PUTIN ataka apewe maeneo haya 4 ya UKRAINE ili aachane na VITA! KYIV wadai huo ni UPUUZI kamili

  Рет қаралды 28,585

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Ай бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 290
@donaldmgunda4970
@donaldmgunda4970 Ай бұрын
Hayaaa endereenii kuuwaaa wenyewe kwa wenyewe sisi hatuna. Tatizo
@Gulfnas1
@Gulfnas1 Ай бұрын
Urusi haijawahi kutaman kuiteka Kiev coz ni kazi ndogo
@TuyageComcast
@TuyageComcast Ай бұрын
Inatamanii sana lakin haiezii baba,,,,,
@kibwamoko8767
@kibwamoko8767 Ай бұрын
​@@TuyageComcast Hayo majimbo manne aliyoyashikilia Urusi, miaka ya nyuma enzi za USOVIETI yalikuwa ni sehemu ya Urusi ila alimuachiaga Ukraine. Ukraine alipoanza kuleta upuuzi wake wa kujiunga nato ndio Urusi kaamua kuyarudi maeneo yake. Hana nia na Kyiv haimuhusu. Hayo majimbo aliyoyashikilia yana Warusi na wengi wao wanaongea lugha ya Kirusi.
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
KAZI NDOGO ILISHAFIKA KIEV UKUMBUKE ILIVOINGIA TU NA IKAPIGIKA NA KURUDI ILIKO, ITATAMANIJE MJI MKUU WA WENZIE KICHAA KABISA NA HALITOSHEKI NCHI YA URUSI ILIVYOKUBWA VILE PUUUUH 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@magorymara5515
@magorymara5515 Ай бұрын
Wakiamua kufanya chukua Kiev kwa mabavu wengi watakufa kwa mabom mazito ya kupigwa Kiev si vema kutumia njia hiyo itakuwa kama Gaza bora waende na malengo hayo yakutoitaka Kiev ​@@atutweve4160
@valentinesyekeye6846
@valentinesyekeye6846 Ай бұрын
​@@atutweve4160 kaka mbona unapotosha? Wote tuliona kwanini Kiev waliondoka au umeamua kua na team?
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km Ай бұрын
Namkubali Vladimir Putin azingatia sana sheria na history ya nchi yake
@goodluckmsoka3660
@goodluckmsoka3660 Ай бұрын
Baada ya Miaka 30 Urusi itapotea vibaya sana
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km Ай бұрын
@@goodluckmsoka3660 wewe ndo utapotea
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 Ай бұрын
Pole​@@goodluckmsoka3660
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche Ай бұрын
​@@goodluckmsoka3660 huru wa taifa lako mrusi ameusi.marekani itapotea baada ya 4
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
​@@goodluckmsoka3660ww choko ndo utapotea ila sio mtetezi wa haki urusi kiboko ya mashoga
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui Ай бұрын
PUTIN MASTERMIND KAWAPA CHANCE NYINGINE WANAMUONA KAMA FARA
@ronaldissack3338
@ronaldissack3338 Ай бұрын
Watakuja kujuta akiongeza mikoa mingine 4
@mfupakhamis9751
@mfupakhamis9751 Ай бұрын
Shetani ni dhaifu sana lkn jeuri mpaka mawe ya motoni yampate hukimbia na kilio sasa analia. Ufalme wa Mungu usimame. Amin
@saidbakar7137
@saidbakar7137 Ай бұрын
Huyo anachukuwa hela2 hana jipya anaisi vita vikiisha hatopata tena iyo hela ndiyo mn
@obestone1188
@obestone1188 Ай бұрын
Akipewa hay maeneo. Atakuja ten kuanzisha vita il apewe ten maeneo mengn. Ukrain wasiwape hat mita moja ya ardhi yao
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Ай бұрын
Imeshachukuliwa. Unasemaje
@hudumablack9339
@hudumablack9339 Ай бұрын
Mikoa mi4 ni mali halali ya Urusi. Wakubali wa katae huo ndio ukweli na Ukraine hawana chaguo ila ombaomba tu na mwishowe kusalimu amri.
@Joshuajereman
@Joshuajereman Ай бұрын
Mashoga wote wanauwa wapalestina na ndo hao wanajiita waislael ingawa wanajua taifa la mungu ni russia ko jitaidini kuelewa sisi atusapoti ushoga ko aminini ❤❤❤ russia the best one of the world
@mrshazychannel3359
@mrshazychannel3359 Ай бұрын
MasterMind
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
NO ONE BELIEVES HIM LABDA NYIE WATZ MLIOKO SWEKENI N HE IS NOT MASTERMIND TWO YEARS ANACHEZESHWA KIDALI POOO 🤣
@MujuniKamugisha
@MujuniKamugisha Ай бұрын
​@@atutweve4160NO ONE 😅😅😅😅😅😅 NI BAKORA TUUUUU NI KUWANYOOSHA TUUU MAMAE
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
@@MujuniKamugisha ni muhuni muhuni huyu baba wasomjua ndo wanamuona mwamba, hakua rais mzur kipindi chote kwa Raia wake lkn saivi ili aonekane bora kaaza kuwajali raia na pesa za misaada ya china na kungineko wamesahau mateso yote alowapitisha 😫SIFA mojaewapo ya dictator nikuwazunguka watu ili aje ainuke kinara, but no one is stupid hata mtoto mdogo anajua akili za paka zilivyo 😂😂😂😂😂
@barakashaban9698
@barakashaban9698 Ай бұрын
​@@atutweve4160wahuni wahuni ni marekani na washirika wake
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 Ай бұрын
​@@atutweve4160kwahyo marekan ndio wanajali raia wao na wanavyoandamana cjui upo Dunia gan ww Putin ndio kiboko ya mashoga
@brownshirima5924
@brownshirima5924 Ай бұрын
Hakika Russia ni super powerful
@melkizedck
@melkizedck Ай бұрын
Kachoka mbaya. Urusi hana lolote kwa sasa. Ni Mkwara tu.
