaaa
@josephngonyani1816
@josephngonyani1816 4 жыл бұрын
Nyimbo mzurii jamaniii hadii raha!!
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 3 жыл бұрын
Asante sana! 🙏🏾 God Bless You!
@adolfthadeus3218
@adolfthadeus3218 4 жыл бұрын
Mwisho waingereza wanasema top🤝
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 4 жыл бұрын
Adolf Thadeus hahahha noma
@elickykibet3079
@elickykibet3079 Жыл бұрын
Happy Easter 2023🎉
@tigerchristmas5491
@tigerchristmas5491 4 жыл бұрын
Atukuzwe Mungu mwenye enzi kwa ajili yenu mtumikieni Mungu kwa moyo
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 4 жыл бұрын
Jackline Mabula amina
@symonblackie7665
@symonblackie7665 4 жыл бұрын
saprano imeweza kabisa
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 3 жыл бұрын
Asante sana! 🙏🏾 God Bless You!
@fabianmpangala4397
@fabianmpangala4397 4 жыл бұрын
Mungu awabariki kwa hili mlilofanya , kazi imetulia kuanzia kwenye uimbaji mpaka video yenyewe
@augustinoevarist6754
@augustinoevarist6754 4 жыл бұрын
Pongezi kwa wote waliofanikisha kazi hii. Mziki murua kabisa huu.
@wilbrodismael1776
@wilbrodismael1776 4 жыл бұрын
Kumuimbia Mungu ni raha sana...Mungu awabariki sana mzidi kumtumikia kwa moyo... Zaburi 100:2 Mtumikieni BWANA kwa furaha; Njoni mbele zake kwa kuimba;
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 4 жыл бұрын
wilbrod ismael kwa Kweli! Na Mungu akubariki
@josephsamweli5893
@josephsamweli5893 4 жыл бұрын
Safi sana vibe la kwenda mpk Corona itaona aibu yenyewe safi sana makamanda mmetisha Easter Vibe
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 4 жыл бұрын
Imeisha iyo
@tulisanga8322
@tulisanga8322 Жыл бұрын
Muda wetu
@hillarypancras4687
@hillarypancras4687 4 жыл бұрын
Hatariiiiii babaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 4 жыл бұрын
Hillary Pancras imeisha iyoo mzee
@robertmwenyegoha7463
@robertmwenyegoha7463 4 жыл бұрын
Kwa kweli mmeutendea haki huu wimbo nausikiliza hata sitosheki daaah kila kitu kipo standard thank you guys I appreciate.
@alphoncemville
@alphoncemville 4 жыл бұрын
Record breaker.. Still watching it now, and more.
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 4 жыл бұрын
Alphonce Mville keep on bro🔥
@andrewmushi281
@andrewmushi281 4 жыл бұрын
Umeuwa aseeee ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 4 жыл бұрын
Asante sana
@paulmziba1060
@paulmziba1060 4 жыл бұрын
Salute kwa kazi nzuri saana ... namuona Mweshimiwa EMMANUEL salute kiongozi na waimbaji wengine wote mbarikiwe sana
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 4 жыл бұрын
Paul Mziba yes Yes Asante sana
@theresiajoseph1943
@theresiajoseph1943 3 жыл бұрын
Hongerenii kwa utume , wimbo umetulia sana huchok kusikiliza daa
@emma_mtapila755
@emma_mtapila755 4 жыл бұрын
This is one of the best videos... In catholic videos history ever!! Ni kwikwiii... Keeeeh
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 4 жыл бұрын
Imeisha iyoooo
@serafinannonjela2065
@serafinannonjela2065 2 жыл бұрын
Wow so good
@anatoliamkufi8753
@anatoliamkufi8753 Жыл бұрын
Such a good song be blessed 😇
@sophiapatrick7086
@sophiapatrick7086 4 жыл бұрын
Hongereni sana,hakika tunashangilia Ufufuko wa bwana kwa kucheza wimbo huuu🙏🙏
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 4 жыл бұрын
Sophia Patrick Asante sana sana
@simonthomas7969
@simonthomas7969 4 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana, video nzuri mno hongera kwa waimbaji wote
@kipoxproductions
@kipoxproductions 4 жыл бұрын
Hongereni kwa kazi nzuri
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 4 жыл бұрын
Kipox Productions Asante sana
@samuelmsafiri2320
@samuelmsafiri2320 3 жыл бұрын
Nice
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 3 жыл бұрын
Asante sana! 🙏🏾 God Bless You!
@emma_mtapila755
@emma_mtapila755 4 жыл бұрын
Waaaoooo.... Super super
@erastolyaruu3142
@erastolyaruu3142 3 жыл бұрын
Good and Amazing Project. @Salisali and @Emma, keep it up bro. Mpiga kinanda naye katulia sana, very creative. Mtu wa shooting naye yupo vizur sana, anajua kuelekeza na kuset watu pia. In general, ni project nzur na imetoka safi.
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 3 жыл бұрын
Asante sana! 🙏🏾 God Bless You!
