Wewe naona unataka Kiki na followers wengi mchumbuzi mandazi
@nuggettz627624 күн бұрын
Oscar hana akili kabisa uyo anaotea vitu tunamnukuu maneno yake
@user-wl4yo4zp9t24 күн бұрын
Acha ujinga m pumbavu wewe na ni kaikatia tamaa timu? Acha uongo
@RifatiJeshi24 күн бұрын
Adela we ni mshamba sana kumbe unawazungumziaje washabiki kwa kuwasingzia eet wameikatia tamaa team yao ndivyo walivyokwambia??? Acha uchawa fanya kaz yako!
@meckjoelntrambigwa921824 күн бұрын
Huyo jamaa moyo wake yanga acha unafiki simba kumbw
@jassonnelly344524 күн бұрын
Timu ilivyokuwa na wazee ooh simba imechoka inahitaji mabadilo leo imefanya usafi team imebomolewa kwahiyo lipi jema kwenu nyie wachambuzi
@thehustlerafrica436824 күн бұрын
Wachezaji wengi walikuwa maduka Bora walivyoondoka tuu tuanze upya
@fidundadelaboss-bs8xx25 күн бұрын
Wako wapi hao watu walioikatia tamaa?au mnawasemea watu