@mwlpierre
@mwlpierre Ай бұрын
@@melkizedckuko sawa wanafanya propaganda
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
​@@melkizedckww choko umetokea bbc toka shoga kafirwe mbele uko
@-magicstory
@-magicstory Ай бұрын
Genius person mr puttin❤
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Ай бұрын
Urusi harujawahi kushindwa
@georgemasumbigana7434
@georgemasumbigana7434 Ай бұрын
Ujuhi history
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule Ай бұрын
Umewahi kusoma Cold war? 😂
@user-po9wi5lh1o
@user-po9wi5lh1o Ай бұрын
Kama hawataki ngoja kivu iende na itaenda ngoja wasubili
@alisalimo2861
@alisalimo2861 Ай бұрын
wao hawakushindwa siria
@pauldotto7868
@pauldotto7868 Ай бұрын
Urusi haui kama islaer akifanya hayo atakosa kuaminiwa.
@festohaule9716
@festohaule9716 Ай бұрын
Russia kamwe haita Acha vita akayechoka atakubali mwenyewe...
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
HAKUNA WAKUCHOKA HUWAJUI RANGI NYEUPE LABDA 🤣🤣🤣🤣KUKUCHELEWESHA TU NDO ZAO NA UKUMBUKE WOTE HUWAGA WABABE 😂
@melkizedck
@melkizedck Ай бұрын
Urus imeishiwa pumzi. Hawana nguvu tena.
@festohaule9716
@festohaule9716 Ай бұрын
@@melkizedck Bhasi NATO iingie vitani na Russia uone .. NATO ipo kwaajili ya kuigopa Russia sio Tanzania au Afrika....
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
​@@melkizedckww mtoto choko chukua chuma icho 🖕
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 Ай бұрын
Putin baba lao ❤❤🇷🇺🇷🇺🇷🇺 Free Palestinian ❤❤🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇰🇪
@mountaincoffee7
@mountaincoffee7 Ай бұрын
Hatujachelewa sana niwakati sasa kwenye technology kupewa kipaumbele tunapoelekea. Ttatakujabkuwa wamwisho serikali inapaswa. Ifanye ivyo. Haraka iwezekeanvyo mfano kutoa kipaumbele cha wanao somea masono ya technology kupeleka wasomi nje. Nchi tofauta kujifunza
@HamzaMbasha-xs2ky
@HamzaMbasha-xs2ky Ай бұрын
Badae asije akaanza tena kulalamika... Maana kapewa kila kitu kashindwa kuwazuia Warusi
@melkizedck
@melkizedck Ай бұрын
Kakudanganya nani? Urusi wamechoka sana. Ukraine ipo sana kivita
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk Ай бұрын
🇹🇿❣️🇷🇺👏
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Ай бұрын
Boya
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 Ай бұрын
Hahaha Putin hataki Kviv ikaliwe ili kumkaribisha marekani nyumbani kwake😂
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 Ай бұрын
Ngoja tuone
@pauldotto7868
@pauldotto7868 Ай бұрын
Pia kiev sio malengo ya urusi. Wasijifanye kutuaminisha ujinga
@SalumJuma-iz2gj
@SalumJuma-iz2gj Ай бұрын
Mtangazaji uyu namuelewa zaidi kuliko mwengine
@AjiaMohamed-rt5pb
@AjiaMohamed-rt5pb Ай бұрын
Unajidanganya
@arafahhh5574
@arafahhh5574 Ай бұрын
Ukraine inasaidiwa na mataifa mengi urudi peke yake
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Ай бұрын
Wacha waamini ni upuuzi kwasababu wameyataka kwa kudanganywa na manyang'au wao
@technicalgearboxenginebysc1360
@technicalgearboxenginebysc1360 Ай бұрын
Mtego huo
@pauldotto7868
@pauldotto7868 Ай бұрын
Ataelewa tu.
@VenanceTweve
@VenanceTweve Ай бұрын
Uraaaaaa
@OlaisMoses
@OlaisMoses Ай бұрын
G9 hawatakubali Hii Safari bado ni ndefu Sanaa jamaa anapambana na watu wengii sanaaa
@pauldotto7868
@pauldotto7868 Ай бұрын
Kama wanaamini hivo. Wakomae
@MOREDI2024
@MOREDI2024 Ай бұрын
Urusi Wana fanya uzembe wanako elekea watakuja kuzidiwa
@melkizedck
@melkizedck Ай бұрын
Hasawaaaaa!
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Ай бұрын
Sio kweli maana Putin bado hajatumia silaha kali za Russia. Kwahiyo kushindwa kwa Russia hiyo sahau.
