No video

Watu wa kwanza kuishi duniani wameishi Tanzania - The Dr Prince Katega Show - Episode 2

  Рет қаралды 6,059

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 34
@albert1088
@albert1088 Ай бұрын
Dr Prince Katega HESHIMA YAKO MZEE WANGU........... our african ancenstors wakulinde na uendelee na kazi yako.!!
@samsonjoshua3140
@samsonjoshua3140 Жыл бұрын
Brother @sky huyo Dr anatoa madini sana ase hongera yke Na yko pia
@user-xr4uo8lv8k
@user-xr4uo8lv8k Жыл бұрын
Hongera sana kwa elimu hii kubwa, Watanzania tumeanza kutambua kuwa dini hizi tumeletewa, Hongera sana baba.
@abdulrahmanhassan9254
@abdulrahmanhassan9254 Жыл бұрын
Tunaomba muendelezo wa masomo haya ni muhimu sana kwa vizazi
@ismailmagina2231
@ismailmagina2231 Жыл бұрын
Kwa coment chache tu nimeona jinsi gani watanzania wanaitaji mungu kuwaletea Masihi kuja kuwatua watu mizigo ya akili,roho,mwili,...watu wamekalia tu hatumtaki Hangaya,enyi wanafki je,wewe uliookaa hapo unaifanyia nn nchi yako?watu hata kujiongoza tu ni shida kuongoza familia zenu mnashindwa,waleeni watoto wenu vizuri maana ndiko vongozi wanakotoka,hatutakiwi kusubiri kubadilisha matokeo justini kalikawe alishaimba"panapofuka moshi basi moto uko chini"..mitaani kesi zilizojaa zote ni kutokana na watu hawajielewi na wamelelewa hovyo,watot wa mitaan wanazidi kujaa tunaona tu tunamsubiri hangaya au sio,,watu mpak wamekufa bado wanawasubirigi mitume/manabii wao kwamba watarudi lkn mi naamua kuwafata ukouko,simsubiri raisi,mbunge sjui nabii/mtume afanye kitu nafanya mwenyewe maana mungu katutuma wote na ukitaka kuibadili dunia badilika wewe kwanza
@anthony.mkaijage5885
@anthony.mkaijage5885 Жыл бұрын
Ahsante Prince katega 2 kwa ukombozi wa FIKRA
@selemanibendera2815
@selemanibendera2815 Ай бұрын
Wewe ni Zaidi ya Mwalimu
@tanzaniaoman6423
@tanzaniaoman6423 Жыл бұрын
Wow kwa kuja tena
@saidmtunguu6689
@saidmtunguu6689 2 ай бұрын
Asante mulan
@ismailmagina2231
@ismailmagina2231 Жыл бұрын
Huyu mzee anachoongelea ni anaona mbali anaona kwamba hwa maraisi watapita wote lkn kwa hangaya kuna kitu kimeendela zaid cha uafrika zaidi baada ya kusimikwa uchifu watakuja wengine itafika mbali hadi kwenye Ufalme,Mungu atakua ameona tumekomaa tunaweza na tumezoea uchifu,ufalme n.k tutaweza kumpata mfalme ambaye ana nguvu ya mungu, kyala,leza,ngai,Allah...kwaiyo tusiwalaumu viongozi wetu hiyo ni kazi ngumu sana siri ya mtungi aijuaye kata ndio maan nyerere alisema "Ikulu ni mahala patakatifu" je?wewe ulielewaje
@moseskatega8441
@moseskatega8441 Жыл бұрын
Asante
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Жыл бұрын
Dr Prince, please fanya kazi yako, ila huyo unae muita eti chief HANGAYA, big nooo.
@BigZhumbe
@BigZhumbe Жыл бұрын
Kapewa huo Uhamgaya ni wafalme wa falme za kitanzania
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Жыл бұрын
KATEGA UNATUVURUGA 🤯🤯🤯 HANGAYA HANA HAYA KAMA NI HUO NINAE MUWAZA BASI SIO
@siatravel8823
@siatravel8823 Жыл бұрын
Tusiukumu ili tuendelee chini ya jua. Ukijijua mwenyewe kwanza haya mengine yatakua poa tu 🦋
@maulidimuhammed7851
@maulidimuhammed7851 Жыл бұрын
MAFUNDISHO YA ALIFU LELA HULELA HAYO (PAUKWA PAKAWA)
@AREI12
@AREI12 Жыл бұрын
Price katega2 mungu akubaliki sana
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Жыл бұрын
SAMSON KAONDOKA KABAKIA DELILA.
@BigZhumbe
@BigZhumbe Жыл бұрын
