SIMBA DAY 2018: Jaribio la Haji Manara ‘kumsilimisha’ baba yake lilivyoshindikana Taifa

  Рет қаралды 222,613

Azam TV

Azam TV

6 жыл бұрын

Kabla ya kuanza kutambulisha vikosi vya Simba, Msemaji wa timu hiyo Haji Manara aliwaita wachezaji wa zamani wa Yanga Sunday Manara na mchezaji wa zamani wa Simba Abdallah Kibaden lakini jaribio lake la kumvalisha Sunday Manara jezi ya Simba likagonga mwamba.
Tazama ilivyokuwa.

Пікірлер: 45
@salumramadhan8199
@salumramadhan8199 3 жыл бұрын
Tulio angalia baada ya haji kuondoka Simba tujuane kwa ku like hapa 🤣
@MasanzuCraft
@MasanzuCraft 2 жыл бұрын
👋👋
@mahmoudhamisi673
@mahmoudhamisi673 3 жыл бұрын
Dah tutakumiss Sana haji manara
@Ishengoma1
@Ishengoma1 6 жыл бұрын
Safi sana. Mtu na baba yake. Kila familia ijifunze jambo hapa.
@khalfantambwe1458
@khalfantambwe1458 6 жыл бұрын
safi sana Haji Manara
@eventelias3566
@eventelias3566 6 жыл бұрын
safi sana..MICHEZO SI VITA
@komboomar8275
@komboomar8275 6 жыл бұрын
Sauti ya watu wotee wenye ulemavu wa ngozi yuko vizur manara mpira sio uadui bali mpira ni ushabiki tunashabikia mpira ukiisha maisha yanaendelea
@daudhenry8909
@daudhenry8909 5 жыл бұрын
Hapo ulikuwa sawa kwa utambulisho
@mwanaherymohamedy5958
@mwanaherymohamedy5958 6 жыл бұрын
Haji umefanana sana na baba ako jamani
@kulwawaziri1502
@kulwawaziri1502 6 жыл бұрын
Inapendeza kwa kweli
@simuyangu1356
@simuyangu1356 6 жыл бұрын
No....naskia jezi alipewa nje ya uwanja kwa kificho.....naskia anataka kuhamia simba mwaka huu tutaona mengi...nae kanunuliwa au...simba oyeeeeee
@peterdamas2574
@peterdamas2574 6 жыл бұрын
Og simba
@kigalijuma7304
@kigalijuma7304 6 жыл бұрын
H.Manara unavi2co mpaka kwa bb ako dah!!! Ni hatri!!!.
@bujalulambo696
@bujalulambo696 6 жыл бұрын
Mtuwashie jamani
@aishasaidi9310
@aishasaidi9310 3 жыл бұрын
Sawa baba
@amanimwakyusa727
@amanimwakyusa727 6 жыл бұрын
Ushabiki imani
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 6 жыл бұрын
matokeo ya mechi za simba wadogo na simba queens vipi.???
@bujalulambo696
@bujalulambo696 6 жыл бұрын
Kwa nyi azam kutuzimia chanel mnamaana gani? Na tumelipia
@idayakey6886
@idayakey6886 6 жыл бұрын
yanga ya zamani siyo ya ss wanakula kumii
@asiazuberi9722
@asiazuberi9722 6 жыл бұрын
Haji bana hahahaha
@salumhassan4309
@salumhassan4309 6 жыл бұрын
hapo.yupo.kimchezo.msimlaumu.haji.hana.kosa.
@iddommakonde4720
@iddommakonde4720 2 жыл бұрын
Manara mtu mmoja na nusu tff muoneeni huruma
@yaperamso7296
@yaperamso7296 6 жыл бұрын
kwa hali hii yanga hawata ambulia hata mabua nishidaaaaaaaasaaaaaaasaaaaa
@shaluamkumbo9880
@shaluamkumbo9880 6 жыл бұрын