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
Nato mashoga tu hawamuez Putin
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 Ай бұрын
Safi sana putin
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 Ай бұрын
Ukraine akikataa fursa hii Odessa inachukuliwa ukraine ibaki nchi kavu.
@melkizedck
@melkizedck Ай бұрын
Hakuna kitu kama hicho. Putin kachoka sasa hivi.
@jotafungo4622
@jotafungo4622 Ай бұрын
Safi sana Putin
@rayyanothumanmohammed8261
@rayyanothumanmohammed8261 Ай бұрын
Hii vita ni Putin vs west uwanja ukraine
@JoalAlma-ci1hi
@JoalAlma-ci1hi Ай бұрын
Ohhhhhh urus atalii atalili maviiiiiii sikilizenu apo jamaa putin anavyoleta upumbavuuu oohhhata chuku ukraine kwa siku moja wapiiiiii miez 28 tayali mavi yamembana
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 Ай бұрын
Jamaa anajua vita ikiisha hatapata hela. Ndio maana amekataa😂
@pauldotto7868
@pauldotto7868 Ай бұрын
Ni vizuri nuclear war. Inawahusu. Maana mimi binafori siwezi kujubaliana na magharibi ni mashetani wakubwa
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
🙄UNAOMBEA WENZIO MABAYA NA JINA LAKO LA KWENYE BIBLE KABISA, UNAMDHALILISHA ALOKUPA JINA 😫
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Ай бұрын
​@@atutweve4160ukweli nikwamb yoyote atakaye ungana namagharibi anatakiwa awawee😂😂 hakuna Cha jina la kwenye biblia Wala nn😂😂
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
@@deogratiusyudatadei5658 Kaue mamaako kwanza ndo urudi kuandika utopolo hapa mwanaume mzima ushalegezwa, nani aungane na magaidi wakati elegant, intelligent, classy side tunaiona? Nato is for classic people ukiwa waluwalu hutowaelewa
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
​@@atutweve4160ww choko hao nato mashoga tu kama ww pimbi kafirwe mbele uko
@SidatiKulanatz
@SidatiKulanatz Ай бұрын
Uyu Putin
@kibwetere1418
@kibwetere1418 Ай бұрын
Pootin aache tamaa ya kumega ardhi ya watu
@emanuelidamiani2943
@emanuelidamiani2943 Ай бұрын
Putin hana tamaa ya ardhi. Kwani hujui kuwa urusi ndio nchi yenye eneo kubwa kuliko nchi nyingine yeyote???? So shida wala sio eneo, shida ni uchawa wa Ukraine kutumika kwa mabwana zake marekani.
@jumaseif7514
@jumaseif7514 Ай бұрын
Kama hawataki basi hatakuja kuongea tena haya manene ya kutaka amani.. Badala yake watakuja wenyew kuomba arudie hii kauli .. Putin bendera chuma mlingoti chuma ooyi oyi..
@hamisimahenge5807
@hamisimahenge5807 Ай бұрын
Katika Dunia hii, hakuna Rais hata mmoja anayekubali/atakayekubali kuachia eneo la ardhi ya NCHI yake kirahisi rahisi kama Putin anavyotaka
@goodluckmsoka3660
@goodluckmsoka3660 Ай бұрын
Nakweli huo ni upuuzi kamili
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui Ай бұрын
SASA HIYO CHANCE UKRAINE AWAIPATI TENA NAKICHAPO KIKALI WATACHAPWA
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
HUJAWAJUA HAWATAKI CHANCE HAO KAMA MUISRAEL WEWE SHAURI YAKO KUNA WATU WAZALENDO NA HAWAOGOPI KIFO SIO SIS TZ TUTAVOKIMBIA NA KUACHA MAJUMBA YETU
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Ай бұрын
​@@atutweve4160wameshikiwa tu akili ww nani asiyo ipenda amani ww bwana hiyo G7 wapi umeona nchii zao wakipigana amka ww mjinga Kama nyiee ndiyo mnatuleteaga balaa kwenye mataifa yetu hasa Africa
@PetroMpunga-rt7hv
@PetroMpunga-rt7hv Ай бұрын
We we mpuuzi, wale in wazungu, watapambana mpaka tone LA mwisho LA damu, urus anakwenda kuwa taifa LA kawaida😅😅😅😅
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Ай бұрын
@@PetroMpunga-rt7hv ndiyo maana mnauzwa kila siku kwa sababu mnaamini mzungu nikila kitu nakweli ni kila kitu Kama anaweza kukupa dawa ya swaki alafu akakufira 🤣🤣🤣🤣
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui Ай бұрын
@@PetroMpunga-rt7hv Nani kakwambia Russian taifa kubwa utaona wanavyo hazibiwa
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 Ай бұрын
Viva Putin, Uraaaaaaaaa 👏👏
@geofreybakina6010
@geofreybakina6010 Ай бұрын
Ngumu na akili,ngoja tuone mwisho
@RajabuHussein-to7jz
@RajabuHussein-to7jz Ай бұрын
Acha uruss iwanyuke hao mafara
@melkizedck
@melkizedck Ай бұрын
Putin kachemka
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui Ай бұрын
ANAONA KAMA ATASHINDA VITA KWA MRUSI
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 Ай бұрын
Aisee braza putin wapelekee moto mpaka wajue mi na wewe ni mabraza😂
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Ай бұрын
Mimi pia ni mdogo wenu 😂😂
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 Ай бұрын
Kwa nini Putin na urusi wanaiogopa Ukraine Kwa sababu waukrain Wana akili sana ni kama waislaeri
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 Ай бұрын
Soma historia vizuli ,Kwa ufupi adui yangu sitapenda ajiunge na jilani yangu nikiwez kumuamisha jilani nitafanya Ivo Kwa usalama wa familia yangu
@amirinestory
@amirinestory Ай бұрын
sijawahi kuona comment ya kijinga kama hii😂
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
tangu lini mashoga yakawa na akili
@frolianmkumba2604
@frolianmkumba2604 Ай бұрын
Hata sadamu alitamba hivyohivyo
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Ай бұрын
Tofautisha Russia na hizi mataifa ya kiarabu, Russia ni taifa kuu la kaskazini. Iko kwenye Biblia. Ndo taifa litakalopiga Israel.