Miaka laki nne Tanzania kulikua na watu wanaishi alafu miaka elfu saba iliyopita Mungu wa kupewa ndio kamuumba Adamu na Hawa.... tunalishwa matango mabovu 🤣
@user-or3xb1qh6q
@user-or3xb1qh6q Жыл бұрын
Asanteni wote mnaosaidia kusambaza habari hizi nyeti
@husseinsadick7785
@husseinsadick7785 Жыл бұрын
Ndiomana ni nchi yenye amani kuliko zote duniani
@SAMISAI.
@SAMISAI. Жыл бұрын
This is the men💥💥
@loganpoul
@loganpoul Жыл бұрын
Sometimes people they needed to go to the Qur'an,ww wafkiri na mungu anasema ki vyake,sasa tuache kuamini mungu aliposema kumshusha Adam duniani ili tukuamini wewe binadamu WA Kwanza kuishi Tanzania???
@SangaliPower
@SangaliPower 25 күн бұрын
Mungu wa Quran na Biblia ni scammer
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Жыл бұрын
No ,big nooo, huyo siyo Queen kabisa, jiulize JPM alimuuwaje??pls ,eti chief HANGAYA, ametoka kwenye family ya kichifu???jmn msipambe uongo. Watanzania hatumtaki, na hayupo wa kumpa kura 2025.PERIOD.
@BigZhumbe
@BigZhumbe Жыл бұрын
Una uhakika kama kamuua JPM?? Usikomment kwa mhemko ndugu makasiriko ya nini??? Kila familia duniani iliwahi kuwa na ufalme ndani yao wewe jiulize since beginning of time inamaana familia yako inaongooozwa tu.... think of babu yako aliyeishi miaka elfu 7 iliyopita hadi leo upo wewe mtakua mandezi wa level gani kama hamjawahi kua na mfalme hata mmoja?? Na kura 2025 CCM wasipotoa mgombea mwingine.... mama anaendelea na uongozi CCM ni chama tawala daima. Vyama vingine wasindikizaji tu
@BigZhumbe
@BigZhumbe Жыл бұрын
Alafu mama alipewa huo umalkia ni wafalme wa falme zote za kiasili Tanzania so ukubali tu huyo ni MALKIA
@ismailmagina2231
@ismailmagina2231 Жыл бұрын
Sema humtaki sio watanzania hawamtaki,yanini kusemea watu?.angalia kizuri alichokisema prince katega beba na ambacho hakikufai achana nacho..Marais wangapi wamekuja wakaongoza vizuri wengine vibaya lkn leo wakowapi?Waafrika tunatakiwa turudi kwenye maisha yetu ya kifalme na sio kitumwa..mambo ya sjui nn mara nn Hapana ndugu,wew unaifanyia nn nchi yako?mabadiliko yanaanza na wewe na familia yako huko ndiko walikotoka wakina Nyerere,Mkapa,mwinyi ____ mpak sas Mh.Samia...Ndo maana ata yesu alisemaga "Msinililie mimi walilieni watoto wenu___"
@ismailmagina2231
@ismailmagina2231 Жыл бұрын
No,big nooo, ×zillions kwako mnyooshaye kidole wakati vingine vinabaki ukijinyooshea ..unaangalia kibanzi kilicho katika jicho la mwenzako ingali jichoni mwako kuna bolt
@BigZhumbe
@BigZhumbe Жыл бұрын
@@ismailmagina2231 Comment nzuri sana hii
@ArafatEmperor-iz4rf
@ArafatEmperor-iz4rf 7 ай бұрын
Changamoto ya wa tanzania na waafrika KIUJUMLA bado wajinga sana, video za namna hii huwa hazina viewerz wengi viewers WAPO kwenye udaku na mpenzi HOVYO KABISA 🚮🚮🚮🚮☠️☠️
@makhanguwakhutu2408
@makhanguwakhutu2408 Жыл бұрын
wewe ni muongo
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Brawl Stars
Рет қаралды 18 МЛН
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 20 МЛН
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 52 МЛН
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 76 МЛН
Raila's AUC Bid Launch: Tanzania President Samia Suluhu's speech
7:05
Bongo Star Search 2021 Episode 03 Mbeya
1:05:38
BongoStarSearch
Рет қаралды 236 М.
Bongo Star Search 2021 Ep 04 DODOMA & ZANZIBAR FULL SHOW
1:41:32
BongoStarSearch
Рет қаралды 283 М.
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Brawl Stars
Рет қаралды 18 МЛН