Nilizani ni mimi mwenye shida na king'amuzi cha azam. Hakika azam mnatukosesha raha,taarifa ya habari imekata,channels zimekata
@nurudiniidd8969
@nurudiniidd8969 6 жыл бұрын
shalua mkumbo ...hata Mimi najiuliza sana kuhusu hilo ndg. Sijui tatzo nini
@bujalulambo696
@bujalulambo696 6 жыл бұрын
Au nirudishe siyo kizur
@magnokanje3404
@magnokanje3404 6 жыл бұрын
🔛🔛🔛
@harunahabibu259
@harunahabibu259 6 жыл бұрын
Mfungwa was kisiasa
@donatuskomba8737
@donatuskomba8737 6 жыл бұрын
Ndy alichukua
@juliusejulius6704
@juliusejulius6704 6 жыл бұрын
Maneno mengi mwisho wa SKU mnafungwa
@pinielloilole3469
@pinielloilole3469 6 жыл бұрын
Tumeona mavitu ya Uturuki
@rckkajuna2144
@rckkajuna2144 6 жыл бұрын
Imekaa poa xana
@rashiddaud6531
@rashiddaud6531 6 жыл бұрын
Charles Rwezahula mbona. moja hana afya upole hii
@rashiddaud6531
@rashiddaud6531 6 жыл бұрын
Charles Rwezahula mmoja hana afyaa
@benedictmujuni2283
@benedictmujuni2283 6 жыл бұрын
Haji Manara usimlazimishe baba yako kukusujudia wewe pamoja na simba yako, eti kisa mna pesa za mapito. Kuwa na adabu huyo ni baba yako mzazi.
@johnsonmacha1502
@johnsonmacha1502 6 жыл бұрын
Benedict ayo
@johnsonmacha1502
@johnsonmacha1502 6 жыл бұрын
Mikado ayo
@johnsonmacha1502
@johnsonmacha1502 6 жыл бұрын
Ayo
@navaboy1092
@navaboy1092 6 жыл бұрын
Mpira mdomoni Ndomaana atusong mbele Tz kimpira tutasubir sanaaaaaa mambo yote Ulayaaaaa bhana
@abuuaisha1682
@abuuaisha1682 6 жыл бұрын
Nava Boy kwenda kule Mwana chura kulaanika
@mussakyando8081
@mussakyando8081 6 жыл бұрын
Anza kukubali chako chamwenzio baadae ninaimani soka umeliangalia vzr ndugu
@andrewmbuza2275
@andrewmbuza2275 6 жыл бұрын
Nava Boy
@rahmattanzania3869
@rahmattanzania3869 3 жыл бұрын
Aswaaaa@@mussakyando8081
@salumhassan4309
@salumhassan4309 6 жыл бұрын
tuwe.wazalendo.wingi.wasio.ufahamu.watamlaumu.kumbe.kitu.cha.kawaida.kimichezo.hata.hapo.tunaona.tu.yupo.kimasihala.kwasababu.baba.take.mzalendo.na.timu.yake.hapo.tunatakiwa.tujifunze.kupendana.tuache.chuki.hazijengi.
@benedictmujuni2283
@benedictmujuni2283 6 жыл бұрын
Haji Manara usimlazimishe baba yako kukusujudia wewe pamoja na simba yako, eti kisa mna pesa za mapito. Kuwa na adabu huyo ni baba yako mzazi.
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 5 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 50 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 20 МЛН
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 23 МЛН
MCHOME AIPONDA SIMBA ''KIKOSI KIBOVU LABDA MCHEZAJI MMOJA MMOJA
5:06
Jerry Muro: 'Haji Manara Ni Msukule Wa Simba Hatoki'
10:11
KidaniStars
Рет қаралды 121 М.
#msstudiokz #бокс #boxing #shorts #чемпион
0:19
MS STUDIO KZ
Рет қаралды 352 М.