UKUU WA MWAAFRIKA, kwanini tunakosewa tukiitwa DUNIA YA TATU, wafahamu WAGUNDUZI wa Kiafrika - EP 1

  Рет қаралды 9,550

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Жыл бұрын

Ungana na Dr. Prince Moses Katega kwenye episode ya kwanza ya kipindi chake hapa SnS kiitwacho #TheDrPrinceKategaShow

Пікірлер: 63
@nicholauslema2707
@nicholauslema2707 Жыл бұрын
Hongera Prince Katega wa Pili. Nlilisikia Jina Lako likitajwa mara nyingi nyingi na ANANIAS EDGAR kuhusu Mambo ya Ukuu wa MuAfrica, Naishukuru SNS kwa Kukuleta Live na Kukupa Kipindi. Hiki Kipindi chako cha Leo ni Kifupi mnooo,,, Naomba vipindi vyako vinavyofuata wakupe angalau 2hrs uendelee kutupa MADINI.....
@tanzaniaoman6423
@tanzaniaoman6423 Жыл бұрын
Asante kwa kutuvumbua na kuujua Africa ni nini na chanzo chake asante sana uje tena ili tuzidi kujua mengi yahusuyo AFRICA
@isackbaton3686
@isackbaton3686 Жыл бұрын
Nlishawahi kusikia stori yako kwa jamaa mmoja anaitwa Ananias Edgar your very inteligent
@careenevance1535
@careenevance1535 Жыл бұрын
Mimi pia uyu mwamba namsikia
@faridamkesso97
@faridamkesso97 Жыл бұрын
Shukran Prince Katega, Asante sana Sns najivunia kuwa Mwafrika
@asantemungu9820
@asantemungu9820 Жыл бұрын
Woooow!!!!!!!! Yaani Heshima kubwa kwako, Dr Prince Katega. Hii Elimu ya bure lazima iendeleee kama Series.. Asante Sana. 🤝🏾🤝🏾🤝🏾🤝🏾
@ismailmagina2231
@ismailmagina2231 Жыл бұрын
Ni Mgodi prince katega..namfatilia sana chanell yake @United kingdoms of afrika..nimesoma kitabu chake..kwa wale wanaotaka madini pongezi kwa sns kwa kuwaltea mgodi...✊tafadhari sns hii iwe mwendelezo wa vipindi vya namna hii
@user-or3xb1qh6q
@user-or3xb1qh6q 5 ай бұрын
Asante na hongera kuendelea kupata msdini
@blacknesaya744
@blacknesaya744 Жыл бұрын
Request...tuna taka mwendelezo wa kipindi Cha huyu price katega 11
@anthony.mkaijage5885
@anthony.mkaijage5885 Жыл бұрын
Our father in knowledge prince katega ii
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Жыл бұрын
Nashukuru sana kwa elimu ila tumedidimizwa sana ndo maana tunashau thamani yetu waafrika
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 Жыл бұрын
Tumedidimizwa na kutufanya tusijiamini bila wao dunia haipo Dah!sasa tunaiga hata tamaduni zao na kuacha zetu,mbaya wametunyinya kutuacha masikini, mbaya wametutawala hata kifikra tusiweze kufanya vyetu tukihisi havina maana wala ubora, wametufubaza kuona vyetu ni dhaifu, vibaya,nitakataka ilihali ndivyo halisi na thamani ya hali ya juu, wao leo wa naendelea kwa hivi vyetu walivyo vichukua na bado wanavi chukua na kufanya ni vyakwao
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 Жыл бұрын
Safi sana SnS muwege natupa vitu kama hivi ili waafrika angalau tupate kujitambua
@suziemichael4338
@suziemichael4338 Жыл бұрын
waafrika waache kujichubua na kuvaa mawigi ndo tutaheshimika zaidi
@shemsabaruan6563
@shemsabaruan6563 Жыл бұрын
🤝
@user-be4ov2vu4x
@user-be4ov2vu4x Күн бұрын
Kweli ila tumechelewa sana da
@kaayakitomary1233
@kaayakitomary1233 Жыл бұрын
Hiii ndo magu alikua anataka kufanya kwann jamni tusiachane na madawa yakichina
@bobrona9765
@bobrona9765 Жыл бұрын
kweli mfumo wa elimu yetu africa inabidi ubadilike ,jamaa kaongea ukweli...
@bishweko
@bishweko 4 ай бұрын
Ni true Doctors wetu sahizi ni madalali.
@kibelloh
@kibelloh Жыл бұрын
💪🏾💪🏾💪🏾powerful talks.
@BigZhumbe
@BigZhumbe Жыл бұрын
Fainali mmempa Prince Katega nafasi kutema elimu kwa muafrika aliyepotezwa
@chafumojangoyepangoulous4416
@chafumojangoyepangoulous4416 Жыл бұрын
Kweli Mungu awawezeshe storys na ukweli utufikiye sisi hote weusi tufumbuke macho vipofu ni wangi sana
@kilalakaila9762
@kilalakaila9762 Жыл бұрын
Afri-CAN not Afri-CAN'T
@chande2k250
@chande2k250 2 ай бұрын
Prince katega shukrani Tukifuata haya africa tutafika mbali
@ronaldissack4955
@ronaldissack4955 Жыл бұрын
Great brain of prince
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Жыл бұрын
Afrika tulianza wazungu wakafata lakini waliua kabisa mwafrika asionekane
@abdulrahmanhassan9254
@abdulrahmanhassan9254 Жыл бұрын
sasa haya ndio masomo mnatakiwa mtuletee tunaomba muendelezo
@africanproudly4004
@africanproudly4004 Жыл бұрын
Asante sana SnS Hii kubwaa
@ibraimoissiaca6058
@ibraimoissiaca6058 Жыл бұрын
Safi sana sns
@davidkitumbi6457
@davidkitumbi6457 Жыл бұрын