@shikobosco
@shikobosco 2 жыл бұрын
Huu wimbo nimeuskia leo and ave fallen in love 💖 💓 love the vocals,they are just awesome.Good job tuendelee kumtukuza Mungu
@guygerardmaindo3202
@guygerardmaindo3202 2 жыл бұрын
Vraiment le Seigneur est ressuscité ,alléluia !!!Depuis Kinshasa-Congo
@ditrammgimba2759
@ditrammgimba2759 4 жыл бұрын
Hongereni sana na Mungu awabariki,, ujumbe safi ,audio safi,, video safi kabisa,, ikipenya kwa ngoma ya sikio kuna ladha fulani amaizing,,,,
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 4 жыл бұрын
DITRAM MGIMBA haha asante sana na Karibu
@marypaul8663
@marypaul8663 4 жыл бұрын
Mungu awabaariki nzur sanaaaa
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 4 жыл бұрын
MARY PAUL karibu sana
@elickykibet3079
@elickykibet3079 4 жыл бұрын
❤❤❤❤👌🏻👌🏻
@pharm.kayombo
@pharm.kayombo 4 жыл бұрын
Very nice song hongerni Waimbaji
@MKT111
@MKT111 4 жыл бұрын
BRAVO BROO
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 4 жыл бұрын
MKATOLIKI TV 🙏🏾
@jursturnyangaresi3741
@jursturnyangaresi3741 4 жыл бұрын
2 days after seeing this one I had watched it over 350 times. I love this one so much, the best Catholic video of all times, quality voices. Kindly come up with another one like this. Drop another one. Shukrani Kwa director, kazi safi
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 4 жыл бұрын
This makes us even Stronger 🙏🏾 blessings brother.Donatos na Sisi tutakuletea Ingine soon
@thegreat.9869
@thegreat.9869 4 жыл бұрын
Kwa nn sauti ya 2 mmewafanyia hvyo?? Wanaingia kwe chorus km hawapo bana.. ila songi kali mze
@iginasberenaldo9979
@iginasberenaldo9979 4 жыл бұрын
Tama sana sana iyo ngoma
@bujunebusanya3966
@bujunebusanya3966 4 жыл бұрын
Kazi nzuri sanaaa
@bernadetamshanga2197
@bernadetamshanga2197 4 жыл бұрын
Great idea...hongereni sana
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 4 жыл бұрын
Bernadeta Mshanga asante sana
@christinasweetberth1901
@christinasweetberth1901 4 жыл бұрын
Kuna mtu hapo naona dogo zake zinatimia tu blood bro #Charles.sweetberth .Lubasaha
@guygerardmaindo3202
@guygerardmaindo3202 Жыл бұрын
Depuis Kinshasa veuillez m'envoyer la partition de cette chanson
@elizandichu3923
@elizandichu3923 3 жыл бұрын
Wow, this is beautiful
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 3 жыл бұрын
Asante sana! 🙏🏾 God Bless You!
@agnessmorris1464
@agnessmorris1464 4 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana Haleluya haleluya
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 4 жыл бұрын
Agness Morris Asante sana
@agnessmorris1464
@agnessmorris1464 4 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@christianjulius4616
@christianjulius4616 4 жыл бұрын
Best song best video ever of choirs i have seen mbarikiwe
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 4 жыл бұрын
Christian Julius asante Sana Karibu
@kwayamtbenadetha-mkwawa6612
@kwayamtbenadetha-mkwawa6612 4 жыл бұрын
Huwezi pita hii nyimbo Bila kuisave kwenye watch later😂
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 3 жыл бұрын
Asante sana! 🙏🏾 God Bless You!
@joycekatabazi2398
@joycekatabazi2398 4 жыл бұрын
You killed it, saluteee, top top top,, congratss
@felisterligwa
@felisterligwa 4 жыл бұрын
You people are awesome.Bless you all an hongereni mnoo
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 4 жыл бұрын
🙏🏾
@gasparpaul2594
@gasparpaul2594 4 жыл бұрын
Kazi nzuri sana. Hongereni sana wakuu
@paschalmsongo4143
@paschalmsongo4143 4 жыл бұрын
One of the best catholic hits. Nampongeza Director na waimbaji,mme improvise simple mazingira lakn ubunifu mkubwa
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 4 жыл бұрын
Asante sana Ndugu zangu🙏🏾
@lazarombuze9776
@lazarombuze9776 4 жыл бұрын
TUMSIFU YESUKRISTO...NAWEZAJE KUPATA FLASH AU DVD YA ALBAMU HII niko DAR ESALAAM,..parokia ya ST ANTON WA PADUA MBAGARA,..NAMBA yangu ni 0788955798
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 4 жыл бұрын
lazaro mbuze milele Amina! Iyo ni Single haina album
@lazarombuze9776
@lazarombuze9776 4 жыл бұрын
@@StudioiRisPro Asante sana kwa majibu
TEMBEA NAMI (Official Video) - KWAYA YA MWENYE HERI ANUARITE - MAKUBURI
10:41
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 67 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
小宇宙竟然尿裤子!#小丑#家庭#搞笑
00:26
家庭搞笑日记
Рет қаралды 17 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 19 МЛН
KUNA NGUVU_BETTY KAGEZA
6:44
Betty Kageza
Рет қаралды 34 М.
Kwa Ajili Ya Mateso Makali Ya Yesu
23:55
Catholic Hits
Рет қаралды 251 М.
Alleluya msifuni Mungu by Cecilia Kamau ft Lawrence Kameja
5:10
Cecilia Kamau
Рет қаралды 19 М.
UKAMPENDE - DIVINE VOICES
7:14
Iris Empire
Рет қаралды 15 М.
UTUKUFU WA MUNGU II  Marcus Mtinga
6:29
The Galaxy Pro
Рет қаралды 133 М.
NIKO KASI_Kwaya ya Mt.Joseph Mfanyakazi_Nzihi Kidamali - Iringa
6:58
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 1,4 МЛН
ZAWADI YA UFUFUKO
4:50
Trizah Matu
Рет қаралды 84 М.
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 67 МЛН