No video

Huyu ndiye MMILIKI wa VYOMBO VYA NEEMA na ARUSHA DIAPERS, alivyoanza utahamasika, anasomea MASTERS

  Рет қаралды 6,910

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Arusha Diapers Instagram - www.instagram....
Vyombo vya Neema Instagram - / vyombo_vya_neema
Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
play.google.co...

Пікірлер: 26
@annamnyari7127
@annamnyari7127 6 ай бұрын
Nimefurahi sana kumuona Neema, nimesoma naye Neema shule ya msingi Makole, Namshukuru Mungu sana kumuona, Hongera sana Neema, mimi ni Anna .
@ZainabJolie
@ZainabJolie 6 ай бұрын
Nmempenda sn huyu dada mkarimu sn mashallah. Allah azidi kunfungulia milango ya barka Ameen . ❤
@aminarashidi5649
@aminarashidi5649 6 ай бұрын
Thank you,neeema na Sky kwa interview nzuri ya kuelimisha na nimejifunza kitu🙏
@nicasmtei1749
@nicasmtei1749 6 ай бұрын
Hongera sana young Sis Ney. Endelea Kubarikiwa.
@evaemil856
@evaemil856 5 ай бұрын
Ushauri mzuri, Sana. Ukianguka futa vumbi, jipanguse, endelea. Mtegemee Mungu, bila Mungu hutoboi. Fanya kazi kwa bidii, kuwa mwaminifu na mteja ni zaidi Ya mfalme. Neema, you can be a Pastor too.
@marymkonyi5922
@marymkonyi5922 6 ай бұрын
Well done Neema. Vyombo vyako vizuri sana. Mimi ni mteja wako
@mariamdullazy8166
@mariamdullazy8166 6 ай бұрын
❤nimejifinza Asante nami siku moja nitakuja hapo kuhamasisha kama neema Insha'Allah 😊
@theoriginals3240
@theoriginals3240 6 ай бұрын
Hongora boss wangu neema. Nakumbuka ulinipa kazi ya kupendezesha nyumba yako kwa kuweka baluster❤🎉
@nicasmtei1749
@nicasmtei1749 6 ай бұрын
nimewatch yote. am inspired na hatua za Neema. Keep it on my dada
@hadijagere
@hadijagere 6 ай бұрын
Me to
@evaemil856
@evaemil856 5 ай бұрын
Hongera Sana Neema. Pia umefanya interview nzuri sana you hit to the business and inspire others. I like that you did not talk politics, mama anapiga mwingi, Asante Sana mama etc. Wao wameshatoa, elimu umepata now ni sisi kujiongeza na wengine wajifunze. Asante pia sns sky.
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 6 ай бұрын
Mungu kwanza katika mambo yote,nimeipenda hiyo pongezi kwako dada kwa sala na kazi.
@peninahkajura9083
@peninahkajura9083 5 ай бұрын
Nimekupenda Bure🙏
@nicasmtei1749
@nicasmtei1749 6 ай бұрын
Habakuk 2:2-3 SUV BWANA akanijibu, akasema, Iandike njozi ukaifanye iwe wazi sana katika vibao, ili aisomaye apate kuisoma kama maji. Maana njozi hii bado ni kwa wakati ulioamriwa, inafanya haraka ili kuufikilia mwisho wake, wala haitasema uongo; ijapokawia, ingojee; kwa kuwa haina budi kuja, haitakawia.
@salviuseva
@salviuseva 6 ай бұрын
Mimi wa kwanza naomba likes zangu
@mwajumabinwa604
@mwajumabinwa604 6 ай бұрын
😂
@halimasanga3830
@halimasanga3830 5 ай бұрын
Dada hongera sanaaa.
@yama_virginhairthequeen1065
@yama_virginhairthequeen1065 6 ай бұрын
Na follow now very humble😮
@user-ts6yb7zt8n
@user-ts6yb7zt8n 6 ай бұрын
Nice
@hellenmassawe7284
@hellenmassawe7284 6 ай бұрын
Na mimi ninaomba kuwa kwenye grp jaman
@vom84
@vom84 6 ай бұрын
Wanawake wa hiv wanakuwaga na akili, ni wajanja sana.
@asmahhamis9416
@asmahhamis9416 5 ай бұрын
Hivi tunawapataje kuna simu au email
@user-uv5tj4nu8o
@user-uv5tj4nu8o 6 ай бұрын
Big up ney,,,lkn kuna kitu nime notice kwako,unaiba mawazo ya watu wako wa karibu maana idea zote mbili hazikua zako,n za rfk zako...watu kama wew ndio hufanya watu wasishee idea zao za biashara kwa watu wao wa karibu
@Mwananchii
@Mwananchii 6 ай бұрын
Kwamba na hao rafiki zake wao ndo wakwanza kufanya hizo biashara!? Riziki anatoa Mungu so chill. Na by the way rafiki zake walikua okay kushare!!
@marymkonyi5922
@marymkonyi5922 6 ай бұрын
Umemwelewa tofauti, rafiki yake alikuwa anaiza brand yake? Rafiki kununua kuna ubaya gani? Hata kama angechukua haiziii rafiki zake kuendeleza biashara zao. Wateja ni wengi unahitaji mbinu kuwa pata au kuwa maintain
@MagrethKessy-fj1ul
@MagrethKessy-fj1ul 6 ай бұрын
Nikisikia mtu anaitwa somebody Mosha moja kwa moja ninamuonaga ni ndugu yanguwakin mosha tupo wachache sana
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 47 МЛН
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 20 МЛН
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 47 МЛН
DUKA LA VYOMBO
0:47
Kuhan2d Studios
Рет қаралды 449
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 47 МЛН