Hotuba ya Rais Ruto! Uchambuzi na Ushauri kwa Ruto kutoka kwa DJ Sma

  Рет қаралды 14,968

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Ай бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 125
@DavidKinyua-oo9hg
@DavidKinyua-oo9hg Ай бұрын
Raisi wa wanainzi Ruto ogera and God bless you so much ❤
@Moseskoome-l1t
@Moseskoome-l1t Ай бұрын
dj smaa ndomaana nakupenda 🇰🇪🇰🇪🇰🇪ruto asipofanyia Hilo kazi tunaenda State House this time mungu
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td Ай бұрын
Good job from 🇧🇮🙏🔥 tunakupenda san
@janechegechege9584
@janechegechege9584 Ай бұрын
Well done 👏 ✔️ you have analyzed that perfectly. I agree with you 💯
@TIZZOBOYOFFICIAL
@TIZZOBOYOFFICIAL Ай бұрын
ata kama hio fince bill ingepita still angekopa anatupima huyu msee
@wycliffhezron7378
@wycliffhezron7378 Ай бұрын
Kazini nzuri dj sma 💪🤝
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Ай бұрын
Nyie watanganyika ni waajabu sana.tanganyika yetu imeuzwa kila kona, mmeshindwa kukemea ila vya kenya mnajitia uchambuzi #NONSENSE
@eben_ezer8853
@eben_ezer8853 Ай бұрын
Yaaan nashangaa eti wanamshauri Ruto nyie kama nani vile huko kwenu hata albino bado wananyongwa na serikali ipo tu kila siku mama mama wacha ya Kenya hayawahusu🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️
@nomoboy152
@nomoboy152 Ай бұрын
Umeongea ukweli lakini tunatakiwa tufanye wote brother #Letsdoittogether
@soudmoshmnyika5813
@soudmoshmnyika5813 Ай бұрын
Watu hawafahamu , kwa mtambuzi anafaham alivyo zungumza katoa mpaka ushauri kwa nchi yetu ya Tanzania kwa kusema hata viongozi wetu nawashauri kufanya hivi , au mnataka afanyaje yani
@TalesofNasinka
@TalesofNasinka Ай бұрын
Kazi nzuri sana Dj SMA🎉🎉🎉🎉🎉
@user-ql7wu9vm5s
@user-ql7wu9vm5s Ай бұрын
Merci mon frere. From France
@waendaotvcom204
@waendaotvcom204 Ай бұрын
Mbona usitoe huu ushauri kwa raisi wako... au unaogopa kutekwa😂😂
@MsAggie5
@MsAggie5 Ай бұрын
Hana mwanasheria 😂😂😂
@MsAggie5
@MsAggie5 Ай бұрын
Hana mwanasheria 😂😂😂
@sund2553
@sund2553 Ай бұрын
kuchambua ya watu tu ya nchin kwake kimyaa juzi katekwa kijana na kupelekwa kituo cha police lkn kimy hakuna hat chomb cha habar wamejitokeza kuhoji ,badget ya Tz ilitoka mlivyo wanafik hata kutoa elimu watu wapate uelew kimya ila ya nchi za jiran mpo busy kuelezea watu 👎🏿👎🏿👎🏿
@Fgldesigns
@Fgldesigns Ай бұрын
Si kuna muda anashauri Afrika nzima au hujasikia... Anamtaja Ruto sana kwakuwa yuko kikaangoni
@musalumbi8490
@musalumbi8490 Ай бұрын
Ruto alikuwa amelala Gen Z wakamwamusha🤣🤣🤣
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Ай бұрын
dah ama kweli...😂
@rogersanga3235
@rogersanga3235 Ай бұрын
nikisikia shalom..na download zangu naenda kuangalia nyumbaniiiiii
@AliAbdallah-yo8dx
@AliAbdallah-yo8dx Ай бұрын
Hapo kwenye ufisadi, atakapo fukuza na kuchukuliwa hatuwa mafisadi, mm nitampa kura yangu tena....🫡
@liannnjery9037
@liannnjery9037 Ай бұрын
Sns always on top of it's game,great analysis Sam.