@user-fl1xz3ln3c
@user-fl1xz3ln3c Ай бұрын
Russia baba lao
@melkizedck
@melkizedck Ай бұрын
Baba gani hashindi vita? Baba kachoka. pumzi hana tena.
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
​@@melkizedcknato mashoga ndo wamechoka choko ww
@user-nv7jg6xc8l
@user-nv7jg6xc8l Ай бұрын
Nchi moja inapigana na NATO na Marekani na Ukraine 😂 wewe huogopi
@happymrema7487
@happymrema7487 Ай бұрын
Yan zelesky anadanganywa
@BenPeter-vp2cy
@BenPeter-vp2cy Ай бұрын
Puttin yuko mbele ya muda yani apa kawavuruga wote hoja zilizowapeleka kwenye mkutano wao hawatapata muda wa kuziongea tena😅😅😅
@jaystrongmagaboy1633
@jaystrongmagaboy1633 Ай бұрын
Urusi inapambana na Magharibi ndani ya Ukraine.
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 Ай бұрын
Na ukreine inapambana na urus iran na china
@festohaule9716
@festohaule9716 Ай бұрын
Russia imeshindwaje wakati Russia ilishaukaribia Mji Mkuu Kwa kilomita 6 tu ..wakasaini mkataka wa Amani Ili Ukreni ipate nafuu na mda wa kujibu mapigo!!!!!!
@melkizedck
@melkizedck Ай бұрын
Waongo! Urus kaishiwa pumzi anajifanya kuweka msimamo? Hawezi.
@festohaule9716
@festohaule9716 Ай бұрын
@@melkizedck Russia Nchi kubwa sana kijeshi..Na hakuna Nchi Yoyote inayoweza kupigana na Russia bila washirika....Majimbo 5 yote Yapo mikononi mwa Russia nakuna walichokomboa zaidi ya kupoteza askari na maeneo mengine zaidi!!!!
@melkizedck
@melkizedck Ай бұрын
@@festohaule9716 kwani wao urus hawajapoteza maaskari wao? Vita ni msumeno unaokata kote kote. Urus haiwez kushinda vita hii hata iweje.
@festohaule9716
@festohaule9716 Ай бұрын
@@melkizedck ..Askari wamekufa kira upande .kumbuka Wagner walipigana Bhahamut na kuuteka Mji wote ..askari wa Wagner walikufa 20,000.. hii ndio ilikuwa kazi ngumu na hatari... Majimbo 5 yapo mikononi mwa Russia... Vita ukiisha Leo nani mshindi_______??? Russia anaweza kutumia Nyuklia 2 tu Ukreni ikafutika kabisa .....
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 Ай бұрын
​@@festohaule9716vta haiwez kuisha mpaka waukaine wajikomboe, wale sio watumwa kama ulivyo wewe
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Ай бұрын
Awadanganye wananch wake mbwa uyo
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 Ай бұрын
God bless russia 🇷🇺
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
GOD DOES NOT BLESS KILLERS BUT KEEPS THEM ON HIS BOOK 📖
@YasiniMkakile
@YasiniMkakile Ай бұрын
Urusi Shujaa tunakuomba uwapige na nyuklia Ukraine mashoga
@melkizedck
@melkizedck Ай бұрын
Vita ya nyuklia ikianza hata sisi huku hatutakuwa salama. Usiombe kabisa. Halafu kama nyuklia hata ukraine inayo
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
​@@melkizedckuyo Ukraine hio nyukilia bom hana choko ww
@ronaldissack3338
@ronaldissack3338 Ай бұрын
Mtata putin
@omeraJR
@omeraJR Ай бұрын
😂😂 hayo masharti hata mwendawazimu hawezi kubali. UKRAIN wanapambania nchi yao hivyo morale ipo juu, kikongwe na MABAVU tu, Jeshi linaona kama kutumikishwa Ovyo na kikongwe ndo maana URUSI NA JESHI LOTE BADO WANATOKWA JASHO MIAKA MIWILI SASA😂😂😂 I STAND WITH🇺🇸🇺🇦 LIKE MY 🇹🇿 stand against 🇺🇬 of IDD
@nizarrama225
@nizarrama225 Ай бұрын
pole sana hujui kinachoendelea, Urusi inapambana na Marekani na NATO nchini Ukraine, Urusi haipigani na Ukraine maana Ukraine ilishamalizwa muda mrefu sana nandio maana unaona Marekani na washirika wake wanafanya kila wanaloliweza lakini wamechemka, lengo kuu la Marekani nikutaka kuivunjavunja Urusi ili zipatikane nchi ndogondogo hvyo hicho kitu Marekani hatoweza kamwe kama alivyoivunjavunja Yugoslavia 😂😂
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 Ай бұрын
​@@nizarrama225ISHU sio kupambana ISHU ni wewe UNAWEZA kulipa NCHI Jirani ardhi YAKO?