Unanifurahisha sana prince edelea pia nawaomba m search Zouloula 100 ama Imani mcimbwa on KZfaq dio tuuganishe yote muone ajabu, Mwafrica diye chazo cha yote, na Sasa tunarudi uko mhamini ama msiamini uko diko tarudi huo dio ukweli, No more lies.
@chundabadsingasinga3130
@chundabadsingasinga3130 Жыл бұрын
Anajua SANA
@African511
@African511 4 ай бұрын
Hapo uliposema,mwalimu anahitaji uandike anachokitaka ni kweli kabsa hii,imewahi kunikuta mm shule,yaani mwalimu anahitaji uandike point zile zile za kwenye vitabu,ukiendana na utofauti wa points lakini maelezo yanaendana anasema hapo siyo umekosea,aloooo hapo ndipo nilipoelewa kumbe elimu hii ni ya mkoloni kabsa.
@valentinernestkavishe7297
@valentinernestkavishe7297 Жыл бұрын
Upo sahihi lakini ni kitu kigumu sana kubadilisha history
@naombadiaz4467
@naombadiaz4467 Жыл бұрын
My Boss hongera sana sana
@angeakeza6542
@angeakeza6542 Жыл бұрын
Saf
@nyongesabenjamin3762
@nyongesabenjamin3762 Жыл бұрын
elimu nzuri tutumie vitabu Kenya tusome
@eliassabbath2480
@eliassabbath2480 Жыл бұрын
African
@dominicjulius3108
@dominicjulius3108 Жыл бұрын
you are my teacher
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 2 ай бұрын
Safi sana mkuu
@johnstephano6486
@johnstephano6486 Жыл бұрын
Safi sana.
@goodbeatus644
@goodbeatus644 Жыл бұрын
13:19 hio picha mmetuangusha,
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 3 ай бұрын
Waafrika wanawaza kwenda peponi kuishi
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 3 ай бұрын
Hamsikilizwi ujue. Hatuna viongozi wenye uchungu afrika .
@waziriyusuf4446
@waziriyusuf4446 Жыл бұрын
Ahsante Sana zidi na uendelee usiacha muafrika aamke
@neemaresourcefoundation8309
@neemaresourcefoundation8309 Жыл бұрын
Hizi kingdom zinaweza komboa kizazi cheti hiki kilichopo hatarini
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 Жыл бұрын
Eti bongo bahati mbaya ha 😆 🤣 😄 😂 😅 😀 😆
@MS.independent8934
@MS.independent8934 Жыл бұрын
🤝🏼❤️🇹🇿
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️
@NtanunuraWillsonBaru
@NtanunuraWillsonBaru Жыл бұрын
Kabisa kama wanachuo sio problems solvers kila mkoa una law materials ambazo hizo ndizo zinazo kuza uchumi wa taifa wao wanafikilia kuajiliwa tu ofisini wakati duniani kila mkoa una uchumi wao na kuna watafiti na serikali zina fungua viwanda
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 3 ай бұрын
Wazalendo walishakufa. Akili kubwa haina nafasi ya kutenda
@malimanyanja562
@malimanyanja562 Жыл бұрын
Watu wengi wamesha alibiwa vichwa na wazungu naelimu zao za uongo mtupu ira sisi bado tunashi kama mababu zetu
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 Жыл бұрын
Tusaidie mwana wa ufurume
@SAMISAI.
@SAMISAI. Жыл бұрын
Yuko sawa ila anabadilisha mada sana ingependeza sana aongelee one topic
@abdulbakari1220
@abdulbakari1220 4 ай бұрын
Wewe nimuhin wakingereza
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 3 ай бұрын
Vpi kuhusu dini mzee
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Жыл бұрын
kwenye chakula wameweka sumu kwenye chakula(chakula bandia)ili kutengeneza magonjwa
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 3 ай бұрын
Wakifanya mabadiko watanyimwa misaada viongozi wa afrika pumba
@dominicjulius3108
@dominicjulius3108 Жыл бұрын
princi katega tukomboe baba
@BigZhumbe
@BigZhumbe Жыл бұрын
Jamaa apewe show ya 10hrz madini ni mengi
@NtanunuraWillsonBaru
@NtanunuraWillsonBaru Жыл бұрын
Mpango ni kuuwa waafrka tena wapo serious umeongea ukweli ukisikia kimywa kimywa nichokitafanyika
@abdulbakari1220
@abdulbakari1220 4 ай бұрын
Wewe muongo
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 3 ай бұрын
Ongea wewe
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 77 МЛН
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 11 МЛН
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 38 МЛН
PASAKA KWA MTAZAMO WA KIAFRIKA NA PRINCE KATEGA II
15:13
Busokelo TV
Рет қаралды 2,4 М.
БУДЕТ ЗНАТЬ КАК ОБИЖАТЬ БАБУШКУ
0:18
МАКАРОН
Рет қаралды 1,8 МЛН
Эй Рамазан # DamirAgroDizel
0:16
DamirAgroDizel
Рет қаралды 7 МЛН
I suspect someone is playing tricks, but I have no evidence
0:27
POR QUEEE DIVERTIDA MENTE 2 !!! #SHORTS
0:15
Figuritalo
Рет қаралды 45 МЛН
КОМПОТ В СОЛО
0:16
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 11 МЛН