@NdovuDentalClinic_
@NdovuDentalClinic_ Ай бұрын
Kumbe DJ anaweza kuwa Mbunge , keep it up bro. Shida ukiingia mjengoni usije kaa kimya😂👍
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 Ай бұрын
Umeona mbali bro, tunahitaji MP wa hv tz ila wawe opposition
@BakariMbamba
@BakariMbamba Ай бұрын
Tatizo mafisadi ukiwa mjengoni ukiyapinga yanakuuwa
@Is-hakaAbdallah
@Is-hakaAbdallah Ай бұрын
Big up bro
@khamisshee803
@khamisshee803 Ай бұрын
Waalekum musalam warahmatullah wabarakatu AKA BACHUCHU MOMBASA 001 +254
@dottomabula7253
@dottomabula7253 Ай бұрын
Exactly, Outsourcing
@michaeljuma7764
@michaeljuma7764 Ай бұрын
Very very nice dj sma. Then In Kenya, a "confidential budget" refers to funds allocated for activities deemed sensitive or of a national security nature, which are not openly detailed in public financial statements. These budgets are often managed by security agencies such as the National Intelligence Service (NIS), the military, and sometimes other government departments. The specifics of how these funds are used are typically classified to protect national security interests. Consequently, oversight and accountability mechanisms for confidential budgets can be limited, raising concerns about transparency and potential misuse of funds.
@djsma255
@djsma255 Ай бұрын
Thank u very much for this nice explaination
@djafro8729
@djafro8729 Ай бұрын
Huyu jamaa wa fuse and logic atampoteza. Mimi ni mkenya najua ruto mzuri. Huyu jamaa wa logic hawezi sema kitu mbaya kuhusu Putin ama Ruto
@user-qb8fx9np5x
@user-qb8fx9np5x Ай бұрын
Goodwork
@abudoeugenio6903
@abudoeugenio6903 Ай бұрын
Apo kwenye kununua magari tuko pamoja. Viongozi wetu 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 sisi wamekuwa vichaa, eti wanaacha kununua madawati na madaftar , madawa mahospitalini, kutengeniza mabarabara, wao kila mwezi kunuriana magari. Yahni hakuna nchi yenye uwongo mpuuzi kama nchi yetu🇲🇿🇲🇿😭😭😭😭😭😭.
@sosbrayantbenjamin9701
@sosbrayantbenjamin9701 Ай бұрын
Upo sahih coca cola pia tunafanya hvo magar tume rent
@michaelseti3475
@michaelseti3475 Ай бұрын
confidential budget ni budget kwa ajili ya usalama wa taifa {specifically NIS ya kenya, ila its powers zinakuwa extended to MPS, na members of cabinet, mfano paying for vital information , ila so far hawa MPS wana imissuse, ili wajilipe hela, ndomana watu wanataka iondolewe sincerly MIKE BEATS
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 Ай бұрын
Ruto must gooo
@dottomabula7253
@dottomabula7253 Ай бұрын
Dj sma is very smart
@bongomastory791
@bongomastory791 Ай бұрын
Kuishauri Kenya tu Tanzania aaah
@appolonation
@appolonation Ай бұрын
Dj Sma Ruto Ni Muongo Sana Anataka Watoke balabalani Awafunge wachache na habadilishi kitu 😂
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 Ай бұрын
Tupe fact ya uongo wake!
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Ай бұрын
Ruto ni mhuni
@dylankanyubi3700
@dylankanyubi3700 Ай бұрын
Mbona?
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Ай бұрын
hii Ilicit Financial Flow iko kwetu Tanzania sana. 10 months ago Madam President aliiongelea ikiwa sourced Mtwara kikipanda mpaka west Mara region..na huo ni mfano tuu
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 Ай бұрын
Duh mnanunuaga magar mazuri sana duh,,,
@sanitakarisa9660
@sanitakarisa9660 Ай бұрын
Dj sma baado hujamjua huyu Wiliam ruto vizuri, nikama umemjua juzi tuu. Na ukitaka kukubaluana na wakenya wote mfuatilie kwa muda mrefu . Hata Julius Malema (south Afrika) anamjua Wiliam ruto ni muongo
@WazirBoy-fe5ew
@WazirBoy-fe5ew Ай бұрын
Mimi kwa kipindi kifupi tu nimemjua huyu mtu ruto
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 Ай бұрын
Kivipi. Twende kwa facts sio mihemko. Uongo upi?