@nizarrama225
@nizarrama225 Ай бұрын
@@josephwilliam5813 Ukraine ni Urusi ni nchi iliyoundwa na Urusi wakati wa enzi za soviet hvyo Ukraine ni Urusi, NATO ambayo ni marekani wanalazimisha mpango wao wakutaka kuitawala dunia kwanjia ya demokrasia, wanataka kuweka kambi yao yakijeshi Ukraine ili iwe rahisi kwao kuivunjavunja Urusi nakuwa nchi ndogondogo kama walivyofanya wakati wa Yugoslavia, Urusi wapo mbele ya muda na hilo hawawezi kuliruhusu litokee hvyo Urusi ana kila haki kupambana kuhakikisha anaiondoa Marekani na NATO yake nchini Ukraine
@obestone1188
@obestone1188 Ай бұрын
​@@nizarrama225ish sio kupamban. Ish kuipa nchi jiran ardhi yako. Maan akiamua kumpa. Atakaaa ataanzish ten vita atataka ten ardhi nyengn.
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 Ай бұрын
Umeona ndugu, halaf eti kuna waafrika weusi wenye akili za utumwa wanaona ni sawa
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Ай бұрын
Anapgwa na ukrane
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
Ukraine mashoga
@juvenusniyomwungere2549
@juvenusniyomwungere2549 Ай бұрын
😂😂 amechoka
@mustafamasudi8093
@mustafamasudi8093 Ай бұрын
Nd maneno yenu kila siku lakin kichapo mnakipata
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
Putin mwamba kiboko wa mashoga
@amosmangura
@amosmangura Ай бұрын
Watakuwa mateka au watakuwa huru
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi Ай бұрын
Punguzaneni
@faustinedeogratias4337
@faustinedeogratias4337 Ай бұрын
Wanaenda ktk mkutano huku brain ikiwa distorted
@mfupakhamis9751
@mfupakhamis9751 Ай бұрын
Putin master Kawavuruga G7 na mkutano wa Uswiz. Wamekataa offer mkurungenzi wa NATO ni sawa na Johnson wa pili, Urusi sasa anachukuwa mji wa kharkov. Ufalme wa Mungu usimame Amin
@twalibulomy-cd4zd
@twalibulomy-cd4zd Ай бұрын
Putin mjanja Sana. Anajua hawatakubali, ila ni Mtego . Anapanga mashamblz makal ili Aseme "mlikataa wenywe" .
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
Putin akili nyingi
@malickabbas8271
@malickabbas8271 Ай бұрын
Viva Russia 🇷🇺
@josephemmanuel388
@josephemmanuel388 Ай бұрын
Ameanza kusalenda vikwazo vinambana sana putini
@mayombomajenga9778
@mayombomajenga9778 Ай бұрын
Mawazo duni kabisa
@kafwimbimilambo8556
@kafwimbimilambo8556 Ай бұрын
Uongo
@gwennipah9072
@gwennipah9072 Ай бұрын
Nani kakudanganya😂😂😂😂😂😂😂😂 hehehe upo dunia ipi wwe jamaa 😂😂😂😂😂😂❤❤😅😅😅😅😅 hahahaha kaka akili ni mali 😂😂😂😂😂...
@tekashisixtynin9threewithd727
@tekashisixtynin9threewithd727 Ай бұрын
Umeongea fact broo putin ashaona hali mbaya asa anasema yy taifa lenye nguvu alafu tunaona anashindwa maliza vita kwa wiki moja ukraine imesisha paka saivi anateseka😂😂😂😂
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
YES UPO SAHIHI KIUFUPI ANAPENDA UPANDE WA NATO LKN HAWAMTAKI SAABU YA LOCAL BEHAVIOR ZAKE, NATO WAPO CLASSIC HUWEZI WAELEWA UKIWA NA TABIA ZA SWEKENI HUKO 🤣🤣🤣🤣
@PetroMpunga-rt7hv
@PetroMpunga-rt7hv Ай бұрын
Mpumbavu huyo😅😅😅 ngoja apigwe na F-16
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
Nato mashoga
@charlestesha4202
@charlestesha4202 Ай бұрын
Urusi imefeli
@melkizedck
@melkizedck Ай бұрын
Hakika. Sasa urus kwisha habari yake.
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
Machoko yamekutana
@KenedyThabiti
@KenedyThabiti Ай бұрын
Upuuzi sana Putin mshamba kweli huyo raisi choko kweli
@MathiasMogoswa
@MathiasMogoswa Ай бұрын
Putin ni master mind wewe usisiamini sana habarii hizii ukwelii wanaujua warusii sie tuendelee kuenjoy😂
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
Ww choko haujui machoko niwakinanani duniani choko ww 🖕 Israel mashoga marekani mashoga nato mashoga papa shoga
@OlaisMoses
@OlaisMoses Ай бұрын
Kama Putin Ana nguvu amakamate huyo rais wa Ukrein anae pigana vitaa aache Kuuwa raia wasio kuwa na hatia
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Ай бұрын
Hiyo sio malengo ya Russia. Malengo ya Russia sio kuchukua ukrein hapana, lengo kuu la Russia ni kuangusha dollar ya marekani.
