Unaweza aje kukubali kosa lenye haukufanya,huyu Mzee anajichanganya but pole.
@user-vo1gk2ew3e4 ай бұрын
Huyu mzee anasema hakutenda kitendo lakini mwishowe anasema kwamba alitenda na anaomba msamaha
@bingimwenyewe54164 ай бұрын
Pole sana baba. Wanawake ni wabaya sana. Wanaweza kufanyia kitu wewe hutaja sahau maishani
@samuelnyanjui83264 ай бұрын
Mzee acha uongo 😂
@G.Waruhiu.G4 ай бұрын
This Mzee is not wise. How can he confess to such crimes yet he said he didn't do it. Angekataa kabisa kabisa kama hakufanya so he is guilty and he doesn't deserve power of mercy.
@anthonyngocihkisilu2973Ай бұрын
Waah.....so defilement ni life sentence 😢😢
@esthermuthoni58324 ай бұрын
Mzee anajichanganya anasema hakufanya at the end anakumbali alifanya hio kitendo aiiii
@mainasteephen98674 ай бұрын
😂😂
@user-hv5pm6ol5x4 ай бұрын
Pole sana baba
@georgenjau62594 ай бұрын
Mzee atlast amekubali alifanya
@teresiakamau49464 ай бұрын
pole sana mzee aky tujifuze kuhusu hii story
@SueJohn-pi9xq4 ай бұрын
Hiyo story im doubting sana
@solomonweru88744 ай бұрын
Ozea jela mzee achaa story za jaba😂😂
@irenekinuthia29664 ай бұрын
😂😂
@irenekinuthia29664 ай бұрын
Maheni Mzae😂😂
@Cate8614 ай бұрын
Pole sana mzee
@Gorgeousij4 ай бұрын
Wenye alituletea wametoka baada ya miaka nyingi atuletee.tuone kama wameingiana na watu wao
@anthonyngocihkisilu2973Ай бұрын
Anasema juu aliwekelewa na ikakaa ukweli basi asamehewe.....
@sir-me17164 ай бұрын
There's more that he's not telling.
@liliankarani60564 ай бұрын
Pole daddy so many wazee wako huko juu ya hio.
@nahashongichine48774 ай бұрын
Juu ya hio kashimo😂😂
@erickanyugo32534 ай бұрын
Hii episode ni ya kurudia.
@puritymuthoninjiru58604 ай бұрын
Eehh niyakurudia
@patrickwambui18294 ай бұрын
How is evidence collected..hii story ya kuekelewa karibu inilete hapa..nahuzunikia mzee.pole malipo ni hapa hapa
@Njugunahsc4 ай бұрын
😂😂😂 mzeee inakaa jaba
@Styciewaweru3 ай бұрын
You should never apologize for a crime that you didn't commit. Never
@Kelly-sv2tz4 ай бұрын
Wah!
@ibrahg45254 ай бұрын
Aii Iyo story isn’t adding up 🤦🏾♂️🤦🏾♂️ati mtu a catch Juu umekosa kutafuta msee wa kukata kuni aiii then ame confess he did but ana try ku koroga
@anthonyngocihkisilu2973Ай бұрын
Kukata miti tuuu..... Surely.. hii ni uongo tupu.... Ama ni miti Gani?
@Mathukariuki-bi2ml4 ай бұрын
Kukata miti na kurape mtoto zinapatana wapi?wee wacha!
@ceciliahmwangi4974 ай бұрын
Ulifinya kasichana nabasi uilikubali makosa😅
@mawama67194 ай бұрын
throwback! no new prisoners?
@njeriwakarongo90693 ай бұрын
😭😭😭😭woi NGAI
@susanwambui92664 ай бұрын
Simon kibe ati kwogwo niwekire ugwo 😂😂
@lucymuthoni14744 ай бұрын
😂😂😂
@jmwainaina30334 ай бұрын
Mzee is guilty.. no way u can say am sorry even if i didnt such kind of accussation. lets him face consequencies
@emilywangui4 ай бұрын
😢😢so sad but wamerudia hii nilikuwa nimewatch kitambo
@nancyhilfrich9104 ай бұрын
❤
@RukasKuria4 ай бұрын
Tuleteeni something latest,hii mumerudia.
@mainasteephen98674 ай бұрын
😂😂😂 amemalizia kusema alifanya
@eliudmathu87814 ай бұрын
Hii clip niliisikia kitambo saana
@faithcalos10784 ай бұрын
😂😂khai baba niehingica😢😢
@annewanjiru8184 ай бұрын
I'm not convinced that refusing to go up to the tree and rape accusation are related. He had not even mentioned that they had a breakup before the accusation.
@user-vj1rs3ks1l4 ай бұрын
😢😢😢😢woi ameeka hata kuliko miaka yake
@Shiepaul4 ай бұрын
Mzae alifanya juu hakuna vile unaweza kubali makosa ukufanya ata uumwe maskio
@monicahwangari27394 ай бұрын
Mzee ongea ukweli
@paulgitau60554 ай бұрын
Wanawake ni shetani Sana ukiwa mmoja wao.
@nancywanjiku15544 ай бұрын
Tuamini Gani ?uIlifanya haukufanya?
@user-vo1gk2ew3e4 ай бұрын
Huyu mzee anasema hakufanya mara alifanya. Lakini anasema coz yuko jela lazima akiri kwamba alifanya. Simon Kibe anamuuliza kwa hivyo ulifanya? Na anasema ndio alifanya
@jimgaish20164 ай бұрын
why repost
@user-lb7qj8px5c4 ай бұрын
Mzee nkaa ako na kaukora
@susankomu89784 ай бұрын
😂😂😂😂
@mburulucky95804 ай бұрын
Woohuo thico ugweda mûdûrume athie njera uga Ni athica mwana
@margaretmwangi42474 ай бұрын
That's vulgar though 😱
@mburulucky95804 ай бұрын
@@margaretmwangi4247 what should one say h
@Ndungu_Chege4 ай бұрын
😂😂😂 niwaguruka mundu
@mburulucky95804 ай бұрын
@@Ndungu_Chege akiuhuo thico
@josephwairimu62224 ай бұрын
Afungwo kabisa sitakangi mtu anacheza na mtoto
@detectiveseniorsuperintend80314 ай бұрын
Repetition ama
@elgringo55684 ай бұрын
Hata paka Mzee hupenda kukula maini
@susankomu89784 ай бұрын
Maini ya mtoto ama???
@josephruigu68524 ай бұрын
Surely the government should consider 60 years and above those people can not crime again
@TeresiaWanjiku-ru3uz4 ай бұрын
They can be masterminds
@Ndungu_Chege4 ай бұрын
@@TeresiaWanjiku-ru3uz😂😂😂😂😂😂
@babieakawanga91274 ай бұрын
Huyu ni depression 😢😢😢
@nancykuria21284 ай бұрын
Kwa nn unafanya turudie kitu tulikuwa tumeona
@naftarykuria27754 ай бұрын
The story don't add up
@mzitofarafrica70734 ай бұрын
What if you did kaa uko
@samuelnjoroge47074 ай бұрын
Mzee your statement is full of lies
@ithewawaithira89364 ай бұрын
He is guilty a charged.
@irenetheuri86054 ай бұрын
Did he just say he did it?🙄
@user-vo1gk2ew3e4 ай бұрын
Yes of course he has clarified. I am really surprised. In the first place, he said he didn't but at the end of the episode, he accepts.
@babygurlll9684 ай бұрын
Apparently all rapists in jail claim innocence.. Maajabu😂😂