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Ай бұрын
Hujaeleweka, hajamjua kivipi? Mbona kama vile wakenya hamjulikani mnataka nini? Kwahyo unataka kusema aliyoyangea Dj Smaa ni uongo? Elewekeni mnataka nini wajinga ninyi. Mim nilijua mnatuchukia utendaji wa serikali kwa ujumla kumbe mnamchukia Ruto personal.
@zaggytv7012
@zaggytv7012 Ай бұрын
​@@rumdeesonsoa1811 Ana maana Kwa dj sma hajajua kwamba ruto ni muongo kupitiliza,, kwamba amfatilie hapo nyuma ndio atajua ruto ni mtu wa aina gani,,mwanzo Mimi yote aliyoyasema naona anakulia TU wananchi njaroo
@user-dg7wf6fg2j
@user-dg7wf6fg2j Ай бұрын
Kenya wamechoka yatazunguka Africa walianza warabu zamu ya africa
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 Ай бұрын
@dj sma should an african governments advisor
@NdovuDentalClinic_
@NdovuDentalClinic_ Ай бұрын
Zakayo ana mbinu 😂😂
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Ай бұрын
Kwastail iyo wakenya walikuwa wanampenda Sana magufuli na utendaji wake..mana ilikuwa dhahabu yetu...mungu amlaze mahali pema pepon
@kagoyemwambal9061
@kagoyemwambal9061 Ай бұрын
Wana Raha mpka vouch..wananchi wadogo wanaumia
@SAYMOEKARIM
@SAYMOEKARIM Ай бұрын
Africa tunatofautiana majina ya nchi ila viongozi wengi ni vubaraka 89%
@jeremiahmsemwa8323
@jeremiahmsemwa8323 Ай бұрын
Ruto ni mzuri sana wa speech, lakini sio vitendo. Anawafariji tu.
@ShabanKarim-tv3vn
@ShabanKarim-tv3vn Ай бұрын
Mbona kauza inci hakusema marekani siku sinyingi wataleta vitæ kubwa Kenya
@sophiemuthoni9841
@sophiemuthoni9841 Ай бұрын
We want the MPs senators ..cas governors and top government top dogs salaries slashed…
@shabanimataka8418
@shabanimataka8418 Ай бұрын
Dj smaa na nchi yetu unaiyambia nn au uku akuna shekh?
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Ай бұрын
Dj smaa uchambuzi wako ni kuntu,wana Kenya wamethubutu,sasa Ruto analo hata awe muongo kuliko shetani,hatoboi bila kutekeleza matakwa ya wananchi. Utapanyaji wa mali na kodi unaofanywa na watawala wa Kenya ndiyo yanayofanyika Afrika,East Afrika,hata kwetu Tanzania kwa miaka yote. Sasa kuna usemi:Mwenzako akinyolewa,..... Marais wengine wa east Afrika wajipange wasifikirie wananchi wakiamua watajali mauaji yao kwa risasi yatawarudisha nyuma wataua lakini watajiharibia zaidi bora waingie mezani na waliowachagua wakubaliane, waondoe uchafu wao,kila mtu aheshimu haki,sheria na katiba iliyowapa ridhaa kupitia watu! Mungu ibariki East Afrika,ibariki Tanzania
@user-nk4oq4ek9y
@user-nk4oq4ek9y Ай бұрын
Apo ni kweli bro wanatanuwa wabunge kisa inatosha plz
@dylankanyubi3700
@dylankanyubi3700 Ай бұрын
Sasa kutoka hapa, tuende wapi? Jumuiya ya Afrika Mashariki? Ama nini labda?
@hameedm8361
@hameedm8361 Ай бұрын
Confidentian budget matumizi ya serikali ambayo hayana uwajibikaji au accountability,
@marymayeye5940
@marymayeye5940 Ай бұрын
DJ, usijifanya wewe unajuwa sana mambo ya wakenya pls tuwachani ya kwenyu hamyaoni ? Wakenya HATUPANGUNGE.