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
Ww choko ujitambui
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 Ай бұрын
Watu wenye chuk na black Americans ndo wanashangilia urusi ambayo imeshashindwa lengo lake, kilichobak labda watumie nyuklia 😂
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
Ww choko kweli black Americans ya kishoga au kafirwe mbele uko
@wilondjarama1427
@wilondjarama1427 Ай бұрын
Comments nyingi umu ni waslamu mna upuuzi mwingi nyie ivi mnaijuwa vita nyie kaulize congo na Sudan uko
@Puppet666Master
@Puppet666Master Ай бұрын
Ukiwa wapi ume pakatwa Nakupakwa Mafuta Matakoni kwako wewe 😋😋
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
KWELI NDUGU UMEGUNDUA, UKIWAKUMBUSHIA ISRAEL HAPA HAWANA HAMU 😫😊🤣
@Awatee
@Awatee Ай бұрын
​@@atutweve4160Makafiri mna shida kweli
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Ай бұрын
Mwenyew 😎😎😎
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Ай бұрын
@@atutweve4160 madak... Yako
@user-pd5hl9di2q
@user-pd5hl9di2q Ай бұрын
Mnajipa moyo Urusi anapigana na wazungu wote si aibu kwa Nato
@BenjaminMetanyau
@BenjaminMetanyau Ай бұрын
Kwahiyo putini yeye ni mweusi😂😂😂
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 Ай бұрын
​@@BenjaminMetanyaundugu yang watu wengine hawana ufaham wa ulimwengu
@BenjaminMetanyau
@BenjaminMetanyau Ай бұрын
@@ladislausngoyinde4384 labda anajua ni mwarabu 😏
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 Ай бұрын
@@BenjaminMetanyau hahaha
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
​@@BenjaminMetanyauww choko kama jina lako la kishoga shoga ujitambui urusi ndo kiboko wa mashoga
@gigoyrn4394
@gigoyrn4394 Ай бұрын
😂😂 basi kawa Ukraine hawataki Putin aje Tanzania tumpe dodoma, singida,shinyanga ,mwanza na dar kama kifungashio
@TuyageComcast
@TuyageComcast Ай бұрын
Uyu putin ako na uoga sio shujaaa bwana asitudanganye,,🤝😤
@FestoTadeol-im1ko
@FestoTadeol-im1ko Ай бұрын
Uyo nushujaaa
@user-lv1ki7nn7t
@user-lv1ki7nn7t Ай бұрын
Mbwa wewe nenda kaolewe nao hao marekani wako,basi kama vipi achana na Russia kabisa
@TuyageComcast
@TuyageComcast Ай бұрын
@@user-lv1ki7nn7t bro mimi sikubali mutu wowete hapa duniani juu kila mutu anatazama upande wake china ishinde ama urussi ishinde ndoo ama USA ishinde mimi niko na faida gani sinyuma watakuja kuniibia vitu vyangu waniache na njaaa,,,na maisha magumu Unafikili wa natuzidi nini wao sisi wa Africa tuko matajili kuwariko ni venye wanatukaanda mizaa tuu but one tuta win 🥇 tuu inshaAllh
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
​@@user-lv1ki7nn7tkwanini umtukane mtu kwa maoni yake sidhani kama ni busara
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE Ай бұрын
ukapimwe akili yako kwanza ndiyo uje ukoment
@warrenkilimber4013
@warrenkilimber4013 Ай бұрын
Yeye kama nani mbwa huyu
@gwennipah9072
@gwennipah9072 Ай бұрын
Yye kama alieshikilia roho za watu duniani.pia kashikilia roho yako ukoulipo...
