SIO MCHEZO ZIARA YA JABAR HIRA PAMOJA NA MIUNDOMBINU YA JIJI LA MAKKA LENYE BARABARA ZA JUU NA CHINI

  Рет қаралды 31,351

Saimu gwao Online tv

Saimu gwao Online tv

2 жыл бұрын

Saimu gwao tv ni chanell maalum inayojihusisha na mambo ya dini na matukio yenye faida kwa jamii kwa mawasiliano 0713 471090 Tuko Face Book Whatsap Instagramu

Пікірлер: 56
@fatmarashid0005
@fatmarashid0005 2 жыл бұрын
Na ss allah atujaalie rizk za halali na atufikishe na ss kufanya ibada hiyo ya hija innshaallah
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 2 жыл бұрын
Amin.
@LatifaLatifa67-ho1zr
@LatifaLatifa67-ho1zr 2 ай бұрын
Amen
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 mwenyezi Mungu nakuomba namiminipe uwezo namimi nifikehuko nishuhudiye nanifanye ibada ya hijja yaarab mwenyezi Mungu akujaaliyeni muhijji salamaa namrudi salamaa nyotee
@daslamonline4665
@daslamonline4665 2 жыл бұрын
Amiin namie naungana na dua hii😭🙏🏿
@lovemwantiti8130
@lovemwantiti8130 2 жыл бұрын
@@daslamonline4665 amiiini
@salmasalim7701
@salmasalim7701 Жыл бұрын
ÀààààßÀ GET ALL 10
@fatmarashid0005
@fatmarashid0005 2 жыл бұрын
Allah awajaalie ibda yenye kukubaliwa innshaallah
@marwamuhammad5703
@marwamuhammad5703 2 жыл бұрын
asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh. maa sha allah TABARAKALLAH ALLAHU atujalie nasi tufe haliakua tumefika katika mjimtukufu wa maka
@salamaali4726
@salamaali4726 Жыл бұрын
Mashaa allah Allah awakubalie dua zao na sisi atujalie tufanye safar hii kabla ya mauti.
@noffelsalim830
@noffelsalim830 2 жыл бұрын
Mungu atujaalie na sisi tulokuwa hatujapata uwezo wa kwenda Makkah Allah atupe uwezo tuweze kufika na sisi inashalla.
@ramazecha8862
@ramazecha8862 2 жыл бұрын
Najivunia kua muislamu
@tausimbilili1879
@tausimbilili1879 2 жыл бұрын
Mtangazaji jitahidi kuwa na Lafdhi nzuri
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 2 жыл бұрын
Allah awatakabalia ibada zenu na cc mutuombea dua 🙏🙏🙏😭😭😭
@hamudimabrouk8437
@hamudimabrouk8437 2 жыл бұрын
Allah sw awakubal inshaallah
@TeamKRX
@TeamKRX 2 жыл бұрын
Mashalah daaa inaliza mi na fatilia moja moja naburdika nafsi hata mimi najiuliza watu wako kwenye msikiti wa makka tu hee kweli huku hiyo ndio makka dada angu wewe SiO daer Ea salaam ukianza tu kuingia unakutana na watuuu kila Aina 😂
@hamudimabrouk8437
@hamudimabrouk8437 2 жыл бұрын
Kwan bila yajuhud za vyomb vya habar ss leo tusengeona juhud hiz nass tukapat ham zaid yakufik huk makk allah awakubal sio ria allah pekee ndio ajuwae yaliyom moyon mwa waja wak
@robloxgame2465
@robloxgame2465 2 жыл бұрын
Mashallah
@ummuziana5723
@ummuziana5723 2 жыл бұрын
Allah awafanyie wepes
@husseinkakanga8273
@husseinkakanga8273 2 жыл бұрын
Jazaka Allah khaira
@bongue6003
@bongue6003 2 жыл бұрын
Mashallah bonito allahamduliaih
@kashrajabu5744
@kashrajabu5744 2 жыл бұрын
M/mungu nasi atufikishe uko kwa uwezo wake inshallah
@mwanahamisimwinyi1040
@mwanahamisimwinyi1040 2 жыл бұрын
Allah atusemehe na sisi tufike huko InshaAllah
@murshidasururu4273
@murshidasururu4273 Жыл бұрын
Mashaallah
@surtansinani9507
@surtansinani9507 2 жыл бұрын
Allhamdu lillah
@leilamohamed950
@leilamohamed950 2 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@J4UPro
@J4UPro 2 жыл бұрын
Maashaaallah
@douglasvernon9492
@douglasvernon9492 2 жыл бұрын
MashaAllah
@highmedland9280
@highmedland9280 2 жыл бұрын
Mm nimeona nivyema kuwashusha angalau wakakanyaga izo sehem husika sio kuwaharakisha baada hapo kuwazungusha kwa matairi ya gari sio vzr mashekh zangu
@alimohammedomar3412
@alimohammedomar3412 Жыл бұрын
Hiyo ni orientation tu. Wakati wa ibada itakapoanza watafika tena na kushuka kila sehemu kwa kufanya vitendo na amali za hija
@allymansur8155
@allymansur8155 2 жыл бұрын
Muandishi tafadhali and ikawa majina vizuri ni JABAL HIRAA na MINA hakuna shaddah kwenye nuni. Halafu Arafa hakuna lam hapo.