@Khalidniya380
@Khalidniya380 Ай бұрын
Acha kisirani wew nani amekuleta hapa Acha ujinga
@Moseskoome-l1t
@Moseskoome-l1t Ай бұрын
wewe acha ufala dj smaa sisi Kama 🇰🇪🇰🇪tunampenda tunamkubali Nani mkenya mwenzetu na hapa ni nyumbani usije kujifanya hatujui umetoka wapi ghasia Kama wewe
@tawfiqsaid4918
@tawfiqsaid4918 Ай бұрын
Mfumo wa Logistics sio mzuri kwa usalama wa viongozi.
@victorwilliam1111
@victorwilliam1111 Ай бұрын
Awafirisi Wala Rushwa
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 Ай бұрын
@dj sma serikali yetu ina manyanyaso sana hasa kwa walimu, madaktari na Polish na ndio maana ruto hakuliongelea hilo jambo la kupunguza mishahara
@aidanmbilinyi8184
@aidanmbilinyi8184 Ай бұрын
Huu uchumbuzi ni mzurii vipi kuhusu nchini kwwtu mpo kimya
@kungugeni
@kungugeni Ай бұрын
Wakenya kitu kingine mhipinge NATO nishilika la majambazi linapola Mari za nchi. Pia litavuluga amani ya nchi kazi Yao NATO ni kuvuluga. Amani ya nchi usika Ili wapate laslimali za nchi
@bennygwasa4563
@bennygwasa4563 Ай бұрын
Wachache wanajua hilo
@hadahada4546
@hadahada4546 Ай бұрын
DJ SMS wacha ujinga ubmwa ww dj
@hadahada4546
@hadahada4546 Ай бұрын
DJ mjinga Sana sma
@shabanimataka8418
@shabanimataka8418 Ай бұрын
Wewe umezidi kuliko yy
@fahamnitwahir9249
@fahamnitwahir9249 Ай бұрын
Ninachojua hii ni opposite yaan ameambiwa na rais wa tz
@ibrahimsalim6835
@ibrahimsalim6835 Ай бұрын
Magari ya police ya Kenya yote yakukopwa huyaoni yote mapya sikuhizi but very expressive almost ksh15000/= per Day inafanya kazi
@ibrahimsalim6835
@ibrahimsalim6835 Ай бұрын
Corruption hawezi ingilia Kenya inaendeshwa na judiciary ambao yeye asema ikohuru kaiachia wahusika
@user-pt8wo4ss2p
@user-pt8wo4ss2p Ай бұрын
Kwa viongozi wa juu kuanzia wabunge makatibu wa wizala makamishina
@babemris2963
@babemris2963 Ай бұрын
Unamjua ruto nauongo wake ndugu??
@mussajuma7460
@mussajuma7460 Ай бұрын
Ruto aseme afanye lolote ila lazima asepe maana kenya hatakiwi
@IdeaIncubator_id
@IdeaIncubator_id Ай бұрын
Dj sma, vifungu vya confidentiality kwenye mikopo hayo ni matakwa ya mkopeshaji kwasababu suala hilo lipo kibiashara zaidi na ushindani katika Soko la fedha. So ni either uchukue na masharti au uache ukapambane na hali yako. Mfano, wachina hawataki mikataba yao iwe hadharani kwasababu ya uhasimu wao na nchi za wests, hilo pia lipo katika benki kubwa za kibiashara zinazokopesha Serikali duniani...Creditors wanapatikana kwa njia ya competitive bidding or ushindani...kuweka mkataba hadharani means unatoa siri ya kamb kwa kuonyesha the way financing ilivyokua structured etc. Kusisitiza ni nchi kufuata debt transparency framework iliyochini ya WB ambayo inataka kila nchi kutuma taarifa za deni na kuziweka wazi kila mwezi public. Sehemu pekee yakuweka mkazo katika nchi za Afrika ni kwenye miradi maana hapa studies nyingi zinaonyesha absorption capacity ni ndogo sana na hapa ndipo pesa zinapopigwa.