@DeusRobart
@DeusRobart Ай бұрын
baba lao
@wilondjarama1427
@wilondjarama1427 Ай бұрын
@@gwennipah9072utakuwa mueslamu tu ww
@lukafbbwebelof3874
@lukafbbwebelof3874 Ай бұрын
Mbona wewe unasema hivyo wakati wale unao wahunga mkono hawajasema.? Wewe unafikiri ni vita vya Uganda na Tanzania? Hii ni vita ya nguvu na ushindani kwenye dunia Hii. Nyuklia zitapigwa kwa macho yako. Hii ni vita ya Nato +USA na Urusi + China. Na wengine . Pole sana mweshimiwa na ushabiki
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
TENA MBWA WAHEDIII 🤣🤣🤣🤣
@yusufmurjan354
@yusufmurjan354 Ай бұрын
Wilondjarama 🖕 una comment mambo ya uslamu hapo f.......k bro ukiongeya tena na mdomo wako hivo take care 🗣️
@muddymiusic1624
@muddymiusic1624 Ай бұрын
Put ameingiza upepo
@jamessiame5169
@jamessiame5169 Ай бұрын
Putin kashindwa vita
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
UPO SAHIHI YA MKONO HAIWEZI LABDA YA KULIPUA 🤣🤣🤣
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke Ай бұрын
​@@atutweve4160we jamaa sjui kama sio mgonjwa vita ya mkono hawez wakat kasha chukua vijiji kadhaa alafu anasogea tu bado putin ni mtu hatari wewe una jifurahisha tu na maneno ila hawo wazungu wanajua uko kama wame kutana na watu hatari maana nato yote imeungana apo na bado mtu anakuja mbele inawaumiza vichwa sana coz wana tumia pesa nyingi na ndio mana Hungary ukawa haitak tna kujihusisha na vta
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke Ай бұрын
​@@atutweve4160na wengi wata ikataa hio vita coz wana tumia harama kubwa sana na wao bado wana muhitaji mrusi kwenye nishati nae kawa komoa ana wauzia gesi ghali tna kwa pesa yake ,yani una tafuta pesa yake ndio gesi akuuzie so ndio hali iliokuepo na ndio maana ukaona nguvu zao saiv magharibi wame elekeza sana gaza ili Israel atawale lile eneo waweze kuchimba mafuta na gesi wame gundua kuna gesi nyingi na mafuta ili ulaya usimtegemee putin upande wa gesi
@emanuelidamiani2943
@emanuelidamiani2943 Ай бұрын
Kashindwaje sasa wakali milio unaisikilizia huko magharibi😅
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
@@emanuelidamiani2943 HUONI ANAOMBA MAENEO YA BURE 😂🫣
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
Marekani mashoga Israel mashoga Ukraine mashoga umoja wa ulaya mashoga papa shoga wakristo mashoga makafiri mashoga chukueni chuma icho 🖕
@mamilafx1225
@mamilafx1225 Ай бұрын
Huyu rais wa ukraine kichwa maji kweli amewakumbatia ulaya na washenz wamarekani 😂😂😂😂😂😂
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 Ай бұрын
Wewe unayekubali kutawaliwa ndo mpumbav, wenzako hawatak kutawaliwa mbwa wewe
@mamilafx1225
@mamilafx1225 Ай бұрын
@@ladislausngoyinde4384 watawaliwe mara ngapi? Unazania hiyo misaada yanayopewa ni ya bure? Kweli akili huna wewe, kiongozi yeyote anapoapa kwenye constitutional, huwa ni kwa ajili interest of that particular country so hao viongozi wanaomsaidia huyo kilaz mwenzako mpumbavu kama wewe rais wa ukraine, hawapo.kwa ajili ya masilahi ya ukraine, hayo yote anayofanyiwa ipo siku atayalipa tu. Na isitoshe huyo fara mwenzako raisi ya ukraine amedinda hivyo sababu yeye familia yake ipo safe na ndiyo maana ana make decision za kipumbavu. So next time you comments shit, you should think first usilopoke lopoke kama mwehu uliekunywa maji ya chooni. Idiot kilaza mkubwa wewe🤣🤣🤣
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 Ай бұрын
@@mamilafx1225 duh!!! mi skujua kama ww ni mtumwa kiasi hicho, yaani kwa akili zako ndogo za utumwa unadhan kuchanganya lugha za kikoloni ndo usomi! Au ndo wale vyeti feki mliotimuliwa na JPM halafu mama amewarudisha!!! 🤔🤔🤔🤔, hahaha, ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni, leo ndo nmeamini
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
​@@ladislausngoyinde4384choko ww ujitambui Ukraine mashoga tu watumwa
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
​@@ladislausngoyinde4384ww mbona umetawaliwa na uchoko
@amosmwampamba
@amosmwampamba Ай бұрын
Huu ni mwanzo wa Putin na Russia kuanguka, hii ni vita kat ya Russia na mataifa ya magharibi. Vurugu kama hiz za Putin zinafanana sana na zile za Adolf Hitla mwisho wa siku alipotea. Mwisho wa siku Putin ataanza kuwashambulia wanaomuunga mkono Ukraine na huo ndio utakuwa mwisho wa Putin na Urus
@amirinestory
@amirinestory Ай бұрын
komenti ya kijinga ya wiki😂
@amosmwampamba
@amosmwampamba Ай бұрын
@@amirinestory leta point tukuelewe, hapo hujaongea Bado. Uwe shabiki usiwe shabiki tambua kuwa marekan anaishi na urus. Kila urus unachofanya marekan anakijua. Bila shaka content tee
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
​@@amosmwampambaww kweli shoga comment yako inajionyesha wazi urusi ndo anaijua vizur hao mashoga marekani ila marekani haujui urusi ndo mana anataka kuitumia Ukraine kuichunguza urusi,na urusi mjanja kawawahi
@amosmwampamba
@amosmwampamba Ай бұрын
​@@omarymwaluko9765najibizana na mpumbavu bila kujijua, leta point ueleweke na sio matusi. Sasa ushoga unatokea wapi, utakuwa shoga mwenyewe filaun wewe. Jinga kubwa hili
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
