SIKU YA 4 MKUTANO GEITA NA MCH.KATEKELA"Baba huyu hapa awathibitishie,alishuhudia msukule akirudi"

  Рет қаралды 6,642

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Жыл бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 33
@agnethapaul6057
@agnethapaul6057 Ай бұрын
Hujawahi kubabaisha,nakuamini sana, Yesu akufunike siku zote
@user-co6nm5fk1g
@user-co6nm5fk1g 6 ай бұрын
Uweza wa Bwana yesu kristo we pamoja na wewe kwenye huduma zako zote
@MariaMdemu-xt5cv
@MariaMdemu-xt5cv 3 ай бұрын
Amina mbarikiwe na Bwana.....nashauri mnakatisha kabla haijaisha mfano hapo kwenye maombi
@lilianndete1735
@lilianndete1735 Жыл бұрын
Mtumishi amiel Mungu akubariki sana ,mafundisho yako yamenisaidia pakubwa, natumai if God's will you be back to Kenya Amen.
@elizabethlusato7363
@elizabethlusato7363 Жыл бұрын
Ninaposikiliza mafundisho yako mtumishi wa Mungu huwa napata amani kubwa moyoni,nabarikiwa sana...Mungu akutunze tuzidi kubarikiwa
@MosesWakristo-ko5ze
@MosesWakristo-ko5ze 10 ай бұрын
Amen
@tamarali8325
@tamarali8325 Жыл бұрын
Ujerumani tunawaona pia. Barikiwa sana Pastor Amieli. Jacktan Barikiwa sana na Audax Barikiwa sana. Love you 💞 for free
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 Жыл бұрын
Nawapata vizuri sana mtumishi katekela.BWANA YESU akubariki sana pamoja na promover tv nawapenda sana.
@ruthfasha7166
@ruthfasha7166 Жыл бұрын
Ninawapata vyema nikiwa Ghana 🇬🇭 Mungu awabariki sana.
@gradyskamwela6163
@gradyskamwela6163 Жыл бұрын
Amen Yesu akubariki kwa ujumbe mzuri ila tunaomba namba kwaajili ya huduma tunahitaji maombi
@mickwangu6825
@mickwangu6825 Жыл бұрын
Nawapata kutoka kenya,Mungu awabariki Sana watumishi.
@bettywanjala5630
@bettywanjala5630 Жыл бұрын
Amina Amina nabarikiwa
@demaa2183
@demaa2183 Жыл бұрын
Huwa nabarikiwa na neno la Mungu....ambalo upitia kinywani chako....be blessed.....Niombee tusipokutana duniani tukakutane mbinguni kwa uwezo, neema, na nguvu zake Mungu...dama kutoka Kenya
@zainakimbawala7983
@zainakimbawala7983 Жыл бұрын
Aminaa kaka mungu mwema
@jeniphjosephat15
@jeniphjosephat15 Жыл бұрын
Nawaona kutoka marecani 🇺🇸💕💕🙏🏻🙏🏻
@lulungunda354
@lulungunda354 Жыл бұрын
nilimwwmbia Mungu kama ulimfungua mchungaji yule wa promover ,katekela hata mimi nifungue,kweli kupitia ushuhuda ule nilifunguka,mzid kubarikiwa
@katekelatv
@katekelatv Жыл бұрын
Atukuzwe sana Mungu wetuu
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 Жыл бұрын
Amen and Amen Asanteni sana watumishi wa Mungu kwa haya mafundisho
@mpandawiliam5390
@mpandawiliam5390 Жыл бұрын
Amina mtumishi tuko pamoja sana barikiwa sana.
@florencemueni1183
@florencemueni1183 Жыл бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri
@sarahchiwamba6038
@sarahchiwamba6038 Жыл бұрын
Amen.
@salomealphonce-ev7ko
@salomealphonce-ev7ko Жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANAA
@myself4128
@myself4128 Жыл бұрын
Moses Alikufa lakini Mungu kamuinua Katekela!!!injili ya kweli inaendelea
@hindahnambela6628
@hindahnambela6628 Жыл бұрын
Mungu akubaliki Sana mutumishi amen
@antoinettendayizeye5884
@antoinettendayizeye5884 Жыл бұрын
Muwemunaaca nasisi tusikie maombi tunasikia maubiri anasema tunatakakuomba afumunakata sosawa nasitunatakakuomba uku on
@kennyfriday
@kennyfriday Жыл бұрын
Kweli mtumishi ata biblia inasema watu hawa ni watu walioibiwa wamenaswa katika magereza wala apana aokoae na kusema rudisha isaya 42:22
@liesharehema5193
@liesharehema5193 Жыл бұрын
Aminaaa
@edwardmwalukware9734
@edwardmwalukware9734 Жыл бұрын
kweli tunahitaji macho ya rohoni
@carolynemutenyo4720
@carolynemutenyo4720 Жыл бұрын
Si dada Naomi Boniface ashikane mkono na huyu mchungaji mamake arudi juu alichukuliwa msukule
@elinemakundi5011
@elinemakundi5011 2 ай бұрын
Promova nawasihi sana muache kukatiza maombi, haina afya tunasubiria maombi nyie mnakatisha ili iweje sasa, Eric na msafiri rekebisheni hayo
@its_keziah77
@its_keziah77 Жыл бұрын
Mimi mwanangu wa siku name alitoka damu za mdomo pua na masikio ,akafa baadaye akawa mzuri kana kwamba amelala ni miaka 15 Sasa .labda ni msukule.mchungaji mimi nadhani.
@its_keziah77
@its_keziah77 Жыл бұрын
Mchungaji unatuongea familia yetu kabisa. Kwetu sote tuko hivyo, hakuna ndoa, kazi magonjwa,, mume wangu ana bachelor degree lakini hana lolote tusaidie, hata pia alikua pastor akaacha .
@bilalikisembe5012
@bilalikisembe5012 Жыл бұрын
Amen
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 202 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 16 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 114 МЛН
Rev Moses Magembe- MTAJI WA MWINJILISTI NI WENYE DHAMBI.
5:03
EVANGELIST KANANI
Рет қаралды 24 М.
#live  Siku ya 5 MKUTANO WA INJILI TAG UKONGA NA MCH.AMIEL KATEKELA
1:03:30
Maisha na vifo vya mitume wa yesu
13:28
Shane Tv
Рет қаралды 8 М.
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 202 МЛН