HIVI HAPA VITUKO, MISEMO, KAULI ZA MANARA Zilizotikisa TANZANIA Akiwa Simba | Umemisi..!!? Tazamaa

  Рет қаралды 57,775

Tuzo Online

Tuzo Online

2 жыл бұрын

#hajimanara #simbasc #hajimanaranasimba #manaranamodewji

Пікірлер: 24
@FestoMbilinyi-eu3oj
@FestoMbilinyi-eu3oj 2 ай бұрын
Namkubari sana mwambahuyu namba nambayake mtumkubwa bugati
@NasryGeraon-dc8vp
@NasryGeraon-dc8vp 10 ай бұрын
Noma sana Wana simba tunayo haki ya kujidai na hii ndo maana ya next level
@malilosaid6495
@malilosaid6495 11 ай бұрын
Kajishusha mwenyewe kutoka Simba kwenda yanga
@user-ry3xt9yc1t
@user-ry3xt9yc1t 6 ай бұрын
Jamaa anajua aseee
@amedeuskimario8895
@amedeuskimario8895 Жыл бұрын
Me narudia tena wanasimba manara yanga anatali tu Simba alifanya makubwa Sana jmn me nataman aje tuendelee na kaz
@nasrakambimton9522
@nasrakambimton9522 6 ай бұрын
Saw ata watu wanakufa tunawasahau piy saw tutamkumbuka na yy piy anatukumbuka kwaiyo tunakumbukan akunashida yoyote Kila mtu haenderehe na maisha yake mengine
@CikeTanzania
@CikeTanzania 24 күн бұрын
Alipokuwa simba alitisha sana na alijulkana lakin saivi mnyero.😂😂
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 8 ай бұрын
Bado ujasema😅😅😅
@user-yz2uw1vr4j
@user-yz2uw1vr4j 2 ай бұрын
acha tmpe maua yake anajua mwamba namkuba sana sima dam
@user-qv8jb5tj9l
@user-qv8jb5tj9l 11 ай бұрын
Ona alivyonenepa alipokuwa unyamani rudi nyumbani ww
@shaibumohamed2402
@shaibumohamed2402 2 жыл бұрын
Mjomba manara mrudie mungu wako
@mbaroukrashid6201
@mbaroukrashid6201 2 жыл бұрын
Hata hatummiss kwa sababu tuna Ahmed hata miezi mi 5 hajafika na anajaza uwanja duh wanin mamara kwa kipo haswaaa
@user-vb8ki3jo9t
@user-vb8ki3jo9t Ай бұрын
Alikuwa mwamba huyo mimi simba hajatokea mwingineeeeee
@abdallahakida7908
@abdallahakida7908 3 күн бұрын
Hivi hizi kauli anazirudia na kuziona ama kweli mtu hajui atakako ajua aendako tu mjinga sana
@mwamuzitv2824
@mwamuzitv2824 2 жыл бұрын
wajomba
@DONALDYOWAS-rr7tz
@DONALDYOWAS-rr7tz Ай бұрын
Ulikua unafaaa simba
@phakundigervas1360
@phakundigervas1360 11 ай бұрын
Hata maana spokesman huijui,alikuwa mpiga kelele tu
@bebisheni4380
@bebisheni4380 2 жыл бұрын
Zikae baadae zitaitwa zilipendwa
@barazamwaja3868
@barazamwaja3868 2 жыл бұрын
Haji kama katuni kazi yake ni kuchekesha tu
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 7 ай бұрын
.
@aminamsimbe4034
@aminamsimbe4034 2 жыл бұрын
Leo imejulikana Mambo yako wazi zilikua propaganda tu hakuna kitu uliwapa nguvu na kuwaaminisha kua Simba ndiyo bora
@nyeurakibura4791
@nyeurakibura4791 2 жыл бұрын
Peleka ujinga wako uko
@muhammednassor690
@muhammednassor690 2 жыл бұрын
Hata mkisema is nothing he is wonderful spokesman inabidi ifike siku tukubali jamaa ni kubwa kuliko
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 4 күн бұрын
Hakuna kitu hapo anaropoka ropoka na kutukana mpaka anapigwa mafaini na kufungiwa
MANARA AFUNGUKA MAZITO KUHUSU MO NA BABRA
36:04
Ngome Tv
Рет қаралды 83 М.
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 21 МЛН
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 52 МЛН
IFAHAMU HISTORIA YA SIMBA DAY TANGU KUANZISHWA KWAKE
7:32
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 21 МЛН