@@amosmwampamba ww choko tu utake usitake chukua chuma icho 🖕
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 Ай бұрын
Hili jinga sana yan ukubwa wote wa urusi bado anataka nchi ya watu wengine
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui Ай бұрын
WEWE LILO INEO L A RUSSIAN
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui Ай бұрын
Ndio maaana hapa patamu
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
Ww shoga la mashoga
@user-jf7is4fk2v
@user-jf7is4fk2v Ай бұрын
ki ukweli putin yuko hoi kwa sasa
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
Bin TAABANI 🤣🤣🤣🤣WEWE MUELEWA NA HAWA WA SWEKENI WALA HAWATAKI KUKUBALI LKN WANAONA AKICHEZESHWA KIDALI POO 🤣AFU ETI APEWE KIRAHISI SASA SIATATAKA NA POLAND HADI UJERUMANI MASHARIKI? KICHAA KABISA 🤣🤣🤣🤣
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE Ай бұрын
ukapimwe akili kwanza ndiyo uje ukoment
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE Ай бұрын
​@@atutweve4160atutweve haujawahi kuwa na akili tangia shuleni, yaani bongolala haufahamu ukweli wa mambo mpaka sasa. wazazi wako Wana hasara kwa kweli
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
@@PAULNYANDILE SHULE GANI 🤣🤣🤣TZ MNA SHULE SASA??😂😂😂😂😂😂😂😂BORA TU SIKUWA NA AKILI NKAJA ABROAD NMEPATA AKILI, VIPI IO INAUMA? ETI SHULENI BADO UNAWAZA SHULE SAIVI WENZIO TUPO NA MIAKA 40 TUNAWAZA MAMBO MAKUBWA 🤣🤣🤣🤣🤣YANI NA ULIVOONGEA KAMA MTOTO WA PRIMARY 🫣
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
@@PAULNYANDILE MAMAAKO USHAMPIMA? wewe BIPOLAR UMEJIPIMA? UKOO WAKO JE? LILIVO JINGA KAZI KUJIBU COMMENT ZANGU NAKUSHUHURISHA EEE 🤣🫣
@emanuelmaraki9758
@emanuelmaraki9758 Ай бұрын
Putin hayoo maneno sio yakoo unawazulumu wa ukreni unampangiajee mtu na familia
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE Ай бұрын
ukapimwe akili kwanza ndiyo uje ukoment
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
Ww choko la machoko
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Ай бұрын
Mjinga uyo
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
mashoga ndo wajinga magaid
@davidsika5292
@davidsika5292 Ай бұрын
Huyu na harmonize ni sawa tu maana wanapenda kiki haooo😂😂..walisema ndani ya masaa 24 wataangamiza Ukrane kiko wapiii Alisema wataifa watakayoisaidia ukrane watajuta kiko wapii😂😂 Ndo kwaanza Usa , Germany, Ufaransa zimetoa siraha had leo amefanya nini sasa... Umeishia huyu
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
Mnaoumia ni nyiny mashoga sisi vidume team Putin mwamba kiboko ya mashoga tunawasoma tu machoko nyiny
@farlykunga8599
@farlykunga8599 Ай бұрын
😂..putin ni mshenz san..asee..Aya mfan kaitaka Dar es salam.!?😢
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE Ай бұрын
ukapimwe akili kwanza ndiyo uje ukoment hajui lolote kuhusu ili swala
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
ww choko la machoko
@farlykunga8599
@farlykunga8599 Ай бұрын
​@@PAULNYANDILE😂..ww unayejua toa maon yako...ili yamsaidie puttina kuipat kivvy....
@farlykunga8599
@farlykunga8599 Ай бұрын
​@@omarymwaluko9765😂..baad yaww kuchokonolew..
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
@@farlykunga8599 nyiny mashoga mda wote mnacheka Cheka tu kweli ushoga una athar kubwa sana
@slimshadjr
@slimshadjr Ай бұрын
Ukraine ni vidume wa mbegu Putin atajuta
@yohannathobias4742
@yohannathobias4742 Ай бұрын
choko kweli ww
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
Ukraine mashoga yamejaa Ukraine mashoga marekani mashoga Israel mashoga wakristo mashoga makafiri mashoga papa shoga chukueni chuma icho 🖕
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 Ай бұрын
Vita bado mbichi
@gigoyrn4394
@gigoyrn4394 Ай бұрын
😂😂 basi kawa Ukraine hawataki Putin aje Tanzania tumpe dodoma, singida,shinyanga ,mwanza na dar kama kifungashio
@melkizedck
@melkizedck Ай бұрын
Halo! Unachekesha. Du ama kweli
@melkizedck
@melkizedck Ай бұрын
Putin kaona hali mbaya, na muda si mrefu atakimbia.
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE Ай бұрын
ukapimwe akili ndiyo uje ukoment
@melkizedck
@melkizedck Ай бұрын
@@PAULNYANDILE kama kuna chizi na mtindio wa ubongo ni ninyi na putin mkapimwe ubongo. Vita ina miaka zaidi ya miwili hawashindi?
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
​@@melkizedcktangu lini kidume akawakimbia mashoga choko nini ww mtoto
@melkizedck
@melkizedck Ай бұрын
@@omarymwaluko9765 Putin angekuwa kudume angeshinda muda mrefu. Kidume gani hakushinda?
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
@@melkizedck kidume anapigana mashoga wote nato pamoj na mashoga wengine duniani Kama ww choko urusi ndo kiboko ya mashoga
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 4 МЛН
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 161 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 72 МЛН
Tối nay, Tổng thống Nga Vladimir Putin chính thức đến Việt Nam
9:26
Mobile Wheel Polisher ##❗️❗️
0:19
ToolBox Talk 20
Рет қаралды 5 МЛН
Подпишись❤️ Давай взрывать🚀
1:01
Рамир Хасанов
Рет қаралды 7 МЛН
ТАМАЕВ УНИЧТОЖИЛ CLS ВЕНГАЛБИ! Конфликт с Ахмедом?!
25:37
#asmr #pagani #huayra #paganihuayra #supercars #fastcars #speed #cars
0:10