IPO SIKU MTAJIKUTA MNAONGEA TU WENYEWE KAMA VICHAA. MTAKUWA HAMSIKILIZWI NA WATU. ACHENI UNAZI. SIMBA TUNAIPENDA. NDIYO TIMU NO 6 KWA UBORA AFRIKA. HAO NYUMA MWIKO NO NGAPI?
@joackimumalya713824 күн бұрын
Juzi tu hapa mmetulisha matangopori mkisema wachezaji wetu wazee Leo tumekata tamaa dada nnakueshimu
Nani kukuambia tumekata tamaa wewe, kinachafanywa na viongozi wetu ndicho tulichokuwa tunakipigia kelele, tulikuwa tumechoka na wachezaji wazee
@davidwatson682124 күн бұрын
Kwenda wewe, bahati mbaya ! bahati mbaya, acha mahaba
@MusaMkembela-ex6ev24 күн бұрын
😂😂😂yanga vibonde
@Laurentjoseph200124 күн бұрын
Vibonde Vibonde Vibonde 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@godfrey392624 күн бұрын
Nyie wajinga wa Yanga mnaogopa mapemaaaa, eti watu wameikatia tamaa.Sijui nianze kuwaanika maana kuna mambo ninayoyajua..Simba itashinda msimu ujao bila kufungwa hata mechi 1