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 Ай бұрын
Nashindwa kuendelea kuwatch kuanza kusikiliza hizo hella inchi zetu zinapoteza ambazo ni zaidi ya madeni tunayodaiwa
@robertnkyalu3241
@robertnkyalu3241 Ай бұрын
Muwe mnachambua na maovu ya nchi yetu sio za wenzetu hiyo sio sawa Kama kweli ninyi ni wapenda haki na watetezi wa mfumo gandamizi wa kimagharibi
@chande2k250
@chande2k250 Ай бұрын
Dj sma hujawahi kuniangusha serikali zetu zingefanya hivyo hz kesi zicngekuwepo Mkuu wa wilaya au engineer kupewa V8 haya ni matumizi mabaya sana ya madaraka
@user-pt8wo4ss2p
@user-pt8wo4ss2p Ай бұрын
Mishahala wapunguze kwa %40
@dottomabula7253
@dottomabula7253 Ай бұрын
Dj sma nafuata nyayo zako
@braysonminja
@braysonminja Ай бұрын
Mbona kwa tz uongelei
@mytelecom2019
@mytelecom2019 Ай бұрын
utamuazima mwanasheria wako?
@yasminmustafa2282
@yasminmustafa2282 Ай бұрын
Anajua hatapata likes...Tanzanians don't like civic education kazi yanga na mondi
@yakoubfaki2026
@yakoubfaki2026 Ай бұрын
Sasa tungepata hisabu ya matumizi ya mapunguzo yote haya yaliyo fanyika then tujiwe katika mapunguzo ya hizi idara matumizi mengi so hizi billion 346 tujuwa zimebaki ngp ili tukope au kupunguza budget, cause km kuna mapunguzo katika izo sehemu nyingi bc kuna pesa nyingi zitakuwa free hazina matumizi tena.
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv Ай бұрын
Sasa mbona na kawapandishia mishahara wabunge wake
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 Ай бұрын
Fake news
@yakoubfaki2026
@yakoubfaki2026 Ай бұрын
Cause Kama tumepunguza matumizi mingi je kwel ndio billion 346 ndio bado zinahitajika km zilivyo apo tuwekane sw
@abdalahngozi5455
@abdalahngozi5455 Ай бұрын
Iyo ni ile majambazi wanaiba bank million 20 alafu bank manager anatangaza pesa zilizoibiwa ni million 120 😂😂
@animalchannel296
@animalchannel296 Ай бұрын
#we stand with Ruto Ruto must stay
@niffonlinetz7214
@niffonlinetz7214 Ай бұрын
UNAKATWA NA MAJINI
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Ай бұрын
Ruto hawzi kuongelea ufisadi na wafisadi maana yeye mwenyewe ndie fisadi wa mwanzo,
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 Ай бұрын
Hayo mapendekezo uliyoyataja ni kwa nini usimueleze Rais wako wa Tanzania. Imeandikwa "Ondoa kibanzi katika jicho lako kabla ya kupangusa TONGOTONGO kwenye jicho la jirani yako". Mbona Viongozi Wakuu na Wabunge wa Tanzania wana mishahara na marupurupu karibu sawa na wa Kenya unaowashauri wapunguziwe Mishahara na marupurupu yao!!??
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official Ай бұрын
Jamani rais na huongozi mzima wa Tanzania 🇹🇿 sibora waige kutoka kenya harafu kwanini wanini waajiliwa serikalini niwale wale harafu mafisadi watu wameisha kua wazee wameisha iba vyakutosha Jamani navijana wana Elimu yakutosha nahawapewi kazi?chugueni vijana walio maliza shule damu bado inachemka waitumikie nchi yao,wapumzishe hao wakina makonda wameisha iba vyakutosha
@mohammedshishishi6375
@mohammedshishishi6375 Ай бұрын
Jana likutafuta umwambie ruto ayo maneno
@djsma255
@djsma255 Ай бұрын
I wshi i could talk to him directly
@niffonlinetz7214
@niffonlinetz7214 Ай бұрын
WAKENYA WANADAI RUTO NI MUOMGO MUONGO SANA NDO MANA HAWATAKI HOJA ZAKE
@ibrahimsalim6835
@ibrahimsalim6835 Ай бұрын
Mishahara yetu yanapitishwa na wabunge wenyewe kwanini yasiwe mikubwa
@djsma255
@djsma255 Ай бұрын
Kwasababu walizoea raia wanaonges bula vitendo ila raia wa kenya wamewafundisha funzi so anmini this time they wnt be arrogant!