@highmedland9280
@highmedland9280 2 жыл бұрын
Mulikua muwaache kwanza mana kl wkt munawahoji km mmeenda ziara za maonyesho ya 7.7 vile
@Wastara001
@Wastara001 2 жыл бұрын
Jamani mumeenda kuhiji au kutafuta habari?? Kwani nini upige picha kina mama? Hii ni riyaa
@husseinwanyoka9295
@husseinwanyoka9295 2 жыл бұрын
Mashaallah allah awafikishe salama na atujalie nasi tuwe mahujaji inshaallah
@hamisimuhammad6225
@hamisimuhammad6225 2 жыл бұрын
Ametakasika mwenyeezimungu
@defocatrcsacco347
@defocatrcsacco347 2 жыл бұрын
Assalam Alaykum.Nasikia ndugu zangu mukisema kua munaenda ARAFA.Nataka kuwakosoa kidogo kua safari hiyo munayoenda sehemu ya kufanyia IBADA ya HIJJA nisafari munayoenda ARAFAT wala siyo ARAFA.Sehemu hiyo huitwa Arafat na Ibada yenyewe ni Arafa.Sehemu hiyo jina Lake huitwa ARAFAT wala si ARAFA.Samahani lakini.
@khadijasemkunde614
@khadijasemkunde614 2 жыл бұрын
Uliambiwa kutembelea pango! kufitiwa dhambi kama hujui kaa kim ya
@Anuarmustafa4128
@Anuarmustafa4128 2 жыл бұрын
Disko limeingia mmasai
@user-mq6lu2po3y
@user-mq6lu2po3y 2 жыл бұрын
Me engineer lakini Sina uwezo wa kujenga baraba Kama hizi na uimara Kama kuu kukakata milima na kitoboa mlima kutengeneza barabara si mchezo
@salumahmadasalum1556
@salumahmadasalum1556 2 жыл бұрын
REJEA NDANI YA QUR AAN NEEMA YA HUKO HUWEZIFANANISHA NA SEHEMU YEYOTE
@user-mq6lu2po3y
@user-mq6lu2po3y 2 жыл бұрын
Ao engineers waliotengeneza mji wa makka si mchezo
@pendojohn1345
@pendojohn1345 2 жыл бұрын
mungu 🙏🏿 watangure
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@zaburi2386
@zaburi2386 2 жыл бұрын
Sasa Muhammad alijuaje Kama aliemtokea ni jibril na sio vingne
@Anuarmustafa4128
@Anuarmustafa4128 2 жыл бұрын
Tafuta elimu kwa wenye kujuwa
@makutanochristoph2820
@makutanochristoph2820 2 жыл бұрын
Huu ni ukafiri dhaahili kabisa, yaani wazee na mvi zenu sasa hata mkishaona hilo pango je dhambi zenu zitatakaswa kwakua mmetembelea hilo pango? nyinyi niwaabudu wa kitu msichokijua.
@halimaomar3280
@halimaomar3280 2 жыл бұрын
Pili pili usioila yakuwashianini ?
@makutanochristoph2820
@makutanochristoph2820 2 жыл бұрын
@@halimaomar3280 basi endelea kula na hali ya kuwa inawasha ila mwisho wake itakulipukia tu
@HassanAli-vy3kb
@HassanAli-vy3kb 2 жыл бұрын
Allah atakuhukumu ww kwa hisia zko
@makutanochristoph2820
@makutanochristoph2820 2 жыл бұрын
@@HassanAli-vy3kb Kama allah atanihukumu sawa lakini ni heri kama BWANA, Mungu wa kweli, atanihukumu, (Mwanzo 1;21) Mungu akasema, Na Tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye uhai kiendacho juu ya nchi. Ikiwa tumetawalishwa kwa vitu hivi vyote je, ndo tufanye kuwa ni ibada? (Kutoka 20;5) Usivisujudie wala kuvitumikia; kwakuwa mimi, Bwana Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao, (Kutoka 20;6) Nami nawarehem maelfu Elfu wanipendao, na kushika amri zangu. Waacheni ibada za kikafiri, kwa maana, wema wa Mungu upo siku zote
@Anuarmustafa4128
@Anuarmustafa4128 2 жыл бұрын
Wewe sio binaadamu wewe ni mdudu
@tausimbilili1879
@tausimbilili1879 2 жыл бұрын
Huvutii uzikilizaji
@FatmaFatma-xt7ui
@FatmaFatma-xt7ui 2 жыл бұрын
Mashaallah
@mustmustmust5602
@mustmustmust5602 2 жыл бұрын
Mashallah
Каха ограбил банк
01:00
К-Media
Рет қаралды 11 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 13 МЛН
Wazee wapatikana mafichoni kwenye dawah mitaani.
1:24:52
Straight Path Dawah
Рет қаралды 17 М.
KHOFU YA TATIZO HILI YAWAKIMBIZA WAISLAM MSIKITINI NCHINI TANZANIA.
7:43
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 15 М.
ZINGATIA VITU HIVI KABLA HUJAANZA SAFARI YA HIJJA - MAKKA & MADINA
10:57
Tawheed Islam Channel
Рет қаралды 8 М.
Mahujaji wa Tanzani wakiwa Jamarat kutupa  Mawe
25:51
IBN BATUTA TV
Рет қаралды 16 М.
Каха ограбил банк
01:00
К-Media
Рет қаралды 11 МЛН