@qasimk2390
@qasimk2390 Ай бұрын
ukimuangalia kwa sura tu unajua kua ruto ni muongo na ni kibaraka wa nchi za magharibi na ni mshenzi
@mohamedabdulkadir6186
@mohamedabdulkadir6186 Ай бұрын
Haezi fukuza wafisadi juu wafisadi wote ni washkaji wake wa mbavuni
@saivellybrutally2994
@saivellybrutally2994 Ай бұрын
Tanganyika sisi tuko wap ndio migano iyo.
@pantaleolaurentlaurentkavu2011
@pantaleolaurentlaurentkavu2011 Ай бұрын
Ushauri wako ni porojo.tu.utawala.popote ni eneo gumu.linahitaji kuwa na fedha nyingi.sawa na baba mwenye nyuma.
@dottomabula7253
@dottomabula7253 Ай бұрын
Jiadae nitakuwa mfuasi wako
@aminakenea9614
@aminakenea9614 Ай бұрын
Ruto ni maji yanafuata mkondo wa marais walitoka, woooote niwakosefu wa imani wamebeba tu uuwizi ( ILA WAJUE MUNGU HALALI DAMU ZA WANANCHI ZITAWAELELEKA )
@ibrahimsalim6835
@ibrahimsalim6835 Ай бұрын
Mishahara hapa Kenya imeshinda USA huyo Ruto alipwa kushinda Biden ukweli kaka sio kuchochea Fanya utafiti
@djsma255
@djsma255 Ай бұрын
Nimejaribu jutafuta nimekosa mishahara ya wabunge wa africa na wa duniani sijapata
@truemanfrank1332
@truemanfrank1332 Ай бұрын
Ruto seees far ruto must stay
@yasminmustafa2282
@yasminmustafa2282 Ай бұрын
Lakini in all honesty una tuadvise as who?do you know you will mever find any kenyan platform imekalia siasa ya tz hivi..DO BASIC EDUCATION TO YOUR CITIZENSeven if you get 2views it's atleast a step to the right direction..
@novusengineering_tz4523
@novusengineering_tz4523 Ай бұрын
Djsma, mbona nimemsikia mara kadhaa Ruto akihubiri kuwesesha vijana kwenda nje kufanya kazi. Do you think ni sawa, why tupeleke nguvu kazi nje kujenga uchumi wa wenzetu kwa kigezo cha wao kufanya kazi na kupata hela. Am sorry, mm ni mfuasi wa falsafa ya PAN AFRICA, nafikiri anapaswa kujenga uchumi, vijana wake wafurahie kukaa nyumban na kujenga uchumi nchi instead kuona ufarahi vijana kufanya kazi ya nchi. Tutakuja kulia kama wajapani sasa kwa baadhi ya maeneo hasa ya vijijini kutokuwa na watu kwa kigezo cha kufanya kazi ugaibuni
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
Elimu mbovu inatusadia sana kuleta Amani Tanzania Asante sana serikali yangu tungewafungua hawa watu yangetukuta ya kenya
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 Ай бұрын
Hujui unachoongea vipi botswana wana elimu mbovu, vipi kuhusu south Africa wana elimu mbovu vipi kuhusu Naigeria wana elimu mbovu, je umeshaona botswana wanaandamana kiholela? Kinachotokea Kenya ni ahadi zote zilizoahidiwa na serikali hakuna kilichofanywa hata kimoja zaidi viongozi kujilipa pesa nyingi na kuongeza mpaka bei ya mkate na vitaulo vya wanawake, hivyo amehushishwa kulipa kodi ya juu mno mpaka mtu wa chini kabisa ikiwa watu wa serikalini hawalipi kodi na mishahara yao ya juu, sasa embu sema Tanzania tunaandamia nini kwa mfano, tulitaka ndege za kimataifa sasa tunazo tulitaka tren za haraka na usafiri wa uhakika tunazo tulitaka umeme usiwe wa mgao sasa bwawa linakaribia kuisha sasa lipo 98% tulitaka madaraja ya juu kupunguza foleni mjini sasa yapo tulitaka uborweshwaji wa hospitali sasa zimeboreshwa kila mkoa na kujengwa nyengine, na hata upandaji wa kodi kiasilimia haulimgani na majirani ingawa hatuwezi kukwepa ukweli maisha yamepanda sana hata nchi za ulaya na duniani kote sasa ndio maana wanalipa kodi kwa njia ya credit card ambayo ni ngumu sana kama ingekuwa hivyo kwetu unalipa madeni mpaka unakufa, mfano nchi niyopo nimefika soda ya kopo ilikuwa elf moja ya nyumbani na sasa ni elfu mbili ila huwezi ona watu wakiandamana na hospital bure ila gharama za madawa pharmarcy ni kubwa mno na hsp za pruvate ni juu mno kulingana na kwetu, me nadhani miradi ikisimamiwa vizuri na kodi zikitumika vizuri basi maisha yatakuwa nafuu na si swala la elimu, alijaribu magufuli akaitwa diktekta, leo Kenya imepunguza safari za kimataifa.
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 Ай бұрын
Elimu mbovu elimu bzuri haiwezi tufikisha popote kama hatuna nia thabiti na kuacha ubinafsi wa kujilimbikizia mali kuiba mpaka vya akiba ya uzeeni na wajukuu ingepitishwa tu sheria mtu atakae patikana na utapeli ufisadi matumizi mabaya ya ofisi za serikali matumizi mabaya ya pesa za uma, hawa watu wakishikwa na hatia basi hukumu yao iwe kunyongwa au kifungo cha maisha jela hakuna kukata rufaa kama ushahidi umekamilika, na hata kama ushahidi haukukamilika watu wote wa serikalini na binafsi wafwatiliwe mali walizo nazo na ulipaji wa kodi kama haulingani jela miaka 15 kukwepa kodi ni kuhujumu uchumi.
@3erffeoui86
@3erffeoui86 Ай бұрын
mwamba HII ni PR SPEECH WE KNOW THIS GUY DEEP DOWN FROM HIS BEHAVIOUR
@yasminmustafa2282
@yasminmustafa2282 Ай бұрын
Why dont you do this analysis about your own tz govt🙄what are you afraid of..why dont you docivic education in your own budget ilipitishwa juzi tu..lakini myofo nyofo kenya..utawafunza lini watanzania kuhusu sisa za kwenu..THE MORE I LISTEN TO YOU THE MORE AM CONVINCED YOU ARE JUST COWARDS.. why dont you use your platform for civic education...ohhhhh nimejus unajua hutapaya views😂😂😂😂
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Ай бұрын
Bajet ya tza nayo hovyo kabisa, ila kimyaaa
CHECHE ZA ALI KAMWE BAADA KARIAKOO DERBY/SIKIA MWANZO MWISHO
6:24
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 13 МЛН
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 116 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 26 МЛН
Подстава от Ниссан! Сделал ТО - убил тачку :(
1:59:43
ИЛЬДАР АВТО-ПОДБОР
Рет қаралды 1,2 МЛН
T55 Narxi 23 900$ 📞95 155 03 00 | 📞91 033 03 03
0:18
China Avtouz
Рет қаралды 8 МЛН
Пёсику Подарили Мопед 😍
0:21
ДоброShorts
Рет қаралды 306 М.
MOBIL AKI AZHIRA #shorts #mobilaki #car #mainananak
0:19
AZHIRA SYAFIA
Рет қаралды 9 МЛН
Be kind #car #corvette#funny#c8#ferrari #foryou #mycar#prank#corvettec8 #lamborghini #shorts
0:34
Eidan Sanker / Don’t Touch My Car
Рет қаралды 20 МЛН